Nimesikitika sana Tanzania na AFRIKA kumpoteza JPM ,Raïs wa wanyonge. Wakati wote nikimsikiliza,kumuona Marehemu Raïs MAGUFULI nimeumia roho sana.Mwenyezi Mungu ampumuzishe salama. Vive la TANZANIE et Vive l’Afrique. Asante IBM TV.
@emmaculatewambua-ou9nu Жыл бұрын
Pumzika pema Chuma nlikupenda sana mm binafsi lakini umetuacha mapema sana Mwamba Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi.
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
samia kesha zuiya mabango yule mama mungu amsameh tu na amtoe kabla hajaumiza watanzania wenye hali za chini na niwanyonge saut zao hazifiki juu mngu mjalie pepo maghuful insha allah
@linusrameck51373 жыл бұрын
Mama samia hawezi kuiongo hii nchi
@fraviandamian32673 жыл бұрын
Tutakukumbuka milele mungu akufufue bado tunakuhitaji
@saidseleman60043 жыл бұрын
Mungu kukubali huyu baba kufa sisi ,,,,,,,,,,,Allah nisamehe 😭😭😭😭😭😭😭
@modestermodesterbonophace91643 жыл бұрын
Hatatokea mwenye hekima kama huyu, tuombe mungu atupe kiongoz aliyekuwa na hekima kama ya Suleiman , R. I. P baba yetu
@editrudesmbonde90513 жыл бұрын
Hekima ya Suleiman alikuwa nayo wapi??acheni kujipendekeza nyinyi watu hivi mnamjua MUNGU wa Majeshi??
@tatutatu15703 жыл бұрын
magufuli baba kamanda mfalme mzalendo pumzika kwa aman🙏🤲☝️😭😭😭💔💔💔🇹🇿🇹🇿🇹🇿 atokuja kutokea mtu kama magufuli kamwe kwa Tanzania mzalendo kashaenda tumebaki na mafisad mabebelu majambaz wauza madawa ya kulevya ndo tumebaki nao kwa sasa ona washaaza kuiba vyuma vya miladi ya magufuli ilitu wanataka isikamilike😭😭😭😭💔💔🇹🇿🇹🇿 Eewe mwenyez Mungu tusaidie waja wako yarabi tutoke kwenye huu utumwa😭😭
@mashirimathias60063 жыл бұрын
Yupo askofu gwajima tumwombee kwa Mungu
@tatutatu15703 жыл бұрын
kweli kabsa tena ibada takatifu😢🙏🤲☝️📿💪
@shalomizrael6673 жыл бұрын
Kwetu atabaki kuwa namba moja
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Sina hata lakusema Mungu atakulipia Baba angu
@teddymhagama6113 жыл бұрын
utaishi moyoni mwangu JPM , RAIS WA MOYO WANGU😭😭😭💔💔💔
Kwakweli Rais J.P. Magufu ni baba Mzalendo ambaye alikuwa na uchungu ya TAIFA la Tanzania ila kwakweli sijuwe kwamba kuna Mtu ambaye atavaa kiyato chake kwakweli Baba wawanyonge Utakumbukiwa Daima 😭🤔😭🤔
@tatoorashedi17873 жыл бұрын
Kupata kiongozi kama huyu Afrika sijui tuzidi kumuomba mungu
@hamedabashir93 жыл бұрын
@@tatoorashedi1787 kabsa
@roselea36553 жыл бұрын
Tulikupenda na tutazidi kukuenzi,, na kazi yako haitasahaulika! kizazi na kizazi mungu akuweke pahali ulijichagulia Rip
@kalutalumenge14593 жыл бұрын
Hiyo ni kweli. Baba huyu alikuwa na upendo wa dhati na Taifa lake pia na Africa yote. RIP JPM.
