HILI NDIO LILILOMKIMBIZA MTOTO WA BACHU MOMBASA | ELIMU KUBWAA HUNA MAADILI MEMA WW NI SWA N IBILISI

  Рет қаралды 22,893

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 138
@MohamedSwaleh-cv7wx
@MohamedSwaleh-cv7wx 11 ай бұрын
Shukran shekh
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 Жыл бұрын
Shukran ya sharif
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
Muhimu ujue kuna Alie kuumba,Dini nisawa na kichaka,kinachoishi aina tofauti ya wanyama wadudu,nakati ya viumbe hivi viko vizuri na vibaya,ajuaye ukamilifu wa mwanadamu ni Allah acheni matusi, na makosoano alo kamili ni Mola
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 Жыл бұрын
Yaan mtume swalla llahu alayh wasallam ataendelea kuzungumzwa na kutangazwa popote pale yaan nyie mawahab hata mfanye nini mnajisumbua tu mtume na sisi sisi namtume hadi kiyama kisimame
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 11 ай бұрын
maneno yako vyema lkn kusudio lako ni munkar. Mtume ﷺ atatajwa na kutakiwa rehma mpaka qiama, ila kitu kinachoitwa maulid ndicho kinachopingwa coz km ingelikua ibada bac cc hatuwezi kuwashinda maswahaba kwa ibada. KUA NA QAAIDA HIO
@saidimurisa4600
@saidimurisa4600 7 ай бұрын
Ameen ya rabb
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 10 ай бұрын
Tatizo la ustadh Muhamad bachu wakati wa munakasha alijinata na kumdharau ustdh said nakujiona kuwa Yupo juu….kumbe elimu na ushindani tofauti jamaaa alishajiandaa kumkwamisha!!! Nawalijua kuwa hatoboi na hicho ndio kilichotokea!!!! Ushauri tu tusidharau watu nakujikweza!!!! Nilishawahi kusema kwajamaa watu watwarika hujitahidi sana kusoma kitu na kuingia deep ( ukiwaingia kichwa kichwa watakusumbua)
@azizisingi7068
@azizisingi7068 Жыл бұрын
NAOMA MAWAHABI WANA MAKASIRIKO UTADHANI HII DINI NIYA BIBI YENU MAWAHABI ACHENI MAKASIRIKO SOMENI NYINYI MNASEMA BIDAA WAKATI NYINYI MNAGAWA TAWHIDI MARA TATU KAMA MAYAHUDI DINI HAITAKI MAKASIRIKO SOMENI MUELEWE BACHU ALISHINDWA KUJIBU HOJA MOJA TU MPAKA LEO BADO HAJAIJUA HADITHI MUNKARI.
@MohamedKapenya
@MohamedKapenya Жыл бұрын
Mawahabi eeee naomba kuwauliza hivi ni kweli mtume Muhammad s,a,w amefundisha tawhid tatu hadithi hiyo ipo ktk swahihi ya imamu gani muutamadu
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Kuna vijiji wanasalishwa na wanawake. Waja wa ALLAH SUBHANAHU WATAALA huko vijijini wahitaji Kalima Tukufu. Nyinyi mmekali, kejeli, istihizai na vijembe.
@yahyaayoub4999
@yahyaayoub4999 Жыл бұрын
Mbona wewe hujaenda? Na mtoto wa Bachu ameshadidia tu uongo wa Barzanje hujamweleza kuwa kuna misikiti wanasalishwa na wanawake? Si ungemueleza aende huko kwanza kuliko kukomaa kukataa kumsifia mtume ( s.a.w) acheni chuki zenu na mtume. Tuachieni mtume wetu tumsifu kadiri ya uwezo wetu. Nyinyi ngojeni siku ya mfalme wa Saudia ndiyo mkasherejekee
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
@@yahyaayoub4999 Ninatembea WALILLAHIL HAMDU, bara huko,kanda ya ziwa n.k. Na ndo maana nnakusimulia habari za huko vijijini. Sasa nnakushangaa unavyoniparamia...
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Mashall ah shekh wetu 😂😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Yani mukae ktk kikao ch kumzushia Mtume kisha wahudhurie Malaika😳 labda Malaika band😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Nenda wewe ukathibitishe kama ni uzushi. Usije KUJIKOJOLEA na weye. Kikao cha wasomi hio
@edyiddy4711
@edyiddy4711 Жыл бұрын
Unauhakika km kakojoa au ndomumezoea kuzusha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@edyiddy4711 kwani wewe ulikuwepo?.
