Baba wa ulinzi wa inchi yetu mwenyezi Mungu azidi kukuongoza na kukulinda katika kazi yako ya ulinzi wa inchi wewe ubarikiwe na mwenyezi Mungu muumba
@user-ts4zn1sx7h17 күн бұрын
We mvira Unadanganya sana mjinga mwe si ndo wale wale
@user-we5zc7xk8x17 күн бұрын
Uko unafanya kazi ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ts4zn1sx7h17 күн бұрын
Nilikuwa na swali ivi wabembe washawai kuwa na Mwami wa asili au ule mwami wa wami kma kabila zingine yule akisema wengine wanafuatilia kile kilichosemwa na Mwami au kila ni Mwami seemu yake au la huyo yupo au la na kma ayupo kwann asichaguliwe ili awe kwenye kata ya fizi kma wengn tunatakiwa tuwe nae Mana itatusaidia sana kwenye Commonotte yetu ya kibembe Ni maon yangu
@user-we5zc7xk8x17 күн бұрын
Baba nakupenda bure sauti yako yaonyesha upole na utulivu zidi kufundisha wenzenu kudumisha undugu umoja amani na usalama
@JanvierBishikwabo-l6c18 күн бұрын
Mungu wambinguni akulinde usiku namushana malaika wakuzunguke
@kennybruno336320 күн бұрын
Ongera my team
@shabanimnyachi915715 күн бұрын
Sawa
@ateleteleecibalungumwenelo142316 күн бұрын
Tâtà mvuluzi mfumu nzambi Kimbangu diantungunua mvika ya suekama molimo mosantu yala kuaku [3×] yala kuaku yala kuaku yala kuaku Songa Ntela Aku Kadi Wanungini Mu Nza Ya Mvimba Ingeta Matondo
@buregeyaahadi140115 күн бұрын
Asante
@CaslasbyAigleTokoossyepekeКүн бұрын
Mkombozi wa congo 🇨🇩
@Masengo-su3mf5 сағат бұрын
Ivi ubwari ilisha kuwa nchi?
@masumbukojamesmajaliwa820520 күн бұрын
🎉 🎉 🎉 🎉
@EMOYCYPRIEN14 күн бұрын
Bafulero baache Bangi sie babembe tunajua vitanabaache kutaya mzee William yakutumba
@user-ts4zn1sx7h17 күн бұрын
lba wabwari walisaidiag Wabembe sana na kabila zingine pia
@user-we5zc7xk8x17 күн бұрын
Wafuriru wavira tunawapenda marafiki zetu kwanini nanyi mtugeuke?jamani jamani ndugu zetu kwanini?tuungane tuungane wapendwa ugomvi wa nzige furahaa kwa kunguru kuweni makini mjiyume kutetea nyote inchi yenu ili sifa na utukufu viishi kwenu milele daima kwakuweza kupiganisha mvamizi wenu