HUU HAPA MCHONGOKO UKIKATA UPEPO KWENYE MAJARIBIO

  Рет қаралды 35,053

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@hieutrinhuc7077
@hieutrinhuc7077 16 күн бұрын
Dang, Here in Vietnam, despite a fledgling economy, we are barely coughing up money to keep our trains running. Anyway, hope that this amazing project turns a success! Love from Vietnam!
@FIFO28
@FIFO28 Ай бұрын
Mungu ni mwema sana... tunaomba azidi kutubariki na kutupa maendeleo. Viva Magufuli Viva Samia
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Ай бұрын
Treni mchongoko inakimbia speed ya meno nje mkia juu mwendo wa ngiri. Pongezi kwa juhudi za Mheshimiwa Rais Dokta Samia na Wizara ya Uchukuzi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 29 күн бұрын
Najaribu kuwaza hiki chuma,kifike kigoma,Mwanza, Arusha,Tanga,katavi,.Mbeya,. Kivuke na mipaka kiende Burundi,congo,Zambia,Malawi, Mocambique, Kenya,.inaweza kufungua uchumi kwanamna ya ajabu Sana
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Ай бұрын
Magufuli oyeeeeee
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 Ай бұрын
Oyeeeeee
@khamisswalehe
@khamisswalehe 29 күн бұрын
liati Allah asingemuuuwa
@benjaminpallangyo4545
@benjaminpallangyo4545 8 күн бұрын
Kwa kweli viva jpm
@K-go1qj
@K-go1qj 29 күн бұрын
Hongera Maghufuli bila yeye huu mradi usingekuwepo
@josephambrose2215
@josephambrose2215 28 күн бұрын
Apumzike Kwa amani JPM🇹🇿🙏🙏😭
@Sawa-z1o
@Sawa-z1o Ай бұрын
And Tanzania will run 10 EMUs, oh God bless you! A miracle in broad light!
@abdulmango2461
@abdulmango2461 Ай бұрын
Hatimae ndoto ya kila MTANZANIA imetimia.
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 10 күн бұрын
Kwanza kabisa badilisha jina lako... Usikufuru kujiita Abdul...... Halafu unakufuru
@abdulmango2461
@abdulmango2461 9 күн бұрын
@@h.alshidhani8971 Ndio maana nimesema ndoto ya kila Mtanzania sababu wa Tanzania ndio ilikuwa ndoto yetu na sisi tuwe na treni ya muundo huu so kama wewe sio mtanzania hii sms haikuhusu.
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 21 күн бұрын
Mwamba pumzika chato Jpm wetu Tanzania!kazi yako ni amazing kwa kweli.Tuna subili mama Samia na reli yake ya mtwara Ruvuma tuone itakavo kuwa kazi nzuri.big up serikali ya Tanzania.
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Ай бұрын
RIP JPM 😭😭😭
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Ай бұрын
SGR mpo vizuri sana, mkifanya maendeleo kama Aya hakuna Mtanzania atakuwa na kinyongo na serikali
@allysimu6856
@allysimu6856 Ай бұрын
Sio ndoto Tena Bali ni uwalisia wamaisha tunayoishi Sasa amka kijana wa kitanzania amaka Sasa ni wakati wakulipambania taifa letu tuwaungemkono viongozi wetu tusikubali kutumiwa na watu wenyenia ovu na taifa letu kazi nzuri Sana dr.samia mama mlezi mwenye hekima busara na upendo mwenyezi mungu akulinde na maadui kazi iendelee I Love Tanzania I Love Africa
@hassshoban8206
@hassshoban8206 Ай бұрын
Ndoto ni kuunda wenyewe hayo matreni na miundombinu yake. 😊
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Ай бұрын
​@@hassshoban8206Kwa hiyo kabla ya kumiliki kibanda chako Cha kuishi unamaanisha utakijenga kwa mikono yako
@Sawa-z1o
@Sawa-z1o Ай бұрын
Rip Magufuli, the immortal visionary, rest in peace.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 Ай бұрын
