Mtakakatifu Gemma muombezi wetu utuombee mama wa Mungu Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@ReaganLimbaya2 ай бұрын
C'est magnifique ça ❤🎉 j'aurais besoin de copie pour que je commence à m'entraîner. Je suis en R.D.Congo.
@gompoddl39582 жыл бұрын
Listening to from Nigeria. Beautiful music and moves. God bless Sisters
@verotura20413 жыл бұрын
Nimependa uimbaji huu na utunzi wa wimbo wenyewe😍😍
@yohananesto Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nany masista muendelee na moyo huo wa ukarimu
@stevenalfred19653 жыл бұрын
Hongereni sana mungu awabariki sana watawa wetu...Wimbo mzuri na uimbaji mzuri pia hongereni sana.
@annabruno60472 жыл бұрын
Mtakatifu jema msimamizi wa palokia yetu nimefarijika sana kusikia wimbo hiii🙏🙏🙏🙏🙏
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Ongereni sana masista wa kwaya ya Mtakatifu Gemma kwa kazi njema ya utume mwenyezi Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@davidwanjoni63813 жыл бұрын
Anytime naingia KZbin I first have to watch this,,,mbarikiwe sana❤️❤️❤️🤭
@st.camillusspecializedclin87753 жыл бұрын
Asante Mt. GEMMA kwa sala zako umenisaidia mengi kupitia mkombozi yako.. huu wimbo umenipa raha sana na kunifanya nimrudishie sifa Mungu mara dufu..
@pendojuma80753 жыл бұрын
Sala zake zinapatikan wap
@RoSe-yy2nf2 жыл бұрын
Proud to be a Roman Catholic Love from UGANDA
@amourwcwchia Жыл бұрын
Asante kwa wimbo huu wa kupendeza na kukuza imani. Mungu azidi kuwabariki. Najivunia kuwa Mkatoliki ❤
@jeanfrancoisngom39922 жыл бұрын
J'ai vraiment la joie au cœur. J'aimerais sincèrement avoir la partition.
@victoriathawbroi31163 жыл бұрын
I came across this song on KZbin wow great.... love you sister...from India
@honestkimario72363 жыл бұрын
Hongereni sana masista wa Mt. Gema Nawakumbuka sana kwa ushirika wenu wakati nikiwa masomoni Dodoma. Daima nitawaombea kupitia Mt. Gema na Bikira Maria ili siku moja mumuone Mt. Gema na Bikira Maria mbele ya uso wa Mungu
@yvonnekoffi37112 жыл бұрын
Très belle chanson et très belle chorégraphie très belle voix que Dieu vous bénisse abondamment
@victorinoussene Жыл бұрын
L0
@dominickmaganga6142 жыл бұрын
Mungu awabariki sana masister wetu wimbo mzuri wa kumtukuza mungu nimefarijika sana
@gemmamark31652 жыл бұрын
Wimbo hua unanibariki daima! Mimi naitwa Gemma pia so ninyi ni vijana wangu! Nawapenda sana masista wa St. Gemma Galgan Dodoma ❤️
@aviaarchard58563 жыл бұрын
Mbarikiwe sana masister Mungu azidi kuwa nanyi ktk utume wenu
@kobelokolelo44403 жыл бұрын
Hongereni sana tena sana katika utume wenu. Mungu awabariki. Tuzidi kuitangaza injili na kuishika imani yetu. Tuliongoze vyema kanisa. Mama Maria mama wa Mungu utuombee
@gracyvarghese43053 жыл бұрын
God bless you loving sisters. Lovely spiritual song make mind happy.🙏🙏🙏💙💙💙🔥🔥🔥🌹🌹🌹
@josephzammit84833 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fHvFYqtpd9SCrLs
@perpetuahmungai59883 жыл бұрын
Hongereni Masista was Mt. Gemma. Wimbo mtamu kweli. Holy Trinity, you never disappoint, congratulations and thank you.
@kaigamutongore87913 жыл бұрын
shukrani saaaaaaaaana. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu uendelee kuzitazama kazi zetu
@sweetymanka48213 жыл бұрын
@@kaigamutongore8791 nice kaka. naomba no yako ya wsp
@sweetymanka48213 жыл бұрын
saf sana
@calvorineachieng9233 жыл бұрын
Swadaktakweni
@hellenkyongo91503 жыл бұрын
My the almighty God bless you in the name of the father,the son and holy spirit......amen. I am one member of the holy Catholic Church ask of players from you
@julianangeki14673 жыл бұрын
Kazi nzuri mungu awe pamoja nanyi katika kaz yenu ya utawala,nimebarikiwa sanaaaaa
@elizabethnyuri7043 жыл бұрын
Peggy
@salalagonzales52033 жыл бұрын
Hii kwaya imeiva wajameni!!👍👍. Pongezi Sana wapendwa masista.
@nicolasgaspardmirville91012 жыл бұрын
Wowww congratulations my Sisters religious freedom Catholic church. Good Hilly family especially of me.😘😍😗
@amblessed35773 жыл бұрын
Shukruni kwa wimbo mtamu💞💞
@mwesigacredius98523 жыл бұрын
Niliona clip ndogo sana ya wimbo huu nikatamani kujua unaitwaje lakini leo nimeupata, asante sana HT kwakupakia nami nimeweza kupakua huu wimbo nimebarikiwa vya kutosha!!!!!!! UTUOMBEE MAMA WA MUNGU
@josephumwita44403 жыл бұрын
Sauti nzur mmenifariji sana
@SuzanMlowe-l9d Жыл бұрын
Hongereni sana shirika la MT.GEMMA GALGANI kwa kazi nzuri inayompendeza Mungu. Mnasauti nzuri sana zinazokamata masikio haraka na mnavipaji. Vikuzeni vipaji vyenu na elimisheni ulimwengu wa leo tunawahitaji katika ulimwengu wetu mtuangaze. Mungu awabariki na azidi kuwasaidia na awabariki katika maisha. Tunawaombea muongeze bidii katika maisha yenu ya utawa na msiikate tamaa. Tunaombeni mzidi kuongeza bidii katika hizi kwaya. LOVE YOU St.Gemma Sisters.
@pascalkambale36383 жыл бұрын
Kazi nzuri mungu azidi kuwapa nguvu ili muendeshe kazi mbele n'a shukuru
@mselumonica30463 жыл бұрын
Waooooooooo!!!!! Masista wangu mungu awabariki roman tuko juuuu
@claudinekodom67632 жыл бұрын
Hummmm, cette musique me transporte loin. Je ne peux pas compter le nombre de fois que je l'écoute. Merci infiniment, que l'esprit saint vous inspire davantage. ❤️❤️
@ponsianamataka46073 жыл бұрын
Asanteni Sana masista wetu kwa kazi nzuri Sana mbarikiwe. Jamani nafurahi mpaka basi kuona shirika letu hivyo. Mungu Asante.
@reginankallah55073 жыл бұрын
Nimewapenda hasa mbarikiwe kwa uimbsji mzuri❤
@ponsianamataka46073 жыл бұрын
@@reginankallah5507 Asante Regina Nkallah
@ivieaigbede39573 жыл бұрын
Thank you sweetheart of jesus I am so proud to know and having blessed mother Mary I thank you father son and the holy spirit for us for this great misery of holy spirit I am proud to be Catholicism .I love you all sweetie rev sisters carrying on with joyful dancing with our mother Mary AMEN
@josephzammit84833 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/a4nQlnqNj82JapY
@mpwapwanewstv82043 жыл бұрын
Hongera Sana masista St Gema, Mungu awajalie na mkiishi mnacho kiimba. RIP dada yangu mpedwa Dr.Gema Mkondoo, Mungu akupe pumziko la milele.
@catholicvibemusic31513 жыл бұрын
Mungu aendelee kumpa raha ya milele huko aliko Dr. Gema Mkondoo 🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
@marymaria80602 жыл бұрын
Sauti tamu za watawa wetu.be blessed servants of God.
@chemelilangat86133 жыл бұрын
Hongereni sana masista wenzangu. Kazi nzuri .hawa walelewa wanaimba vizuri kweli
@OpPo-ix7lg3 жыл бұрын
Saya seiman suster sy sangat bahagia dgn lagu dan musiknya tetap semngat dan tetap setia diladang tuhan aminnnn
@alphonseafa44723 жыл бұрын
Music is really the food for the soul. Nice song
@dedanbaran66013 жыл бұрын
Kazi njema sana jamn mimi katoliki si hamiii sio kwahizi rahaaaa jmn mpk tumboni
@queenmahona37333 жыл бұрын
Ukatoliki raha san
@dreamerboy49563 жыл бұрын
Ukatoliki raha sana🔥😍
@jarlathbyrne31463 жыл бұрын
Greetings from Dublin Ireland. Thanks for sharing this beautiful video. Keep well Jarlath
@marysona26633 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tunakushuru kwa makuu unayolotendea shirika letu. Hao ambao hawajavaa vitambaa, Ni wanafunzi wetu wa utawa, Wapo katika hatua tatu tofauti.
@njokimaina65018 ай бұрын
Hongera sana, ah! hata sijui niseme nini, namshukuru Mungu kwa wimbo wenu. Nairobi, Kenya 🙏🏾🙏🏾
@rosemaryfernandes32762 жыл бұрын
Very graceful n beautiful....dance by srs.n wonderful music too...v must also learn n dance...thanks
@sandralinares45453 жыл бұрын
No se que cantan pero las amo💕 Bendito sea DIOS! Nstra amada MADRE MARIA!! Desde Argentina 🇦🇷💙💙💙 Bendiciones
@lilianalara80072 жыл бұрын
Mungu atukuzzwe milele,kuimba ni kusali mara mbili🙏🏼🙏🏼🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀
@freddykulwa81902 жыл бұрын
Mungu wangu unilinde kanisa katoriki takatifu ramitume duniani kote uwape imani mapendo matumaini uvumilivu mama bikira maria ulinde mashika yote ya watawa Tanzania 🇹🇿 na duniani kote amina viogozi wetu amina tuwaombee wale wasio na waombenzi wangojwa wafungwa na asa maitaji muhimu apa duniani amina
@pasquelinekagwiria51563 жыл бұрын
God bless you my fellow sisters. This is amazing. Well balanced voices.
@anitachaparro31112 жыл бұрын
Qué la paz éste con todos ustedes que se SEA de amor de paz y la luz y CORAZÓN AMÉN de los padres y CORAZÓN AMÉN AMÉN AMÉN AMÉN AMÉN AMÉN ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@venantbashizi4363 жыл бұрын
Aksanti kwa kwaya yenu.Mungu wetu azidi kuwa linda, awape nguvu na sauti nyororo kila leo katika imani tenu. Amina! Nami muwe na ni ombeya neema mbali mbali.
@venantbashizi4363 жыл бұрын
Nawa penda sana kwa wimbo nyororo sawa na hiyi...Mungu wetu azidi kuwalinda kila leo.
@herbetsitompul92853 жыл бұрын
Very a beautiful voices God Bless... From: Banjarmasin, South Borneo Indonesia
@JOHARI-MEDIA3 жыл бұрын
Well come
@blandinakimbe40193 жыл бұрын
Ongera kina mama kwa kwa nyimbo nzuri nawapenda Mungu abariki nia zenu
@AmosiDeogratius3 жыл бұрын
Kaz nzuri kwenu holy Trinity 🔥🔥🔥🔥
@rebeccanestory71023 жыл бұрын
Nyimbo nzuri ,hongereni masista wetu
@RongnokmaOfficial.25772 жыл бұрын
Wow, so nice group dance, God Bless you all.
@liznjoroge37993 жыл бұрын
Lizzy: Mungu azidi kutukuzwa kupitia uimbaji ulio bora kama huu, may our Holy Mother Mary pray for us all! Good song sisters
@emmamiller81899 ай бұрын
I have listened to this song so many times. I love your beautiful voices. I wish I knew what you’re saying. God bless.
@catholicvibemusic31513 жыл бұрын
Nyimbo inakonga moyo sana👏👏👏👏💥💥💥💥
@venantbashizi4362 жыл бұрын
Baba Mungu wetu awa bariki na muzidi ku ombeya WaKongomani wa DRC wawe na amani ya kweli
@fortunataleonce80283 жыл бұрын
Watching from Ngudu Mwanza, Vocal sasa...nimependa zaidi mlivyoimba sauti ya nne...proudly catholic
@alexiskabeya86493 жыл бұрын
Mzuri
@jeancelestinloua10583 жыл бұрын
Merci bcp à cette chorale et à la soeur car nous sommes réconfortés et vie en coeur du Christ
@denisasiwanda18593 жыл бұрын
Hongereni xana masista wetuu endeleen kuhubiri injili
@janemwirikia68173 жыл бұрын
I love 💕 the sweet voices ,so amazing .
@sasinematinda92733 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana Hongera Mr Mashibe Uko vzr kwa Kinanda sana na utunzi wako ikiwepo Ubunifu wako
@elizabethwanyonyi6092 жыл бұрын
One of the sweetest songs that I have ever listened to. And those traditional dance moves are unique I try to dance but I can't. Which community in TZ has those dance moves? I'm sure St. Gemma is delighted.
@AnethPonera3 ай бұрын
Congratulations srs . Its a good and nice song . God wishes all srs blessings and successfully in your life .
@gregorysamike41753 жыл бұрын
¡Guau! ¡Qué tan buenas canciones para los preparativos del jubileo de la congregación de las mojas de Santa Gema!
@mrjoeid20112 жыл бұрын
Mhn dukungan doa smg rumah cpt laku bs bayar hutang2,nafkah keluarga,cepat dpt kerja bs penuhi kebutuhan rumahtangga.Amin.ThanksGBU
@florentinussamson36913 жыл бұрын
Proud to you Sister... from Indonesia
@josephinebenedict2453 жыл бұрын
King David danced before the tabernacle box with anxiety. This dance remembered his activities.
@josephzammit84833 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fHvFYqtpd9SCrLs
@stephenf.sikolia7588 Жыл бұрын
God thank you for giving me a chance to believing in your son Jesus Christ. Amen
@lessamshindi53443 жыл бұрын
Hongereni sana WanaGemma kwa kumuenzi Gemma wetu
@theresiakaruhanga11693 жыл бұрын
kazi nzuri sana sauti za kuvutia
@mosesmeesiokimeesioki153 жыл бұрын
I really like it GOD blessed you all.,
@josephzammit84833 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fHvFYqtpd9SCrLs
@solomonaster2 жыл бұрын
Amina Assante sana Mungu wangu kwa Mama wa Yesu na mama yetu.
@daudimhoha8943 жыл бұрын
Yesu.ni.mwema.amejaa.upendo.na.haki.haleluya
@fredricklego91622 жыл бұрын
What a touching song. May mother Mary continue interceeding for us
@pushpasangma82753 жыл бұрын
Wow lovely melodious voice.
@erlijnvillarin13653 жыл бұрын
Wonderful Beautiful thank you for your SPIRITUAL dances. It makes me feel us happy to hear the melody God bless you all Sisters
@sauxalajmi83603 жыл бұрын
Pas besoin de comprendre la langue, c'est juste wow ❤❤❤😍😍😍👏👏❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👏❤👏👌👌👏👌👏👏👌👏👌👏👌👌👏 bravoooo mes chères sœurs, que votre communauté soit remplir de paix et d'amour au nom puissant de Jésus Christ 👏
@germanapaulo66633 жыл бұрын
Naupenda sana wimbo huu 🙏🙏
@سارياليل-ث6ض3 жыл бұрын
Doreen mutoka Iove that song song of prayer good work
@Kingdon87653 жыл бұрын
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
@theresiakaruhanga11693 жыл бұрын
Nasikia sauti ya Mkasa kwa mbali👏👏👏🖐🖐🖐⚘
@isaacdiaz10513 жыл бұрын
Laza..medio..sye
@robinsonmikel47672 жыл бұрын
Mlm MINGGU
@robinsonmikel47672 жыл бұрын
Mlm MINGGU
@selvim71012 жыл бұрын
👍👍👍
@jayarajkrishnanj63652 жыл бұрын
Wonderful song praise God for it
@franstenortenor82973 жыл бұрын
Puji Tuhan Allah kita, Sang Hyabg Agung..Yesus Kristus. Halleluya.
@torress962 жыл бұрын
Είθε ο Θεός να δίνει πάντα υγεία σε αυτές τις αδελφές και όλες οι υπηρεσίες βοηθούν τους άλλους με ειλικρινή υπηρεσία
@سارياليل-ث6ض3 жыл бұрын
Doreen mutoka Iove that song song of prayer good work
@mamendewdioh61663 жыл бұрын
Que c'est beau!!! Puisse la Joie du Christ demeurer en vous et vous fortifie dans votre ministère. Oui dansez, chantez pour le Roi de Gloire 👏👏👏
@salalagonzales52033 жыл бұрын
Pongezi Sana wajameni, Mungu atukuzwe kwa karama zenu masista wapendwa
@salalagonzales52033 жыл бұрын
Hongereni Sana wapendwa 👍👍👏👏
@simonfernandes16912 жыл бұрын
Very very nice,
@immaculadoirin1383 жыл бұрын
Depuis Haïti🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹😍😍😍
@elebwemchapa-uh9bh Жыл бұрын
Wimbo uho nimzuri sana Mubarikiwe
@khairuhamis56752 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua watumishi wa Mungu.
@damitalok92752 жыл бұрын
God bless you all dear Sisters. God bless Africa
@endangsri15033 жыл бұрын
Bagus banget trimaks para suster. 👍👍👍👌👌Amin 🙏🙏
@francisthannikkal19033 жыл бұрын
Congratulations And Celebration of the Occasion God Bless All Soul Winners in the Name of Jesus Christ Amen Hallelujah SHALOM Gloria
@ivanfaustin97172 ай бұрын
Mama Maria mwombez wa kanisa utuombee Mama
@linebally47712 жыл бұрын
Dieu vous bénisse mes sœurs. Cette mélodie est tellement belle! Et les voix sont vraiment magnifiques !🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@margiedekock2719 Жыл бұрын
Beautiful...God bless you all and keep you protected....i am so happy listening to your singing....Praise God MargiS.A
@carolinemetreetas79762 жыл бұрын
God blessyou sisters, amazing.🙏
@catherineeffa85172 жыл бұрын
Beautiful and sweet voices. Congratulations my sisters, singing and dancing for God. Be all blessed.,🙏🏾🤗✋❤️
@magemagrita22653 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri. Ila mna ubaguzi sana sana hapo ni miaka ya 2004 sijui kama bado wapo wale waliokuwa wanaruhusu huo ubaguzi, nikikumbuka naumia tu hasa wairangi, nilipenda sana maisha ya mtakatifu Gema . Lkn ninyi srs mkanifanye nisifikie wito wangu ktk shirika lenu
@angelinakisimbi50823 жыл бұрын
Ubanguzi gani tena ndugu
@angelinakisimbi50823 жыл бұрын
Yakale yamepita na tazama sasa ni mapya sahau
@magemagrita22653 жыл бұрын
Wa ukabila
@magemagrita22653 жыл бұрын
@@angelinakisimbi5082 ni vigumu kusahau , ukiwaona watawa wanawabagua watawa wenzao kisa so wa kabila ya wairangi