Ndo sheikh aliebakia tanzania 🇹🇿 shafi s.s.p masha'allah Allah akuifadhi
@azamsaid525617 сағат бұрын
Shekhe alobakia Tanzania ni Shekhe Salum MSabaha!!, Zanzibar
@salumsimai64210 күн бұрын
Mungu akupe nguvu na elimu na maaarifa ili uisimamie na kuielimisha jamiii sheikh shafii na doctor sule ukubali haqi usifanye kibri ni vazi la Allah
@AliMohamed-w3b4 күн бұрын
Jazaakaallah Sheikh Shafi, umefafanua kushibisha
@feisaldesign415610 күн бұрын
Ustadh shafii jazakallah lkheiry Allah akulipe khery inshallah
@sizzle_tz11 күн бұрын
Shida ya Sule hapendi kuelekezwa anajikuta anajua kila kitu ktk dunia hii 😢😢😢😢😢
@Sofi99-u6o10 күн бұрын
SHUKULAN KWAAJIRI YA ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU WENYE MANUFAA KWAKO NA KWETU KWAAJIRI YA ALLAH❤❤❤
@SuleimanJuma-dv8gt10 күн бұрын
Nakukubali sana Sheikh Shafi.
@abdisalat64976 күн бұрын
Fantastic! Good explanations. Dr. Sule sometimes anabugi bila kujua. Mtume hakuwa na jini au shetani anayemtuma bali aliwafundisha Qur’ani pekee na jini anayezungumzia Mtume wetu SAW. Si majini anayozungumzia DR. Sule. Lazima arudie kwenye kitabu au mswahafu aelewe vizuri. Sijui ananielewa!
@kassimmanaramalika859210 күн бұрын
Allahu Akbar Yaa Rab'bi shukran sheikh wangu kwa darsa .doctar sule anataka kumchafuwa Mtume wangu kwa sababu ya maji ya upako?! Subhaana Llah ah! imeniuma kweli
@louiskhan73726 күн бұрын
😂😂😂mshakorogekaaaa waislam iyo ndio inaitwa babeliiii tokeni Huko
@sayeedmsct425511 күн бұрын
ALLAH Akuifadhi sheikh shafii 😭😭Unatuelimisha katika kheri tambua tu masheikh wengi hawataki kuelekezwa huu ndio mtihani katika masheikh wengi
@aboubaqar-st9mj11 күн бұрын
_Allah_akuhifadh_sheikh_Shafii_
@sadamnzile-cq6oz9 күн бұрын
Ya Allah bless ustadh with jannah and knowledge inshallah 🤲
@mbwanasendaro470710 күн бұрын
Masha Allah jazakallahu khaira.
@SalehMussa-w4w10 күн бұрын
Shukran jazaka Allah kheri
@eddieeddie275511 күн бұрын
Vituko vyote vinatoka ktk watu wa Maulidi na mashekhe wao, Alhamdulillah kwa kuuacha usufi .
@nasoros.mgungo550210 күн бұрын
Sheikh kiliwasha ni Sufi?
@IbraFareed10 күн бұрын
@@nasoros.mgungo5502 MashaAllah
@mrishojuma469510 күн бұрын
We mjinga tu unaongea kitu ambacho hujielewi na uhabia wako
@eddieeddie275510 күн бұрын
@mrishojuma4695 ujinga ni kuabudu makaburi na kupiga maulidi .
@eddieeddie275510 күн бұрын
@@nasoros.mgungo5502 kiliwasha ndio nani?
@AlbertMakori-u2l10 күн бұрын
Hao wazee wawili mazinge Na Shule wanafaa kufungiwa Mitandao Yao ya kijamii
@basrmalone916810 күн бұрын
Darsa Mujarab maa shaa Allah
@Tupena-ov7xq10 күн бұрын
Asante Internet tutajua mengi kwenye uislam mambo ambayo yalifichwa.
