CHEKECHE: Ni ipi hatma ya mgogoro wa Niger baada ya ushiriki wa Ufaransa, Urusi, Marekani na ECOWAS?

  Рет қаралды 22,529

Azam TV

Azam TV

11 ай бұрын

Jumatatu ya Agosti 7 itakuwa ni juma moja limetimia la kutakiwa kuondoka madarakani kwa waliofanya mapinduzi nchini Niger.
Ni sharti lililotolewa na wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS, vinginevyo nguvu ya kijeshi itatumika dhidi ya waliompindua rais Mohamed Bazoum.
Lakini pamoja na jumuiya ya kimataifa kutishia kuiwekea vikwazo Niger ili kushinikiza utawala wa kiraia kurejeshwa madarakani, msimamo wa rais wa sasa Jenerali Abdourahmane Tchiani aliyefanya mapinduzi ni kwamba mambo yao ya ndani yasiingiliwe.
Ni hoja iliyoungwa mkono na majirani zake nchi za Burkina Faso na Mali waliosema wapo tayari kumuongezea mwezao nguvu kuwaadhibu watakaoivamia Niger.
Karibu katika Chekeche

Пікірлер: 98
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 11 ай бұрын
Viongozi wa kiafrika waache kujari masilahi Yao tu wao na familia zao. Yote haya yanatokea kwa sababu rasilimali za nchi hazisaidii jamii za watu weusi. Watu hawana Maji, hawana vituo vya afya, Shule matatizo, umeme shida. Lakini unakuta viongozi wamejilimbikizia Mali mpaka mpaka basi. Hawatosheki... Sasa hii ndiyo dawa Yao hawa viongoz wasiojaei wananchi wao.
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 11 ай бұрын
Mlango mpana unaotumiwa na wakoloni wetu ni demokrasia, demokrasia ndo inatumika kutunyonya rasilimali zetu,dunia imebadilika sn hasa baada ya mataifa mashariki yaan uchina na urusi kuwa nguvu. Kauli mbiu ya dunia ni win win kwa kila upande sio ubabe
@mohdchuma78
@mohdchuma78 11 ай бұрын
Mh!baloz benson uk vzr sn tn sn shukran.
@husseinally4932
@husseinally4932 11 ай бұрын
Hongera sana balozi kwa kuongea ukweli
@afropanorama4730
@afropanorama4730 11 ай бұрын
hawa ecowas mimi nawaona kama ni mmbwa wa wazungu wanaosubiri amri
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 11 ай бұрын
Nivibaraka bahazi yao
@JamesIbrahim-el4zw
@JamesIbrahim-el4zw 11 ай бұрын
Mpinga kristo huyo anakuja kutawala Dunia,dalili ni umoja wamakanisa,umeaza Kwa kuona wakiendesha ibaada pamoja hiyo diyo sanamu ya mnyama nifuatilie ujue zaid,nikupe mandiko,tusifubwe,
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 11 ай бұрын
Kuna kitu kinaitwa world coin unapewa laki 3bure
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 11 ай бұрын
Kila kitu ni sawa anaepaswa kupindua na apindue na anaepaswa kupinduliwa apinduliwe si mda wa kuabudu viongozi vibaraka wa kiafrika
@TheAbdallaissa
@TheAbdallaissa 11 ай бұрын
Kiukweli hiki kipidni nakipenda sana naomba kwanza muongeze muda na angalau kwa mwezi kiwe mara 3 mambo ni mengu duniani hususani Africa. Raymond hongera sana ndugu yangu 🙏🏿 kiongezwe muda hiki kipindi
@user-ic5rn4kc7h
@user-ic5rn4kc7h 11 ай бұрын
Huyo balozi hafai arudushwe kwann aegemee upande mmoja tu?nawao viongozi waangalie maslahi ya wananchi
@alijuma8009
@alijuma8009 11 ай бұрын
Wanajeshi walinde viapo wao Marais wanao badilikatiba wao walinde nini mm naungamkono majesh kupinduwa nch hasa kuwapinduwa wanaobadili katiba
@georgewinford2809
@georgewinford2809 10 ай бұрын
Afrika Afrika Afrika Mungu Tusaidie.Wanajeshi Wamewachoka Na Baadhi Ya Viongozi Waliokosa Uzalendo Wa Kweli Kwa Mataifa Yao.Vuguvugu Hili Linaloendelea Huko Afrika Magharibi Liwaamshe Na Iwe Alam Kwa Viongozi Wengine Wa Afrika Waliokosa Uzalendo Wa Kweli Na Mataifa Yao Hususan Huko Afrika Magharibi
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 11 ай бұрын
NAomba kufahamishwa kipindi cha chekeche nilini na nisaa ngapi safisana azam tv
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 11 ай бұрын
Hivi Sisi hawa tunafikilia na kutafakali vipi hao wafaransa wamefanya unyama wa aibu iliyopitiliza nchi ni maskini ya mwisho Africa hawana maji hawana umeme hata miundombinu Hoi nyumba zao hohehahe watu wamesambaa duniani kutafuta maisha mwanzo walikuwa wanategemea Libia sasa hakuna kitu na ufaransa haijali wafe Tu.