Nina faraja kuona vijana wenzangu waki operate mitambo na kupata ajira kwenye sekta nyeti na za kimkakati kama hizi. Kudos SERIKALI ya Tanzania
@SATZ-news
@SATZ-news Ай бұрын
Wow!!! YANI HAPA SIFA ZIMWENDEE JPM VIIVA MAGUFULI WHATEVER YOU ARE WALISHINDWA WENGI MANENO MENGIII LKN MAENDELEO HAMNA😅
@kassimualli1755
@kassimualli1755 29 күн бұрын
Choko wew,unafirwa Sana
@SATZ-news
@SATZ-news 28 күн бұрын
@@kassimualli1755 wasenge wanalipenda sana tusi la kufirwa kwakuwa wanajua maumivu yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 Ай бұрын
VIVA/RIP - JPM💪😥❤❤❤ VIVA - Dr SAMIA💪🤝👏❤❤ VIVA - TRC💪🤝👏❤❤❤❤ VIVA - TZ🇹🇿💪🤝👏❤❤❤❤ VIVA - Tanzanians🇹🇿❤💃💃💃
@christophertanu1880
@christophertanu1880 Ай бұрын
Huyo unamleta wapi,? Acheni ujinga kwenye uhalisia. Kazi ya JPM
@NESTORYMAGUTU
@NESTORYMAGUTU Ай бұрын
Namtaka admin wa Kenya humu ndani👏👏👏
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Ай бұрын
Thubutu wasije humu wataandamana
@user-ln4he3yp5l
@user-ln4he3yp5l Ай бұрын
​@@Kim19onlinetvhahahahaaa
@ericadelard4730
@ericadelard4730 Ай бұрын
ndo uyu mim apa
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 29 күн бұрын
Anaumwa😂😂😂anajisikia vibaya leo
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Ай бұрын
Kama kipo cha kujivunia Tanzania basi treni hizi, Asante Kwa Kila mmoja aliyefanikisha mpaka kufikia hapa. Hakika nime enjoy kwa huduma na kuanzia Sasa Mimi ni mteja wenu, zaidi niwaombe muongeze usimamizi ili shirika lidumu.
@Assu89Ma2ly-xt4np
@Assu89Ma2ly-xt4np Ай бұрын
Hii nayo ikianza kazi rasmi na ile iliotangulia jumlisha na zile za ghorofa lazima watuweke namba 2 au 3 kwa afrika nyuma ya morocco na south afrika sioni mwingine wa kukaa mbele yetu labda walete ubinafsi
@mohamedihamisi292
@mohamedihamisi292 29 күн бұрын
Kumbuka mpaka Sasa hivi siye ndiyo tunaongoza kuwa na mtandao mrefu wa reli ya sgr Africa mzima
@omzedstationary932
@omzedstationary932 Ай бұрын
VIVAA..TZ...VIVAAA!!
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b Ай бұрын
Rip jpm
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
SWEET TANZANIA. HALAFU UTAKUTANA NA WAKUDA WANAPONDA
@leonehermenegild1809
@leonehermenegild1809 Ай бұрын
Hongera sana TRC nimefurahishwa mno na maendeleo haya.
@emmanueligoro8708
@emmanueligoro8708 Ай бұрын
Hadi raha jamani. Haya mambo mazuri sasa tuweke mikakati mradi uishi miaka mingi. Na tuendelee kukamilisha network ya reli nchi nzima. Tubadilike kimtazamo. Tunaweza. Kwa ukubwa wa Tanzania tunahitaji miradi ya International Airports karibia kila kanda. KIA iboreshwe pia . Wataalamu wanaweza kwenda kucopy best airport wakaleta hapa kwetu. Narudia kikubwa ni kutunza haya mazuri yaliyoanzishwa au kuboreshwa. Atayejaribu kuharibu au kufanya mbinu zozote za kudhoofisha utendaji kazi wa miundombinu hii serikali isimuache. Atakuwa anahujumu uchumi wa nchi yetu.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Ай бұрын
Waliopinga mradi huu wasipande hiyo treni. Baada ya chadema kupinga miradi ya maendeleo..nilijua hatuna wapinzani.
@samorasilayo1268
@samorasilayo1268 Ай бұрын
hongera jmp
@muhengamakunga
@muhengamakunga Ай бұрын
Asante jpm
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
Hebu fanyeni chapu chombo ianze kutoboa Mwanza
@penhe1
@penhe1 Ай бұрын
Kuna maeneo bado yako asilimia 20
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
@@penhe1 Dah! Ikiisha itakuwa poa Sana aisee, Dar faster unafanya mishe na kugeuka.
