HUU NDIO MZIKI WA INJILI UNAO KUBALIWA NA MUNGU MBINGUNI. EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 21,830

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 133
@stevendavid8054
@stevendavid8054 10 ай бұрын
Asante Mtumishi mahubiri yako yamenifanya leo nisiende kanisani,umenifungua na kujiona wafhamani,maana nikuwa nikiambia naimbia babiti yaliyopitwa na wakati
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 10 ай бұрын
Amina. Uimbaji wa leo ni wa muda tu. Wanaenda na nyakati. Waimbaji hawaimbi kutoka rohoni ili kumsongeza mtu asiye mwokovu karibu na Mungu wake. Bora utunzi wa maneno uingiane, baas, wanaona wamemtukuza Mungu.
@simonmdune9066
@simonmdune9066 10 ай бұрын
Wallai waimbaji au wakristo wa leo wamearibika na neno digital wamesahau kua kwa Mungu akuna udigitali
@SteveIlunga-qx8wi
@SteveIlunga-qx8wi 4 ай бұрын
Amjambo mtumishi wa mungu aliye dju saana, mafundisho Yako ni mazuri saana, mungu akulinde, mimi ni mtchungadi apa Congo, nime penda saana mafundisho Yako asante saana.
@121jacksonmarwa
@121jacksonmarwa 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akuinue kimataifa, Mungu atusaidie siku moja ufike kanisani ninakohudumu. Haki napenda injili kama hii
@benedictlwilla9769
@benedictlwilla9769 4 ай бұрын
mungu akubaliki sana mimi ninapona ditram mlelwa songa mbele
@BeatriceRobi-j5q
@BeatriceRobi-j5q 2 ай бұрын
kabisa waimbaji waleo wanataka kusifiwa too Ila awataki kuona mbele
@bhavinjani4415
@bhavinjani4415 3 ай бұрын
Ubarikiwee sana hakika unasema ukweli
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa kusema ukweli MUNGU akutunze
@LitaPiano
@LitaPiano 10 ай бұрын
Mwinjilisti wa kweli mungu aendekeye kukulinda❤❤❤❤❤❤
@HellenaMky
@HellenaMky 7 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@FebroniaMsilanga
@FebroniaMsilanga 9 ай бұрын
Mungu atukuzwe nw skulinde
@Julias-e9t
@Julias-e9t 8 ай бұрын
Kaka mungu akulinde Kwa kuwa unasema yaliyo ya kweli
@Pendopasilika
@Pendopasilika 6 ай бұрын
Aaaa nimekupenda kwa injili yako MUNGU akulinde
@cecymwasija8061
@cecymwasija8061 10 ай бұрын
Dar😭😭😭 mungu atusamee
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 10 ай бұрын
Mungu tusaidie ! Hakika mtumishi huyu anafunuliwa na Roho mtakatifu! Usikiapo sauti ya Mungu usiufanye mgumu moyo wako
@selinamrikaria6143
@selinamrikaria6143 7 ай бұрын
Mahubiri yako yalinifanya nitoke kwenye kanisa la mwamposa, usinyamaze uwakomboe na wengine! Mm nimeokolewa, asante YESU kwajili ya kutuletea huyu mtumishi ili tuokoke.
@saramss7262
@saramss7262 10 ай бұрын
Ndio BWANA Akubarikiii mtumishi
@simonmdune9066
@simonmdune9066 10 ай бұрын
Ameen be blessed more kkaangu m nimapo kutazama video zako nahisi kuhukumika na kutubu maana nikweli tumeona makosa yako wapi 🙏😢
@angelitapaulo
@angelitapaulo 10 ай бұрын
Hakika
@Estaananiyamparari
@Estaananiyamparari 10 ай бұрын
Jbariki mutumishi mungu akurinde nakukuinuwa
@daudilangat6123
@daudilangat6123 10 ай бұрын
Ni kweli mtumishi wa mungu mungu akubariki sana huyu jamaa anajiita nabii mkuu amejanganyikiwa Yuko gizani
@mosesomary1258
@mosesomary1258 10 ай бұрын
Watu wa Mungu tunafeliwapi tunamezwa na dunia wakati sisi tunatakiwa tuwe nuru ya ulimwengu tuliondowe giza Mungu akubariki kwaujumbe mzuri Bwana wa majeshi azid kukutia nguvu kuufikisha ukweli wa Mungu.
@JedidahLazaro
@JedidahLazaro 10 ай бұрын
Hiyo ni kweli barikiwa sana
@Estaananiyamparari
@Estaananiyamparari 10 ай бұрын
Nakukubari yani mungu akuongoze sarama
@angelitapaulo
@angelitapaulo 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 10 ай бұрын
HALLELUJAH HALLELUJAH; very powerful and pure truth mtumishi. Mungu azidi kukuinua zaidi kwa kazi unayofanya. Muziki umekusudiwa na Mungu kusukuma roho na akili. Na si mwili kama wengine wanavyouchukulia au kuuelewa. 1wakorintho14:15 nifanye nini? Nitaomba kwa roho yangu, lakini nitaomba kwa akili pia: nitaimba kwa roho yangu, lakini nitaimba kwa akili yangu pia. Unapoimba kwa roho unatembea katika njia iliyopangwa na Mungu kwa furaha. Mungu atandaze ulinzi wake juu yako Mtumishi. 🙏🙏
@RizikiRiziki-bp6dx
@RizikiRiziki-bp6dx 9 ай бұрын
Amen ninaamuru nyimbo za kipepo zote zisipate kibali mbele za Bwana.
@lucywilson5875
@lucywilson5875 10 ай бұрын
Hakika wewe nimwalimu. Barikia sana sana Mtumishi wa Mungu
@JedidahLazaro
@JedidahLazaro 10 ай бұрын
Kweli ubarikiwe sana
@WinifledyMbugi-ur1hq
@WinifledyMbugi-ur1hq 10 ай бұрын
Nakupenda sana mtumishi ubarikiwe unatakiwa sana mmebakia wawili tu mnaosemaukweli Magembe na wewe.
@JoyceFungo-c8k
@JoyceFungo-c8k 7 ай бұрын
Kwani huyu Mtumishi anapatikana wapi barikiwa sana
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 10 ай бұрын
AMEN AMEN 🙏 🙌 Mungu ni nguvu yangu na wimbo wangu...nahisi nguvu kuu za Mungu.... Hallelujah... thanks for being a blessing to many.
@agathaswallo
@agathaswallo 10 ай бұрын
Ubarikiwe
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 9 ай бұрын
Waimbaji baazi hawaimbi kwa kumtuza mungu baazi wanalenga pesa tu wanaoimba kwa kumtuza mungu niwachache sana mungu❤ atusaidie sana
@geofleyfreeniellukaorgen2js5h
@geofleyfreeniellukaorgen2js5h 10 ай бұрын
Mungu akulinde sana katka jina la yesu amen
@imontreasurez
@imontreasurez 9 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/eniwaaCDeapgZq8si=ew_wDOZL6XEDfjm_
@Nim68182
@Nim68182 10 ай бұрын
Hata nyimbo zake zinaelewek huyu paschal, God be with you 🙏🙏🙏
@pendofrances617
@pendofrances617 10 ай бұрын
🎉Mungu akubariki unapo zidi kutukumbusha kuyafanya mapenzi ya Mungu
@madamjuliethmadamjulieth8767
@madamjuliethmadamjulieth8767 10 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi Kaka
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 10 ай бұрын
Let God to give you strength ufikishe ujumbe kila Pembe zote za dunia
@geofleyfreeniellukaorgen2js5h
@geofleyfreeniellukaorgen2js5h 10 ай бұрын
Mungu akubaliki sana kwahuduma yako hoi
@festusmunene5513
@festusmunene5513 10 ай бұрын
Mungu kukutia nguvu na ukarimu
@faithwavinyalucas1835
@faithwavinyalucas1835 10 ай бұрын
Nakupata nikiwa kenya..kenya twaitaji mahubiri kama haya na pia nyakati za mwisho
@AmosMuriithi-x1g
@AmosMuriithi-x1g 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu.hata ukitusiwa usijaribu mungu yupo pamoja nawe nimetoka kenya
@OrivaYahya-y9i
@OrivaYahya-y9i 10 ай бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi ni maombi yangu Mungu aendelee kukulinda akufunike kwa damu ya Yesu uendelee kunena ile kweli ya Mungu
@AnnaOnesmo
@AnnaOnesmo 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze.. Akubariki.. Akulinde ukazidi kutufundisha neno la mungu
@petermbayi5885
@petermbayi5885 10 ай бұрын
mungu azidi kukutia ngufu ili wengi wapate kuokolewa.nashughuru mungu kwa silahaa yake kama wewe
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 10 ай бұрын
Baba tafazali ikiwezekana usikuwe natiya muziki Ndani ya mahubiri naomba ikiwezekana mungu atusaidiye baba yetu
@SaimonleonardtanzaniaTanzania
@SaimonleonardtanzaniaTanzania 10 ай бұрын
SSafi sana kaka kaka kaka thanks you
@THOMASBARAKA-bs6ke
@THOMASBARAKA-bs6ke 10 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 10 ай бұрын
Mungu azidi kukurinda na kukuinuwa kwa kazi yake unatubariki sana🎉🎉
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa Baba yangu
@SikujuaEmmanuel-fj4mg
@SikujuaEmmanuel-fj4mg 10 ай бұрын
Ukweli mtupu na ndomana kwenye cm yangu nimejaza nyimbo zako mana nabarikiwa sana
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 10 ай бұрын
Nena bro upagani ni mwingi sana , hata kubadili sheria ya Mungu ni ipagani yapo mengi.
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 9 ай бұрын
Ameni
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 10 ай бұрын
Amen nakupenda papa
@istermariol2158
@istermariol2158 10 ай бұрын
Ubarikiwe kaka katika kristo..Ila ñashauri upunguze kidogo background music unapofundisha
@mosesomary1258
@mosesomary1258 10 ай бұрын
Nabarikiwa sana Mungu akubariki a sana
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 10 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu,,,mm nakubaliana na mafundisho yako poster
@nicksonkisoka3759
@nicksonkisoka3759 10 ай бұрын
Amen, Mtu wa MUNGU, Barikiwa sana, kwa Roho Mtakatifu, kukutumia kufikisha ujumbe wake kwetu.
@AgnessMloka
@AgnessMloka 9 ай бұрын
Kweli natamani sana. Nimeona nguvu ya yesu, kwa kuwa wimbo unatupeleka katika kiti cha enzi kuu mbinguni 44:16
@YoeliChiwanga-dy3tb
@YoeliChiwanga-dy3tb 10 ай бұрын
Ni Moto wa INJILI ya YESU KRISTO!!. Barkiwaa Sana kamanda wa BWANA.
@estherisaiah6857
@estherisaiah6857 10 ай бұрын
Shalom Kuna matari ya kidunia ambayo ni desturi ya kishrtani GOD bless you 6:14
@mosesndimgwanko1079
@mosesndimgwanko1079 10 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@sikujuachonya
@sikujuachonya 10 ай бұрын
Amen🎉🎉🎉🎉🎉
@ReginaMgaya-y9u
@ReginaMgaya-y9u 10 ай бұрын
Amina
@Isaya-Anosisye
@Isaya-Anosisye 10 ай бұрын
Barikiwa sana namshukuru sana Yesu kristo kwa kukutumia ili kututoa gizani na wengi hawataki kuacha mambo yakidunia hususani hizo nyimbo za kidunia Yesu azid kutuponya na kutuokoa
@happymbilinyi7564
@happymbilinyi7564 10 ай бұрын
ibarikiwe huduma yako mtumishi
@MerryFelician
@MerryFelician 10 ай бұрын
🎉
@MerryFelician
@MerryFelician 10 ай бұрын
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 10 ай бұрын
@agnes7675
@agnes7675 9 ай бұрын
AMEN AMEN
@Jus378
@Jus378 10 ай бұрын
Unaeleweka sana mtumishi wa kweli. Watumishi wengine na manabii wapo kifedha na watakatiliwa mbali na anasa zao siku ya mwisho.
@graceboke4346
@graceboke4346 10 ай бұрын
Amen
@feminakidiavai5849
@feminakidiavai5849 10 ай бұрын
Ee mungu tusaidie tusienende na ulimwengu unavyoenenda. Na mifumo ya kisasa
@JoncyFredy
@JoncyFredy 10 ай бұрын
God bless you
@benedictlwilla9769
@benedictlwilla9769 4 ай бұрын
asante
@Estaananiyamparari
@Estaananiyamparari 10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@gracehelbert5858
@gracehelbert5858 10 ай бұрын
Kwakweli MUNGU aliokoe kanisa lake...ubarikiwe mtumishi.
@angeliquemwamini4791
@angeliquemwamini4791 10 ай бұрын
Ukweli mtupuuuu.
@SaimonleonardtanzaniaTanzania
@SaimonleonardtanzaniaTanzania 10 ай бұрын
Nooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo nakataaaa kwa JINA LA YESU uimbaji wa kidunia IN JESUS NAM
@Estaananiyamparari
@Estaananiyamparari 10 ай бұрын
Nyimbo za kimataifa wanatumiya jinara mungu
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 10 ай бұрын
AMINA tunakushukuru Mtumishi
@LinetLigono
@LinetLigono 9 ай бұрын
Amen God bless you
@simonmdune9066
@simonmdune9066 10 ай бұрын
Embarambamba kujimwagilia matope tuu na kurukaruka hku na kule
@AswegheMsomba
@AswegheMsomba 10 ай бұрын
AMEN,MUNGU AKULINDE KATIKA UTUMISHI ALIO KUPA UENDELEE KUHUBILI UKWELI WA KRISTO.
@MerryFelician
@MerryFelician 10 ай бұрын
GOD be with u' pastor
@nicksonkisoka3759
@nicksonkisoka3759 10 ай бұрын
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 10 ай бұрын
Uimbaji.wa.nyimbo za.injili.na.nyimbo za.dunia ni.tofauti.kabisa tofauti mitatu waliochora mipete waliyovaa wasanii Mungu.atufungue macho tupate kuona uimbaji.mbona unaonekana mtu anaimba kushea mabwana siku hizi.sio shida nyimbo za Mungu hizo
@StarKin21
@StarKin21 9 ай бұрын
Bwana ni wimbo wangu# Ikiwa Wewe ni mali ya Bwana hivyo wimbo wako ni mali ya Bwana. Tafakari kama huo wimbo Mungu asiyechangamana na giza anaweza kuupokea?
@AYOUBdeMWANKUNGA
@AYOUBdeMWANKUNGA 5 ай бұрын
Ev. MUNGU akuongeze siku
@Estaananiyamparari
@Estaananiyamparari 10 ай бұрын
Ameni 🙏 🙏 🙏
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 9 ай бұрын
Waimbaji baazi wanaiba wakilenga pesa
@amosmwangoka6427
@amosmwangoka6427 10 ай бұрын
🔥🔥
@BernadetteMalaba
@BernadetteMalaba 10 ай бұрын
Amen Amen Amen
@florakarau4351
@florakarau4351 10 ай бұрын
Yesu akutunze sema kweli ndio Hy songa mbele mtsh
@IRENEMKONAMO
@IRENEMKONAMO 9 ай бұрын
Ndio maana naendelea kujifunza namna ya kuimba ktk Roho. Bwana nisaidie
@marionoti5760
@marionoti5760 10 ай бұрын
Simwoni kama anajielewa, labda kwa wasioelewa kama yeye, wavivu wa kazi za mikono yao, watafutao Riziki kwa njia danganyifu kama Yuda Eskarioti
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 10 ай бұрын
Mweee MUNGU akutie nguvu jamani
@BoniphaceLugatha
@BoniphaceLugatha 10 ай бұрын
Twambie tupone baba
@cristinarashid1245
@cristinarashid1245 10 ай бұрын
Ameen
@kassebo
@kassebo 9 ай бұрын
Ameee
@AgnessAgness-w6s
@AgnessAgness-w6s 10 ай бұрын
Watuwangu wanaangamia kwakukosa maalifa
@maigekigendi6414
@maigekigendi6414 10 ай бұрын
Mbona mfalme Daud aliceza hadi nguo zikaanguka!
@DavidMakvok
@DavidMakvok 7 ай бұрын
Unadhani Mungu alikubaliana nae? Na unaweza kusema alikuwa ibadani? Wewe wasomaje hayo maandiko akili yako imeshindwa na akili ya mke wa Daudi aliye dharau tukio hilo.
@michaelobed3022
@michaelobed3022 10 ай бұрын
Mambo ambayo tumeambiwa tu kuwa kuna mbingu, mnaanza kuthibitisha eti nyimbo za mbinguni, hivi hamjui kwamba mnaongea uongo jambo msilolijua mnalithibitisha duniani Dah shetani 😈 anakazi sana yaani unadanganya hivi hivi.
@NaomiDaudi-n8k
@NaomiDaudi-n8k 10 ай бұрын
🎉🎉🎉❤
@vincentmomata2190
@vincentmomata2190 10 ай бұрын
Wambieñi mchungaji
@Estaananiyamparari
@Estaananiyamparari 10 ай бұрын
No haiwezekNi
@Nuhugodfrey1
@Nuhugodfrey1 10 ай бұрын
na wewe ni mungu?
@madamsanga
@madamsanga 9 ай бұрын
Kumuona Mungu ulikomaanisha wewe na vile Geodavi alimaanisha kuwa alimwona Mungu kunatofauti?
USIJE KUOWA MKE ASIE WA IMANI YAKO KIFO KITAKUKUTA EV PASCHAL CASSIAN
49:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3,3 М.
VITA KUBWA YA INUKA KATI  YA JODEVI NABII MKUU NA EV PASCHAL CASSIAN.
53:32
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 69 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 18 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,1 МЛН
HUYU MCHUNGAJI NILANGO LA KUZIM SHETANI ANMTUMIA EV PASCHAL CASSIAN
52:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
AKILI NA UFAHAMU WAKO, NDO CHANZO CHA KUANGUKA KWAKO || Apostle Denis Mulokozi
1:12:01
Mch Moses Magembe - ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO | MAKAMBAKO 07
2:28:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 41 М.
KUENI MAKINI NA HUYU WAKARA WA SHETANI ANAPOTOSHA WENGIEV PASCHAL CASSIAN
33:14
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
UNABII WATIMIA KWA MATHA  KIZAZAZI CHA NYOKA  EV PAACHAL CASSIAN
1:02:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 22 М.
Mch Moses Magembe -  | SUMBAWANGA 04
2:27:24
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2 М.
KILISIMASI NI SIKU KUU YA MASHETANI SIO YA WAKRSTO EV PASCHAL CASSIAN
1:05:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 33 М.
لە بارەی هەڵبژاردنەوە
34:19
قانع خورشید :: Qani Xurshid
Рет қаралды 2,4 М.