@princefeisla3692
@princefeisla3692 Жыл бұрын
Leta istighfar hii ndio tatizo lenyu munajisemea munacho taka muhim maulidi yapingwe na hio project yenu ya suudia maulidi yatasomwa Hadi kiyama alafu istighfar hakuna malaika band omba Toba boss
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@princefeisla3692 HAWA MAWAHABI (UKOO WA SAUDI), SI NDIO WASHIRIKA WA ZAMANI WA EZRAELI NA MAREKANI NA WAMEHITILAFIANA KIDOGO TU KWENYE VITA VYA PUTIN NA MAREKANI AKATAKA MAFUTA ZIADA. NA HAWA WAYAHUDI SI KILIKUWA KIMEBAKI KIKAO CHA MWISHO KUUNGANA TENA NA EZRAELI?. MAWAHABI (UKOO WA SAUDI), WAMEJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA PEMBAGRASS. WAO MAWAHABI WANAVUTA MSHINDO KUTOKA UKOO WA SAUDI, WAKINYAMAZA UKOO NA WAO HUTULIA, WAKISEMA NDIO WATASEMA. MYAHUDI MWEZAO ANAMALIZA WATOTO WA KIISLAMU ( SPITAL NA MASHULE), MAWAHABI MBONA HAWAMPIGI RADDI MYAHUDI?, HUYO SHIA(IRAN) WANAEMPIGA RADDI KILA KUKICHA, NAONA NDIO ANAWAOKOA WAISLAMU SASA. MAWAHABI WANAFANYA NINI KWANI?
@muniraally4091
@muniraally4091 11 ай бұрын
Ih uh uh ah ah a aha aha haaaah haa a a alafu anakubali k a 😂😂😂😂😂 big laugh
@hamisikanyama984
@hamisikanyama984 11 ай бұрын
Rejea hujrat 11pia rejea annajim 32 alafu ukielea ALLHAH anasema nini uache kibr na utubie kwa allhah
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Hii n dini na cyo ubishani lengo n kutafuta hakki tu, acheni mipasho jibuni alau hoja 5 ktk zile 19 na km hazijibiki semeni tu tujue kua yule kijana yupo sahihi ili tuachane na haya mmb ya kizushi, na cyo mipasho hii n dini na sio tarabu nyie wazee wa piano🎹
@dulaseif5001
@dulaseif5001 Жыл бұрын
hoja zimejibiw ila kw elimu yako unaona hajajibiwa lkin kaa na ujuha wako
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
@@dulaseif5001 naomba unisaidie akhiy wapi zimejibiwa na nani ili niende kucheki namie?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Maulidi hayapo katika sunna zote 3 1-Kauliyyatun. 2- Fiiliyyatun 3- Takririyyatun Haya mliyesoma dini , Mtuambiye hili suala n kati ya aina gani ya sunnah? ktk dini yetu? au ni aina gani ya ibada? Au kufuata Hawaaaa za Nafsiii tuu???
@abduljecha7779
@abduljecha7779 11 ай бұрын
Hapa masheikh hamna hekima. Yaonekana hapa kwa Mohamed Bachu ukweli upo. Na nyinyi hekima hakuna. Kisha pia muiteni mumpe madhaifu yake apate elimu mbona imekua mirengo ya kisiasa. Hata wewe hakuna maadili kama huja tumia hikma katika daawa
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Mtu kasema ana hoja 30 za uongo ndan ya kitabu cha barzanji badal mvunje hoja mnauliza kuhus mtu sasa kwan alisem anakasoro za maumbile ya Barzanji😂fungueni kitabu km hmn hoja bc shibeni sio kumuita Ibilis alafu nyie mkimuit hvo mnaon nisawa na swawabu lkn yeye akisema huu ni uongo kwa ushahid bdala mthibitishe ni kwel mnasem kawatukana😂😂😂😂mtamsoma Bachu maulidin kila mwaka😂😂😂
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Mikojo ikamtoka hata majibu hayajaanza kupamba moto.
