Huu ndiyo uhalisia kuhusu ushoga Marekani 🇺🇸

  Рет қаралды 19,782

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Жыл бұрын

Haya matukio yalifanyika mitaa ya West Hollywood, California, USA.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana na Mungu akubariki pia!
My previous video;
• Huu Ni Mtaa Wa Matajir...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #losangeles

Пікірлер: 99
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 Жыл бұрын
Allah nakuomba upokee dua yangu uwadidimize wahuni Hawa kama ulivo wadidimiza kama hawa zama za ruth
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Amiin
@anetkileo2461
@anetkileo2461 Жыл бұрын
Mungu tuponye na hii balaa kwa nchi yangu Tanzania maan hatutki kusikia hii dhambi kabisa
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 Жыл бұрын
Ammmin🤲🤲
@hamphreyalfred1156
@hamphreyalfred1156 Жыл бұрын
Mambo vipi wakwanza leo like hizo
@masengoclaude4932
@masengoclaude4932 Жыл бұрын
À sante sana bro! Na mimi pia nasema asanta sana kwa kutu tembeza kwenye mtaa mbali-mbali ya uko USA!
@mohamednyoka
@mohamednyoka Жыл бұрын
Oya bro mungu akujaalie uweze kutepeleka hta brasil
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 11 ай бұрын
Hivi nimewaza kitu,zile nguo za mitumba tunanunuaga,zingine si zimevaliwa na hawa jamaa kabisa.Mungu tunusuru wa Africa jmn
@DavidLucas-ou7vp
@DavidLucas-ou7vp Жыл бұрын
Thanks bro Jack God bless you too🙏🙏.
@kelvinanselimu1281
@kelvinanselimu1281 Жыл бұрын
ivi bro Hawa viumbe hawanaga ata hofu ya mungu asee 😂😂 au kwa sbb wana good life ndio maan wanaamua kumkufuru Hadi muumba
@omaryfoundation512
@omaryfoundation512 Жыл бұрын
Nakubali bro kwa taarifa mbalimbali
@Bish2Petrock
@Bish2Petrock Жыл бұрын
Naona leo umepita kimyakimya nasikia huko US ukikoment negative kuhusu hayo mambo inakuwa ishu si ya kitoto, bora tu uwe kimya.
@gioblu7860
@gioblu7860 Жыл бұрын
Keep the work going grande kaka
@reaganmautia
@reaganmautia Жыл бұрын
hello Jack👋,You are the best.i love and enjoy your videos 😊
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you!
@pauloropian2367
@pauloropian2367 2 ай бұрын
Hawa watu wanataka kuwaingiza Africa mkenge wao Wana act,kumbe siyo kweli,na Kama ni kweli "Mungu awalaani wote"
@sunkass7
@sunkass7 Жыл бұрын
Bwana jack na fans watu turudi kea mungu tuerewe facts za mungu mmoja wa kweli tusikaze mafuvu😭
@hallin9561
@hallin9561 Жыл бұрын
dah ila hawa washenz wazungu wanauchukulia ushoga ni big deal kabisa, they take it so serious 😔so sad
@novaelias5010
@novaelias5010 Жыл бұрын
Ebu mwachen jack azidi kutuonyesha maisha ya huko sasa wewe unaesema anaunga mkono hata sio kweli
@user-zg1hv1iy2b
@user-zg1hv1iy2b Жыл бұрын
Jaki nakufuatia sana najitaidi kusambaza kazi zako kwa malafiki mbalimbali ili wawe wanakufyatilia
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek Жыл бұрын
Respect❤
@mtume_katambi
@mtume_katambi Жыл бұрын
Kweli ni siku za mwisho
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Жыл бұрын
Hv huko america ninani anayeratibu maadhimisho haya,ni serikali yao au vyama vya ushoga,mana pesa wanatoa wapi au wanachangishana tu na serikali yao inatoa kibali?Yaan kicha kinauma lengo nataka kujua tu nguvu wanatoa wapi had likawa kubwa hivi na je wamarecan wote wanachukuliaje ushoga ndan ya nchi yao,ni sawa tu au wapo wanao pinga pia huko?
