Mzimu wa jpm umeanza kufanya kazi ya kuwazindua viongozi waliobakia, big up ndugai.
@georgebenard39232 жыл бұрын
Watanzania ebu tuunge mkono kilicho kweli, tusiwe wanafki uyu baba ni mkweli sana, jobu uko sawa sana
@storytownTv2 жыл бұрын
"Lazma tufike mahala tuambizane ukweli.. msema ukweli n mpenzi wa Mungu" hii kauli bado inaishi ndan yangu RIP JPM
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Kweli kabisa
@peterdeus60932 жыл бұрын
Kwel ila swali ni kwamba umefanya nin mpaka sasa kama kukumbuka hii kauli
@braythonkidiga273 Жыл бұрын
Tumefunguliwa macho tuone tumefunguliwa masikio tusikie. Ila Tanzania iih akuna rais kama magufuli
@mutijimacedrick16222 жыл бұрын
I been miss you my hero...sun of Africa no body like you I have seen in this generation...indigo child.,prophet..mtakatifu katika ukuu wa mwaafrica
@isikesamike2 жыл бұрын
Baba baba baba baba 😭😭😭😭 Magu baba Magu baba Magu baba 😭😭😭😭😭
@kiyabolnjemu96462 жыл бұрын
Sisi siyo wa kupuuzwa! We're so rich! Rip superman MAGUFULI
@kasimukulama62142 жыл бұрын
Duhhh,yaan mung altupa kiongoz,but nabii hakubalik kwao majungu kibao mal hil mala vile katolewa sadak now tunalia tu
@frbm17292 жыл бұрын
Ndugai yupo sahihi 100% Sema watz wamelogwa fahamu zao akili zao ni kumshambulia tu bila kuchambua.
@simonnick12422 жыл бұрын
Asante ndugai kwa kukumbuka yaliyosemwa na baba magufuli yawezekana amekushitua hayukonasi kimwili ila kiroho yupo mnapoenda kinyume anawakumbusha Asante sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jazzymkalitv55352 жыл бұрын
Mzimu wa Magufuli wamuingia Ndugai. 🤣🤣🤣 Siamini masikio Wala Macho yangu. Asante Mungu wangu. Watanzania twateswa na wenye nguvu. Hakika Magufuli anarudi taratibu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@frankmakomba3782 жыл бұрын
Sasa si hata Mimi nashangaa, lakini Acha Tu, kwani afadhali huo mzimu wa Magufuli umwingie sasa kuliko usimwingie kabisa.
@paulinacherement25342 жыл бұрын
AMIIIN na yatakwisha
@happymakoye23292 жыл бұрын
St. JPM saint of our days. May God be glorified through the life of his servant JPM. God glorify your Name.
@deodatusmagagura67932 жыл бұрын
We glorify our almighty God
@paulinacherement25342 жыл бұрын
God is good RIP magufuri we willl see in the CLOUDS.
@anathorykajwahulakajwahula5940 Жыл бұрын
True. God and justice is seen through this man and his leadership. RIP JPM.
@storytownTv2 жыл бұрын
Ndugai keep it up .. naanza kuuona mwanga kwako toka Giza limeingia baada ya kifo Cha JPM
@evansowino56722 жыл бұрын
Watanzania walipoteza kweli.Viongozi kama JPM wako wanadra sana humo bara la Africa.May JPM's soul rest in eternal greatness
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Amiin
@fransicmushenyera93022 жыл бұрын
TUNAKUKUMBUKA R.I..P.JPM
@yassinkarera2636 Жыл бұрын
@@fransicmushenyera9302qqq
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima mwendazake hayati magufuli mungu ibariki Tanzania
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Ndugai... Ndugai.... Sasa umerudi kwenye mstali wa Muhimili wa Bunge.... Wana CCM wengi kwa hili tunakuunga Mkono .. Usiyumbe... Sema na simamia kweli... Utafuta makosa yako mengi.. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Sasa hivi sekta nyingi rushwa mtindo mmoja tutamkumbuka sana hayati magufuli mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi
@peterjanuary79722 жыл бұрын
Duh huyu jamaa alisimama vema sana kulitetea nchi kwa kuonyesha uzalendo wa kweli mungu ampumzishe mahara pema peponi amina. Sasa nasema hivii tuliyojifunza yoote kwenye uongozi uliopita wa baba JPM tutahakikisha tuliobaki tunasimama vema kulitetea taifa letu. Mungu ibariki tanzania 🇹🇿🙏🙏.
