MTUMISHI mimi naona nikikuita Pascal haitoshi Mimi nitakuita ZAWADI ya dunia kwa sababu watu kama wewe niwachache sana hapa duniani.Mungu akulinde sana .nimegundua kuwa nina kazi kubwa SANA ya kukuombea
@deogratiasgeradinigabaubar5991 Жыл бұрын
Mtumishi inderea kupiga kazi mungu ametuahidi katika ISAYA.54:17 yakwamba kila silaitakayo inuka juu jetu mungu mwenyeye atasimama.
@mosesmbaga Жыл бұрын
Sema baba tunakumbea sana
@janeth5378 Жыл бұрын
Mungu was mbinguni awe nawe mtumishi paskal watashindana hawatashinda mungu Yuko pamoja nawe
@marypeter2312 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu unaongea ukweli
@marisangaelifadhili3166 Жыл бұрын
Umesema kweli mtumishi WA Mungu
@calistustitus4566 Жыл бұрын
Injiri isiyogoshiwa injiri adimu katka nyakati hizi, blessing mtumishi piga kazi Yesu yu pamoja nawe.
@chrismudogo9574 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana mtumishi wa Mungu Paschal Cassian,barikiwa pamoja na uzao wako.
@TamariDusenge-oo5ig Жыл бұрын
Ameeeen sana mtumishi ,basi mimi nikikuangalie sikuoni wewe Pascal Bali ni roho wa bwana anae kuongoza ,Mungu akulinde ,Na neno la bwana libalikiwe .
@aimeebusime5849 Жыл бұрын
Amen ufunikwe kwa damu ya Yesu 😍😍
@WelfamPosiani Жыл бұрын
Ameen, Ubarikiwe saaaana mwinjilist cassian kwa kutufungua sote na wale wafuasi wa manabii wote wa uongo.
@dionisiabaynit2916 Жыл бұрын
Amen Amen Amen mtumishi wa Mungu, Mwenyezi Mungu akutie nguvu sana
@AMINAJOHN-tx5eb Жыл бұрын
Safi sana mtumishi piga kelele tuko nyuma yako big up kwako ❤❤ tuna jua jambo moja ukinyamaza unakufa ukiongea una kufa heli tufe tunaongea 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jaribuchussy4496 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi katika Bwana, kazi unayofanya vipingamizi vitakuwepo, mungu akutetee.
@bernadetteshukuru9154 Жыл бұрын
Amen amen amen ubarikiwe sana mupendwa wa Mungu kwa neno nzuri sema kweli yote apana kuongopa mwanadamu watu kama naawa ambawo wamejiita Mungu nima shetani mwanadamu awezi kuwa Mungu ata sikumoja akuna.
@eunicepilly802 Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇭🇧🇭
@RahabuAman-cu3vd Жыл бұрын
Mungu akubarik navuviwa nami kufanya kazi ya Mungu kama hiyo
@A9TZ Жыл бұрын
Amen mtumishi tunajua unapigana vita yakiroho mungu akupenguvu naujasiri usipepese 🧎🏻🧎🏻
@maryeer6392 Жыл бұрын
Na huo ndio ukweli, na Jina la Bwana wetu YESU kristo libarikiwe🙏🙏.🇰🇪🇰🇪.
@helenalosi7538 Жыл бұрын
Pascal!!!! Mungu aku piganie! !Hakuna kitu itakacho fanyika ku mwili yako unaYesu mwenye alishinda kifo yuko pamoja na we!Haleluyaaaaaaaaa!
@wivinemuderwa187411 ай бұрын
Yes yes haleluya jina njema.nabii mukuu yanani tisha kila siku wewe ni Stephane kubali ku pigwa mawe ila useme ukweli glory to God. Muimbaji kutoka 🇨🇩
@macklinampulule8135 Жыл бұрын
Be Blessed pastor for the wonderful Messages you provide to us. Am sure our God in the Heaven will bless you with your generation
@merinakassembe118 Жыл бұрын
We Pascal achana na Baba GeorDavie tena unashida kweli unaomba missada sasa ambae hangekusaidia ni Baba Nabii GeirDavienangekusaidia sana tuu lakini unamtukanmna
@SelinaDorcas8 ай бұрын
Ww nawe ni mmoja wapo uliye pofushwa macho hebu amuka usingini@@merinakassembe118
@beatricekannonyele9167 Жыл бұрын
Yaani mtumishi wa Mungu, hakika Mungu anakutumia. Maana kila ninaposikiliza mafundisho yako, nazidi kuimarika Kiroho. Mungu wa mbinguni akubariki sana na aendelee kukutumia ili tuponywe roho zetu.