@Bin_Slyim
@Bin_Slyim Жыл бұрын
Hii ni official kutoka kwa raisi na serikal ya marekan imeweka kipaumbe kwa mwanamk, mtoto,shoga na majuz walipata mwaliko mashog Woote kwenda ikulu white house kula bata na joe Biden 😂😂😂 sas Toka Africa ujichangany uwaguse kwa ubaya hao watatu nliyok ambia utarud jina kwenu Maan hata viatu vyako vya Choon hawatov pata😂😂 ila mungu awalaani kabisa hawa mbwa
@chrisgabriel-mr5um
@chrisgabriel-mr5um Жыл бұрын
Mbona leo show nzima ulikua kimyaa?
@Bin_Slyim
@Bin_Slyim Жыл бұрын
THE DEVIL HAS ALREADY FINISHED THE WAR AGAINST USA LOL 😂😂
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Жыл бұрын
I see......😮😮😮sikujua haya.Du!
@mwasamiramedics2666
@mwasamiramedics2666 Жыл бұрын
My GOD protect my children.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@pascalmgassa8441
@pascalmgassa8441 11 ай бұрын
@Jack Wa USA Naona mpaka umekosa cha kuongea
@danielfesto489
@danielfesto489 Жыл бұрын
kaka hpo mwisho ndo umepuyanga hiyo mistar uloweka ni kama unawatetea hiv so mi nikushauri kuw sisi waafrika hatutaupenda ushoga na usagaji hata iweje kwakuwa unaishi huko ni wewee ni swala la muda tu lkn jua Mungu anachukia vitendo vyao zaid ya anavyochukia uzinz,uongo nk ingawaje acount ni yako but hii si sawa kwa tafsir ya hark ni km unasupoti hivi any way ni hiari yako.
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w Жыл бұрын
kasupport wapi wakt kaweka mistari ya bibilia inayokataka na kuwasihi watubu ww umeona mstari upi hapo kuwa kasupport ushoga?????
@stivmabando5661
@stivmabando5661 Жыл бұрын
Tuombe sana MUNGU
@elizabethsacri970
@elizabethsacri970 6 ай бұрын
😂😂😂 Oya Jack naon unawachukua Bila Uoga,Da America kweli mambo ni mengi ila Ushoga ni dhambi kubwa sana
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Ni jamii ya watu ambao tayari wapo so wawaache na mambo Yao tusijione sie wakamilifu au hii Dunia ni ya sie tu tusio penda iyo mambo, nachukia kusikia tz wanashitakiwa na kuweka ndani wakati huko MAGEREZANI wanaume wanarawitiwa je uko shoga anaeenda kukoma au kuzidisha ushoga
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Tumeingia darasani Tena
@tichaowdo_siba
@tichaowdo_siba Жыл бұрын
Aiseee Hali ni mbaya huko majuuui... Ila mbona hujaweka maneno mzee kama kawaida yako.
@kelvinbonface3399
@kelvinbonface3399 Жыл бұрын
What the hell is going on in Hollywood
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 3 ай бұрын
Sisi waafrika tuna mila na desturi zetu tangu mababu na mababu,ushoga cyo mila ya mwafrika kwahiyo wazungu wasituletee mila zao,hata mbuzi hawafanyi mapenzi ya jinsia moja
@ellyitete938
@ellyitete938 Жыл бұрын
Inasikitisha
@michaelthevisionary
@michaelthevisionary Жыл бұрын
😩😩😩
@ericmato9
@ericmato9 Жыл бұрын
Nimependa jinsi ulivyomalizi video yako.
@sihabahusseinmdee1102
@sihabahusseinmdee1102 Жыл бұрын
mbona hutupi maelezo hapa nini kinaendelea mkuu
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Leo camera iliangalia upande wambele tu 😂😂 we jack weee hatujakuzoea ivooooooo bana au sio wewe unae record kipindi.
@FainesKasuva
@FainesKasuva Жыл бұрын
Jack please nina swali naomba unijibu. Nchi nyingi kama ni mgeni huwez kuish kwenye hiyo nchi kwa mda mlefu kama hakuna kaz maarum unayofanya asa inakuqje pale mda waliyokupangia kukaa huko ukiisha na ukawa haupo teal kurudi nchini kwako. Jingine ni je ufanye nini upate utaifa katika hiyo nchi kama unataka kuamia jumla?
