JOHN HECHE : UKIJA TARIME UTAKUTANA NA MOTO/ NILIPATA KURA 0/ ALITAKA KUCHUKUA ARDHI YETU

  Рет қаралды 196,429

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

Kutoka katika Maktaba yetu, haya ni mahojiano maalum na Mbunge John Heche, wa Jimbo la Tarime Vijijini kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, uongozi na utatuzi wa changamoto katika sekta mbalimbali.
Karibu uweze kutazama mazungumzo haya na bila shaka utaweza kuongeza taarifa, maarifa na ujuzi zaidi.
Host:
Charles William
Zembwela
#MsumariWaMoto #GoodMorning #NiUshindiTu

Пікірлер: 410
@leonard2121
@leonard2121 4 жыл бұрын
Mungu akuzidishie Heche,na natamani siku kukutana tuongee,wewe una mawazo makuu...
@everlastthebad4441
@everlastthebad4441 4 жыл бұрын
safi sna mh heche niko proud sana na harakat zako bila kutegemea
@raphaelnamama7570
@raphaelnamama7570 4 жыл бұрын
Kipindi kipo vizuri nmekipenda,nmependa heche anavojibu maswali na jinsi kijana Charles anajenga maswali yake namwona mbali sana Charles willium,kipindi kiruke kwenye TV ni kizuri sana.
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 4 жыл бұрын
Safi sana Mhe. John Heche ukweli ni kuwa yote uliyosema ni ya kweli na yamefanyika Jimboni
@abdulseif4093
@abdulseif4093 4 жыл бұрын
vichwa makini vya taifa hivi....... big up john heche nakuelewaga sana na hadi watawala wanakuelewa sana ila wanajifanyisha tu
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 4 жыл бұрын
Salute kmnda heche nakubali upo makini
@noelpiusi7271
@noelpiusi7271 4 жыл бұрын
Ushauri wangu kwako Heche, Jiandae kuchukua Uwenyekit CHADEMA TAIFA
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 жыл бұрын
Mbona mnamaneno kuigiza hivi mnachuki nambowe naheche mi nashindwa kukwelewa!!!
@nestor384
@nestor384 4 жыл бұрын
Tumpe uenyekiti chadema very bright
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 жыл бұрын
Naomba watu wa tarime vijijini Please please..endeleeni kumtumia Mh.Heche awemwakilishi wenu.your blessed Tarime rural 🙌🙌🙌
@msaikikijoma9156
@msaikikijoma9156 4 жыл бұрын
Mungu akulinde Heche yapo makubwa yanakuja kwa ajili yako jiandae kuwa M/kiti wa chama
@norbertkauzeni1324
@norbertkauzeni1324 4 жыл бұрын
Wangwe alitaka uenyekiti, walimfanya nini.
@webbydanagu9667
@webbydanagu9667 4 жыл бұрын
Heche akili kubwa sana 👏👏👏👏
@bashirimkilindi7252
@bashirimkilindi7252 3 жыл бұрын
Mr heche,lema,mboe,msigwa,na Mr sugu. Bigap sana
@allanreceeinstern7908
@allanreceeinstern7908 4 жыл бұрын
Hongera sana Mh Heche ...kuna halmashauri nyingine kama Mufindi zinamisitu na source nyingi za mapato lakin bado kuna vijiji havijawahi pata maji ya bomba wala dispensary tangu uhuru.
@TakasiSulle
@TakasiSulle Ай бұрын
Heche nakukubali kwa msimamo wa kuwatetea watanzania wanyoge bila woga hakuna wakushindana na heche mungu akusaidie
@danieldaniel-lb2on
@danieldaniel-lb2on 4 жыл бұрын
"Ukweli ni bidhaa adimu" Akili kubwa sana aisee!