@AnneeMarieRiziki6 ай бұрын
Kaka yangu Mungu agupiganiye mimi Niko Burundi nafata sana maubiri Yako sana
@hurumamwakitalima5728 Жыл бұрын
Ubarikiwe na Mungu akutue nguvu akufunike kwa Damu ya YESU
@KyalwahiMwengegilson-it8hn Жыл бұрын
Ameeen, na BWANA wetu Yesu alisema tutawatambuwa kwamatendo
@Eldevalujomwi Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na akupiganie katk kazi nzuri unayozidi kufanya mtumishi wa mungu
@AhobokileKapange Жыл бұрын
Mungu akurinde mtumishi wa mungu akufunike kwa damu ya yesu Amina
@EvaJoseph-r9x Жыл бұрын
Ameni .mtumishi mungu akutie nguvu kutuponya nafisi zetu
@jamesherbalclinic7665 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu yaani umefunua kitu na mambo ya kweli kabisa. Yaani Hawa watu wanazidi kuharibu neno la Mungu, kweli wanachukiza sana wanapojiita manabii na mitume wakati ni mawakala tu wa shetani. Barikiwa sana mtumishi Paschal natamani hata nikuone kwa uso maana ujumbe unaoutoa ni wa malaika wa tatu
@deboraleonard3441 Жыл бұрын
Haleluya haleluya haleluyaààaaaaaaaa yesu ni bwana wa mabwana yeye ni masii oh haleluyaaaaaaa
@TamariDusenge-oo5ig Жыл бұрын
Mwenye skio asikie ,Na mwenye macho aone ,be blessed mtumishi wa Mungu
@NeemaKipande-hr9rz Жыл бұрын
Ulinzi WA mungu utembee nawewe siku zote za maisha yako
@anna19805974 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Neno la Mungu ni kweli na hiyo kweli itatuweka huru. Mungu akubariki kwa kusema ukweli. Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa. Mungu atupe macho ya Rohoni na sio ya mwilini. Neno hilo linatoka 2Wakoritho11 sio 2TIMOTHEO 11
@KulwaAloyce-t3e Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu ,sema kwel tupone ee Mungu wa mbinguni tuokoe na dunia chafu
@StellaEmanuel-mu5vv Жыл бұрын
Haleluya mtumishi wa mungu sema kwelii ya mungu huu ukweli lazima uwaume wasiyopenda kwelii
@elizabethnicodemus5192 Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi ubarikiwe na mungu atusaidie 🙏
@yohanachalamila4144 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi uzidi kufundisha kweli ya Yesu
@NeemaKipande-hr9rz Жыл бұрын
Amina mtumishi WA mungu waambie ili Dunia iokolewe MUNGU akuepushe na wale wowote wanaokuombea mabaya
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Mungu akutunze na kkufunika kwa DAMU ya YESU
@margritkraeuchi8723 Жыл бұрын
Bwana YESU akubariki mtumishi wa MUNGU hallelujah
@meryfrank5272 Жыл бұрын
Mungu akutee kwa kwel kaz unayoifanya ni mzuri sana
@jenishungu9079 Жыл бұрын
Yesu kristo awé nawe akutunze siku zote mtumishi wa mungu
@damas5665 Жыл бұрын
Samahani dadangu "MUNGU "in capital latters 😢
@estawilison1372 Жыл бұрын
Isaya 40 mstar was 30 haisemi ivyo toma vzr
@jefridamanase4557 Жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda mtumishi wa Bwana aliye hai
@monicahnjeri257 Жыл бұрын
from kenya
@annewanyonyi-nb1zh Жыл бұрын
Ni furaha iliyoje kukaa katika ushauri chini ya mtumishi wa Mungu aliyena upako kutoka kwa Kristo Mwenyewe. -Neema ya Mungu iishiyo nyakati zote ikuongoze na itwae mawaa yoyote ya shetani muovu amaye kazi yake ni kuiba,kuharibu na kuuwa amen.👏👏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@angelinaeliakim4447 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu!!