@Fardadihd
@Fardadihd 11 ай бұрын
Niko hapa dimitri Peskov
@hansmsangi9828
@hansmsangi9828 10 ай бұрын
Kwani wao wakina nani bana kuwaogopa mpk lini na sio Mungu hao hili ndio kipindi cha kujionyesha kuwa ss Africa imejiamini wafanye wanavyotaka lkn tumechoka tunataka vizazi vyetu vijavyo waishi kwa amani na maisha ya juu au mazuri ndani ya Africa tuwatole ule mzigo mgongoni wa kuwa watumwa miaka yote hiyo Mungu hana choyo this is our time ... Mishahara ya waafrika maofisini ya zamani sana ndg zangu mpk lini hii hali wakati uingereza mdada tu anatumia dolaa 6000 ndani ya wiki moja wakati hiyo hela kwetu mpk unakufa mtu hashiki hiyo hela asilia kubwa ya watu tuacheni unafiki na hawa wazungu
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 11 ай бұрын
Enyi viumbe wa Mungu niliwaambia marekani na jamaa zake ni mashetani angalia matendo yao
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 11 ай бұрын
Safi sana hili nilikuwa nalisubiria kwa hamu mulizungumzie
@user-of8cm6qo2e
@user-of8cm6qo2e 11 ай бұрын
Walk alone what nice sumu teen by Khalid
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 11 ай бұрын
❤Putin
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 11 ай бұрын
Rais wa ufaranca milija imezibwa walijua hatutapata akili
@mohamedally121
@mohamedally121 11 ай бұрын
Mleteni dj sma hapa atoe vitu vyake
@jumamasele5793
@jumamasele5793 11 ай бұрын
Kwel kabisa
@sulaimanabdullah-qp8vs
@sulaimanabdullah-qp8vs 11 ай бұрын
Hiyo..dawa.ndio.inafaa.kwa.viongozi.wa.hovyo.kwa.hiyo.jeshi.ndio.suluhisho.
@mirajimaganga6138
@mirajimaganga6138 10 ай бұрын
Dr Bana ameongea ukweli. viongozi Africa hili linawahusu, Umaskini wetu mkubwa unachangiwa na hawa wa magharibi.
@mundalikope581
@mundalikope581 10 ай бұрын
iyo nihaki wanajeshi kuingiria kati man wakiona ndugu zao wanapata shda wanaamua kutetea
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 11 ай бұрын
Wapinduliwe tu hawana maana wala msaada
@user-mq5qb5jg8w
@user-mq5qb5jg8w 11 ай бұрын
Nijriya oyeeee Burkina Faso oyeeee africaine tuwemaco tujitowe wakoroni
@user-hu2vo1jm8o
@user-hu2vo1jm8o 11 ай бұрын
ningependa hata jeshi letu lifanye kama ninger
@chingaboy1149
@chingaboy1149 10 ай бұрын
😂😂😂jishikilie wew haiwekani hizi ninchi mbili tofauty
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 11 ай бұрын
Njoo kwetu enyi wenye uchungu na nchi zenu
@rindenimwanga6355
@rindenimwanga6355 10 ай бұрын
Viongozi wakibadili katiba na kujiongezea muda madarakini na kushirikiana na imperialist kupora utajiri wa nchi AU na hizo jumuiya kama ECOWAS wanaona ni sawa.Raia na jeshi wakijiunga kutetea nchizao hizojumuiya zinaona si sawa.
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 10 ай бұрын
Vibaraka hawana nafasi tena Africa.
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 11 ай бұрын
Kwani mbona nchi zingine kama Bokina Faso, Mali hao Wamerikani na Ufaransa hawakupiga kelele?
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 ай бұрын
Sisi waafrica tunachukuliwa hatujitambui hivi unaweza nenda ufaransa uwafsnyie hayo watakuuwa hadi wakuchome hao ni majambazi wa wazi wazi lakini mambo yanafichwa fichwa
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 10 ай бұрын
URUSI anapigania waafrika kutoka kwenye mikono ya mabeberu wezi wa magharibi na marekani wezi wakubwa , urusi ni mtu mwema Sana God bless Russia God bless president Putin 🇷🇺🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪🇷🇺💪
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 10 ай бұрын
Africa Kuna viongozi vibaraka.
@antonyibrahim5949
@antonyibrahim5949 10 ай бұрын
Acha uongo Benson,hata hao wanao dai kuwa,wanajeshi wafuate katiba,mbona na hao wanaochaguliwa wanaapa kulinda Mali na masilahi ya nchi na hawafanyi hivoo,badala yake wanakuwa wezi? Acha jeshi liwaoneshe,izalendo
@afropanorama4730
@afropanorama4730 11 ай бұрын
migogoro yote africa inasababishwa na uwepo wa wazungu,hawa watu ifike muda waondoke kivyovyote vile
@evaristisdory6279
@evaristisdory6279 11 ай бұрын
inasababishwa na viongozi wetu wanaotusaliti
@simonmartin5358
@simonmartin5358 10 ай бұрын
Chapa risasi za kichwa raisi anae tetra maslahi ya mashoga, wazungu. Haswa Bora tinubu. Asituoiganishe Africa. A
@JohnKuwoko-su3ip
@JohnKuwoko-su3ip 10 ай бұрын
Je ECOWAS kuruhusu majeshi ya Ufaransa wakati mataifa hayo aliyatawala sio kwamba tawala za mataifa hayo wapo Kama vibaraka na kwamba hata chaguzi walizigushi tu ili kuendeleza unyonyaji ktika uihuru bandia?
@fidelfidel4818
@fidelfidel4818 11 ай бұрын
Ninawapata ni kiwa marekani. Chekeche ninapenda kipindi chenu, ila ninawapata ikiwa imechelewa.
@ramygichero1016
@ramygichero1016 11 ай бұрын
Wagner waongezwe
@barakagisbethkomba2851
@barakagisbethkomba2851 11 ай бұрын
Bado wanamtambua mwizi wao anayewapelekea Uranium
@user-of8cm6qo2e
@user-of8cm6qo2e 11 ай бұрын
Benghazi balozi equally Louisville Hunter DLC why Africa 2 amu ke manyanyaso sana Toowoomba too funny for Africa youth
@alibakarali
@alibakarali 10 ай бұрын
Wacha waondoke kwanl nchl yao wafaransa tumechoka kunyonywa
@user-zw9cv4sm9c
@user-zw9cv4sm9c 11 ай бұрын
Niseme kwamba ECOWAS itaenda kupgana na Wagner huo ni moto mwingne
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 10 ай бұрын
Mbona ninyi wanasiasa hamuishi viapo vyenu
@maulidi8479
@maulidi8479 11 ай бұрын
Jambo la Uchumi ni kila nchi ya Africa ni changamoto 😢😢
@antonyibrahim5949
@antonyibrahim5949 10 ай бұрын
Sasa huyo Benson,mbona simuelewi maana anajua kuwa wanazulumiwa ila bado anasema ety warudishe utawala wa kidemocrasia huoni kama na yeye ni kibaraka.Acha wanao jua uchungu wa wanaichi wao
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 11 ай бұрын
Nikweli inci zote za akoloni ya ufaransa ni vita kwenda burundi congo
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 11 ай бұрын
Tatizo ni ss watu weusii atunamsimamo kabisaaa atupendani tuache unafiki
@user-of8cm6qo2e
@user-of8cm6qo2e 11 ай бұрын
Equus who made in Kenya Iran Wala pa Vick was so work osawa
@MohamedAhmed-il2bx
@MohamedAhmed-il2bx 11 ай бұрын
Sisi waafrika ni mwili tumenyoywa damu na wakati umefika kujikombwa ni sasa.
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 11 ай бұрын
Mmarekani na mfaransa waondoke wamenyonya mno nchi hizo, waende kwao. OAU mko wapi? Hivi sisi waafrika tunaweza kudhubutu kwenda ULAYA tukawanyonya kama wanavyofanya wao? Tunatakiwa tudai fidia ya kutunyonya.
@yasirhamduni5334
@yasirhamduni5334 11 ай бұрын
Uyu balozi ndo wale wanaopelekeshwa na mabeberu na kulinda matumbo yao Yani anaona wanajeshi walinde viapo ila awo Marais wizi walinde nn Km ana cha kuongea bora anyamaze
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 11 ай бұрын
Hakuna jipya balozi mwenyewe kichwa maji
@sapikiwanga6154
@sapikiwanga6154 11 ай бұрын
Mchambuzi unaongea fact kabisa,wanajeshi hawajakurupuka kuchukua nchi,wanaona mambo hayaendi,wananchi wanazidi kuwa fukara mno,so viongozi wa Africa wajitazame sana,Kwa nn majeshi yanachukua mamlaka,lazima watu wabadilike,Kwa sababu utajiuliza hao ECOWAS wanakifungu Cha kumbana rais yeyote kwenye ukanda wao anayeendekeza ufusadi na anaeshindwa kuimalisha usalama???jibu ni hakuna,shida inaanzia hapo.
@user-of8cm6qo2e
@user-of8cm6qo2e 11 ай бұрын
Africa Russian Portia Africa who's on America France wangaratta veeramani Israeli Italy Poland knowing in El vampire sana
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 11 ай бұрын
Huo mbalozi ya mtatanzia kaongea ukweli
@user-of8cm6qo2e
@user-of8cm6qo2e 11 ай бұрын
Afadhali Russia watch Roku Havana timer karma America France wangaratta Israel veeramani when a timer sana
@PaulinaSinyanya
@PaulinaSinyanya 11 ай бұрын
Yani nina tamani ata aya mapinduzi yatokee kwetu ata leo mbona wana jeshi wetu muna chelewa
@chingaboy1149
@chingaboy1149 10 ай бұрын
😂😂😂tatizo kubwa afrca tumepewa uhuru feki
@erickmgaya3914
@erickmgaya3914 11 ай бұрын
Chekeche nimoja ya vipindi bora sana kwa sasa shida mnaadimika sana nakukifanya kipindi kusahaulika mambo yanatokea mengi sana nyinyi mpo kimya sana badilikeni angalau kila wiki
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 11 ай бұрын
Demoklasia ninjia inayotumia kuinyonya africa
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 11 ай бұрын
Wafaransa ni matapeli
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 11 ай бұрын
Then tutaona wanapambana kumrejesha nani madarakani marehemu??????
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 11 ай бұрын
Wasenge kabisa 😂
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 11 ай бұрын
Bolozi aegemei upande wowote
@Hagai-oh4ti
@Hagai-oh4ti 11 ай бұрын
madaralaya hiyolRaisi asisababishe watu wafevitani haluahawamtki
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 11 ай бұрын
Nini maana ya ECOWAS? Ni Military organization?
@youthadvocacypartners8765
@youthadvocacypartners8765 11 ай бұрын
Economic community of west Africa and southern
@AbuuKajembe-bb3zo
@AbuuKajembe-bb3zo 11 ай бұрын
We mtagazaji nikibalaka wa nato
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 11 ай бұрын
Kumbe nawew Umeliona ilo
@AbuuKajembe-bb3zo
@AbuuKajembe-bb3zo 11 ай бұрын
Ndio
@AbuuKajembe-bb3zo
@AbuuKajembe-bb3zo 11 ай бұрын
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 ajielewi
@ramygichero1016
@ramygichero1016 11 ай бұрын
Na tamani itokee Tanzania
@limmusic9375
@limmusic9375 11 ай бұрын
Kumsingi mm ni team Putin. Lakini mtangazaji ulipaswa kuweka bato yaan mtu wa upande wa ufalansa na upande wa urusi, ingekua poa sana.
@user-of8cm6qo2e
@user-of8cm6qo2e 11 ай бұрын
Bombay mungu anisoara Africa Russia mungu anisoara a DUI America wangaratta France
@davidpeter8099
@davidpeter8099 11 ай бұрын
Democrats ndio kimvuli kinachotumiwa na mabeberu kutuibia mali za african
@deusisindwa616
@deusisindwa616 11 ай бұрын
Majenelari wa Africa wanapaswa kulinda Mali za nchi zao wasiwategeme Viongiz wa kisiasa asilimia kubwa wanakuwa vibaraka Kwa mwamvuli wa democrats,,
@adkajisi4536
@adkajisi4536 11 ай бұрын
Majenerali wenyew wanakula
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Niger: Ghosts of Uranium | ARTE.tv Documentary
24:47
ARTE.tv Documentary
Рет қаралды 83 М.
CHEKECHE || Ukosefu wa Dolla na sababu za kuadimika kwake
24:37
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 10/07/2024
22:22
Azam TV
Рет қаралды 4,6 М.
Iran After the Elections: Debunking the Propaganda with Mohammad Marandi
1:27:04
IShowSpeed Снова Отомстил KSI😳 #shorts
0:56
a_ve_znali
Рет қаралды 711 М.
So satisfying! 🎯
0:26
Olympics
Рет қаралды 2,1 МЛН
Идеальный баскетбол🤯
0:19
EasyBasket
Рет қаралды 7 МЛН
Она играет в футбол лучше всех 😯
0:28
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 728 М.
야차룰 2대1  #valetudo #2vs1
0:58
야차클럽
Рет қаралды 14 МЛН