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Akamuulize mwalimu wake izo hoja
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@mohamedrashid7864 Mwalimu wake ni WALII NYAUUU🐆
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 Жыл бұрын
Ww inaonekana kichwa chako hakiko sawasawa kwenye kufahamu mambo bachu ameulizwa alete makubaliano ya wa watu wa elmu ya hadithi kuwa mtu akiweweka hadithi munkari mtu huyo huitwa muongo? Au maneno yale huitwa uongo? Zingatia hapo kwenya “AU”. Alishikilia kukimbia hiyo point ya au akajifanya haelewi alichoulixwa na akainuka baada yakuona swali limekuwa gumu. Sasa ww jibu kwa niaba yake kam unawexa maneno ya hadithi munkari wanawachuoni wa elmu ya hadithi wanasema ni uongo? Swali hili hakuna wahabi anayewexa kujibu mpka ngamia apite kwenye tundu la sindano.
@SeifbinAziz
@SeifbinAziz 11 ай бұрын
Mama zenu wameenda huko Palestine c mungalienda nyunyi kwanz kuma nendeni kwani mmezuiwa na nan
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
Akuna mwenye elimu kama ibilisi muongo we mzee mchee allah allah ndio mwenye elimu kubwa kuliko yoyote afu we pia ni muongo qurani ya onyesh ibilisi kashindwa na adamu Ali mzidi elimu Acha kupoteza watu adamu alikuwa na elimu kubwa koliko ibilisi ndio maana aka anguka alizidiwa elimu kisha akafany kiburi
@abdulali753
@abdulali753 Жыл бұрын
Wacha chuki
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
izo sio chuki anapotosha allah ndio mwenye elimu koliko yoyote kisha uyo ibilisi alizidiwa alimu na adamu ya weje leo aseme uyo mzee kuwa ana elimu kubwa uwo ni ujinga
@aljahuur
@aljahuur Жыл бұрын
Huna ujualo mfuasi wa mayahudi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Mmh hawa watu ni wanafiq jamani, Daaaah! Wanafanana na Mafarisayo 😅😅
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Nenda na wewe kama bachu ukatoke mikojo tumjue nani mnafiki. Kikao cha kielimu hiko, mawahabi mtabakia na MAJUNGU tuu
@abdulali753
@abdulali753 Жыл бұрын
Heshimu Dini Sio mtu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
​@@hilalkhalfan1452wanafiki wakubwa kimyaa kuhusu palestina kila kitu bachu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
​@@abdulali753wanafiki wanatoka kwende dini Allah kawataja
@mailacamillius
@mailacamillius Жыл бұрын
Uko hovyo mno
@innocentmboya9386
@innocentmboya9386 Жыл бұрын
Tatizo waislamu mnajua kabisa hamna nguvu juu ya taifa la mungu lakini mnaanzisha vurugu
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 Жыл бұрын
Mataifa mengine ni ya nani? unafikra za kutawaliwa ulizopandikiziwa za ukoloni hadi leo?! Jiamini kwamba una haki sawa na mwanaadamu yeyote yule mbele ya Allah
@innocentmboya9386
@innocentmboya9386 Жыл бұрын
@@swalehejuma6611 nyie waislamu ni wajinga mtaendelea kupigwa tuu na hamna kitu mtafanya
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 Жыл бұрын
@@innocentmboya9386 vipofu wapo wengi duniani
@Alrisaalaturrahmahislamiccente
@Alrisaalaturrahmahislamiccente Жыл бұрын
wewe unaetetea Israel wewe ni mkristo au myahudi? bila shaka wewe ni mkristo unajua muizraili hatambui yesu Wala ukristo wako?? kama hujui basi jua Leo unaju kabla 1947 hapakuwa na inchi inaitwa Israel. hio nchi yote ni palestin lakini waingereza wakawaleta wayahudi ili wachukue hio ardhi ya warabu kwa nguvu hio ardhi kama ni ya israil(mayahudi) jiulize mbona Iko msikiti mkubwa wa waislamu ambao unaitwa masjid aqswa msikiti mtukufu
@Alrisaalaturrahmahislamiccente
@Alrisaalaturrahmahislamiccente Жыл бұрын
hebu siku Moja ukipatana na muisraili muulize kama anamtambua yesu akisema anatambua yesu pamoja naukiristo wako basi nitafute nikulipe shilingi milioni hamsini lakini pesa ya zimbabwe kwa mama waizraili wao wanamtambua Musa lakini sio yesu afadhali waislamu wanampenda yesu.EWE NDUGU UNAEJIITA MKRISTO KAMA MYAHUDI ATAINGIA PARADISO KWA KUMFUATA MUSA BASI HATA MUISLAMU ATAINGIA JU YEYE PIA ANAMFUATA MUSA. NA KAMA MKIRISTO ATAINGIA PARADISO KWA KUMFUATA YESU BASI PIA MUISLAMU ATAINGIA JUU YEYE PIA ANAMFUATA YESU LAKINI KAMA MUISLAMU ATAINGIA PARADISO KWA KUMFUATA MOHAMMAD BASI ATAINGIA PEKE YAKE JUU HAWA WENGINE WOTE HAWAMFUATI MOHAMMAD.