@estherelia6693 жыл бұрын
😭😭😭baba yangu mbona machozi hayanikauki baba yangu😭😭
@wegesar78863 жыл бұрын
Jama mzalendo kapotea ila fikra zake hazitapotea kamwe alaf tungeunda group la uzalendo ambalo litahusu maswala ya kizalendo na umoja wetu na kuenzi falsafa za mfalme magufuli au nyie mnaonaje wapendw
@jumaevarist91033 жыл бұрын
Upo sawa mwalimu
@fancebtz10713 жыл бұрын
0654705093 nipo
@henrysome3 жыл бұрын
Nimo nihesabu kundini
@alphakishadymbalai79943 жыл бұрын
Umesema kituchaanasana ndugu
@alphakishadymbalai79943 жыл бұрын
Tutampata wapitena mtukahuyu
@mariamukusaga76093 жыл бұрын
Hakika tumemkumbuka Sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿DR.John Pombe Magufuri 😭😭😭
@jescadeogratias52923 жыл бұрын
Nakumbuka sana baba, popote uliko just nakupenda natamani hata Mungu angekupa fever urudi. M sielewi Tena jamani
@elickmaendeleo11413 жыл бұрын
Daah pole dadangu
@festokillingo89123 жыл бұрын
Kama kuna watu wameshiriki kuidhuru nafsi ya MTU huyu , mpaka ikapotea ? Dhambi Hii itawatafuna Sana,, lala salama Magufuli MUNGU akufanyie wepesi
@hadijaabdul87653 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭baba uko wapi 😭😭😭😭😭😭😭😭
@kaizamandike87713 жыл бұрын
Daaa mbaya zaidi rais wa sasa anashinda nchi za nje tu hatak kututembelea wananchi wake
@nasrabdallah38733 жыл бұрын
Asante Baba. Mimi simsahau huyu mzee mchapa kazi. Huyu hawakua mzee wa ikulu tuu na kula vitamu. Huyu alikua ni mzee wa kuwatembelea wanyonge. وما يتذكر إلا أولوا الألباب
@hassanhussein16713 жыл бұрын
Kuna Mbunge anaitwa Musukuma yaani yule Jamaa namuombea Mungu Aje Ampe Uraisi hapo mbeleni Yule jamaa ni Mzalendo na Anawatetea sana wanyonge Namkubali sana Musukuma tena sana
@jumaiddy4413 жыл бұрын
Nikweli anafaa lakini katika chama Kuna mapapa ambayo hayawezi kumpitisha hata akichukua fomu
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
Na Mimi pia Jamani Nafaa Sana kuwa Rais Wa Nchi hii Nina Elimu ya Ngazi ya juu KabiLa Langu Ni Mmatengo Si Msukuma
@lailatuyusuf91313 жыл бұрын
He was the best i ever seen in my life. Alikua mkombozi wa watu wa Chini kweli laaaa. Sio uhuru kenyatta.
@jacklineandrew59093 жыл бұрын
Bado unaishi sana moyoni mwangu
@luvingofamilyofficial49173 жыл бұрын
Nmekumiss shujaa rest in peace jpm ww ndo Rais wangu bora had naingia kaburini nakupenda pumzika kwa amani
@mariasamson95373 жыл бұрын
Tunakumis Sana raisi wetu
@jacobomgimba10853 жыл бұрын
Mungu. Akulaze mahapema babayetu
@ezradaniel46133 жыл бұрын
My presedent 😭😭😭no body gonna do like da way you did,R.I.P DAD.