@edisonpeter38942 жыл бұрын
Chuma cha PUA JPM. Nakupenda mzee hadi nahisi kupata presha
@chubwadeogratius12392 жыл бұрын
Hongera sana kiongozi Ndugai usipitee ulitaka kupotea ulipotetea Bandari ya Bagamoyo aliyeikataa Mzalendo Jpm
@ikulunimahalipatakatifu76422 жыл бұрын
Hapo mzee Mh Ndugai uko sahihi ..
@richardchuwa4402 Жыл бұрын
Mama hawezikuzikiliza hizi clip?
@sometimes56212 жыл бұрын
Hakika tulikuwa na Mzalendo wa kweli Tanzania. R.I.P. John Magufuli
@serviourdomician8158 Жыл бұрын
Kilikuwa kizazi Cha dhahabu will never exist
@augustinokahinda39392 жыл бұрын
MAGUFULI alimvamia ndugai paaap afu akachomoka Tena But all in all R.I.P MAGUFULI ulikuwa nabii na shujaa mkuu ktk hili taifa Ngoja Mama apige KAZI kulingana na uwezo wake
@barakarobert10292 жыл бұрын
Noma sna hii
@michaelbennady2232 жыл бұрын
Mungu akuweke Mahal pema pepon baba hakika ulisimama kujenga nch
@amishadykiswaga10772 жыл бұрын
Mungu mrehem JPM. RIP great hero
@jeanbigimana87342 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 mume poteza nasioni kama mutapatamwengine kama baba MAGU
@Fabulousmom5092 жыл бұрын
Ndugai amesema kweli kwa hili... Ila ile ya Bagamoyo alichemsha, R.i.p Mwamba mzimu wako unawarudia kwa kasi JPM
@thomastarimo Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa kutufungua akili zetu zilizo kua zime zizi
@babusadala57322 жыл бұрын
Na bado tutamkumbuka sana 😢😢😢😢
@gibeshidickson Жыл бұрын
Haya yamerudi zaidi tupigwe tu
@shadrackjoel23932 жыл бұрын
Yaani huyu mwamba mungu akuweke mahari pena peponi huyu ndy alikuwa shujaa wa africa big up sana jpm
@mohamedngoi1612 жыл бұрын
Truly you were the President, always you spoke the truth
@DavidMMKing2 жыл бұрын
Usalama wa taifa na jeshi la wananchi yaani walishindwa kumulinda JPM mpaka kauwawa kirahisi hivi na hakuna hatua yoyote mpaka sasa. Tunadanganywa ati kafariki kwa tatizo la moyo. Afu tunatishwa ati leteni ushaidi tutasikilizwa. Hivi kweli usalama wa taifa ushaidi hawauni au hata jeshi Kisha ingiliwa na vibaraka!!! Waliohusika na kifo cha JPM, lazima wapate haki yao, mda utafika tu. Mungu sio Athumani. RIP JPM 🙏 🙏 🙏
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
Tumuombe MUNGU TU TATIZO KIGOGO KILA IDARA YA SERKALI KAWEKA MTU WAKE WA UHALIFU INASIKIKA MUHIBMILI ANAMTUWAKE SPESHO WA KUUA WAKUBWA WAZALENDO K NDEGE ABA KUNDI LAKE LA KUPITISHA MADAWA YA KULEVYA JESHI LA POLICE ANA KUNDI LAKE LA KULINDA OESA FEKI NA MAJAMBAZI YAKE TUMUOMBE MUNGU IPO SIKU MTZ MOJA ATAJITOLEA ANACJOTAKA MUNGU NA ATATEKETEA KAMA MABUTU SESEKO IN SHAALA KWS MUNGU YOTE YANAWEZEKANA
@frankmakomba3782 жыл бұрын
Nimesema hata Mimi hata kuchoka, Raisi wa inchi kafa bila kuyegemea na meelezo ya juu juu Tu. Hakuna kamati kuchunguza kifo chake. Watanzania wengi hawaamini sababu ya kifo cha JPM.
