Baba hujaondoka wewe Ni kitabu Cha kuwapima viongozi wazalendo Asante kwa kitabu ulichotuachia
@hamadsaid95313 жыл бұрын
Utakaa moyoni mwangu nitakitangazia kizazi changu kuwa ulikuwa shujaa amina
@wangonamuhange82183 жыл бұрын
Aminaa
@bonaventuresangano82473 жыл бұрын
Amina🙏
@bellutbellut30493 жыл бұрын
sijui kama Tz tutapata Rais kama JPM .Pr Kabudi njoo uipiginaie nchi yako kama JPM .msaidie mama yetu Samia. na ikibidi watanzania wote tufe kwa ajili ya kulinda mali zetu .tusiwe wanyonge daima
@chuimokua45783 жыл бұрын
President John Joseph Pombe Magufuli,wewe ni shujaa wa moyo wangu.umesimama kidete kuliinua jina la Mungu milele.naungana pamoja na watanzania wote katika musiba huu wa taifa,Afrika mashariki na
@meme123naser63 жыл бұрын
Baba akuna leo ata mwez bado mabeberu wanavuruga miradi yako na kukosoa yote mema uliyoyafanya daaah mungu asimame hapa😭😭😭😭😭
@burundibwizacetribea9953 жыл бұрын
Pumuzika mahali pema peponi, wewe ni mfarme wetu wa myaka yote🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮💜💜
@geraldlaurent74653 жыл бұрын
Thanks
@josephinemayombo97573 жыл бұрын
Kwakweli mm naishia kulia tuu hata sijuagi niseme nn, aisee huyu alikuwa Ni zaidi ya jeshi
@saitawilson73073 жыл бұрын
R.I.P..jeshii.. mwana mwema wa Africa...the true son of Africa...😭😭😭😭😭😭😭
@salumsamesame17413 жыл бұрын
GENIUS TALKING
@elizabethmuia98393 жыл бұрын
I wish tugekuwa na Marais kumi Africa kama Magufuli Africa tugekuwa ma billionaires 🇰🇪🇰🇪🇰🇪RIP SHUJAA 💪💪💪💪💪
@ukweliunauma45703 жыл бұрын
, you never one day , waafrica wameamka sasa
@ukweliunauma45703 жыл бұрын
Maneno , nothing impossible
@mustafam24623 жыл бұрын
Mugufuli your the hero of Africa RIP, who ever took your soul Almighty God will deal with him.
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Hayupo tena...... historia imeandikwa. Katuonesha njia tuamke sasa Watz tusiondolewe kwenye mstari sahihi wa baraka za Mwenyezi Mungu kwa nchi yetu . Mungu tubariki watoto wa Tz
@AdonKamota-s1u10 ай бұрын
Kuna wana siAsa Na kio ngozi magufuri Ali kuwa kio ngozi Nani mtu wa mungu kweli Ndomana Ali simama kwenye msi mamo m moja mzalendo wa kweli Akika uta kumbu kwa Daima kwa uTu wako💕💕🇹🇿
@bonaventuresangano82473 жыл бұрын
Nilitaka kuiona TZ baada ya kipindi chake cha uraisi hayati JPM lakini it was not in God's plans. RIP mkombozi wa Africa mfano uliutoa, tunapongeza kazi ulioifanya kwa mda mfupi. Amina
@saitawilson73073 жыл бұрын
Asante kwa yote... asantee kwa muda wote uliotutumikia watanzania masikini ... Hatutakusahauu.😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@kabilamukombozi48683 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🇧🇮🇧🇮🇧🇮hatutakusahau kamwe Pmuzika .
@luckydubebello11313 жыл бұрын
Rest in peace KING OF AFRICA we wl miss u very very sad 😥 😢
@thetriplesofbethlehem60953 жыл бұрын
Mabeberu wametulia mzee wetu wa busara, hekima na akili. Stay strong 🇹🇿 we will overcome😭
@amosamoo59513 жыл бұрын
Nikija ondoka, hivi watakao baki wataendeleza haya kweli?? Daaah swali la utatanishi
@kramsjunior44473 жыл бұрын
Acha tu ndugu
@innocentkulola41223 жыл бұрын
Hawawezi,wanazingatia zaidi matumbo yao,kila mtu anaona waziwazi kinachoendelea,maana wote waliomzunguka JPM akiwa madarakani ukiondoa waziri mkuu wetu walikuwa wanafiki,kila mwenye macho na akili timamu anajionea
@lydiamichael55093 жыл бұрын
Rest in peace comrade you will forever be remembered
@costantinochibago5913 жыл бұрын
Itatuchukuwa mda sana kumpata kiongozi aliye kutiwa sadaka kama ww baba.Mungu akuweke mahali pema peponi Amina.