@maxwelmbuna99793 жыл бұрын
Na hayupo kweli the way alituchelewesha huyu mwenda zake duh yasijirudie
@nicolausmarwa7273 жыл бұрын
Kizuri hakidumu R I p JPM
@hbdina3 жыл бұрын
DOM Hiko ndicho tunachokikosa kwenye uongozi wa Africa/🇹🇿🇹🇿🇹🇿 President ambaye Ana upeo, kuhoji mikakati ya maendeleo na kuwa statics/number za pesa na a anayeweza kutatua matatizo hapo hapo bila ya urasimu kungojea miaka na miaka kutatuliwa
@olivamarunda83183 жыл бұрын
Wakimbizo wanafurahije huko wameusha pokea posha Lao wanasubii warudi Kuja kuwekeza ushoga Na ubeberuu uuuuuuwi
@olivamarunda83183 жыл бұрын
@@MikereMio yaan Mungu ukayaone haya
@tanzanian88473 жыл бұрын
@@MikereMio Kaka ni ya kweli haya??! Duuh
@leiratykisura67183 жыл бұрын
Aisee nimelia 😭😭😭😭upyaa hakika tumeumbuka mola tujarie laisi mzarendo na mpenda wananchi km uyu rais wa wanyonge
@frenziangella47513 жыл бұрын
Kweli kuna mtu ana mzalau huyu baba Mungu shughulika nao
@stevemsemwa61923 жыл бұрын
Sikuwahi kufikiri angetutoka mapema Hivi roho inauma sana ila hatuna namna
@stevemsemwa61923 жыл бұрын
Kama ni mwanadamu kahusika kwenye hili mungu afanye kitu juu ya damu ya mzalendo wetu
@maxwelmbuna99793 жыл бұрын
🤣🤣🤣 mpenda wananchi au dikiteta??
@claramhina96053 жыл бұрын
Uwii nalia peke yangu mie jamani Mungu utusamehe ameondoka mapema sana tupe mwingine sisi Watanzania
@saidseleman60043 жыл бұрын
Yaani acha kabisa naumia
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
insha allah mutapata muda sio mrefu
@mohamedmwanja68573 жыл бұрын
huyu kweli rais wa wanyonge mtetezi wetu wanyonge
@marygregory75663 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Kwakuwa Mungu ni mwaminifu na anatupenda TANZANIA atatupatia tu mtu mwingine kama wewe. Rest easy papa😭😭😭😭
@mbarukiabdulkadir5063 жыл бұрын
Huyu kweli kabisa alikuwa ni kiongozi wa wanyonge Allah amlaze mahali Pema tutakukumbuka milele
@makulaikuku69093 жыл бұрын
Nitakukumbuka daima magu rais wangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mamyjmlimbwende27183 жыл бұрын
Nitakukumbuka kila siku katika maisha angu bado unaishi kwenye maisha yangu😭😭😭hee mungu tukumbuke tuletehe magufur mwingne
@munaahmed84993 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah nimelia kam ndio msiba mpya walah nani amemkumbuka kipenzi cha watanzania kam jmn namis sauti yake baba pumzika kwa aman tunakupenda ila allah amekupenda zaidi tunpo nyuma yako
@mariasilvana18573 жыл бұрын
Magufuli why why Mungu anajua zaidi lakini inauma sana Baba njoo tena Baba
@michaelkarisa79313 жыл бұрын
Magufuli kipenzi chetu Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
@bakarikijazi59803 жыл бұрын
Hakika WATANZANIA tumepata MSIBA MKUBWA MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE WATANZANIA
@doricejoel61853 жыл бұрын
Mimi nalia tu Mungu tusaidie watanzania 😪😪😪
@alfoncewiliam66803 жыл бұрын
Chanjo imelusiwa
@faridamohammed86323 жыл бұрын
Mimi nashangaa wananchi wanataka kutatuliwa matatizo wanazuiwa sijui ndio nini? hii ni shida yaani haitakiwi kusemwa. Aelezwe nano basi. Sielewi
@thelonewolf44293 жыл бұрын
Master wetu tutakuenzi daima
@catherinehozza42853 жыл бұрын
We miss you dad. R I.P
@venitarugemalila39713 жыл бұрын
Kweli baba tunakumiss saana
@undulemwakibabala81193 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 mmmmh kweli Chema hakidumu Pumzika kwa AMANI Hayati Rais Magufuri
@munamuna74883 жыл бұрын
Allah wa kushukuliwa punzika kwa amani baba sote kwac Allah tutalejea 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
@zenadaudzena28493 жыл бұрын
You still in my heart my president 😭😭😭
@rosetreffert67273 жыл бұрын
Mfalme tutakukumbuka daima ❤🙏🙏🙏
@shakirabaker96303 жыл бұрын
Tumekumiss Sana baba mungu akumpuzshe mahali pema peponi
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Tz Tz hatuma mfalme wala monaki wala tusidanganyane mfalme huyo kwiyoooooo 🤣🤣🤣
@francisjoseph12923 жыл бұрын
A giant of Africa,whom like magufur?????
@nduhirabandiabdallah3 жыл бұрын
Samia iko nazunguruka inchi zote na bado haja onana nawana inchi wanyonge💔 RIP JPM
@abdulmelele73223 жыл бұрын
Hajapigiwa kura na wananchi tatizo labda
@innocentjoseph8053 жыл бұрын
@@abdulmelele7322 🤣🤣xana
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Anademka 🥳
@petromachanga55383 жыл бұрын
Mzanzibar muongo
@salummzengaeka93413 жыл бұрын
Jpm hana mfano wake bhana duh inauma sana,jpm niraisi aliekuwa anaejielewa
@joshuayounamw181joshuayoun73 жыл бұрын
Historical president..u left with everything jpm, Tanzania inarudi kua genge la watu wachache tu..😭😭..#Rest in power our only president 🙏
@emmanuelbonifase11143 жыл бұрын
True true true legendary JPM alijitoa sadaka kwa ajili yetu aminaaaa
@hbdina3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿DR. John Pombe Magufuli❤️❤️❤️.Viongozi wa serikali wanaohujumu Uchumi/Maliasili kushirikiana na makampuni ya nje, hawakumbuki walikotoka ni masikini vilivile, wawatendee haki masikini wenzao/Wananchi wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Kizuri akiish jamani
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Hii ndio faida ya kuchagua rais anaetambua ana deni na priority yake ni kwa wananchi wake wanyonge RIP Chuma🇹🇿🌺🙏
@mageraphael11783 жыл бұрын
R. I .p nahisi kama naota ilikuwa mapema mno kwann Mungu lakin duh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
JPM tunaomba ufufuke 😭😭😭😭😭😭
@bennycaleb55833 жыл бұрын
Mungu tukumbuke tunaomba MTU kama huyu tena# Magufuri🙏❤
@marymwanjala57953 жыл бұрын
Mis much my president
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
JPM tutakukumbuka daima JPM
@abduljalalramadhan90583 жыл бұрын
The best leader ever in the world
@kulwaluge17103 жыл бұрын
Never forget herro
@peteroduor10183 жыл бұрын
Magu alikuwa zaidi ya rais , mfano wa kuigwa ulimwenguni kote kama tu angekuwa kiongozi wa dunia mzima hakika tungekaa kwa amani
@ghatibisansaba72003 жыл бұрын
Pengo halizibiki jamani
@omariheneri75593 жыл бұрын
Kweli tutakukumbuka san
@deusisindwa6163 жыл бұрын
Mumezuia mabango haya mtayajuajee,😭😭😭😭RIP JPM
@jumamulimba28073 жыл бұрын
HAKIKA, ITACHUKUWA MUDA SANA KWA KUMPATA KIONGOZI WA WANYONGE MFANOWE JPM..... MOLA AILAZE PEMA ROHO YAKE PEPONI
@kijeshiabdalla63163 жыл бұрын
Dah! Tunakukumbuka kipenzi chetu 😢
@frankyjohnmwikombe3 жыл бұрын
Huyo mama yenu anawrza Fanya haya kwa wananchi kuwatembelea na kuwasikiliza kero zao live?