@premierjoseph9871
@premierjoseph9871 4 жыл бұрын
Mwamba John heche Noma Sana Mura Mungu akutunze katika Hekima na Maarifa yote Nimekuelewa Sana
@monicachoga5878
@monicachoga5878 4 жыл бұрын
Hovyoooooo hooooovyooooo
@monicachoga5878
@monicachoga5878 4 жыл бұрын
Kwani ameshatoka alikokuwa
@angasoketch8063
@angasoketch8063 4 жыл бұрын
Safi sana kwa kufafanua shughuli za mbunge yani kiukwel nakupenda bure mbunge wangu,mungu akulinde na akupe maisha marefu
@danielsighis9953
@danielsighis9953 4 жыл бұрын
Good, mmefanya vizuri sana!! Kufanya mahojiano ma Heche tujue haliuyo nyuma ya pazia. Wasafitv afi kabisa. Asante Heche kwa ufafanuzi mzuri
@abuukiogwe6806
@abuukiogwe6806 4 жыл бұрын
Kama unaikubali cdm nipe like
@David-lr9zr
@David-lr9zr 4 жыл бұрын
my former secondary teacher,
@simionmagson6885
@simionmagson6885 4 жыл бұрын
Kama unamkubali Mh john suguta heche gonga like nyingi twende kazi,
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 жыл бұрын
MH. John Heche Tunakukubali sana, Yaani tuna kukubali wananchi wako kwa 100%. Tarime hakuna mwingine
@jeitangogo5626
@jeitangogo5626 4 жыл бұрын
mh heche kwenye kapen uje ututembelee kwetu makambako
@omarymtopa6971
@omarymtopa6971 4 жыл бұрын
Interview nzuri nimependa kutosikia maswali ya kuchonganisha serikali na vyama mmejikita kwenye personal issue safi sana
@ismailkatala4792
@ismailkatala4792 4 жыл бұрын
Kwa upande wangu Prof J na Heche ndiyo wabunge wangu Bora kwa kipindi hiki Cha 2015/20
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Huyu mbunge apiganiwe arudi bungeni Mimi c wa chama Chao Ila huyu jamaa anafaa Mtu makini sanaaa Nimemsikia vzuri Hongera sanaaa
@doubledoubleg7212
@doubledoubleg7212 4 жыл бұрын
Nakukubali mh Heche hadi nawaonea wivu watu wa tarime
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 4 жыл бұрын
Heche uko vzr mh Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu binafisi huwa ninakuelewa sana
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Such a classic interview!👌🔥🔥🔥😍
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 4 жыл бұрын
Zembela upo very technical kwenye maswali asee duh!
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 4 жыл бұрын
Wasafiii hongereni sanaa kipindi bomba mno mno sanaaa.
@mursalseleman2174
@mursalseleman2174 4 жыл бұрын
Ni sahih kabisa heche kujisifia lakin eneo lao la mkoa wa mara kijiografia ni mahali ambapo mvua haikatiki mwaka mzima inanyesha januar mpka januari miaka yote ukifika tarime na mara yote ni ya kijani hawana kiangazi wao kila siku wana lima hawana msimu. Ukiwa mwananch wa mara ukalia njaa labda utakua huwez kufanya kazi. Mara kuna kila kitu mi mwenyew wa dom nataman ningekua wa mara shida yao ni ukorofi mtu kuua ni jambo la kawaida tu tena ikifika ile kipindi cha jando ndo balaa
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 4 жыл бұрын
@Change Mindset weee...! Zembwela anajua kuhoji Kama BBC na anajua lugha ya usahili balaa...! Lakini pia anajua vema kuzungumza kiswahili Sanifu....
@josephshuma1975
@josephshuma1975 4 жыл бұрын
Safi sana heche tunaku supports sanaaa bigup sanaa
@nunguseni2971
@nunguseni2971 4 жыл бұрын
Heche is so creative human
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
CHADEMA naikubali, Heche nakukubali
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 жыл бұрын
Bado upo gizani utaelewa tu
@georgesteven5185
@georgesteven5185 4 жыл бұрын
Upo gizani wew ambae una mcrash mwenzio bila sababu
@japhetkavishe2347
@japhetkavishe2347 4 жыл бұрын
Bavicha ya heche ilikua moto sana nakumbuka
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
Ni kweli utalii ni kitega uchumi kizuri sana duniani... Tatizo la Tanzania kuhusu utalii bei za package kama All inclusive, yaani flight, transfer kutoka Airport hadi Hotel na chakula na vinywaji.. Ni ghali mno kuliko nchi nyingi duniani.. Kiufupi mtalii kutoka ulaya ni Rahisi kwenda Marekani mara 2 kuliko kwenda mara moja Tanzania.. Ukiangalia huduma na quality ya Marekani iko juu sana.. Au ni rahisi kwenda Morocco, Tunisia hata Egypt ni rahisi kuliko Tanzania... Tunatakiwa wahusika wajipange vizuri.. Bora faida kidogo lakini unauza sana.. Kuliko faida kubwa lakini unauza package chache.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Tatizo wahusika wamekosa ubunifu ndiomaana tunajikuta tunapata watalii wachache wakati sisi ndio wapili kwa vivutio Duniani.