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
@@frankmakomba378 na itawasumbua sana kuhusu kifo cha daddy MUNGU SI YUPO KWENYE WAWILI WA TATU JE VIPI UWEPO WAKE KWENYE KUNDI KUBWA HILI LINALO DAI HAKI YA DADDY?
@bienfaitlongangi45822 жыл бұрын
Una sema kweli ndugu.sisi congo zamani inchi ilipigwa mnada.Jpm mwamba kweli.
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
@@bienfaitlongangi4582 moyo wangu hauna ngozi KWAAJILI ya JPM YANI UPEPO UNAPITA TU KWENYE MOYO WANGU NDIVYO SIVYO NDUGU YANGU
@jkass7572 жыл бұрын
Magufuli katika mengi, tulikuelewa vizuri tuna kufurahia. Kama binadamu kuna mapungufu ulifanya ila, 75%+ ulituonesha njiaaaaa. Tunakukumbuka sana, Msemakweli na mtendaji kazi
@aldomlowe25872 жыл бұрын
Ndugai your good in every thing you have said. This is what even Magufuli could have say. Thank you for remainding us
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
! E. . R u
@michaelbennady2232 жыл бұрын
Hapo mweshimiwa nimekuelewa Sana
@gracegrace62002 жыл бұрын
Ni vigumu sana kuifuta legacy ya Hayati Magufuli. CCM ama Chadema wana kazi kubwa kuliburula jina la Hayati MAGUFULI kwenye matope. Tanzania alikuwa na Rais. Kwa sasa tulie tu.
@kambamazig020243 ай бұрын
Alikuwa na vision, hakuna kiongozi kama yeye bali Mwalimu Nyerere.
@akbarsuleimanmdimilage8371 Жыл бұрын
Brother hongera umethubutu shukrani sana ndugai mungu mkubwa bola fedheha kuliko lawama
@nestor3842 жыл бұрын
Prof. JPM -the genius Asante sana JPM kwa mbegu ya uweza uliyoipenda ndani yetu. Asante Mhe. Job Ndugai kwa ujasiri kukisema kilichoko moyoni mwako na hisia sahihi za kupinga WAHUNI
@alexismukalay8840 Жыл бұрын
I am Congolese by the way, I like this Man anticolonialiste , his soul rest in peance always.
@johnate2 жыл бұрын
Mpaka 😭 sana daaa
@reubenhizza2 жыл бұрын
I miss those moments when we were proud to be Tanzanians.
@samateryusuf4345 Жыл бұрын
You can be proud now , who's preventing you , you can run your mouth , it's free
@thomastarimo Жыл бұрын
Daaa mungu wasaidie hawa watumishi wako
@thelonewolf44292 жыл бұрын
THE APOSTLE ST JPM
@ustadhabdulkariimpuma89532 жыл бұрын
'Issue sii kuwa professor issue ni commitment ya moyo wako wa kuweza kufanya kazi'
@costantinochibago5912 жыл бұрын
Mungu akupe mapumziko mema kimwili hauko nasi ila kiloho tunaishi nawe
@pendomarco89282 жыл бұрын
Amina baba Yangu Magufuri hakika wewe ni kiongozi wa kuiga, makinikia je?
