Nimefurai sana kumsikia prof lumumba anazungumza KISWAILI fasaha namkubali sn nampenda sana
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
Big respect 🙌 prof Lumumba
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Prof PLO hongera mtu haishi uchu wa kukusikiliza. Pigilia nondo uko vizuri ktk kiswahili sio kiswa english
@LushidulaDula-np5md Жыл бұрын
Lumumba leo namuelewa Sana anakiswahili mizuli sana
@paulbugalinyuma59513 жыл бұрын
Hahahaa very nice Pro.kiswahili is some how not experienced by you
@LushidulaDula-np5md Жыл бұрын
Lumumba nisamehe Sana maana nimekuwa sikuelewi kwamda mlefu sana
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Afrika umimi na uwewe umetuzidi. Kila mmoja bora kuliko mwenzie. Magereza tumeyafanya ya kukomesha na kuzalilisha wanaokosoa tawala za Afrika. Paka akitoka pamya hutawala. Katoka mzungu akaingia vyama dola kufunga wanaodai demokrasia. Hata muwe na vigoda hata vya kioo ukweli ni huo. Vyama dola Afrika viache ukora wao.
@honestlorivilebisa84583 жыл бұрын
Kiswahili kinalaza yake jamani uwe unatumia kiswahili mzee wetu elimu hii unaijua na kw hivo ukitumia kiswahili utasababisha wengi kujifunza kiswahili na kiswahili kitakua na kuwa lugha ya afrika
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Jamani kina mzee Jomokenyata na wengine hawana historia kama ya Mwl? Tunaomba nao tuwaenzi ili.kufufua uzalengo kwa wananchi wao.
@honestlorivilebisa84583 жыл бұрын
Leo nimekuelewa adi najiskia rahaha akika mkataa kwao ni mtumwa acheni utani kiswahili nikitamu kuliko aya bia