@JamalAbdallah-t1y11 күн бұрын
Sule aendelee na uganga, ilmu ya uislaam bado sanaaaa
@nelson-cd7fr11 күн бұрын
SubhanaAllah ni ajabu Sana mhadhiri mkubwa kama Dr. Sule kutafsiri hadithi vibaya na kuendelea kuchafua uislamu tunamuombea Allah amuongoze katika njia ya sawa
@JESUSISLO89120 сағат бұрын
Naona kidogo kidogo Dr sulle akiokoka na kumkiri YESU shafii hana lolote ni kubwabwaja
@JamalAbdallah-t1y11 күн бұрын
Sule, Mazinge na waganga wengine wabaki kwny vilinge vyao, mambo ya dini wa waachie wenye ilmu.
@TreasureMagumba11 күн бұрын
Mazinge tena😢😢?
@Hamis-ks1sy10 күн бұрын
@@TreasureMagumba nae yupo pa1 na Sharifu feki
@TreasureMagumba10 күн бұрын
@Hamis-ks1sy kumbe
@Hamis-ks1sy10 күн бұрын
@TreasureMagumba mtihani sana amekuwa chawa saivi
@TreasureMagumba10 күн бұрын
@Hamis-ks1sy 😭😭Mungu amuongoze
@chamaibra596611 күн бұрын
Kasome dini sule ww na sharifu kila siku mnasumbua
@florindofarge702710 күн бұрын
Wanasumbua sana tens sana
@SaidiAmiri-y1t8 күн бұрын
Aslm alykm Warhmmatullah wabarakatu ninachokiona Kila muamba ngoma huvutia kwake Maoni yangu Wakae meza Moja watupe faida Kila mmoja aje na hoja lkn Kila mtu anauhuru ktk hili
@raiszongo41367 күн бұрын
Ukimskia sule unaweza kuukimbia uislam,yule mganga ana mtusi sana mtume matusi ya rejareja as if mtume alikuwa ana abudu shetan, shekh shafii anamfundisha sulle kama mtoto mdogo
@JosephChai-u1h9 күн бұрын
Mumpokee yesu muepukane na hayo ibilisi amewafunga minyororo
@konandawise455010 күн бұрын
Amepokea Hudhayfa ibnul yaman anasema watu walikua wakimuuliza Mtume ﷺ kuhusu kheri na nilikua nikimuuliza kuhusu shari kwa kuhofia isinidiriki , nikasema ewe mtume wa Allah hakika sisi tulikua kwenye ujinga na shari,basi Allah akatuletea hii kheri , je baada ya hii kheri kuna shari? Akasema "Ndio" , nikasema je baada ya hio shari kuna kheri , Akasema "Ndio na ikiwa na dakhnu (moshi) , nikauliza na ipi dakhnuhu (moshi wake) , akasema watu wanafuata uongofu sio uongofu wangu ,nyie mtayajua na kuyapinga , nikasema je baada ya kheri hio kuna shari,? Akasema "Ndio maduaati (walinganizi ) kuelekea milango ya jahhanam , yeyote atakae waitikia(wafuata) watamuingiza humo (jahanam) ,..... Mpk mwisho wa hadith..
@JeremiahJustine-b3o10 күн бұрын
Waislamu wa tz uislamu hamuujuhi warudishieni waarabu dini yao
@MustafaMagala7 күн бұрын
Nflai sheghe shafii
@azamsaid525617 сағат бұрын
Tanzania nzima Shekhe alobakia ni Shekhe Salum Msabaha Zanzibar !!
@jordanissamunena17029 күн бұрын
From Drc namkubali saaana
@majaliwaking450010 күн бұрын
Wanafanana sauti sule na shafi
@bibleknowledge-b1y10 күн бұрын
Majini wame andaliwa moto na wote wenye mahusiano nao(gene_tic zao).. wanaokubali kitabu Chao..
@alhadajjmohammedsmith904210 күн бұрын
Kwani Kufundisha Qura'an Majini ni Kuwatumia Majini wakupe Utajiri/Kufanya Ushirikina (Ukafiri) ?! Kumbuka/Reje Mtume amesema Jini wake amemsilimisha/Mwema Si Muasi/Si Muovu (kwamaana ni Muislamu). Kwani Mtume alikuwa haelekezwi Mema na BinAdam/Majini?! Kuelekezwa Mema Si Lazima iwe Kuletewa Pesa/Utajiri kutoka Kwa Majini kama ansvyoseka na Kuamini Sule na WA mfano wake 🙌
@khalifa_kuchi10 күн бұрын
Dr sule umeingia ktk upande ambao huna elimu nao, kwel uwezekano wa kumfundisha jini upo ila huwez kua na jini by nature hlf ukamsilimisha hemu fahamu vzr maandiko usije ukanukuu k2 ambacho baadae utakuja kuingia ktk dhima...
@AlyAly-dp7iv10 күн бұрын
shekh shafi sule kwa sasa atuko nae tena ktk imani yetu yuko n imani nyengine ya kishirikina kabisa
@aishahazary409710 күн бұрын
Huyu mganga na mshirikina angeendelea tu na ushirikina wake kwa njia anazozijua yeye.Kulikoni kuhusisha uislam wetu na mambo yako ya kiuganga.ALLAH akudhalilishe kama hutatubia na kuacha uchawi wako.
@joshuajohn853311 күн бұрын
Nyie Endeleeni kukaa kwenye huo Udanganyifu wa Imani ya Uongo. Mmemkata Kumwamini Yesu Kristo alikufa akafufuka ili muokolewe. Mnaipinga kweli ya Mungu saa inakuja utatamani kuokoka haitawezekana Tena milele.
@slymsameer541511 күн бұрын
Kwani wewe unaumia nini kama moto tutapata sisi waislam sasa inakuuma nini
@Fear_Allah39411 күн бұрын
Huyo Yesu Mungu mtu?
@Zuwenamachela10 күн бұрын
Wewe kafiri kaa kmy hata huyo yesu mwenyewe humjui ungemjua yesu ungekuwa muislam usingekuwa kafiri
@Goshi-ov2wy10 күн бұрын
Usisikilize mgogolo WA nyumba isiyo kuhusu, wewe kafiri, hii Ni sehemu ya waislam
@Answering-missionaries-kenya11 күн бұрын
Huyu sule amechanganyikiwa
@Wastara00110 күн бұрын
Nyie kwanza 1. Isomeni hiyo hadithi kiarabu 2. Msifasiri aya wala hadithi kwa akili zenu. Ridini kwa muhadithiin mjue waliifasiri vipi hiyo hadithi
@Al.habeebAl.habaaib9 күн бұрын
HAYA NDIO MADHARA YA KUKOSA AJIRA. WAHADHIRI WOTE WAMEGEUKA KUA WAGANGA NJAA. TENA WASHIRIKINA. DAH
@ahmadSeif86010 күн бұрын
Jamani mitandao inatupotosha, tukaeni Kitako kwa mashekhe tusomeni, hapa kwenye mitandao ni biashara tu, Lau kama sio biashara bas hakuna mtu ambae engefungua media na kupost ubish wa kitoto kama huu!! Shafii maneno mengi tu hapo ila point hujaifafanua.
@AlbertMakori-u2l10 күн бұрын
Mazinge alikua akaipinga vikali Marita ya mwamposa kumbe yeye ndo kachanganyikiwa Na shafii usipo soma kuutetea uislam,waAllahi wengi basi watartadi Na kujiunga Na Dini ambazo Hasina mwelekeo
@Ruu97410 күн бұрын
Akusema ivo alisema wakwangu anipeleki katika maovu we mashetani washakutawala endelea na ushirikina usitusishe kumbe sule dini aijui
@abiabi935310 күн бұрын
Ustadh shafii ametoa maelezo mazuri lkn ameshindwa kumuelewa ustadh sule. Ustadh sule alichokuwa anadai ni kwamba shetani wa mtume alikuwa na faida kwa mtume. Je ni kweli?
@NuhManje7 күн бұрын
Kuwa na akili mzee acha kukubali kupotezwa kirahisi kwa sbb ya Mapenzi ya mtu. Sule Anafundisha watu kwamba yafaa kutimia majini na kuwafuga
@AbubakarAlly-th6op10 күн бұрын
Sure ni mjinga sana kwenye dini sure dini huijui kaa kimya kila unavyoongea unaharibu zaidi mala utetee ushirikina mala nyota yaani dini huijui alafu eti unajiita sheikh labda sheikh wawajinga
@ZablonLameck5 күн бұрын
Sulle Yuko vizuri maana anasema ukweli WOTE wa vitabu vya kiislamu
@shabanihugo833210 күн бұрын
Huyu bwana sule tuliwa tahadharisha waislamu mapema ,mkasema ni wivu sasa mmeona
Huyu sule atuondokee huko pumbavu, yeye ndo anatufanya waislamu tuitwe dini ya majini, wewe sule quran inasema mwenyezi Mungu hakuumba majini na watu isipokuwa wamuabudu yeye leo hii iweje mtume muhammad s.a.w afundishwe na majini hebu tuondokee upuuzi huko
@muddathirkassim240710 күн бұрын
Wajua Sule ywapenda sana kutetea hiz habari zamajin kwasababu yeye ywawatumia majin nakunasibisha majin yake na Dini YA ALLAH,,ywapenda sana siatumia tu majini wake bila kunasibisha na dini
@TreasureMagumba10 күн бұрын
@muddathirkassim2407 atumie majini kwa ujinga wake asihusihe dini bhan
@hajiurio927411 күн бұрын
Acha uongo Sulle waachie wanazuoni hiyo kazi , We endelea na kuitafuta dunia kwa Uganga
@wakeshojana10 күн бұрын
Waislamu msipate taabu na mizigo ya dini ..... Yesu anawaambia Matayo 11:28 “Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha".
@maulidimuhani9 күн бұрын
Kama Mungu unayemuamini wewe kashindwa kumuokoa mwanaye yesu, hata kasulubiwa na Wanadamu, je ataweza kuwaokoa Watu WA Dunia mzima😢😢😢.
@wakeshojana9 күн бұрын
@@maulidimuhani Ndugu Maulidimuhani.....imani yako ni sawa na mhalifu mmoja aliekwenda jehanam baada ya kumtukana Yesu kwenye Luka 23:” 39 Mmoja kati ya wale wahalifu waliosulubiwa naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Kristo? Jiokoe na utuokoe na sisi.” 40 Yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akisema, “Wewe humwogopi hata Mungu! Wote tumehukumiwa adhabu sawa. 41 Adhabu yetu ni ya haki kwa sababu tunaadhibiwa kwa makosa tuliyofanya. Lakini huyu hakufanya kosa lo lote.” 42 Kisha akasema, “Bwana Yesu unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.” 43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kweli, leo hii utakuwa pamoja nami peponi."
@wakeshojana9 күн бұрын
@@maulidimuhani Hauna tofauti na mmoja wa wahalifu aliyemtukana Yesu kwenye Luka 23: 39 Mmoja kati ya wale wahalifu waliosulubiwa naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Kristo? Jiokoe na utuokoe na sisi.” 40 Yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akisema, “Wewe humwogopi hata Mungu! Wote tumehukumiwa adhabu sawa. 41 Adhabu yetu ni ya haki kwa sababu tunaadhibiwa kwa makosa tuliyofanya. Lakini huyu hakufanya kosa lolote.” 42 Kisha akasema, “Bwana Yesu unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.” 43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kweli, leo hii utakuwa pamoja nami peponi.”
@wakeshojana9 күн бұрын
@@maulidimuhani Imani yako ni sawa na mmoja wa wahalifu aliyemtukana Yesu na swali kama lako!! Luka 23: 39 Mmoja kati ya wale wahalifu waliosulubiwa naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Kristo? Jiokoe na utuokoe na sisi.” 40 Yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akisema, “Wewe humwogopi hata Mungu! Wote tumehukumiwa adhabu sawa. 41 Adhabu yetu ni ya haki kwa sababu tunaadhibiwa kwa makosa tuliyofanya. Lakini huyu hakufanya kosa lo lote.” 42 Kisha akasema, “Bwana Yesu unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.” 43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kweli, leo hii utakuwa pamoja nami peponi.”
@chapchap-oz1ou9 күн бұрын
@@maulidimuhani Imani yako ni sawa na mmoja wa wahalifu aliyemtukana Yesu na swali kama lako!! Luka 23: 39 Mmoja kati ya wale wahalifu waliosulubiwa naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Kristo? Jiokoe na utuokoe na sisi.” 40 Yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akisema, “Wewe humwogopi hata Mungu! Wote tumehukumiwa adhabu sawa. 41 Adhabu yetu ni ya haki kwa sababu tunaadhibiwa kwa makosa tuliyofanya. Lakini huyu hakufanya kosa lo lote.” 42 Kisha akasema, “Bwana Yesu unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.” 43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kweli, leo hii utakuwa pamoja nami peponi.”
@OthmanIbraheem-g4v10 күн бұрын
SURE ANAYEJIITA DOCTOR.,,FIRDAUS TAPELI NA MAZINGE ASIPOJIREKEBISHA BASII TUU WAKAE KIRINGENII NA KUSAKA PESA HASWAA MAANA WAMEJIWEKA KIMASRAHII HASWAA
Dr. Sule anako elekeya ipo siku atatuambia vitu vya hovyo sana inabidi akanywe upesi
@JumaNongwa11 күн бұрын
Sule either hajui dini kabisaaa au anafanya kusudi kwa maslahi ya upumbavu wake kawa kama mkristo kupindua pindua maandiko kwa maslahi yake
@TreasureMagumba10 күн бұрын
Dr anajua vizuri Sana anapindua maandiko kwa maslahi yake
@moodyhassany89288 күн бұрын
Sule ni mshilikina mkubwa ambaye anamzulia mtume muhammad sw uwongo mchafu kisa visenti vya kidunia
@saidmohamed65439 күн бұрын
Wew sulle soma Hadith vizuri na usimzulie uongo Mtume kasema atakayemzulia uongo Mtume makao yake ni motoni wew sulle kama hujui bora ukae kimya kuliko kuropoka kitu ukijui usizue uongo kwa Mtume S .A w
@omari-vo7dy2 күн бұрын
Jivunze dini vizuri...ilmul Hadith huwezi jua wewe sule
@AlbertMakori-u2l10 күн бұрын
Huyu dr Sule si mwislam Bali ni mwislam Kwa Jina kama inavosema quran40:40
@isakwisamwamlenga10 күн бұрын
Kiukwelii dini ya kiislamu ni ya mashetani na ndio viumbe wa kwanza kupokea uislamu kabla ya nyinyi binadamu waislamu
@deluxermahyono52908 күн бұрын
Sijaelewa yaani Mtume ndo kamsilimisha Jini KishaJini baada ya kuijua Dini kutoka kwa Muhammad likaanza muelekeza Muhammad mambo mema akili yangu inakataa katakata hii kitu
@hassangalgallo849610 күн бұрын
Mungu nisaidie siwezi fuata dini ya Majini
@ashrafnuru64029 күн бұрын
Ndivyo mnavyodanganywaga tangia utotoni nyie endeleeni na dini ya walevi, Mashoga, wazinifu kisha ety tunabariki ndoa
@piusnkwale2 күн бұрын
Amen
@clemenceleonard10896 күн бұрын
Katika watu ambao awapindishi maneno ni Dr Sule
@saidmohamed65439 күн бұрын
Huyu sulle kwenye dini ni mweupe kabisa hata suratul fatiha hajui kusoma vizuri huyu sulle anajificha katika uislam lakini ni mganga mshirikina anawatumia majini kupata pesa na maslahi ya Dunia Tena anatumia kigezo cha Mtume Muhammad alimtumia jini hajaelewa Hadith ya Mtume hajasoma dini sulle ni mganga wa kienyeji tu anajificha kwenye uislam ili wajue ni sheikh kumbe mshirikina tu
@alwiyiynmission282010 күн бұрын
Wapo WAISLAM WANAOWEZA KUSEMA HADITHI HIYO SI SAHIHI,AMA MAUDHUI YAKE MUNAKOSEA. TATIZO KUBWA WAISLAM WEEENGI WAMEAMINISHWA KILA HADITHI ILIOMO VITABUNI NI SAHIHI........SASA HAYO NDIO MADHARA YA BAADHI YA HADITHI. AMA SISI WAFUAS WA AHLULBAYT,LAZIMA HADITHI TUZIPIME
@suleimansamweli73168 күн бұрын
Waisram mnachekwsha na pia mnahudhunisha😂😂😂😂😂
@UmmyHafsah10 күн бұрын
Ww dokta sule unatetea ugali wk.acha kupoteza watu
@salumsimai64210 күн бұрын
Shida ya doctor sule anajisomea tu vitabu kwatafsiri zilizoa andikwa kiasi ambacho makusudio na maaarifahapati maaana hana mwalim kama mtume saw alikua na mwalimu ambae jibril ww nani ujisomee tu?
@crisantisindani38309 күн бұрын
Kumbe ndiyo maana ndacha alisema🤣🤣🤣🤭
@TheAlman11 күн бұрын
Huyu sule kwan siafanye tu uganga wake atuachie Uislamu wetu
@paulmushi242811 күн бұрын
Akuchie dini gani wakati Uislamu na uganga, majini, Pete, maji, mafuta, Uislamu na ushirikina ni kitu kimoja
@TheAlman11 күн бұрын
@paulmushi2428 paulina bado upo kumbe habari za siki nyingi
@Fear_Allah39411 күн бұрын
Ushirikina ni kuabudu viumbe na vtu km unavyoabudu ww mtu/Yesu
@Hamis-ks1sy10 күн бұрын
@@paulmushi2428 kaa kimya wewe kafiri
@hakimyusuf60410 күн бұрын
Sule nenda ukaague Wacha kutupoteza
@Burange66610 күн бұрын
Njaa zinawasumbuwa mashehe fake wa Bongo kaeni na ujinga wenu mnakufuru mashehe nendeni mkasome siyo kutangaza uongo.
@abuushakiraddausiy866610 күн бұрын
Doktar sule akili imefeli
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch10 күн бұрын
Huyu Shekh Sule siku hizi kapatwa na nini
@ShimaKilairo9 күн бұрын
Wote majini ndugu zao akuna dini apo
@maulidimuhani9 күн бұрын
sule anafuga majini, maanayake ni Mchawi na Mshirikina kabisa, maana huwezi miliki jini kama hujamshirikisha Allah hasa, kwa masharti Utakayo kubaliana nayo na majini.
@HappyatHome-bn8wm8 күн бұрын
hawa matapel wa dini.. huyu mganga tu..
@paulmushi242811 күн бұрын
Yaani wewe Shafii mwanafunzi wa sule ni wakumkosoa Sule !! Kweli jini Karin anakukosesha
@abuujibriltv523311 күн бұрын
Ni mwanafunzi wake wa biblia siyo masomo yote
@Hamis-ks1sy10 күн бұрын
Sule hana mwanafunzi zaidi ya bible hana mwanafunzu hata mmoja wa qur an maana kusoma hajui ni jaahil kama wengine
@Hamisisalumu-wt7vx11 күн бұрын
Unajuwa katika aya jambo ndo unajuwa kuna wajinga weng awana ereem ndoma shekhe kishki alisema wasome tuh alhadu hakika awatoweza hakika wataponda tuh shida eremu awana wajinga tuh
@princematumbo10 күн бұрын
Huyu Sule msenge kumbe
@mrishojuma469510 күн бұрын
Naomba kuuliza ni Aya gani inayosema uganga ni Haramu?
@AlbertMakori-u2l10 күн бұрын
Hao wazee wawili mazinge Na Shule wanafaa kufungiwa Mitandao Yao ya kijamii
@alwiyiynmission282010 күн бұрын
Wapo WAISLAM WANAOWEZA KUSEMA HADITHI HIYO SI SAHIHI,AMA MAUDHUI YAKE MUNAKOSEA. TATIZO KUBWA WAISLAM WEEENGI WAMEAMINISHWA KILA HADITHI ILIOMO VITABUNI NI SAHIHI........SASA HAYO NDIO MADHARA YA BAADHI YA HADITHI. AMA SISI WAFUAS WA AHLULBAYT,LAZIMA HADITHI TUZIPIME