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
@@issackchalahani1235 Bei zetu ni za kukomoa, hatujui mtu kabla haja book holiday anafanya window shopping, wapi rahisi, watalii wengi kutoka hapa wanaenda Portugal, Spain, Morocco, Tunisia, Egypt, Mexico, Miami na kadhalika.. Mimi mwenyewe Natamani kuja Bongo lakini ukiangalia Bei unakata tamaa.
@mkalimala3564
@mkalimala3564 4 жыл бұрын
Hakuna watu wana hela.....wewe ndo huna mbn wanakuja na kurudia rudia....
@freddymdassa
@freddymdassa 4 жыл бұрын
Shida ya wabongo ni dhana yakwamba ulaya mahela yapo njenje. Kwakweli fedha ulaya ni ngumu kuliko bongo. Ukimuona mtalii kaja ujue kadunduliza kwa zaidi ya miaka mitatu kupata hiyo fedha yakuja Africa. Tuwe wafanya biashara tuache uchuuzi! Hayo mabei ya tamaa yanadidimiza uchumi wa nchi yetu.
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
@@mkalimala3564 Nafikiri tunaongea lugha tofauti... Kuuza package 100 sio sawa na kuuza package 1,000..Biashara ni somo
@marwalzzy5983
@marwalzzy5983 4 жыл бұрын
Kama we we ni Wa tarime vijijini gonga like
@nicholoskunju8265
@nicholoskunju8265 4 жыл бұрын
Safi sana kiongozi bora
@petermtongoli7368
@petermtongoli7368 4 жыл бұрын
Tarime moja mura
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 4 жыл бұрын
Mbuge wetu 🤝🤝
@mjukuuwakaswaga1808
@mjukuuwakaswaga1808 4 жыл бұрын
God bless John Henche
@stevenjames3722
@stevenjames3722 4 жыл бұрын
Uko vizuri, umetulia sana katika kujibu maswali siyo hivyo tu hata katika utendaji kazi wako uko vizuri.
@ndarogamba191
@ndarogamba191 4 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Heche...Nakuombea urudi iwe mvua au Jua...! Mashangaa Maccm hayajafika hapa na matusi/dharau zao💪💪💪👏
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 жыл бұрын
You sahihi
@usanifumaandishi7519
@usanifumaandishi7519 4 жыл бұрын
Kuna mijitu bila vurugu hamjisikii, kwahiyo umenawashwa wanaccm kutulia?
@annelyimo6065
@annelyimo6065 4 жыл бұрын
Heche nikiongozi shupavu tunampenda sana✌✌✌
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 4 жыл бұрын
Unasema Magufuri ndio kaleta mbunge lakini heche anasema halmashauri ndiyo imefanya Nani mkweli bila Shaka mbunge Ndiye mkweli
@macmassau1994
@macmassau1994 4 жыл бұрын
Serikali haijapeleka maendeleo jimboni Tarime vijijini ni usimamizi mzuri wa viongozi walioko madarakani kwa kile kipato cha ndani
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 жыл бұрын
@@macmassau1994 sasa mbona kipindi anamlaumu yule Mbunge anajiita Bwege mlilalamika. Tunataka watendaji kama Heche
@ramadhanilianje4048
@ramadhanilianje4048 4 жыл бұрын
Unaweza ukawa kijana ukawa hopeless na unaweza ukawa mzee ukawa hopeless
@gavanashy3197
@gavanashy3197 4 жыл бұрын
Big up kamanda heche...uko timamu
@thomashudson1083
@thomashudson1083 4 жыл бұрын
Namuelewaga sana huyu mbunge wangu.
@charlesmassawe4119
@charlesmassawe4119 4 жыл бұрын
Personally John Heche, ni kati ya wabungo wanaoni inspire sana, jamaa yuko smart bana hata kama upande wa pili hawataki kukubali, ukweli utabaki kuwa kweli. Wasafi TV big up for a nice interview, God bless you.
@daudcharles8732
@daudcharles8732 4 жыл бұрын
Weewe toka hapoe ulipoe hicho sio chama no saccosr
@vickyshoo1812
@vickyshoo1812 4 жыл бұрын
@@daudcharles8732 fible minded
@masuaugustine7503
@masuaugustine7503 4 жыл бұрын
Yupo vzuri sana uyo mwamba mungu ampe uzima wa mlele ccm wanamtambua vema
@josephshuma1975
@josephshuma1975 4 жыл бұрын
Heche ni kingozi makini sana big up sanaa
@angasoketch8063
@angasoketch8063 4 жыл бұрын
Daah huyu jamaa hakuna kama yeye tarime na hatuwezi kumuacha heche ndiye mbunge wetu daima
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Mhe, John Heche wewe ni China cha Pua aisee! Jehovah awe na nyote katika Chama.
@mursalseleman2174
@mursalseleman2174 4 жыл бұрын
Naibu waziri wa tamisemi waitara ametangaza nia ya kwenda kugombea kweny jimbo la heche kupitia ccm wote watoto wa mara 😂 bila shaka patachimbika
@kennethmahenge7719
@kennethmahenge7719 4 жыл бұрын
i always appreciate this man......✌✌
@RichardStephen-xc7yc
@RichardStephen-xc7yc Жыл бұрын
Huyu ni hazina kubwa Sana Kwa Chadema ana msimamo si wakuyumba yumba,Mungu amsaidie afike mbali
@benjatz1705
@benjatz1705 4 жыл бұрын
Tunamkubal Sana heche ndo kila kitu kwetu ukija tarime kumbuka kuvaa barakoa
@hamismwangi4642
@hamismwangi4642 4 жыл бұрын
Haya mahojiano yalifanyika kabla ya corona
@kinglabanziku9100
@kinglabanziku9100 4 жыл бұрын
Chadema juu
@hechechacha4032
@hechechacha4032 4 жыл бұрын
Hakuna historia iliyo kawaida kila jambo ni kujituma
@immamlowe7151
@immamlowe7151 4 жыл бұрын
Mimi ni mtanzania sipendi mashindano nchi majirani. Rais wa kenya na tanzania wamalize
@edwrdpaulo4483
@edwrdpaulo4483 4 жыл бұрын
Sana kamand uko vzr
@husseinbinde9421
@husseinbinde9421 4 жыл бұрын
Wasafi aiseeeeeee.........
@lusekelorichard2787
@lusekelorichard2787 4 жыл бұрын
Hongera sana kwa kipindi kizuri, kiukweli mnakuja vizuri sana. Ningependa kushauri, tuko kwenye janga kubwa sana la Virus COVID-19. Ningeomba taadhali iwe hata katika hayo maojiano yenu, isitoshe tu kusainitaze peke yake bali hata mask zingevaliwa hapo ingependeza zaidi.
@ndeletwaswai3530
@ndeletwaswai3530 3 жыл бұрын
Heche nakupenda mpk naumwa jamani nawaonea wivu Tarime daa mna mwanaume wa maana mpk namtamani woyoooo,vivaa Chadema
@emmanuelngongomi7869
@emmanuelngongomi7869 4 жыл бұрын
Huyu jamaa namuelewaga sana aisee well done heche nakumbuka uliwah kuwaruhusu watu wa tarime kuchimba dhahabu kwa muwekezaji aliezingua😆😆😆😆
@MamaSean07
@MamaSean07 4 жыл бұрын
Awww ! Ukore bhuya mura weito ❤❤
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 4 жыл бұрын
Nimependa sana kipindi chenu
@smootkizy_jr
@smootkizy_jr 4 жыл бұрын
Yupo vizuri huyo mkurya bana wakuryaaaaaaaa hoyeeeereeeeeeeeee.kama we mkurya gonga like hapo 👍👍👍
@emmanuelnimbasa1754
@emmanuelnimbasa1754 4 жыл бұрын
Sawa kamanda Heche! Mungu akubariki.
@katusmanumbu2311
@katusmanumbu2311 4 жыл бұрын
Mh Heche nakuelewa sana! Ww ni jembe letu Tarime!
@rajabomar6236
@rajabomar6236 4 жыл бұрын
Heche mmoja ni sawa na waupande ule 10
@lellomwacha9531
@lellomwacha9531 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mku
@emmanuelobwago7695
@emmanuelobwago7695 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka yang heche unatujenga kifikra pia unatetea sana wanainchi hongera sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@kamalissabig2429
@kamalissabig2429 4 жыл бұрын
M4C Chadema for Life
@Babangida_Hd
@Babangida_Hd 4 жыл бұрын
Wasafi mnafanya kaz nzur sana.
@vickyshoo1812
@vickyshoo1812 4 жыл бұрын
Mungu akutunze na kukutetea pamoja na fitina na magumu mnayopitia urudi mjengoni
@onyangodominick2898
@onyangodominick2898 4 жыл бұрын
Big up
@francisg2033
@francisg2033 4 жыл бұрын
Rusheni hiki kipindi kwenye Tv.