@muhidinndorangamaombiyangu28153 жыл бұрын
Tutamkumbuka mzee wetu tena kwa mema ametufanyia mazuli sana mungu amlaze mahala pema peponi
@abelmtachoka75973 жыл бұрын
Da! Mi nalia, nafuta machozi, narudia kumtazama tena, siamini kama sitamuona tena, siamini jamani! Da! Ulale salama baba angu, mwendo umeumaliza, kauli yako ya kwamba Mungu akikuchukua watu watayaendeleza itazidi kuniumiza Mimi!!!!
@beatricehenry67763 жыл бұрын
Wewe ni dereva tu.!ulijishusha sana.Mungu akakuinua RIP Jembe letu
@emamkuyu40613 жыл бұрын
Jamani karudi? Baba ni mwema,siamini kama kweli hayupo.Kifo kibaya!
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Mungu pekee ndioo atatutuliza mie bado namaumivu makali mno,yaani hata Siamini Jamani,utazani nakuona Baba yetu,uliwapenda Watanzania hasa Wanyonge na Masikini,ulimpenda Mungu,uliipenda Ichi yako.ulikubali kufa kwa ajiri yetu magufuli nakulilia kila siku,nakuombea pumziko la amani,ulale salama,ulijuwa mengi tusiyoyajuwa,ulituaminisha sie siyo masikini,hapo tu ndipo nakumiss Mno RIP
@peterandrew27953 жыл бұрын
Pole baba yote uliyapta au uliyabeba kwa ajili yetu....tunajua uko mbele ya mungu wa mbinguni...utuombee na sisi watanzania baba.
@peterandrew27953 жыл бұрын
Hata hawatoi mkopo wa kilimo hizo PhD 17 ni zirooooo!! Baba
@peterandrew27953 жыл бұрын
Inatosha babangu unaniumiza baba.
@mosesshagembe64023 жыл бұрын
😭😭
@nassarrostom19193 жыл бұрын
Mzeee Mwenyezi mungu akuweke mahari pema peponi amina ❤🇹🇿
@mbinonyoso75013 жыл бұрын
Ure Musenge Tundu Lissu nikibaraka wa mabeberu anataka kufanya watanzania watumwa wamabeberu rakini hatutakubari atasikumoja
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Jamanii kasema alikuwa anatukanwa lakini alivumilia tuu😭kweli inauma sana aisee
@himlayzer35433 жыл бұрын
Hatula la kusema zidi ya hapo ni kumshukuru mwenyezi mngu alhamdulillah na kuzidisha maombi kwa Allah a tusimamie tena kwa mala nyingine daah baba mngu akusamehe ulipo kosea akupumzishe kwa amani tulimpenda sana uongozi wako u. Etuachia majonzi yasio sahaulika
@marianamontoedi23333 жыл бұрын
Baba kwa heshima yako tunaweza na inwezekana thank you lord yes we can ameni
@yohanamagele36333 жыл бұрын
Asante sana Isaya kwa Kuwa mzalendo katika kipindi chote cha Uhai wa Hayati BABA WA Wanyonge
@ambakisyemwakinunu20023 жыл бұрын
Inaumiza sana kwa kuondoka kwake, ila tutaendelea kunufaika kwa mambo makubwa aliyotufanyia na njia aliyotungulia
@muhitiraamissy7198 Жыл бұрын
Africa in note poor kwelikabisa
@nkawagalogistics61643 жыл бұрын
Goodmorning Mwamulima, Asante kwa kazi nzuri
@aluwatanmaduhu88243 жыл бұрын
R i p Mh Magufuri ni shujaa nenda Baba tutakutana mbere sisi tupo nyuma yako umefanya Mazuri kwa nchi yako 😭💔 kweli ulijitoa sadaka Mzee
@amiryhamza19843 жыл бұрын
pumzika kwamani rais wetu magufuri allah akuweke mahalapema peponi mtetezi wetu
@paulmkhoi81443 жыл бұрын
Hata kama hayupo nasi lkn bado anaishi mioyoni mwetu
@hamadsaid95313 жыл бұрын
Pumzika kwa amani anko mungu akupunguzie adhabu ya kabuli
@yudahsanja90723 жыл бұрын
Poleni wenzangu wakati huu mgumu tukiomboleza mfalme wetu
@tinyaanosiatha11183 жыл бұрын
Mungu akuraze mahari pema peponi
@rodgersmuyechi92943 жыл бұрын
Kweli ulikua baba pumzika salama
@burundibwizacetribea9953 жыл бұрын
Watanzania, tuko na nnyi kwa wakati huu mugumu.Tutaendelea na Magufuriazation ideologies mpaka Africa nzima ibadilike
@jumamnumbwa94833 жыл бұрын
Inauma sana kama huyu kigoda na mkapa waungue huko mbinguni
@yukundajanuary70633 жыл бұрын
Kama kweli ulikufa kwampago wa mungu Basi kazi ya mungu hainana makosa Ila Kama nimikono ya binadamu waliotengeneza njama ya kukuuwa ili waimbe Mali za ichi yetu mungu atawashungulikia wanao kulilia niwengi kuliko maadauwi waliokuwa wanakuwinda umeacha pengo kubwa Sana hakuna atanye vaa kitu chako
@emmanuelmachibya20343 жыл бұрын
Rest in Peace Dady , the true son of Africa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@mariamfaicalhassan28903 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@saitawilson73073 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@NoorAhmed-lg8xr3 жыл бұрын
Inalilah waina ileh rajucon tana omba mungu amu laseh simu Aman
@madamjamila43603 жыл бұрын
Napenda kukupongeza mwalimu Isaya ulitupa moyo sana kipindi kibaraka wa wazungu akitutia presha kipindi raisi wetu kipenzi atumuoni inauma sana
@TheLegend-vj5zt3 жыл бұрын
We are not poor thank you for help us to understand...I love you Magufuli
@rehemamlowe51043 жыл бұрын
Mengi tutakukumbuka,
@salehekapama98423 жыл бұрын
@@rehemamlowe5104 hakika
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Kwa uwezo wa Mungu tutafanikiwa . tuombee uliko Amina
@salmamrembo43603 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania yetu maana hatujui hatima yetu hatujui tunapokwenda kwasasa Mungu we we ndio kimbilio letu tusimamie waja wako
@japhetdaud89863 жыл бұрын
It is powerful speech for our Genius President, forever your Legacy will not forget ,your Nation crying to you🤔😭😭😭🙈🙉
@geoffreymwarabu83233 жыл бұрын
Asante baba yetu! Upumzike kwa amani
@rassimbaengswahili61913 жыл бұрын
Laaa inaumiza sana, mie mpaka sasa bado nina makovu makubwa sana kuondokokewa na Rais shujaa
@mosesshagembe64023 жыл бұрын
Yaan Mimi Siamin If True Ready Dead Magufuli
@margarethorgenes48743 жыл бұрын
Nani atasimama kwa nafasi ya Tingatinga burudoza Jembe katika haya, ya ukweli utokao moyoni na kuwa na commitment ya Aina Hii 👆🏼👆🏼👆🏼💯🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Pumziko la milele akupe Mungu, tutayakumbuka, hata wanaokuchukia na kufurahia kifo chako watakuja kukiri ukweli. "POLE".
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@alanusrespicius17963 жыл бұрын
Hakuna anayeweza speed ya mzee JPM. Huenda nchi ikaanguka mikononi mwa wapiga dili
@alanusrespicius17963 жыл бұрын
Hakuna anayeweza speed ya mzee JPM. Huenda nchi ikaanguka mikononi mwa wapiga dili
@margarethorgenes48743 жыл бұрын
@@alanusrespicius1796 wa Tanzania.kwa sasa wameamka, wanatambua kwao kufanya strike haitakuwa Ni kazi. Watasema, watazomea na shingo zikishupazwa Amani yetu itafanana na nchi zinazotuzunguka. MUNGU ampe HEKIMA kuu Mh.Rais na kukataa yale yasiyostahili. Ajue kutamka HAPANA bila kupepesa Maneno.
@ramadhanihassan22683 жыл бұрын
@@margarethorgenes4874 mung akubariki kwa kuliona hlo
@janeachieng36853 жыл бұрын
Ai yawa Magufuli... forever missed!
@Phil-yu9mi3 жыл бұрын
Mpaka mimi sijakubali kwamba Mfalme wetu ametuwaca. Inaniwuma sana 😢😢
@stanleyrocky22783 жыл бұрын
Mkungu akusaidie
@Phil-yu9mi3 жыл бұрын
Nduguu!, Mungu akusaidiye na familiya yako pia 🙏🙏
@jokeableking70393 жыл бұрын
Kama Alivyo Sema Marehemu Hayo Yote Hayakamiliki Kamwe Na Imetokea KWELI Alivyo Yatabiri 😭😭😭😭😭😭😭RIP JEMEDARI SHUPAVU 'UMETUACHIA HUDHUNI NA MAJONZI MAKUBWA NAONA SS NCHI INARUDI ENZI ZA 2010😭😭😭😭😭
@stanleyrocky22783 жыл бұрын
Tumekwisha tz nchi imerudi kwa matajiri
@stanleyrocky22783 жыл бұрын
Mnyonge hana thaman tena
@nionjijweguraidi52033 жыл бұрын
Jamani msikate tamaa. Mungu yuko upande wetu!
@silivanatemu30903 жыл бұрын
I nasikitisha sana maana hata hajaoza tayari watz wameshayarudisha yale yote aliyoyapinga
@rwandaafrika61733 жыл бұрын
ASANTE Rais J.P Magufuli kwakweli Tanzania ni inchi Tajiri ila Samia anakuja kutuweka umaskini Tutakukumbuka Daima baba wawanyonge 😭😭😭
@silivanatemu30903 жыл бұрын
Umenena kweli mkuu,tena soon
@angelamarlow5103 жыл бұрын
Hata mm naona mpendwa Mungu tu atunusuru
@yohanamagele36333 жыл бұрын
Mijadala yako ya kututia Moyo hakika Mungu akubariki sana
Kama ulijitabiria tunakukumbuka baba millad mingine bado haijakamilika ndio bac tena😭😭
@jeziyamaua71963 жыл бұрын
Nitakupenda milele Magu,pumzika kwa amani baba
@mwannejuma63573 жыл бұрын
Mzee kaongoza kipindi kigumu sana cha corona bg up Father
@gynae84073 жыл бұрын
Baba pumzika kwa amani Ikulu uliyo kuna ukiijenga haujaingia Mungu sijuwi nisemeje ila Mungu unabaki kuwa Mungu
@stevenmasangula21043 жыл бұрын
Rest in peace my father. JPM
@samwrisimon6713 жыл бұрын
inauma na inasikitisha sana kwa pigo hili ndani ya taifa letu pumunzika kwa amani babaetu mungu aklaze mahari pema peponi baba 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿😫😫😫
@masungamazwazi97773 жыл бұрын
Nakupenda Raisi wangu hayati
@sefuiddi68253 жыл бұрын
Hakika ulicho kizugumza nikweli tutakukumbuka mugu akubarik aibar Tanzania tupate kiogozi mashuhuri iwemfano kama ww bado tupo katika chagamoto gumu nakutakiyapumzika salama amin
@albertinamichael61233 жыл бұрын
Ukweli unauwa tutakulilia miaka mingi.
@msetikebwasi14693 жыл бұрын
Kusema ukweli ni hatari sana !!!.
@jumakalukule53123 жыл бұрын
Pumzika salama mzeewangu
@kakawamashariki89783 жыл бұрын
Pongezi Kwako pia Mwl Issaya Benson kwani binafs nimekujua kupitia moyo wako wa uzalendo kwa kuandaa pachiko nyingi za kazi njema na matunda ya raisi wetu.