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Wasiliana na ubalozi wa nchi unayotaka kwenda ili wakupatie taarifa zaidi. Kila nchi ina sheria zake!
@elishambisse8790
@elishambisse8790 10 ай бұрын
Hello
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Жыл бұрын
Leo ni Kimya Kimya tuu
@sillentboy7757
@sillentboy7757 8 ай бұрын
aisee hii dunia huu ni mtego hapo walio wengi sio mashoga trust me ila wanatutengeneza sisi hasa waafrica kwakua tunapenda kuiga iga sana
@yourvideostz1579
@yourvideostz1579 Жыл бұрын
❤❤❤❤Mungu akulinde
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!🙏🏾
@businesstanzania
@businesstanzania Жыл бұрын
Duh Hali Ni Mbaya, Naomba Kuuliza, Kati Ya Maandiko Na Matendo Maovu Kipi Kilianza?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MATENDO MAOVU YALIANZA.
@samwesupa6906
@samwesupa6906 Жыл бұрын
Jack sema neno moja tu kuwaponya
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Roho wa Mungu awatawale ili watimize kusudi lake!!🙏🏾
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 Жыл бұрын
Ama kweli Mashoga wananguvu huko USA 🇺🇸 mpaka ulinzi wamepewa kwa shughuli yao hiyo🤔😁☹
@user-kb2oe3nw4k
@user-kb2oe3nw4k Жыл бұрын
Jack naitaji demu wa kimarekani
@user-sj7en5xx9h
@user-sj7en5xx9h 4 ай бұрын
emungu baba dunia inaenda wapi
@billtv3342
@billtv3342 Жыл бұрын
HII NI VIDEO YA KWANZA JACK AJALETA MDOMOMDOMO KAMA VIDEO ZINGINE 😂😂😂😂 KIMYAAAA MWENDO WA MNUNO BUKU JERO UNAMBIWA 😂😂😂😂
@IbrahimKipaga-xj3lb
@IbrahimKipaga-xj3lb Жыл бұрын
Kak me nataka mwendelezo wa Tylor bhna mmeishia wap
@KIMSwahili
@KIMSwahili Жыл бұрын
Eti mzungu ana akili sana !!.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Hawa wote ni wasenge au?
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 2 ай бұрын
Labda
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Nmemwona mwanaume kama mwanamke kavaa kikahaba kabisa
@johnbanda6601
@johnbanda6601 11 ай бұрын
Duuu
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Daah yani apo ndo taifa moja tu hiv ikitoka kauli ya mashoga wote duniani wajitokeze hadharani, nadhani mwanaume atabakia Baba yangu tyuu🙄😎🤗 LOL....
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
jiheshimu kwa iyo wote sie mashoga au sio funga kauli yako
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
@@ChoroTesla hiyo umesema wewe, 🤣🤣 ndo mnazidi kuisha tu..
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
@@tiffanyakramJr822 haya taifa la watu 350milioni wote wawe mashoga si kweli basi hawazaliani
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
@@ChoroTesla ukweli utabakia kwenye kuuona , mashoga ni wengi na wanaume wanao alisha ni wachache Babangu akiwemo apa ulimwenguni
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
@@ChoroTesla ukiisoma vzr msg yangu apo juu ungeelewa, Ila wewe ulielewa la baba tu
@PMEC_ENGINEERING
@PMEC_ENGINEERING Жыл бұрын
Habari kaka, naomba kama utaweza kuwahoji wahusika ili tuweze kujua fikra na mtizamo wao kuhusu Jamii Yao What do they believe in, Do they believe in nature, why do they think what they are doing is right? Would they recommend their kids to do the same?
