HECHE: 30% BAJETI YA SERIKALI ITAISHIA KWENYE UFISADI -SIWEZI KULIMISI BUNGE LINALOPIGA MNADA NCHI

  Рет қаралды 16,276

MOSHI FM  ONLINE

MOSHI FM ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@Brianna20b21
@Brianna20b21 Ай бұрын
knowledge ya MARA💪💪💪💪
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Hongera MH heche kwamisimamo isiyoteteleka eemungu tusaidiye utuepushe napepo wabaya wanchihii tuungejuhudi zakatibampya yenyemeno yenyemisingirafiki naraia ndipo tutapata unafuu
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Tunakupenda sana mzee heche uishi milele ombi langu kwako usijekubadilika
@petershirima8850
@petershirima8850 Жыл бұрын
Mh. Heche hoja zako huwa zina mashiko sana nazifill sana 💪
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
CHADEMA should give opportunity to lead the party to this man
@MussaJuma-i5z
@MussaJuma-i5z Жыл бұрын
Kamanda HECHE Habari za Asubuhi wewe ni tz moja
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Ni kweli hayo yote tunayaona spika anavuka mipaka
@pastorybahinyuye4876
@pastorybahinyuye4876 Жыл бұрын
BIG UP HICHE TUTAWAMIS MNO NCHI IMEPIGWA MNADA HATUNA NAFAS WANANCHI.
@BonifaceHassan-j5m
@BonifaceHassan-j5m Жыл бұрын
Kweli Katiba ni muhimu,kudhibiti wasio na mtazamo sahihi ktk nchi yetu !
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
No kweli hayo yote tunataona spika unavuka mipaka yake wakati mwingine.Pia tunaona wakati mwingine analazimisha hoja
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Жыл бұрын
Sipika hafai nanyodo sana kwa wabunge wetu
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Жыл бұрын
Yaan huyu jama ana madini sana kichwani mwake kichwa chake sawa na wabunge wote isipokuwa mzee kishimba tu.
@johnkushoka6629
@johnkushoka6629 Жыл бұрын
Sure
@micaelpascal2619
@micaelpascal2619 Жыл бұрын
Nakukubal
@ibrahimbaila7764
@ibrahimbaila7764 Жыл бұрын
Atamm namshanga spika anakua kama waziri. Yy anajibu upande wa serikali sasa sijui yy ni waziri mku au
@juliusbura4550
@juliusbura4550 Жыл бұрын
Kamanda pamoja sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Kwa kweli katiba ni muhimu sana kutokana na hili swala la bandari aaaaah hii kiboko
@petershirima8850
@petershirima8850 Жыл бұрын
Naomba zako plz
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 9 ай бұрын
Gombea uraisi utakuwa kwame nkuluma
@mussakulanga9513
@mussakulanga9513 Жыл бұрын
mtu kama huyu makini sana
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Жыл бұрын
Shida ni RUSHWA INAYOLIANGAMIZA TAIFA HILI.
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Heche hujawahi kuniferisha bando langu kwako linatumika ipasavyo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Tunachotaka na bandari ya zanzibar iingie humo ndani ya muungano kama hawataki muungano uvunjike kila mtu akae kwao
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Жыл бұрын
Viongozi kutoka Zanzibar sjajua Kuna shida gani
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 Жыл бұрын
Dah nashindwa niandike nini😭😭😭😭😭😭😭
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Niko pale katiba mpya haiwezekani kwa Tanzania
@iddishekomba8067
@iddishekomba8067 Жыл бұрын
Hii serikari ni ya majizi mpaka spika pia wako kimaslay Yao zaidi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Wakati huu spika hana tena kazi ya kupiga kura ya wazi ya kuwahoji wabunge kwasababu zaidi ya 95% ni wao wenyewe kwahiyo wanawaandaa wabunge wachache wa kupinga hoja huku wanaunga mkono hoja, mradi ionekane pana mgongano wa mawazo kumbe wote lao moja,ndio mana wamepitisha haraka mkataba tata wa DPW!
@benardbwakitare-wj1hr
@benardbwakitare-wj1hr Жыл бұрын
Tunataka ugombee urais 25 unatosha kabisa ni zaidi ya wabunge 280 wa CCM haya masosomu ni majizi tu,
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Жыл бұрын
POINT COPIED
@ezekielmlay8219
@ezekielmlay8219 Жыл бұрын
Hei viongozi wetu wa kidemokrasia. Kubainisha matumizi mazuri ya fedha na value for money, hebu tuwaangalie na mtazamo wa ofisi kuu ya chama chenu. Mpaka sasa ni ya muda gani? Hiyo ilijengwa kwa fedha za nani? Je ina hadhi value for money, value for time validity? Nini kinasababisha msubiri kujenga ofisi ya kisasa? Napima mawazo yenu kwa Tanzania ijayo endapo mtashinda uchaguzi huko mbele sana. Tuanzie hapa kwani mkishinda mtaturudisha nyuma sana
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 Жыл бұрын
Kwa hiyo yote aliyoyasema Heche haujamuelewa!,hivi kwa akili ya kawaida Ofis ndiyo maendeleo,hizi akili ndiyo zimeligharimu Taifa,maendeleo ya vitu ilhal Wananchi ni maskini,kuna utofauti wa Chama tawala na Chama pinzani,Chama tawala kina umri mrefu,kina uhuru wa kuchukua eneo lolote inalolitaka,kina uhuru wa kuchukua pesa yoyote inayoihitaji kuhusu ujenzi,lakini pamoja na hilo bado mawazo yao siyo ya kulipeleka mbele Taifa sana sana ni kujali matumbo yao,pamoja na majengo mazuri ya ofisi bado kilichomo humo au kinachofanywa hakina tija,ni sawa na jengo la Bunge letu,ni zuri kimuonekano lakini kinachofanywa humo ni vitu vya hovyo kabisa,lakini tazama jengo la Uingereza au Kenya ni la kawaida lakini kinachofanywa ni mambo ya msingi.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 87 М.
🅻🅸🆅🅴  JOHN HECHE ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA IFAKARA
44:24
The Problem With Elon Musk
42:46
Johnny Harris
Рет қаралды 4,6 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН