mungu yuko pamoja nawe kwa kazi nzuri unayofanya ya kujenga mifumo bira uongozi
@williammkalagale98247 жыл бұрын
ubarikiwe. Rais. Wangu. nakupenda. mnoo
@frankbmganda22947 жыл бұрын
Mzee wangu sina cha kusema naendelea kukuombea mungu akuzidishie maisha marefu
@t1910j7 жыл бұрын
Proud of my president. Tupo pamoja nawe rais wetu.
@alfredycheyo88477 жыл бұрын
My president do your job....and we'll still together for hash condition but actually for everything!!!!!!Proud have you JPM
@avitimushi15417 жыл бұрын
Jackson Kaswahili Robert anadai TZS 7.626 bn, lakini hadai chochote. Huyu ni wa Ukerewe. Mwachano Ramadhani Msingwa anadai TZS 1.754 bn, lakini anadai TZS 2 m tu. Huyu ni wa Bagamoyo. Gidioni Zakayo anadai TZS 104 m. Huyu ni wa Mafia. Ama kweli, waliwao ndio waliosinzia.
@pascoalphonce29117 жыл бұрын
Haina haja ya kufanya Uchaguzi 2020 anatosha huyuhuyu!
@bramonbramy26482 жыл бұрын
Angali eni rais wetu wasamani. Johni pombe rais yawa nyo nge hatutapata mwi 'ngine labuda tuombeeni mungu majaliwa job. Ndugai makam wamaja liwa
@danielimeshack37127 жыл бұрын
Lazima tusonge mbele mi nnaiman nawe
@rahimumnyawii43737 жыл бұрын
Uchumi unakuaje?sijuangi mtufafanulie jamaani
@t1910j7 жыл бұрын
Tembea ujionee airport zinajengwa, madaraja, flyovers, barabara, majengo yanajengwa, ndege zinanunuliwa, etc.. Hayo yote huyaoni.