@tichaowdo_siba
@tichaowdo_siba Жыл бұрын
Hii mzuri
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj Жыл бұрын
He will be in jail
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj Жыл бұрын
Devil 👿 run around them
@nyovestkaslati5971
@nyovestkaslati5971 Жыл бұрын
Niliwahi kumeet na shogaa tukaenda mpakaa ndan ile kuvua issue ikagomaa😢 kusimama aisee kutombaa shogaa kipaji au lazivyo uwe mshilikinaa yaaan dudu yangu iligoma kabisaa kusimama tokea hapo hawa watu staki hata kuwaona aiseee
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Жыл бұрын
umekutana na shoga ukaenda mpaka ndani?!! Hadi hapo ulipofika ni mbali sana
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 10 ай бұрын
Kama kweli ulikutana nae, ukaelewana nae kwenda kulala nae na hadi hatua ta kufanya tendo, basi wewe ulifika mbali sana! Ila kwakuwa hukushiriki hiyo dhambi, basi mshukuru Mungu na usirudie kukaribia hiyo dhambi tena! Amina!
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 10 ай бұрын
Kama kweli ulikutana nae, ukaelewana nae kwenda kulala nae na hadi hatua ta kufanya tendo, basi wewe ulifika mbali sana! Ila kwakuwa hukushiriki hiyo dhambi, basi mshukuru Mungu na usirudie kukaribia hiyo dhambi tena! Amina!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
USENGE WANAONA SIFA MATUNDU YAO YA MIKUNDU HAYOOOOOOOOOOO HAYOOOOOOOOOOO 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-fx5gu6xs5o
@user-fx5gu6xs5o 10 ай бұрын
Jalibu kupunguza ukali wamaneno sio kuongea kana kwamba sote niwavuta bangi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
@@user-fx5gu6xs5o BORA MVUTA BANGI KULIKO HAO MASENGE NIPUNGUZE MAKALI KWA SABABU WAO WAZUNGU??? AU WEWE UNAUNGA MKONO HAYO MAMBO AU WEWE MWENZAO???
@peterchilumba739
@peterchilumba739 3 ай бұрын
Kwahiyo USA nchonyo sio mali kabisa?
@hazalioinvester3362
@hazalioinvester3362 Жыл бұрын
Sodom and Gomorrah
@Laizer3
@Laizer3 2 ай бұрын
Wauwawe tu
@geoffreyminda8876
@geoffreyminda8876 Жыл бұрын
Devil at work. Shetani ashindwe
@kungugeni
@kungugeni Жыл бұрын
Lengo lako la kuongesha huu ushetani unaitaji mini au na wewe umepewa pesa uonyeshe maudhuhi ya kishoga. Koma kabisa kulusha mambo haha ya ushoga
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Nomasana M/MUNGU atuepushe nahili balaa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
NGOSHA SHTUKA TAFUTA HELA ULETE NYUMBANI HIYO NCHI NJAA TUPU NCHI GANI HINDI LA KUCHOMA DOLA KUMI KAMA SI NJAA BAADA YA MIAKA 6 AU 7 UTAPAKIMBIA HUKO HAWANA UCHUMI HAO KAZI KUIBA NCHI ZA WATU HIYO USA ITAKUWA MUFLIS NGOJA PUTIN NA WASHIKAJI WAKE WAMNYOSHE MKATE UTAKUWA DOLA MIA 2.
@wakuitwangosha
@wakuitwangosha Жыл бұрын
Umeandika pumba sana
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Simple math, Mfano Tanzania umelipwa 10,000 kwa siku ukanunua muhindi wa 1,000 unabaki na 9,000. Na USA umelipwa 100,000 kwa siku ukanunua muhindi wa 20,000 unabaki na 80,000.
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
ukiwa unafanya matumizi marekani ukaaanza kubcalculate na hela ya Tanzani utakua unamia roho kumbuka ni mataifa mawili yenye uchumi tofsuti
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc Жыл бұрын
ZEROBRAIN WEWE
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
@@FrankKashamakula-xb1pc WEWE MSHAMBA HUELEWI MAMBO MPAKA YAFIKE.
@user-zg1hv1iy2b
@user-zg1hv1iy2b Жыл бұрын
Iv uko mashashoga wanaluhusiwa kabisa
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 403 М.
How to get into the World's Most Exclusive Club (Berghain)
13:52
Zac Alsop
Рет қаралды 4,3 МЛН
Leo niko area ya wakenya. Huku tume dominate sana!!
24:01
Huku Yues
Рет қаралды 419 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН