HUAWEI MATE 60! Ni zaidi ya simu, ni TUSI kwa vikwazo vya MAREKANI - Na DJ Sma

  Рет қаралды 68,470

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

9 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 244
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 9 ай бұрын
❤ djsma wachina kiboko ukiona vimacho vidogo ila kama hawaoni mziki wao sio mchezo wametufanya kufatilia biashara na mvutano
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 9 ай бұрын
Hapo ndo unapokuja kuikumbuka ile concept ya History form one "Is the study of the past, present and it can help you to predict the future" Britain ndo alikuwa the world capitalist super power miaka ya 1800's lakini leo hii Ameshikilia Marekani. Kwanini alianguka ndo utakuja kukutana na sababu nyingi ikiwemo "London exhibition". Amerika nae siku zake zinahesabika.
@mwenendoassani9127
@mwenendoassani9127 9 ай бұрын
From Burundi end DRCong DJ SMAN ❤❤❤❤
@edwinmangwana950
@edwinmangwana950 9 ай бұрын
Bro umefanya poa kurudi hewani nikiwa Kenya Wallahi nakupenda kwa ajili ya Allah
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Like wise! Tuko pamoja na inshallah Allah atubariki sote🙏
@DigonzaKeimbe-uq1bx
@DigonzaKeimbe-uq1bx 9 ай бұрын
Zama Za Marekan Zimeisha..
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 9 ай бұрын
Hujui Dunia inavyokwenda ndugu.
@salimkisoma6513
@salimkisoma6513 9 ай бұрын
Safi sana DJ, mwana-mycar mwenzangu. Nondo zina ujazo wa kutosha hazina kukurupuka. Makala ulijipanga kabla ya kuweka hewani. Keep it up
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Team my car🙌
@celifpower4993
@celifpower4993 9 ай бұрын
Kiti cha heshima aidha cha ubabe haki kaliki milele bro Kama alivyo kwenda mwingereza ndojins atakavyo kwenda m’marekani aje mwengine akwende mwengine aje akwende
@samwelpalingo540
@samwelpalingo540 9 ай бұрын
All the way from Dar-es-Salam Tanzania 🇹🇿, u're good on Microphone 🎤🎙️.
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
🙏
@JohnTanzanite-rq9bj
@JohnTanzanite-rq9bj 9 ай бұрын
BiG UP DJ sma Have been listening u from SA bro thxs a lot's
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 9 ай бұрын
HUAWEI imetisha sana
@sultanmohammed8634
@sultanmohammed8634 9 ай бұрын
Natumia huawei Miaka mingi na sim nzur sana mim niko Oman. Time ya marekani na shoga zake west Ulaya zime kwisha imekwisha imekwisha tena imebaki ni ndoto ya Mchana kila kitu na wakati wakati wao imekwisha na tena una kwisha vibaya sanaaaa sanaaaa ubabe wao imekwisha wa kuchukuwa mali za duniani kt nchi kwa nguvu au Bure time hiyo imekwisha na muda wao ni chache sana imebaki 😂
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 9 ай бұрын
Waangamie kabisa kabisa
@edlumala9428
@edlumala9428 9 ай бұрын
Kaka Hongera sana, nimependa sana uchambuzi Waka, too detailed with references! Kwa bongo nakupa nambari 1 kwa umakini , ufasaha na uchambuzi bora! Big up bro
@bogoakassim8714
@bogoakassim8714 9 ай бұрын
BRICS is here!!