@swaffaa12020
@swaffaa12020 Жыл бұрын
Elimu imeelzwa hapo YA fiqihi Na shariff mawahabi uzuri wenu lazima muangalie ili mupate kusoma muelewe
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Ndo kwaza niamini kuwa masufi ni waongo wa dini yetu uislamu wanapenda kusingizia mtume ()
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Uongo ni dalili ya unafiki. Kwaio muwahabi weye, Leo ndio kwanza uchukie sufi?
@MussaRashidi-ds6hn
@MussaRashidi-ds6hn Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 ww jahili wako wahabi huna hata mshipa wahaya uongogani Kila mkiekwa sawa kwhadisi kwa Aya kwa kauli zawana zuoni hamuelewi TU tatizo lenu kutopata walimu sahihi huwezi soma kwaajili usiubebe ujahili sio kweli mutakosea nyinyi Hadi mnakufa hamnarazi za mungu na mtume
@muhammadsheyba282
@muhammadsheyba282 Жыл бұрын
Nyinyi hamusomi ndio shida yenu akina bachu
@SeifbinAziz
@SeifbinAziz 11 ай бұрын
Ww humzushii mbn unapanda gari gar ambayo mtume ata kuiona hakuiona kenge ww
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂mmeanza Shobo mnamtukan alafu bado mnalalamika kawatukana cjui mnattaka nini hoja zake 19 mpaka leo hamjajibu kaz kumbadil majina .kauliza wanyama waliongea⁉️eti mmajibu kwan wanyama kuongea ni ajabu🤣 sasa ndo dalili hyo
@muhammadkassim6291
@muhammadkassim6291 Жыл бұрын
Hilo mumeshindwa nyie kujibu,
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 Жыл бұрын
Mm nimeona hoja zimejibiwa Utube.Labda hujaona au hizo dalili hujazikubali tu.Hata hivyo si ajabu maana hakuna anaemkubali mwenziwe sbb ikhlaas haipo.
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
​@@mzeerajab9154😂😂😂😂hazijajibiwa fatilia vzr majibu utgundua wanajigonga gonga maelezo ni mengi kuliko dalili majibu yote ni dhaifu hiv kwel jmbo muhim km hili linakosa aya au hadithi swahihi hata moja tu ✍🏼✍🏼ndugu shtuka ukitaka kujua majibu yao hayajitoshelez kila mmoja akisimama anasem jambo hilohilo ilikutia uzito lkn halijibiki. Huko mombasa ndio walisem njoo nahoja zako bora hata tanga zilifik 19 hazikujibiwa huko mombasa moja tu haikujibiwa Wanyama waliongea sikiliza bachu alikariri hili ndilo lilokua muhimu said hasemi kama NDIO au HAPANA . fatilia hkujibu
@HusseinPaula
@HusseinPaula 11 ай бұрын
Hoja ya kwanza wanyama kuongea amepewa hadithi pale akatakiwa athibishe yeye uongo wa imaam jaafar akashindwa akainuka sasa sijui ulitaka majibu gani?
@saddiqsaddiq6880
@saddiqsaddiq6880 Жыл бұрын
Acheni ujinga nyinyi Hamasisheni Waislam wakaungane na Palestin
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Ufalme wa pale saudia ni mayahudi wale
@bakarhamadhassan4484
@bakarhamadhassan4484 Жыл бұрын
WAISLAM TUNAFANYA NINI? MAKAFIRI KILA MTU ANALAKE KANISA HAWANA MALUMBANO .WAO LENGO LAO NI MOJA TU KUPINGANA NA UISLAM POPOTE WALIPO. SISI TUNA MIPASHO NA MATUSI WOTE MNAFANYA HARAAM. TUUNGANENI KAMA AGIZO LAKE ALLAH SWT 3 : 109. WAPALESTNA WANAONEWA MNATULETEA MIJADALA YA KIPUUZI.
@AhmednasirMohamed-le3ht
@AhmednasirMohamed-le3ht Жыл бұрын
Wachana wapuuzi wahabiya Wamebomu wayahudi hospitali wauwa zaidi ya 500 tuposteni vya maana
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u Жыл бұрын
Firkat Mina nnar
@fatmasuleiman2710
@fatmasuleiman2710 Жыл бұрын
Mbona mwamwita mwenzenu kama iblis kweli hamukutaka kuilimishwa hawako Sawa walonailmu na wasokuwa na ilmu SubhanaaAllah.
@ayubahmed9490
@ayubahmed9490 Жыл бұрын
Mtaacha kuswali kabisa siku za maulidi.watu wema muwe nyinyi wakata viuno? Mko na masheitwani matwariqa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Kikao cha kielimu hiko, kama na wewe unayo kichwani basi kasogee.
@edyiddy4711
@edyiddy4711 Жыл бұрын
Kikao chawakata viuno nakupiga vinanda
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@edyiddy4711 kama alivyokata viuno Bachu akajikojolea.
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Hawana lolote hawa wazushi wakubwa....
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@iddimohamed254 lakini dalili za kielimu KUJIKOJOLEA
@hklo687
@hklo687 Жыл бұрын
Mimi so msufi wala twarika wala msihia wala tabligh wala muhabi wala ahulsunaa Mimi ni muislam namuami ALLAH na malaika wake namitume yake
@fakijecha
@fakijecha Жыл бұрын
Nakunga mkono ndugu yangu Bada kuisogeza dini wezetu wanapigwa uko na kufa wao ndo kwanza Wanaka wanaongea usenge mtupu
@NuhuMohammed-nu6ni
@NuhuMohammed-nu6ni Жыл бұрын
Dini mmeifaham kupitia akina nani
@hklo687
@hklo687 Жыл бұрын
Kwa mtume wetu Mohamed swa __ lakini sasa baada ya Bismillah __ Kuna aya Ina sema kwenye Quran wa kala yahudi lays a annaswara allaa sheun wa kala nnswara laysa yahudi ala sheun __ sahii uislamu umefikia yule yukuambia mwenzake wewe hujui kitu Mimi Niko sawa na yule yumjibu mwenzake wewe hujui kitu baada ya hapo muislam na Muslim chuki je mtume Mohamed swa ametufundisha hivo ALLAHU ametufundisha na atakapo kuambia kitu mjinga wewe Salama juu Yako mbona hatufanyi hivo
@AbdulMwishekh
@AbdulMwishekh Жыл бұрын
We huna la maana ni bure tu
@hklo687
@hklo687 Жыл бұрын
@@AbdulMwishekh barakahllahu laka
@aljahuur
@aljahuur Жыл бұрын
Hao ni mayahudi hawana elelimu ni washenzi wa najid wanauwa ndugu zetu palestina wanajiita salafi wazushi wakubwa hawa wazushi wa tauhid 3
@abdulykahera4273
@abdulykahera4273 Жыл бұрын
Acha ujinga kaa darasani usome tauhidi imegawanyika mara tatu nenda ukasome mjinga we
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Maongo haya masufi
@lil_mo_salah_966
@lil_mo_salah_966 Жыл бұрын
nn mbya mbn mumetoa
@KombHaji-dr5pd
@KombHaji-dr5pd Жыл бұрын
lakushangaxa mawahabi nikama wajinga fulani au wapuxi fulani huitafr kuran kwa shahaazao wantia muili Allhb mtume hakufund twhd 3 Hakufundisha nk hawaseni wahab na yahudi ktu kimoya
@PastorEsngorowil
@PastorEsngorowil Жыл бұрын
We mkuu wa mkoa utakufa na wewe kama mbwa inaonekana huna huruma kabisa aliyeuwa kwanini asichukuliwe hatau kama alivyouwawa na wewe utawawa.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Aqsaa inavunjwa vunjwa nyie mpo na upuuzi tu, hivi unadhan mtume angekuwa hai angeungana nyinyi kwenye mizozo yenu au angeungana ma Palastina? Elimu hamna basi hata akili? ما أجهلكم يا جهلة؟
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Жыл бұрын
Hii_mizozo_na_kutukanana_ndio_,inazaa_mitihani_
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Acha uongo na ujinga wa kishia na usufi
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Жыл бұрын
Waongo wakubwa
@fakijecha
@fakijecha Жыл бұрын
Yan wezetu wanakufa yiny ndo kwanza munaka munajadili mambo ya kijinga kweli mayahudi na wanafiki zama zetu ni wengi kuliko waumini dini munaifanya km timu za mpira acheni ujinga na kuwapa makafiri njia yakuona uwislamu sio dini ya haki wajinga wakubwa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
wajinga hawa watu tupo palestina kazi upuuzi tu kisa maulidi wazee wa mpunga
@HusseinPaula
@HusseinPaula 11 ай бұрын
Wewe huko palestina uko mji gani au uko najidi
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Sawa na Iblis Nani huyo. MTAFAKARI KWANZA MANENO YENU. SABABU MASAHABA HAWAKUFANYA UOZA WA MAULIDI AMBAYO NDANI YAKE USHIRIKINA MTUMWA. CAUSE WATUKUFU WAKUBWA HAWAKUFANYA UOZA HUU. USHAURI WA BURE TUNGENI KITABU KIPYA AMBACHO HAKITAKUWA NA USHIRIKINA NDANI YAKE. HAPO NDIO TUTAONEKANA TUNA ELIMU KWELI. LAKINI TUKIENDELEA KUFUATA MVUA YA KAULI ZA UZUSHI KWA MTUME (S.A.W) KUTAKUWA NA HUKUMU MZITO TUNAKOENDA.