@stateofart1089
@stateofart1089 Ай бұрын
Anzeni kuoga kwanza wasu KUMA nyie mnanuka kifala. Mnaiabisha nchi
@mwilathomas2382
@mwilathomas2382 Ай бұрын
Unawazidi nini wasukuma we Fala, au umerithishwa chuki tuh, kwa taarifa yako hata hiyo SGR Ni idea ya hao hao unaowaambia wananuka, keep remaining on tribe lism comfort zone.
@aminata3702
@aminata3702 Ай бұрын
Wasukuma ndo kila kitu kwenye hii nchi wew makalio
@paulhema5713
@paulhema5713 Ай бұрын
Iko vzr...ngoja niweke ndoto nyingine....sijawah panda tren ...ila hii nitakuja panda tu.....kwa namna yeyote Ile ...❤😂
@James-sz4ec
@James-sz4ec Ай бұрын
Hii kweli inamwaga moto c mchezo ningetamani sana magufuli na makamu wake wote washuhudie kazi kubwa walio ifanya
@twalibuabdallah5270
@twalibuabdallah5270 Ай бұрын
Magu harudi tena , unatamani lisilowezekana, but makamu wake ndie katimiza sasa
@omaryngurangwa8241
@omaryngurangwa8241 Ай бұрын
Hii mashine balaa. Hongera sana serikali yetu mwenye macho haambiwi tazama.
@samsonkiyumbi7244
@samsonkiyumbi7244 Ай бұрын
KADOGOSA UMEITHIHIRISHIA TANZANIA WAZALENDO WAPO. UMEINGIA KWENYE KUMBUKUMBU ZA TANZANIA. VIZAZI NA VIZAZI VITAKUMBUKA KAZI YAKO YA KIZALENDO ULIYOIFANYIA NCHI YAKO.
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 Ай бұрын
@josephmungai and your fellow doubters, if not haters, train uliyoita garbage, absolutely worthless, and runs at 40kms/h instead of the declared 160kms/h ndiyo hii. Kazi kwenu. It's either you keep on insulting the good thing we have, or shamefully appreciate and stop that unreasonable hate you have. Sisi ni majirani, si vibaya kusifia kizuri, and learn from your neighbor, rather than spreading lies due to your hate, ego, and ignorance of Tanzania's sgr project.
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Ай бұрын
VIVA TANZANIA 🇹🇿 VIVA SAMIA MITANO TENAAA💪💪🫶🫶👍
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
❤❤❤❤ SIKU ZOTE MAMBO MAZUR HAYATAK HARAKA WALA KU KURUPUKA❤❤❤❤
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Ай бұрын
TRC hongera sana.Tatizo lipo sekta ya barabara ni majanga.Dar kwa mfano Kila siku ahadi za uongo tu barabara za mitaa mbovu hasa ilala maeneo ya pugu ,ulongoni,banguro mwembe kiboko ,kifuru,Kila siku utasikia mara zitajengwa na DMDP mara tanroad.mara mwezi wa sita,mara wasaba hakuna kinachoendelea.sijui wanasubiri mvua Tena. Duu!kazi kweli kweli.
@munarnkungu8654
@munarnkungu8654 Ай бұрын
mbona hamzifuniki apo mbele wakati aivuti nyenzie funikeni inaleta muonekano mzuli ivi mnasomaga comment nyinyi au mpo 2
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Ай бұрын
Kweli wakifunika itaonekana vizur mchongoko utaonekana vizur
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 Ай бұрын
Wonderful 🇹🇿
@markkayuni9775
@markkayuni9775 Ай бұрын
kumamae chombo kwa hewa dom kama upepo🦅🦅🦅🦅
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Mimi na ndugu zangu tumefurahi sana.
@Ben_Safari_Tz
@Ben_Safari_Tz 18 күн бұрын
MAMA SAMIA OYEE!!! Sasa kinachofata METRO TRAIN ZA TOWN TRIP 🎉🎉 INSHALAH 2025 ✅
@modenasayi
@modenasayi Ай бұрын
Funikeni hapo mbele nyie mtakubali kutembezwa uchi?
