Tumechoka kilakitu huyu mama anauza da mungu atashugulika naye sisi watanzania tutalua na mungu
@marandoruzali1946Ай бұрын
Mungu ibariki Tanganyika
@HemedMasoud-z8i2 ай бұрын
Ndoo maana katiba mpya ni kaa la moto kwa serikali hii kuikuikubali.INSHAALAH haki itakuja na ikaribu.
@hildandumbalo5827Ай бұрын
Lisu barikiwa sana umesema ukweli
@henrymligo2440Ай бұрын
sahihi
@giftkalenge418Ай бұрын
wazanzibari mdai katiba mpya akija raise was Tanganyika atalipa kwa kuuza visiwa hivyo
@CastrolSebastian2 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania viongozi na watu wake , waepushe na tamaa mbaya
@LandisyАй бұрын
Lisu tunakupenda sana.
@hildandumbalo5827Ай бұрын
Ajiuze na mwenyewe na family yake sio laslimali za Tanganyika tu inauzwa sad kizimkazi iuzwe pia watu wanashida kufukuzwa kila upande Mungu anajibu soon nina uchungu sana
@leonardlameck7486Ай бұрын
Mbona huko kwao Zanzibar hatusikii chochote alichokiuza, ina maana wao hawataki faida? Kuna watu hapa miaka ijayo watakuja kutafuta pa kwenda kuishi kwa madudu yao wanayotufanyia Watanganyika, Tanzania ni kivuli cha kutupora raslimali zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu, iko siku tu
@MagrethKatondo-qs9oz2 ай бұрын
Mambo mazito haya Mtanzania maskini hakika hana haki. Ee Mungu haki ya taifa hili iko mikononi mwako baba. Utuhurumie.
@melichmahingule28962 ай бұрын
Yesu arudi tu
@SharifuMsawanje2 ай бұрын
Tundu lisu yupo sahihi uyu mama anazingua hawezi kuongoza ni Bora awachie wanaume yeye ni mama tu aendele kuvaa siketi mdogo family kt mtwara tz
@FrankMashoto2 ай бұрын
Eeeh, haya makubwa tena!.
@YusuphassanSaidd2 ай бұрын
Mh!! Nchi lnakokwenda nipabaya sana
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Jamani akauze kwao Zanzibar mbona anatufanyia hivyo kama ni kweli hii maajabu
@ValentineFrisch2 ай бұрын
Jamani huyu sio mwehu anachokisema anauhakika nacho na kama ni uongo mbona hawachukui hatua??
@Gaynor12342 ай бұрын
Huyo mama kauza nchi yote na watu ndani yake, majitu yapo yamekaa kimya kama vile hawapo. Na huyo mkuu wa majeshi atakuwa mzanzibari mwenzie la sivyo angekuwa mTanganyika angekuwa amejiunga na wananchi yaani waTanganyika.
@ezekielmatondane7142 ай бұрын
Kweli
@RizikiMlelaАй бұрын
Akimariza kirakitu anarudi kwao zenji
@samwelmohonge45732 ай бұрын
😢😢😢😢
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Makubwa haya mpaka Viwanja vya ndege vinauzwa kwa Waarabu Mungu kitu gani hiki
@JOANESSLVESTAR2 ай бұрын
Saw
@fortyyellu99712 ай бұрын
ASante tundu.. ni kweli kabisa
@Bilioneabichwa3312 ай бұрын
We anti pasi umejuaje?
@gidongailo71742 ай бұрын
Kwahiyo mtangazaji hukuwa na habari hii ya zamani kabisa. Tuniulize Watanganyika huyu anapotaka kugombea anataka kuja kumalizia nini hasa alichokiacha?! Kama tungekuwa na jeshi la kizalendo kama vijana wale akina Traole ingetosha kufanya kitu, lakini jeshi letu linahitaji kukombolewa kwanza kutoka kwenye makucha ya sisiemu
@BraxedaDomina-xn4zc2 ай бұрын
Kbs
@ChristerKoku2 ай бұрын
Mnashangaa nini kuuza? Ndugai si alishasema.
@YohanaPetro-xv9tp2 ай бұрын
Kama niuongo Wampeleke mahakani lisu hafungwi kizembe Anacho kiongea anajiamini huyu mama Ataiuza Tanzania yetu
@JaphetMulungu2 ай бұрын
Watanzania tusipuuze hayo maneno ya lisu.tukumbuke hata wakati wa raisi aliepita yalisemwa maneno na badae ikawa kweri
@aronimanirakiza56552 ай бұрын
Namukubari. Lisu. Hawed kusemauongo
@bensonkaduvage95492 ай бұрын
Tundu Lissu, "toto-tundu" you our Salvation, the serviour of and for recovery of our "lost Tanganyika and our Natural reources now being being sold left & right". Tell us the people, owners of our beloved Tanganyika" We morn and cry for our land, and long to see the day when we shall recover our country.
@RobertMwemezi2 ай бұрын
😂😅😅
@yonazimpombe11602 ай бұрын
RAISI HASHITAKIWI KWA JINAI LAKINI MADAI TUTAENDELEA KUDAI MALI ZETU ........ na raslimali za Tanzania zitalindwa na watu WA bars na sio wanzanzibar .... pale kia CHINI yake Kuna MADINI ya Tanzanite
@SinarahaNtaraha2 ай бұрын
Kama serikali inakanusha huu usemi impeleke lisu mahakaman tujue jambo hili
@SuleimanMussa-x5i2 ай бұрын
Nyie wabongo ni waongo
@mohdhussein45482 ай бұрын
Huyu mama s rais wtu kbs amechuma mal anapeleka nchi yk
@JoyceKabula-in1sh2 ай бұрын
Hahasema uongo anakujua see we ndo dume la simba pokes mauwa yako mbowe na we pokes mauwa yako kwa kutuletea tundu lisu
@OliveryHagite2 ай бұрын
Vijiji vya KIA Kilimanjaro navyo viandamane mara moja
@OliveryHagite2 ай бұрын
Wamasai wamesahau hoja Moja ni katiba, kurudishiwa serikali ya Tanganyika Ili Watanganyika na wamasai wawe salama.
@sylvestercameo62632 ай бұрын
Si kila kitu wafanye wamasai, wewe umefanya nini?Acha akili tegemezi!
@MagdalenaMagere2 ай бұрын
Inatisha
@BraxedaDomina-xn4zc2 ай бұрын
Hv jeshi lipo wp jmn litusaidie
@sylvestercameo62632 ай бұрын
We mtangazaji acha unafiki, eti "sisi hatufahamu kama aliyosema ni kweli au la"! Pumbavu wewe, maadili ya taaluma ya habâri ni pamoja na kuchunguza ukweli au uongo wa habari husika. Sasa wewe unatulishaje habari ambayo huna uhakika nayo? Unajitoa halafu unatutaka sisi tucomment! Acha uzandiki, acha uchochezi!
@kassidpandu8662 ай бұрын
Fitna Tu hiyo haikusaidii ili upate Nafasi yake
@JoelRichard-hj3bi2 ай бұрын
Huyu Rais ni mzigo kwa Rais ajae,Maana kuvirejesha vyote hivyo itamchukua gharama kubwa mno,Hii ni zaidi ya kufisi nchi Tundu lissu hajawahi ongea uongo haya maneno yasipuuzwe kabisa.
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey2 ай бұрын
HUNA SERA SIO MAPYA HAYO KUMBUKA KABLA ULISHASEMA UMENUNA KUITWA DUME LA SIMBA KAMA HILO TUKWITE JIKE LA NGURUE AU SOKWE MAANA MMEFANANA SANAAAAA