@diegoirumva4961
@diegoirumva4961 9 ай бұрын
Yes unaweza I'm from Bujumbura
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 9 ай бұрын
Duh noma sanaaaaa🙌🏾
@abdinoorkamau9745
@abdinoorkamau9745 9 ай бұрын
Thnx bro Nairobi loud and clear 🙏💪🙏💪
@emmanuelmichael4230
@emmanuelmichael4230 9 ай бұрын
Mkuu kwa uchumi wa China na marekani kwsasa ni kama pua na kamasi ila wa marekani wanaficha tuu ukweli uliopo.. Ila wamekaribiwa mnoo
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 9 ай бұрын
Nakuelewa sana from kigoma
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 9 ай бұрын
😂yenyewe shape ya hii sim ni moto🔥
@Logicentric
@Logicentric 9 ай бұрын
Nafurahi kuona kwamba wapo watanzania wachache ambao wanafuatilia na kujua siasa za ulimwengu. Maana wengi ni Simba na yanga tu. Bro nimependa makala zako. Unahitaji kipindi kwenye TV zetu za kibongo ili uwapashe hsbari wananchi maana wanazugwa na habari za mipira tu...Simba na Yanga.
@mohameddabwa7923
@mohameddabwa7923 9 ай бұрын
Nasikiza kotoka congo upo sahihi sana kijana unahitajika upate nafasi uje huku
@emmanuelenock4531
@emmanuelenock4531 9 ай бұрын
Am using huawei mate 40pro..sijawahi juta tumia huawei kwanzia huawei mate 8....looking forward for huawei mate 60 pro
@officialisaiah3979
@officialisaiah3979 9 ай бұрын
Kweri kaka burnaboy ni zaid ya diamond lakin harmonize anasauti nzuri 😂😂 Toka magetoni wachaneneni na wadosi.
@Amadiflix
@Amadiflix 9 ай бұрын
Ongera sana brow💪
@allyantony3037
@allyantony3037 9 ай бұрын
Uko vizuri broo
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
🙏
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 9 ай бұрын
The Ottoman empire 😎🔥
@nsazabahizirehema7897
@nsazabahizirehema7897 9 ай бұрын
My favorite HUAWEI ❤
@rashidhamad3308
@rashidhamad3308 9 ай бұрын
From Qatar very nice
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 9 ай бұрын
On the way kununuwa huawei
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 9 ай бұрын
Huawei for life
@jumachabanda2891
@jumachabanda2891 9 ай бұрын
Nimekuelewa kaka
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 9 ай бұрын
Yaani always Huawei ndo cm yangu pendwa always
@jamesoscar8911
@jamesoscar8911 9 ай бұрын
💪💯
@babaB-do5ee
@babaB-do5ee 9 ай бұрын
Unatumia wapi tz Hii au
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 9 ай бұрын
@@babaB-do5ee arusha
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 9 ай бұрын
Tamu sana natumia p30
@user-rh7ty7bt4d
@user-rh7ty7bt4d 9 ай бұрын
Uwawei nisimu Bora mno kupita ata app🍎
@gabrielkokolo4251
@gabrielkokolo4251 9 ай бұрын
Napenda china inachokifanya ni somo zuri sana kwa nnchi zetu za Africa kama Tanzania...
@dandara008
@dandara008 9 ай бұрын
somo kivip?
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p 9 ай бұрын
Vikwazo vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa Afrika
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
💯
@yusuphswaibu8532
@yusuphswaibu8532 9 ай бұрын
Safi tuna kufuatilia unatupatia madini ya uhakika Mungu akulinde
@francishastingsmshani2186
@francishastingsmshani2186 9 ай бұрын
Nakubaliii blood
@mwamba-
@mwamba- 9 ай бұрын
kiongozi nimesikia hakuna kifaa kilicho kwenye network ambacho kitakuwa na privacy 100. na sikia hata kizo ulizosema vitochi ni sawa na simu janja tu katika kulocate na kutrack..
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 9 ай бұрын
niukweri kaka🙏🙏
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 9 ай бұрын
perfect
@ashandiyunze1538
@ashandiyunze1538 9 ай бұрын
Good
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 9 ай бұрын
Nice content
@ashandiyunze1538
@ashandiyunze1538 9 ай бұрын
Vizuri sana
@AndrewWoiso
@AndrewWoiso 9 ай бұрын
Kitu chenyew kaka endelea kutuchambulia mambo
@maxiellmillians9pl278
@maxiellmillians9pl278 9 ай бұрын
Sure mwanang
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 9 ай бұрын
Wachina hawashindwi kitu kwa mchakachaka mwendo wa ngiri mkia juu
@brightsakafu
@brightsakafu 9 ай бұрын
Kama una simu 2 chukua simu 1 fungua camera then simu nyingine chini ( uwe kama una scan simu nyingine) utaona kuna mwanga ambao una waka kwenye simu iliyo chini ambao kwa macho huwezi kuona ila ukitumia camera ya simu utaweza kuona huo mwanga ni kama huo ambao unaonekana kwenye video ya dj. So jaribuni kwa simu zenu pia
@gibsonzumba
@gibsonzumba 9 ай бұрын
Huo mwanga una nnxx
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 9 ай бұрын
Bric's kiboko Yao,zama amerka zimekwisha, ni swarala mda
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 9 ай бұрын
Wa British walikuwa watu wakuu ilo nalikubali DJ
@ashandiyunze1538
@ashandiyunze1538 9 ай бұрын
Marekani imezidi
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 2 ай бұрын
Nikweli mimi niko muchen G unayosema
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 9 ай бұрын
Umeongea kwa hisia ila USA wanauhakika na kile anakisema na kama ilivyo timia ya Ukraine ndivyo Itatimia kwa china.
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 9 ай бұрын
Waafrica kazi yetu kuombaomba tu hatuna tujuacho wa kugundua kitu
@allfarms9539
@allfarms9539 9 ай бұрын
Kambenga H.K kutoka Gambosi -bariadi-Simiyu
@owenmutale8686
@owenmutale8686 9 ай бұрын
Huawei noma
@thuweinyussuf9295
@thuweinyussuf9295 9 ай бұрын
Natumia huawei mate 10 nasitaki kuiacha naipenda sana japo ni yazamani
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 9 ай бұрын
MIAKA 20 NI MINGIMNO. YAANI PALE ILIPOSASA TAYARI SAFARI YAKUPOROMOKA UMEANZA NA WASHENZIWENZA. HAWAWEZI KUAMKIATENA ,TARTIIIIIBU WANAANGUKA.
@severinmbanza4950
@severinmbanza4950 9 ай бұрын
Sema watauza China tu hizo cm zao na Africa, kwa Ulaya I phone atabaki kua juu sana
@Seluh_classic
@Seluh_classic 9 ай бұрын
Kitu hujui iPhone asilimia 80 zinatengenezwa china marekan ye anaweka system tu 😅
@cliffelviss5058
@cliffelviss5058 9 ай бұрын
Simu itabaki kua I phone
@ringicnation3722
@ringicnation3722 9 ай бұрын
Great +254
@idrisafadhili9029
@idrisafadhili9029 9 ай бұрын
Huyu mwamba anaongea kam anawajua wamarekani nje na ndani mzee wangu USA sio nchi kama unavyoidhania wee😂😂😂😂
@willesabasi9214
@willesabasi9214 9 ай бұрын
Kweli kaka ata siku moja ajawahi kuongelea anaijuaje marekani
@pascalerick3525
@pascalerick3525 9 ай бұрын
Sawa bro lkn sisi waafrica tuko wapi
@MerickFanuel
@MerickFanuel 9 ай бұрын
Acha kusema bwana asifiwe,sema BWANA yesu asifiwe....bwana asifiwe sio sahihi
@estercosta8545
@estercosta8545 9 ай бұрын
Ila BWANA ni mmoja tu,
@user-st3ws1ns5g
@user-st3ws1ns5g 9 ай бұрын
Sisi ndiotunakuelewa hawa mbuzi wanaosema korea bora kijeshi dunian achana nao.
@matanohassan9667
@matanohassan9667 9 ай бұрын
YAANI nilikumiss nikawa kama KATIKA MFUNGO ulipotupa Vitu vikali va Apple Na mate 60 nilijiona kama nafuturu MFUNGO uko juu Kaka
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
😂😂😂 Dua ya mwenye kufungua inakubaliwa, usinisahau kwenye dua
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 9 ай бұрын
Asante saaana mkuu ❤❤❤ +254 tunakupenda saaana 🔥🔥💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Mm pia nakupendeni sana, na ndo mana naendelea kufanya 🙏
@nicenice3881
@nicenice3881 9 ай бұрын
Broo nilikuwa naisubiri kwa hamu sana
@sumamatitu1204
@sumamatitu1204 9 ай бұрын
Hata mimi nakubaliana na wewe naunga mkono hoja👍.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 ай бұрын
✌️👊👍。
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 9 ай бұрын
China had anatangaza yup ktk hatua nyingn apo ameshapita uyo
@bisharsaid8640
@bisharsaid8640 9 ай бұрын
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 9 ай бұрын
nimekuelewa asante kwa ushauri wako na muda wako naomba ufuatilie na sim za cat smarter phone zipoje
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Sawa ntazitafutia muda nifanye
@SHIRAKERASBEAUTY-qh4pj
@SHIRAKERASBEAUTY-qh4pj 6 ай бұрын
Naomba ushari naitaji kununua sim so kati ya simu hizi nichagize sim yenye Camera nzuri na video Samsung Galaxy Note10+ na Samsung Galaxy s10+ na huawei p 40pro pls pls
@AmiBoy-vs2td
@AmiBoy-vs2td 9 ай бұрын
Mm Naamin Hao wame excute Android tu na kudevelop kernel Yao bas lkn sio Kwamba HarmonyOS Umekuwa developed from scratch kutengeneza os sio jambo rahisi hvyo hiyo ni Android iliochangamka tu
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 9 ай бұрын
😮zanzibar hujatutafuta wadau wako😢
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Ratiba zilinibana sana,ila nilibahatika kukutana na badhi ya wana FUSE
@gongotv8132
@gongotv8132 9 ай бұрын
Umezungumza vizuri lkn hauko kwenye mada, yani badala ya kuzungumzia ubora wa simu umeanza kuzungumzia issue za unyonyaji sijui nini....
@victorvancharlz9125
@victorvancharlz9125 9 ай бұрын
Cha msingi umepata darasa inatosha
@user-if7cq4qf3b
@user-if7cq4qf3b 9 ай бұрын
Kama una kichwa kigumu apa hauwez ambulia kitu
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 9 ай бұрын
Apo inabidi sasa uitafute iyo simu KZbin utaelewa vizuri apa kazi yake ni elimu yakukutoa utumwani
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 9 ай бұрын
Darasani ulikuwa unashika namba ngapi?
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 9 ай бұрын
Djsma USA wanasheria inayosema likitokoea taifa lolote likawa na Technology kuwaliko wao, Basi watakuwa na option mbili, Either ukafungue Hiyo Kampuni USA au ipigwe marufuku
@ahmadsleman5856
@ahmadsleman5856 9 ай бұрын
Hayo mambo ukisha zidiwa nguvu hayana kazi now dunia ina kwenda kwenye mabadiliko
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Mchezo mchafu
@hebertotanaely6607
@hebertotanaely6607 9 ай бұрын
Unaichambua U.S.A kiurahis sana kwenye technology, Taiwan ambao ndo best wa kutengeneza microship duniani ni wako upande wa U S.A.China hadi Leo wanalazimisha kuichukua Taiwan Sabab wanajua Kwa upande wa semiconductor hawawezi.all in all China nao wako vizuri na vikwazo vinaumiza wote ila China ndo anaumia zaidi
@maikojohny345
@maikojohny345 9 ай бұрын
Hizi simu zinapatikana Tanzania......?
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Ndio...ila Bado hazijafika
@justinesinkonde6437
@justinesinkonde6437 7 ай бұрын
Kwa hiyo blo unaniambia kuwa kuna kitu kitakuja na kuwa zaidi ya colona .
@bodyprymond3984
@bodyprymond3984 9 ай бұрын
Djsma nakufatilia nakufatilia nikiwa dubai
@patrickmsuguri
@patrickmsuguri 9 ай бұрын
Huawei at and t
@nabillsuede1465
@nabillsuede1465 9 ай бұрын
Kaká kipo Moaambique nimekutumiya mahobi yangu uja nijibu adi leho kuhusu kundi lá chechyn na kihogozi wake ramuzan kadrf
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Ntaijitahidi kuifanyia kazi majukumu yanabana
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 9 ай бұрын
amna kitu uyu jamaa anapenda kama kua against na marekani,, napenda sana kuskiza makala za ivi ila nikionaga logo ya S... sidanlodi
@aminishebwana8660
@aminishebwana8660 9 ай бұрын
Ume prove bro katka kuongea story
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 9 ай бұрын
Huawei zikovizuri hasa upande wa network
@daktarikiganjani4031
@daktarikiganjani4031 9 ай бұрын
Kudos Huawei.. They are back. Miaka mitatu tu wamekuja na operating system ya kwetu, chip ya yao, satellites messaging and satellite calls, eco system, car, smart watch, appliances n.k).. Naamini Huawei wataendelea kukua zaid. Walipigwa vita walipo kua wa kwanza kuja na 5G technology. Licha ya vikwazo, waliendelea kupambana.
@dalaliharunikigamboni6703
@dalaliharunikigamboni6703 9 ай бұрын
China ni wazee wa kukopi
@njiliclassic228
@njiliclassic228 9 ай бұрын
We jamaa dah tz cdhan kma Kuna kma ww
@jibrilmohammed3698
@jibrilmohammed3698 9 ай бұрын
Bro uwe unatuwekea na bei
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 9 ай бұрын
UBAYA WA WAMARECANI NA WAMAGHARIIBI WATAJIKUTA WAKO PPEKEAO SIKUYEYOTE ILE NA WATASEMA TENA WASEMASANA NA BADO.
@daviddeus6437
@daviddeus6437 9 ай бұрын
Music, dancing, movies, sports , lifestyle na huru pia kwo mchina kuja kuitawala dunia sahau katka maisha yako kwo waltufanya tuwapende wao na tuwaige kwaiyo chna awez kuwa mzur kama amerca na ulaya
@shomymponda1682
@shomymponda1682 9 ай бұрын
Technology war
@franssmoses6791
@franssmoses6791 9 ай бұрын
Bro mimi na kukubali sana unatufundisha vitu vingi ila naomba namba yako ya whatassp
@samsonhingi306
@samsonhingi306 9 ай бұрын
Sema anae simulia hajui, anaongea kama anamtongoza demu wake anaboa
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 9 ай бұрын
🇹🇿🇷🇺🇷🇺🇷🇺👍💪🙏👏
@kyungumedardmaurice8321
@kyungumedardmaurice8321 9 ай бұрын
Mimi hapa samsung😂😂😂😂😂
@AmiBoy-vs2td
@AmiBoy-vs2td 9 ай бұрын
Vitu vingine sio vya kutumia nguvu nyingi kufkiria Marekani ni Marekani kila Kampuni Yao imewekewa vikwazo vya kiuchumi sasa km wananguvu mbona wao wasiiwekei Marekani vikwazo ni wao kuweka wa tu
@kenedyinnocent
@kenedyinnocent 9 ай бұрын
Nakupat kwa uzuli nikiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@stevenmtalo4829
@stevenmtalo4829 9 ай бұрын
China 🇨🇳 kwenye uchumi wa dunia ❤❤🎉
@KizitoAnthony-tv3fl
@KizitoAnthony-tv3fl 9 ай бұрын
I phone 15 watu wanauana huko dubai ikiwamo na Beijing
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 9 ай бұрын
Wewe kama ni muafrika msapoti mchina achana na iphone
A Very British Way of Torture | Featured Documentaries
45:52
Al Jazeera English
Рет қаралды 1,2 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 132 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 48 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 31 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 132 МЛН