@estermalembwamalembwa1936 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wamungu kwa kusema ukweli Tena kwa ujasiri mkuu bila kuogopa kitu chochote amina
@neillahKeneth Жыл бұрын
Ubarikiwe na mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na nchi na MUNGU aendelee kukulinda wakati wote nafurahi sana kila nikisikia mahubiri yako endelea kutufumbua macho ktk nyakati hizi za utandawazi
@KalistaMhapa-be7bs Жыл бұрын
Mungu akubarik sema watu wapone
@benardshayo3886 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa MUNGU nakuelewa sana tunahitaji mafundisho kama haya barikiwa Sana
@pendochibwae4982 Жыл бұрын
Wapendwa tusikubali IMANI zetu kuyumbishwa tuwe kama nyumba ambayo msingi wake ulijengwa juu ya mwamba tusitikiswe na chochote
@mcmvella4731 Жыл бұрын
Amen! Usiogope Maana Bwana Yu pamoja nawe.
@Ldm7846 Жыл бұрын
Huyu mtumishi atapewa taji na Yesu mbinguni ya kumetameta tukifika mbinguni watu wakishuhudia. Mungu akulinde Paschal
@francoisemashimango8177 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana tena sana sisi tuna kuelewa sana mtumishi wa Mungu
@NeemaJohn-ek8nf Жыл бұрын
Barikiwe sana mtumishi wa Mungu ujumbe mzito sana Yesu anisaidie kuelewa
@Gaynor1234 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu, ufunikwe na Damu y’a Yesu na uovu ukae mbali nawe kwa Jina la Yesu.
@HellenaMky10 ай бұрын
Tunakuombea kaka Mungu atawafunika wario wake. Mungu akufunike adi mwisho wa pumzi yako.
@emmanuelmabula1686 Жыл бұрын
Yaani nakupenda xn kk, kiukweli ulibaki kwa saa na nyakati kama hizi, nakuja kugundua Mungu alikukatalia kwa makusudi kama haya, baada ya ajari kk
@neemajohari77418 ай бұрын
Mungu wetu alie hai azidi kukupa maisha marefu kwakweli watu wa mungu kweli wako gizani 🥲
@mapendoumoja800 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kujaliwa neema yakusisimua roho za wateule kwa sikuzilizo mbaya
@charlesmaina360 Жыл бұрын
True Man of God 🙏 Fungua watu waone MUNGU wakwali
@geofreykalo Жыл бұрын
Uchoko tu
@bigtengwemela3153 Жыл бұрын
@@geofreykalo Mungu wetu yesu kristo akusamehe kaka
@deborakasisi5049 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@happykabaka8981 Жыл бұрын
Sema tupone hakika tupo nyakati za mwisho Mungu akuinue zaidi
@jackline6547 Жыл бұрын
Mungu akutumie sawasawa na neno lake usiogope Bwana yu pamoja nawe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ShemayaSimon Жыл бұрын
mungu akubaliki sana mtumishi kwa kuwafikishia ujumbe
@reilangenzi-ve9hl Жыл бұрын
Sema baba mcchungaj mungu akubariki
@ridiajofrey8276 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu paza saut na mungu akubarik haa haa chupi za upako
@mercygodia4084 Жыл бұрын
Amen. Mutumishi wa mungu mungu akupiganie
@jamesndunguru Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Cassian Ubarikiwe sana kwa Kazi njema, Kila silaha itakayo inuka juu yako haitafanikiwa,iwe ni uchawi,iwe ni Majini au mapepo na chochote kile kitakacho inuka kukudhuru hakitafanikiwa kwa Jina la Yesu.Piga Kazi ya Mungu kwa ujasiri.AMEN
@seperatusthomas6543 Жыл бұрын
Nimekua nikikufatilia kwa mda mlefu injili unayo ihubili niyaukweli piga kerere usiache kupaza sauti,zama hizi niza uovu,ubarikiwe sana
@francoisemashimango8177 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@sophiaesmarcharo9775 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
@mkombozikiliwa3678 Жыл бұрын
Cassiañi shida yako hàta uķisoma neno ķuhùbirì unàhùbìri ķitùķiñgene tòfauti naulichòsoma ñìkikuangalia ñakuoña kama unàtafita kiķì ķwàķùwasema watu maarufi hìyonjaa inakuua hubìri ìnjiri acha njaà
@mamertarweyemamu3438 Жыл бұрын
Kumbe na wewe joydevi sio mzuri. Mimi naona sura yako kuwa una mambo mazuri kumbe wewe ni mpinzani. Shetani ashindwe KwA jina la yesu. Kumbe na wewe huamini bibulia. Basi una mambo yako.