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
hawezi na kasema hatk mabango akiyona tu anafukuza kazi so hawatosikilizwa tena wahali wa chini mungu awasaidie sana
@Jkemtranslators3 жыл бұрын
Mfalme ishi daima
@venitarugemalila39713 жыл бұрын
Swali la msingi ilo na utaona jinsi mtu anavyoyumba daah!RIP Magu
@daudsteven42323 жыл бұрын
Hakika tutakukumbuka daima
@josephngasa94213 жыл бұрын
Pumzika salama mkuu mungu akupe pumziko la amani na wepesi wakaburi
@zariadunia63283 жыл бұрын
Du umeondoka baba lala salama baba
@bwikizobilly52202 жыл бұрын
RIP shujaa tutakumbuka daima from 🇷🇼
@taetommy83433 жыл бұрын
Jaman😥😥 wakati mama wa kambo anasema MARUFUKU KUONESHA BANGO LA SIVO ATAONDOKA NA MKUU WA WILAYA au MKURUGENZI
@kalutalumenge14593 жыл бұрын
Ni nani aliyesema kuwa ni Marufuku kuonyesha Bango?
@eyumededu29483 жыл бұрын
@@kalutalumenge1459 mama Samia
@taetommy83433 жыл бұрын
Bora umempa jibu lake
@kalutalumenge14593 жыл бұрын
@@eyumededu2948 Tadhali nitumie ili klip aliyesema ivyo. Kama ni ivyo Tanzania basi.
@eyumededu29483 жыл бұрын
@@kalutalumenge1459 nenda kwenye hotuba alokuwa anawaapisha makatibu wakuu nadhani
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
JPM kwa sasa Tanzania imetekwa 😭😭😭
@stahimirybaraka28343 жыл бұрын
RIP baba yetu oooooh inauma sn
@mimitijara48063 жыл бұрын
Apatikane wapi kama huyu chuma cha reli mungu mlaze pema kipenzi cha masikini tutalie xana tukikumbuka eti chuma hakiko tena ni kumbukumbu tu zako tutalie kila tukikumbuka
@kambaladieschannel24543 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 uuuuuuwiii keep rip jembe
@amonsangawe84403 жыл бұрын
Tumekumic rais wetu
@sembokodedaughter44053 жыл бұрын
nimelia kwakwel dady nitakukumbuka daima
@sofialinus82413 жыл бұрын
Baba tutakukumbuka daima
@Joseph-lu4yj3 жыл бұрын
Sasa tumerudi huku 2005 mpaka 2015
@haidariddy70433 жыл бұрын
Hakika ulikua raisi uliee tufanya tujiaamini
@julianamasunga7003 жыл бұрын
Hivi mama wa kambo anayaona haya ?? 😅😅😅
@bernadethashiduki69363 жыл бұрын
Mmh 😭😭😭
@asantekwahuuwimbozubeda8733 жыл бұрын
Baba angu magufuli tumekukumbuka kwa wema uliowatendea wananchi wako ewe mungu wa huruma mlaze magufuli mahali pema peponi.
@asantekwahuuwimbozubeda8733 жыл бұрын
Mama samia angalia baba magufuli alivyotupenda watanzania wanyonge tutakukumbuka daima shujaa wa Afrika mpendwa wa moyo wangu kila nikiangalia video zake nalia
@calvinlipendele26433 жыл бұрын
,Kumbe Tz ni nchi ya Kifalme!!!!!!!!!
@lucasalexandery3 жыл бұрын
Jamaniiii hakika hatuta pata mtu kama wewe
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
JPM TUNAKUPENDA tùtakukumbuka daima 😭😭
@venitarugemalila39713 жыл бұрын
Kweli alindwe maana,sasa leo vp
@radiusbakashaya28013 жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu mpe raha ya milele raisi wetu John Pombe Magufuri ,tulimpenda na tunampenda , tunakuomba baba wa watu wote Tanzania utupate raisi kama uyo aliyetutoka