@froma3732
@froma3732 Ай бұрын
Kuna wale watu wa kupinga kuwa tumepigwa vichwa sio tuliagiza sasa vimefika hapo munasemaje
@mopalmo5818
@mopalmo5818 Ай бұрын
Funikeni hapo mbele basi TRC
@user-kw6zo8tt5g
@user-kw6zo8tt5g Ай бұрын
Kazi nzuri inakata upepo ballaa
@penhe1
@penhe1 Ай бұрын
Kuwe na uzalendo hadi kwa wahudumu ndani, yasijetokea ya MGR
@nth3512
@nth3512 Ай бұрын
Valishen pua yake bana
@gideonmwanjila8616
@gideonmwanjila8616 Ай бұрын
Mahali pake pa kupumua. Wataka ife? 😂😂😂😂😂
@williamssempoli2294
@williamssempoli2294 Ай бұрын
Kazi nzuri!🎉🎉
@marcominja8850
@marcominja8850 Ай бұрын
Mwendo wa ngiri mkia juu!
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 Ай бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA
@nicaswaziri
@nicaswaziri Ай бұрын
Asante Mungu kwa baraka zako juu ya nchi yangu. Hakika ahadi za Mungu ni kweli tukimuomba yeye anajibu kwa wakati.
@allyhussein9024
@allyhussein9024 Ай бұрын
Unyama mwing 🎉
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Ай бұрын
Serekali iwe SERIOUSLY ili kukomesha Upumbavu wa kuharibu miundo mbinu juzi juzi tumesikia kuna watu walikuwa wanakata waya.... IWE SABABU YA KUWAKAMATA NA KUWAPOTEZA KABISA KWENYE JAMII NA KUWAFUNGA KIFUNGO KIREFU.... IWE FUNDISHO...AU KATA MIKONO.... HIZI NI KODI ZETU ZINATUREJEA....
@mozesamizi931
@mozesamizi931 Ай бұрын
Hii ngozi nyeusi ina laana nimepanda hiyo tren juzi, nimekuta wameanza kuchorachora na makapen hata mwezi bado!
@charlietz7125
@charlietz7125 Ай бұрын
​​@@mozesamizi931hao ndo wabongo sasa,yani ustarabu bongo ni zerooo... ona gari za mwendokasi saiz hazifai zime chorwa chorwa kila kona!!
@agreykombe5396
@agreykombe5396 Ай бұрын
Mchongoko unatembea kinoma
@mkude
@mkude Ай бұрын
Hongera Mama SAmia Hongereni TRC
@mybrain8940
@mybrain8940 26 күн бұрын
Mungu, Tuma, Malika Mwingine, in Jesus name
@muhengamakunga
@muhengamakunga Ай бұрын
hivi nikweri jpm haupo nasi tena
@pachamalota4455
@pachamalota4455 23 күн бұрын
Hii ndio yenyewe, sio ile ya diesel 😅😅
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 Ай бұрын
Hii Sasa ndo mwendokas sio Ile nyingine yenye kichwa cha roli😂😂
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Ай бұрын
😂😂
@iathumani
@iathumani Ай бұрын
hujawahi panda hata ile ingine ndo maana unsema hivyo. Kwa tuliopanda hatuezi sema hivyo maana spidi yake ni kama radi. Safiri nayo kwanza ndo upate cha kuongea sio kufuata mkumbo😅🤣
@papaanel8160
@papaanel8160 8 күн бұрын
Wow!
@modenasayi
@modenasayi Ай бұрын
Wow beautiful 😍
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 Ай бұрын
HONGERA KADOGOSA ❤
@muhengamakunga
@muhengamakunga Ай бұрын
mungu akulaze pema pepon jpm
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Hii ndo ina mbio hatari kushinda ile ya kwanza. Speed yake ni 160 km
@gabrielwence
@gabrielwence Ай бұрын
Ya kwanza Speed yake ndio 160.. Ila sio mwisho wake. Wanahakikisha isizidi hapo. Lakini inauwezo mkubwa zaidi.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Ай бұрын
Kwa namna hii hakuna atakae pinga maendeleo
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 29 күн бұрын
Ili dubwana linakimbia aisee !! Kama chopa !!
@gideonmwanjila8616
@gideonmwanjila8616 Ай бұрын
Inatisha iyo
@Normaloutcast
@Normaloutcast Ай бұрын
Raha sana
@kennedymnega1168
@kennedymnega1168 Ай бұрын
Oya ilivyopita hapo 😂
@RichWise671
@RichWise671 Ай бұрын
Ila #Tanzania🇹🇿🙌💝
@prudence_muta
@prudence_muta Ай бұрын
Inatembea speed ngapi EMU
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Duu afadhari maana nilijua ndoto itashia kwenye lile bichwa kubwa kama Buti 🙏🙏🙏
@mgenirajabu7601
@mgenirajabu7601 Ай бұрын
ᗷOᑎᘜO "ᑎᗴᗯ YOᖇK" 🔥
@egdldm4981
@egdldm4981 10 күн бұрын
Mfuniko wa hapo mbele na nyuma kwenye maungio uwekwe sasa ili dhana ya mchongoko itimie.😮
@papiasdyausa176
@papiasdyausa176 Ай бұрын
Yani mpaka miti inatingishika 😆😆
@danielmpaka
@danielmpaka 14 күн бұрын
The dreams of jpm
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 Ай бұрын
Kama ni hivyo sawa,Tutawakubali.
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Ай бұрын
KUDADEKI kama Kishada mperampera mwanangu
@selemanshemhilu5271
@selemanshemhilu5271 28 күн бұрын
Hii Chuma Ina mwaga motoo 🔥
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Zibeni huo mdomo wa mbele ili ipendeze
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka 14 күн бұрын
Chombo kipo kwenye majaribio mchongoko
@djwinnertz
@djwinnertz 29 күн бұрын
Daaah inakimbia sanaa yaani duuh
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Ай бұрын
INCHI HAIWEZI KUJENGWA NA WATU WENYE FIKRA ZA KUANDAMANA BALI INAHITAJIKA WATU WATULIVU NA VIONGOZI WENYE MOYO UTHUBUTU NA HURUMA MAGUFULI ALIFIKIRI AKAANZA SAMIA ANAENDELEZA NA KUMALIZA
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 Ай бұрын
The best comment ever , haya ndio mawazo changa sio kufikiria maandamano tuu, nikusema sana viongozi ni binadamu watasikia na fukanya
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Ай бұрын
Hapo hamna kuiba diesel dereva apo ni kaukau, hongera serikali tunachotaka sasa ilete faida Kwa huo uwekezaji mkubwa ulio wekwa tumechoka kuambiwa kama shirika linajiendesha kwa hasara na wakiniendesha Kwa hasara mamaetu mpendwa piga chini wote,
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Ай бұрын
Tieni rangi ya bendera ya Tanzania kidogo bal mbal
@yussbreezy918
@yussbreezy918 Ай бұрын
Magufuli mfungua njia❤
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 Ай бұрын
👏👏
@kinyikaog7267
@kinyikaog7267 Ай бұрын
Magu for change 👏
@esajackjack3032
@esajackjack3032 27 күн бұрын
Izo zote ni juhudi za mpendwa magufuli apumzike salama alipo
@tevintevin6254
@tevintevin6254 26 күн бұрын
Rip Magufuliiii
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Mbona hapo mbele kwenye huo mchongoko hawajafunika kuna kama lichuma vipi ????
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Ай бұрын
Hayo ni majaribio
@Abdumfaume
@Abdumfaume Ай бұрын
Patafunikwa tu usijali.. hiyo ni testing tu..
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 Ай бұрын
😂😂😂😂 wa tz tupo makini sana. Upo sawa kabisa hizo ni kodi za wananchi wanyonge
@papiasdyausa176
@papiasdyausa176 Ай бұрын
Hapo tu hawajafunika, wakifunika itapaa
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@@papiasdyausa176 ilitakiwa wafunike haina muonekano mzuri au vifuniko wameshaiba
@onetwoem1808
@onetwoem1808 Ай бұрын
Ni testing ndio na ndio maana funikeni hapo mbele ili kupata data zilizo sahihi. maana ya kupaacha wazi ni kwaajili ya kuvutana tu au?
@abdulyhassan3742
@abdulyhassan3742 13 күн бұрын
R.I.P magufuli
@mashashpastory7467
@mashashpastory7467 28 күн бұрын
Dah, JPM😢🕯️
@holcmanjiri
@holcmanjiri 29 күн бұрын
when does personal public transport start?
@AlonFrank
@AlonFrank Ай бұрын
Ni kweli
@benardmanoli8325
@benardmanoli8325 Ай бұрын
👋👋👋
@josephambrose2215
@josephambrose2215 28 күн бұрын
Pumzika Kwa Amani JPM🇹🇿🙏🙏😭😭
@mohamedleonard760
@mohamedleonard760 Ай бұрын
risasi
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 22 М.
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
DART TV
Рет қаралды 7 М.
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,7 МЛН
HIZI HAPA SETI 2 ZA MCHONGOKO, IPO “SAMIA EXPRESS”
3:36
TRC RELI TV
Рет қаралды 29 М.