@gib3888 Жыл бұрын
Amen, amen may God bless you mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@damas5665 Жыл бұрын
Capital latters MUNGU "
@MarthaChuwa-o6b9 ай бұрын
Nakupenda we mchungaji unapasulia watu ukweli hujali Yani barikiwa sana na MUNGU akulinde tu uzidi kuwaumbua Hawa wanaouchafuwa ufalme wa Mungu
@osanamgallah4297 Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka ..moyo wangu unatamani sana na unanyenyekea mbele za Mungu ya kwamba akufunike kwa damu ya YESU..tunakupenda na tuko pamoja na ww
@CatherineMaita-du7dl Жыл бұрын
Niko Kenya Hila natamani ningekuwa karibu nikakusikiliza Kila wakati Hila hataivyo ninabarikiwa Sana, mungu alinionyesha. maono nikashidwa kuamini Hila kupitia wewe nimeamini yesu yuko langoni anachungulia. hendelea kutukubusha hili tutumbu tumungeukie mungu. mungu akulinde na mahadui.
@subirachristopher1984 Жыл бұрын
Mungu Akutunze sana kwa Jina La Yesu. uwe hai mpaka mwisho wa kusudi la Bwana
@annamganga7220 Жыл бұрын
God Bless You a man of God
@EmmanuelJamesmakwaya-df4fv Жыл бұрын
Mungu atusamehe pia Mungu akujalie uzima uendelee kusema nasi kiukweli namwamini Mungu nayaamini maneno Yako yananitoa machozi nawapenda sana wana wa Mungu
@angelinaeliakim4447 Жыл бұрын
Hata neno lenyewe la Mungu limeandikwa kuwa mambo yote yatapita lakini neno halitapita kamwe. Mungu akutunze mtumishi wa Mungu.
@winstonemsambazi9621 Жыл бұрын
Ni kweli yeye siyo nabii wa MUNGU aliye hai yeye ni agent wa ibilisi kabisa . Mbaya zaidi watu wamepofushwa macho hawaoni kabisa
Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni bwana.hongera mtumishi wa Mungu, namwaomba Mungu akulinde na akubariki sana
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
Toa hizo no. Kwa screen Ndo ntaona unaamaanisha Chokonoa wengine lakini sio NABII MKUU GEORDAVIE Yaani hapa unamsaidia kumtamgaza vizuri Watu wanazidi kumfuatilia na kumuamini zaidi Asante Kwa kumtamgaza NABII MKUU GEORDAVIE 👏👏👏👏
@jacklineanse1031 Жыл бұрын
soma Neno Rosemary usipoteze nafsi yako kwa kwenda kwa huyo nabii wa Uongo mm nakushauri Muombe Mungu akujaze Roho mtakatifu Mungu atakufunulia kuhusu huyo nabii
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
@@jacklineanse1031 wewe huyo Roho mtakatifu ulishameona?? Hata Yesu alitumiwa na MUNGU kama binadamu wa kawaida akazaliwa tena zizini sio hospital special akawatumia manabii kama Musa/Elia/na wengine wengi enzi hizo Hata NABII MKUU GEORDAVIE anatumiwa na MUNGU kama NABII wa Karne Hii Sina tashwisi yoyote kumfuata na kumuamini
@gigxjr9754 Жыл бұрын
Mungu akulinde,ata Yesu kristo alishambuliwa usiokope!