@festondilla3542
@festondilla3542 4 жыл бұрын
Nakulewa Sana achana nao wanapo Hama chama ndio waona kasolo watufanya watanzania Kama hatujuwi
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 4 жыл бұрын
like nyingi kwa heche
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 4 жыл бұрын
Good my.brothe nice job
@nelsonkyaruzi1482
@nelsonkyaruzi1482 4 жыл бұрын
Well presented
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Heshe, mimi ni Mukongo ila huwa na kufagilia sana, wewe ni chuma cha reli.
@somchamwita8502
@somchamwita8502 4 жыл бұрын
Uko vizuri kaka heche
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 жыл бұрын
God bless Heche and All Tarime residents together we can ✌️💪
@daimaelimichael2242
@daimaelimichael2242 4 жыл бұрын
Mbunge makini Sana mungu akulinde sana
@marryabdallah3336
@marryabdallah3336 4 жыл бұрын
Zembwela kazi nzuri xn mnayoifanya
@sethwilson4346
@sethwilson4346 Жыл бұрын
Heche ni Bright sana jamani
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 4 жыл бұрын
Saf sana brother heche
@mikapaul9457
@mikapaul9457 4 жыл бұрын
Waga nakukubali sana mungu akusaidie tena
@aceotz2579
@aceotz2579 4 жыл бұрын
Mlisha-sanitize kabla ya kuanza interview jmn😗😗😗😩😩😩
@rashidlengesela2880
@rashidlengesela2880 4 жыл бұрын
Aisee, huyu jamaa angekuwa chama sahihi nahisi Jimbo lake lingekuepo mbali Sana, yupo tofaut Sana na wakina mdee na akina sugu apo yamekuwa matusi na kejeri za ovyo ovyo
@macmassau1994
@macmassau1994 4 жыл бұрын
Chama sahihi ni hapo alipo kwani maendeleo hayaletwi na chama ila watu makini,hicho chama sahihi kina makumi ya miaka lakini kuna sehem nyingi bado wana shida ya maji hospitali shule barabara ba mengineyo
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 4 жыл бұрын
Safi kiongozi,usiache kuendeleza majukumu.
@bonifasbonara9323
@bonifasbonara9323 4 жыл бұрын
Heche jembe letu sioo lijuaalikali ccm
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 4 жыл бұрын
Chadema chama kizuri, wawakilishi pia wazuri!
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 4 жыл бұрын
Bahati mbaya mwkt wake anakiteketeza
@joeljackson9983
@joeljackson9983 4 жыл бұрын
Hongereni Sana wasafi nimesubscribe Leo channel yenu kwa uhuru wenu wa habari wakutoegemea upande. Si burudani siasa au Mambo mengine big up
@sylvestermagesa5697
@sylvestermagesa5697 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mwamba namkubali sana
@costansiakimaro8980
@costansiakimaro8980 4 жыл бұрын
Jamani rushen hikikipindi kwenye TV ilituone watanzania word mungu awabariki sana
@jacksonlema7244
@jacksonlema7244 4 жыл бұрын
Nimependa nimeona vitu tofauti katika mahojiano nimependa muda alio pewa asante .
@tgeofrey
@tgeofrey 4 жыл бұрын
Nyerere Anaijua Benders ya chuo Kira zimalindwa na vvibibi na Mapanga..
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 4 жыл бұрын
Good Idea Wasafi
@chichasam9032
@chichasam9032 4 жыл бұрын
Jembeee hiliiii
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 жыл бұрын
Hii interview iko good
@fadhilrajabu4035
@fadhilrajabu4035 4 жыл бұрын
Kila mbuge was chadema nikichwa aisee
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 жыл бұрын
Mbowe amefanya nini kule Hai? Heche ni kichwa mzee, sio kila mbunge wa chadema ni kichwa wewe
@superbosskijanamrmkinga517
@superbosskijanamrmkinga517 4 жыл бұрын
Super man💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥💥
@peterbujuchinyo5725
@peterbujuchinyo5725 4 жыл бұрын
Mko vizuriii
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 жыл бұрын
Heche yuko vzr namkubali
@magesatubeti269
@magesatubeti269 4 жыл бұрын
Safi Sana heche Ila Jimbo la manga hauji kwann tuna Barbara ya bisarwi to tarime mjini watu hawapiti kipindi cha mvua
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 127 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 295 М.
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 3,9 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 5 МЛН
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3,5 МЛН