@thomasandrewpembapemba14852 жыл бұрын
Hakika mzimu wa magufuri umekuvaa safi sana jb ndugai kilalaheli 🙏
@epafrangweshemi40142 жыл бұрын
Roho ya MAGUFULI izidi kuota na KUKUA NDANI ya fikra za watanzania na waafrika kwa ujumla.
@pendomarco89282 жыл бұрын
Mungu twakuomba tusaidie nchi yetu, pia mrehem JPM aliko
@mmarynicolaus98372 жыл бұрын
Amen
@linusdavis90722 жыл бұрын
Tukiziungama dhambi zetu na kuziache Mungu wetu ni mwaminifu atatusamehe Ndugai ameacha dhambi wazalendo wengi wako wako wapi jitokezeni tukomboe nchi Dear Camandor Magu rest in peace umetuonyesha njia
@jumakapilima56742 жыл бұрын
Moja ya hotuba bora kabisa ya Mzee baba RIP!
@scolasticakaduma51432 жыл бұрын
Hongera Sana Ndugai toboa Watanzania tupone. Mungu Baba akubariki.
@officialoboytz30962 жыл бұрын
Mungu akupumzishe kwa aman mzee wetu
@frankieirenge10142 жыл бұрын
Na Sisi tumeona mama ana enda vibaya. Baba magu tuta ku kumbuka. Asante Dungai.
@andersontibendelana53252 жыл бұрын
Mm ni mtanzania ila kwa ujumla huyu mama simwelew hata sufuri,ivi nchi iv rais amepata wapi na ujasili gani wa kujipa awamu ya sita wakat yeye anatakiwa amalizie miaka ili akichaguliwa aite awamu ya sita kweli Raisi ametukosea Sana watanzania,
@markohaule15132 жыл бұрын
Tanzania is a rich country,Let us use our resources to enrich among our selves, rather than depending on getting loans from outside countries that will not benefit our country and its people as a whole.The passed president John Pombe Magufuli told us to be aware with that loans we get from Western countries.
@lugelosanga57982 жыл бұрын
Inauma Sana huyu mtu
@mahmoudsaidy26772 жыл бұрын
R.I.P Chuma😭
@issaibony34742 жыл бұрын
Lakini jamani J.m.p....alikua mkweli 😭😭😭 Ningumu Sana kuamini pale tu jambo linapo haribika gafla lazima akili ziende likizo to. Huyu jamaa ndie alikua raisi wakweli kabisa aseeeh ❤️
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Kwa ukweli wake ndio maana akampiga risasi za kinyama Tundu Lissu kisa kusema ukweli tu .Jee Ben Saanane yuko wapi katoweka wakati wa makufuli kwa kusema ukweli tu kijana wawatu yule ,Jee unajua kisa cha Mkaguzi mkuu wa mahesabu wa serikali kilichompata Profesor Mussa Asad ni kubaini wizi ufisadi mkubwa ambao haukawahi kufanyika Sfrika Mashariki na kati kwa rais yeyote kwa serikali yeyote EA na central hela imetolewa hazina na mtoto wa dada yake Deoutras trillioni moja na nusu kwenda Ikulu ya Makufuli na baada ya kufika hapo imeyeyuka haikuonekana matumizi yake baada ya mkaguzi kuweka wazi ufisadi huo alifukuzwa ofisini tena kwa kukiukwa sheri na katiba ya nchi ni mengi mno kaka .Yeye akisema hakopi lakini katika awamu yake ya keanza tu amekopa trilioni 28 kwa miaka mitano hela hizo wenzake walizikopa kwa miaka kimi vipi hapo?Miradi yote iliofanywa haikupitishwa na bunge ukihoji watu wasiojulikana wanakukumba na huonekani tena vipii hapo? Jee huyo mkuu wa mkia Makonda ana utajiri wa kutisha mno vipi hapo
@georgebenard39232 жыл бұрын
Uuuuu ndio ukweli ukiwemo na wa jobu ndugai, tatizo ccm imeshindwa kubalika, 2025
@gmkjordan94652 жыл бұрын
we nijembe mzeee tutakukumbuka milele daima rip lakini ndugai Kama anamsimamo Kama wako nchi itaenda baba
@johnwilliam49602 жыл бұрын
Mimi bado naishauli hii selikali ya mama yetu samia mfalume wetu magufuli alisema laana itawa watafuna mki wa nyanya sa wamachinga Sasa yana timia maneno yake nani kama magu nani mzalendo wa nch hii kama magu naumiaeasana
@saigonernest7631 Жыл бұрын
Tujuane tunaojikumbusha
@saidimkurago68932 жыл бұрын
Daaah huyu mwamba tutamkumbuka sana kama kuna watu wabaya sana basi niwasomi wa inchi hii nivilaza vibaya ndio wanapenda vitu rahisi rahisi hawataki kuumiza kichwa wao mikopo Tu nakuwaabudu wazungu hakuna maendeleo bila maumivu mfano haya kwenye ngazi ya Kaya Tu ukitaka maendeleo lazima uumie iweje kama inchi tupende vya Bure Tu inaumiza sana
@judicalosika76422 жыл бұрын
🇮🇱upo sahihi upo sahihi✓
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mungu akuweke ndugai malipo hapahapa hapa duniani..daa ukweli unaumaa we mungu tuhurumie hata mtwara ilipandwa nazi na mikorosho kwa viboko na wareno, wazungu..warabu Larkin leo hii hawapo walowachapa walisha kwenda zao lkn nazi na mikorosho vinatumiwa na wenyewe Lind.. mtwara etc. Hatujifunzi jaman.(.aheri kutoa kuliko kupokea) Mungu mwenye huruma tuhurumie.
@emmanuelowiti82172 жыл бұрын
Baba uliyotabiri,sasa yametimia ila wanafki wanawaponda wazalendo,R.I.P JPM 😭😭
@salimalaquimane30772 жыл бұрын
I really miss you papa 😭😭😭😭😭
@kambamazig020243 ай бұрын
Wanaoguswa na haya hawawezi kufurahi! That was a statement, tunakoelekea ni kubaya. God rescue our beloved country! We are back to Ruksa on a steroid! Where are we headed my beloved country?
@nassarrostom19192 жыл бұрын
JMP❤❤🇹🇿🇹🇿
@suleimankisuda75032 жыл бұрын
Duuh kweli mzee waambie
@midalaramadhani29972 жыл бұрын
Ndugai oyeeeeeeee!!!!!
@yusufchaula86642 жыл бұрын
Mtu mwenye umagufuli ndie anaetufaa kua rais wetu
@jumanassoro15522 жыл бұрын
Walamba asali msoga timu majipu wamerudishwa na bibi sura nzito mungu akulaze mahala pema peponi jpm amina
@barakamwamtenga24482 жыл бұрын
Naishia kuumia tu 😭😭
@silaskojwando2450 Жыл бұрын
Mr:Ndugai ,your words carry hope,but there is agreat war btn the eaters and the eaten!!
@georgebenard39232 жыл бұрын
Uu ndio ukweli na sisi tunajua hivyo, endeleen kuubir ukweli jobu uko safi sana wewe sio kichaaa,
Magufuli wa a genius leader, no one like him. He had a unique way of solving problems and combating with frauders normally wants to build their own economy and not for the nation. May his soul rest in eternal peace. Ameeeen
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Wakitukana I just enjoy.jembe letu
@moshisungura18912 жыл бұрын
Kamanda wetu pumzika kwa amani atakusema vibaya mungu amfedheheshe.
@denismugisha22 жыл бұрын
Mi nadhani hapa Ndugai alikuwa anasema kuhusu watu kukubali tozo badala ya kuzigomea na Rais akaenda kukopa, sio kwamba alikuwa akimkosoa rais kama wengi wanavosema
@susanraphael58942 жыл бұрын
Ndungai kwa hili sikuhukumu Mungu akutunze Daima
@anjelinacharles71912 жыл бұрын
Acha tu nifarijike na sauti ya hayati maana kwa sasa sielewi tutakukumbuka daima baba
@furahamsabaha42382 жыл бұрын
Kuna baadhi ya watz hawapendi ukweli kwa maslahi yao mikopo ingekuwa inaenda mojakwamoja kwenye malengo ingeleta tijakubwa,ila kunawatu wanafurahia mikopo wanajua ikikopwa 💯 sabini wanatiakwenye mifuko yao inayobaki ndio kama kawaida kwenye kulipa mwananchi wakawaida anabeba mzigo' kwa hiyo ukiona mtu mzima analamika kitu anamaanisha !warabu wapemba wajuana kwa viremba,
@andrecarlos10242 жыл бұрын
Pole sana ndugai! Wezako wameelewa vibaya.🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@linuskisamo75132 жыл бұрын
Roho ya magufuli ya uzalendo itawatesa
@sistimbena5042 Жыл бұрын
Ulale salama father + forever you unfogetten around the word
@chubwadeogratius12392 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima Kiongozi wa wanyonge Jpm
@mrsab303 Жыл бұрын
Magufuli we miss you every day rest in peace
@costantinochibago5912 жыл бұрын
Sawa baba tulikuelewa sana kwa kipindi chako tumeelewa sana mambo mengi sasa kila jambo tunalijuwa Mungu ibariki Tanzania Amina.
@aminataamina94382 жыл бұрын
Mungu akuweke sehem salama...
@samolambuta7384 Жыл бұрын
Mwenyez MUNGU akulaze mahari pema peponi
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Buriani buriani magufurii kwakweli inaumizaa sana acha mama janet alie mume wanguu hakuunguwaa.pole dada
@michaelbennady2232 жыл бұрын
Daa mpaka machoz yananitoka mungu ungelikuwa unaulizanga naniafe nazan magu usingekufa wapo ambao tungewachaguwa
@babamarkom98812 жыл бұрын
dah baba pumzika kwaamani baba jpm
@kombedavis40562 жыл бұрын
R.I.P. JOHN JOSEPH MAGUFULI....kamanda mzalendo mkwel aliejitolea kwa Taifa lake
@angelinankuji76602 жыл бұрын
2na madonda baba yacyo tibika mpaka tunaingia kabulini na cc tuna vdonda vsvyo poneka. Majeraha makubwa ndani ya mioyo hakika ni uchungu ila mungu atawabatiliza vizazi na vzazivyao
@simonmwandu22142 жыл бұрын
Mtu mweusi kuona ufalme wa MUNGU ni kazi san aisee..!!! Yani maisha Yao ni rushwa na wizi kufisadia wenzao tu
@luqmanajmal86472 жыл бұрын
No one like u my presdent. Rest in peace 😢
@emmanyahubah2074 Жыл бұрын
Unforgettable experience !!
@JO-fk9eb2 жыл бұрын
Maneno yatokayo moyoni na si mdomoni huonekana usoni pa muongeaji. Baba umetufanya tujue kutofautisha maneno yatokayo mdomoni tu na yale yatokayo moyoni. Utaishi mioyoni mwa wengi
@davidmpiluka52242 жыл бұрын
JPM, the Heart of Africa.
@severiusmeneja46432 жыл бұрын
Muzimu wa magufur umeanza kuwaingia viongoz muda simuref n raisi utakufikia make watanzania awarari wanakesh kw maombi emwenyezi mungu utusaidiee tunapo kwenda nibabaya muno 👃👃👃👃👏👏👏
@justineon71132 жыл бұрын
Kujiuzuru kwa ndugai kumeonyesha heshima kwa selikari aliyo iongoza hayati magufuli hongera sana ndugai kwa kuonyesha udhubutu kusema ukweli naamin walafi watakupiga vita ila mungu akutie nguvu