@keziaayidi Жыл бұрын
Hayo yote ni ukweli, bali tu Yesu atusaidie Amen. Wambie wote maana walipewa masikio na hawaattumii. Wanatumiaa jina la Yesu kinyumeamen amen
@yohanamp-ec7im Жыл бұрын
Mungu azidi kukutnza mwinjilisti sijui hata hao wanao amin manabii kama hao wanakamatka wapi WAKRISTO wenzangu tumludie mungu wetu wa wa kwel hata km atachelewa kutujibu lakn siyo kumuuzia maisha yetu shetani kupitia hao wanao jiita manabii, mitume wa uwongo
@annissdaprincess3846 Жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU
@milkamalavaga1002 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@hanamuson891 Жыл бұрын
Mungu awe mlinzi wako siku zote,msema kweli ni mpenzi wa mungu ni nyakati za mwisho manabii wa uongo wamejaa kona zote...
@FistonKubwimana-f6k Жыл бұрын
Unanena ukweli kabisa asante sana mkuu uko sahihi kweli mungu akuongezee juhudii uendelee kutufundisha neno lake bwana
@japhetonesmo Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana
@clararithamalima-ju4om Жыл бұрын
Wewe ni mtumishi kweli kweli wa Mungu YESU akutie nguvu mimi napenda sana mahubiri yako
@gigxjr9754 Жыл бұрын
Songa mbele Yesu kristo iko pamoja na wewe Amena
@MarcelAbeyo2 ай бұрын
Mungu aku bariki past
@shangwegwakyange3792 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu uendelee kusema ukweri ili watu wapone maana ninyakati za mwisho kaka yangu.
@mungoseme8775 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kamanda piga kelele, natamani na Mimi niwe za axcess ya mtandao ili Hawa matapeli wa Imani na wanadanganya watu nami niwashambulie. Maana Hawa wanaroga watu wasiione mbingu. Huu Ni wakati wa kupiga kelele watu wafunguliwe masikio na macho ya rohoni waelewe ajenda ya shetani iliyowekezwa kwa mitume na manabii fake.
@AnnMankovi Жыл бұрын
Ubarikiwe sevant of god
@BeatriceMwikali-b4r Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia toboa ukweli Ili watu waelewe neno wasichezee neno la mungu hata Mimi sitaabudu binadamu ila Nitamwabudu mungu pekee
@daudipaschal8149 Жыл бұрын
Amina mtumishi mungu akusimamiee barikiwa sanaa Amina kubwa munoooo
@francis_mark Жыл бұрын
Bwana Yesu akupe moyo mkuu mtumishi wa Mungu
@StevenMutale-xt9yj5 ай бұрын
Mungu akusaidie sana mtumishi wa Mungu
@jacklinewahome2416 Жыл бұрын
Dunia ya Leo,haitaki kuhubiliwa u kweri.may God give you more protection mchungaji.
@AnnaRafael-s5i Жыл бұрын
Hakika mungu amekutuma anaesikia naasikie roho mtakatifu azidi kukunena Amina
@ntirampebaloys8949 Жыл бұрын
Mung akubaliki mtumushi wa Mungu na akuonvezee nguvu
@guardianfinias Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana ukweli ndo unatakiwa uyu ninabii WAUWONGO ASILIMIA MIAMOJA ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏 mungu akulinde iposiki tu tutafanya uduma pamoja 🙏🙏
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
Aminaaa Aminaaa Mtumishi wa MUNGU alie hai! Sema sema mwenye masikio na asikie Roho asema na kanisa
@rodesimahenge8805 Жыл бұрын
Kweli huyu nabii mkuu kibaraka wa ibirisi
@noeleliasi8401 Жыл бұрын
Mungu hachangii utukufu na mwanadamu, one day yes atapofuka macho na kiburi kitaisha we ngoja tu, hawa ndo wamelaaniwa toka tumboni mwa mama zao, hawezi samehewa kamwe maana amekwisha kumkfuru Roho wa Bwana..
@monicasombe1821 Жыл бұрын
Amina mtumishi mungu akubariki sana,
@kingmhondela Жыл бұрын
Amina tukopamoja Paschal Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wewe ni mkweli, Biblia ndio Mwongozo pekee wa Mkristo kamili.
@ZakiaSeleman-z6x11 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪👍👍👍🤝🤝🤝🤝🙏👍👍👉🔥🔥🔥🔥🔥 MUNGU azidi kukuweka hai unasema ukweli tu
@enitamwashambwa2082 Жыл бұрын
Amina mtumishi usiogope piga injili tu Mungu yupo pamoja nawewe.