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Жыл бұрын
Hujitambui, kasome lugha, soma nahau n.k
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
@@omaryjumas6327 MASAHABA hawajui Nahau!!!!!! Wewe ni kama popo. Acheni Uchafu HUO JAMANI tunapita Tu hapa duniani. Sunna hamuzitendi mwakimbilia Aamal za kishetani. Hapa NI Sunna hatuzungunzii Lugha wala balagha. Kumbe ndio njia mnayoipitia Nahwi. Kwanza ukweli. Shekh ABDALLA SALEH Farsy kawararua kuliko Bachu mdogo. Yeye kapasua hasaa. Kadhi wa Kenya. Mulimfukuza Tz. Talent. Leo hawa wengine mashekhe Ubwabwa mwingiii
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Kaulize kwanini Bachu alikimbia
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Mtu wenu ndio alikwama anaogopa kwenda mbele hakwendeki Kufru tupu. Bachu alitumia Vitabu na ushahidi. Hakuna suala la KIELIMU hakuna Tu. Katik elimu hakuna suali la kijinga. Yote yawe ya KIELIMU. Tokea ulimwengu uumbwe haijawahi kuulizwa, meaning halipo. Mnajuilikana mnapindisha kutoka ktk maudhui kuvuruga. Infact hamuna ELIMU ya hoja Bali ukaidi mnaongoza. Uovu utadhinda wema. Ivi nyny muwashinde MASAHABA Kwa akili. Tena kijana WETU kautia aibu Uislamu kumbe NI MTU WA Mazumari na Magoma. Hafai hata kumfuata ktk swala.
@kombomakame9541
@kombomakame9541 Жыл бұрын
SI Kila alichofanya Mtume kwamba na sisi tufanye. Mfano Mtume alienda mbinguni, je na wewe umeenda mbinguni?. Mtume alibashiriwa Pepo akiwa Duniani lakini akifanya ibada mpaka akivimba Miguu, je! na wewe umefanya ibada mapaka umevimba Miguu?. SI Kilajambo ambalo Mtume kama hakifanya na sisi kwamba tusifanye au na tukifanya ni makosa. Mfano. Mtume hajawahi kusimulia Historia ya mazazi na maisha yake lakini sisi tunasimuliana Historia ya mazazi na maisha ya Mtume Muhammad na sifa zake kama yalivyosimuliwa katika Qurani na wanawazuoni wanaojua sira ya Mtume. Kwa hio Maulid ni kitu ambacho kipo SI uzushi na anayepinga Maulid ni KAFIRI.
@SeifbinAziz
@SeifbinAziz 11 ай бұрын
Ww humzushii mbn unapanda gari gar ambayo mtume ata kuiona hakuiona kenge ww
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 1,8 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
Рет қаралды 26 М.
BACHU BAADA YA KUMJIBU SHEIKH AFUNDISHWA NA MWANAMKE ZANZIBAR
17:57
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 32 М.
HABARI HII YA PAUL MAKONDA MCHANA HUU YATIKISA DUNIA,,WENGI HAWAJAAMINI
8:18
UKIMUONA NI KAMA CHIZI LAKINI MANENO YAKE NI YA BUSARA
4:03
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 142 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 1,8 МЛН