@tatuabijoh20773 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba
@timothykalenga57043 жыл бұрын
Umetuachia simanzi
@timothykalenga57043 жыл бұрын
Kweli , ulisema majizi wapo, tunayaona leo hii
@estermathias83543 жыл бұрын
😭😭😭😭nitakulilia daima santee MUNGU kwa maisha ya jpm nilimpenda Sana mzalendo huyu
@nasrahassanmasesa37453 жыл бұрын
Pumzika kwa amani hayat jpm
@adelambilinyi36253 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima baba yetu Mungu akupokee
@neemamasudi35503 жыл бұрын
Tuna ku liliya kwa leo baba uko wapi? Hata mzimu wako wako tumeukosa😭😭😭😭😭📖
@yohanamagele36333 жыл бұрын
Rest in Peace king of kings of africa 😭😭😭😭 Ee Mungu tupe uvumilivu.
@geraldodingo30523 жыл бұрын
Tumebaki na wezi na tunarudi pale pale alipotutoa king of Africa
@emiryfaida24373 жыл бұрын
Huyondo alikua jpm hakika tumekumc watanzania
@gracemima52343 жыл бұрын
Tunangoja, tunangoja, kama fedha zitarudi kwa mafisadi. Watanzania tutaona kama tutarudi kwenye hali ya zamani. Kama kuna watu walifanya mipango kumuondowa Rais Magufuli yote yatajulikana. Tutaiona nchi inadidimia. PHD ndiyo wezi. Chama cha wanasheria bila haya wamekalia kuimba katiba mpya wakati nchi bado inatafunwa . Watanzania tumefiwa. Sijui kama kuna mtu atapambana kama Rais Magufuli. WACHA TUNGOJE
@bonifacemsimbehuto67103 жыл бұрын
R.I.P the really fighter of our nation. I am hopeful Her excellency Samia Suluhu will make it . So pain.
@martinulanga16313 жыл бұрын
Aminaaa kaka magufuli 💔
@sabrinaiboma24443 жыл бұрын
Mayo waniumaaa 💔😭🇹🇿✍️
@japhetpdidi493 жыл бұрын
Kwa mwendo huu mfalume wetu wamemuuwa na mungu awalani wote walioshiliki kumuuwa mfalume
@sabrinaiboma24443 жыл бұрын
Magufuli wetu....Rudi basi Dady labda ulienda kutembea utuambie nimerudiii Magufuli nakupenda mpaka siku ya kufa kwangu ntakuenzi milele...Mie bado NAISHI na wewe Hotuba zako za last time zanipa nguvu ........Inauma sana kumpoteza Rais mpendwa kama huyu ...kwani huko ulipo BABA yetu huoni tunavyolia wanao????? Rudi baba....😭😭😭😭😭😭😭😭💞💞💞💞💞💞💞💔💔💔💔🇹🇿✍️
@ponsianamataka46073 жыл бұрын
R.I.P Baba. Kumbe hata ukimwambia Speaker wazipitie hata Sheria za gesi! Leo speaker huyo huyo anasema walimshauri vibaya?!!! Tumuogope Mungu! Baba Magufuli alikuwa hasemi kitu bila kujiridhisha, hafanyi kitu bila kujiridhisha. Mungu mpokee baba John Pombe Joseph Magufuli katika makao yako ya milele.
@emiryfaida24373 жыл бұрын
Nilikupenda sana rais wangu
@innocentdeckoks51423 жыл бұрын
Mungu ashampangia MEMA Dr. Magufuli, ako mahali pema, pasipo na shida za hapa duniani, kwani kama angekuwa na moyo wa watu wengi duniani hasa wakati huu asingelihurumia wachochole. Mungu aibariki familia yake na Tanzania kwa jumla.
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
😭😭😭😭😭lala salama baba ooooooh jaman mungu ooooooh kwa nn lakn baba ooooooh
@kahmardintebe92663 жыл бұрын
Sijuwi ninani atatufuta machozi ya kumlisi rais magufuli katika bara la afrika mungu tuhurumie mlaze mahara pema peponi rais magufuli umetuacha kimwili lakini kiroho bado tupo pamoja Vikram zako na uzalendo wako vitaishi milele kizazi na kizazi
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
@@kahmardintebe9266 😭😭😭
@togetherchristiansmedia34373 жыл бұрын
Rest in Peace John Magufuri
@peterandrew27953 жыл бұрын
Tutakukumbuka sana baba yetuu...
@josephmsabila25923 жыл бұрын
Mie mpka Leo namaumivu sana na hyu kiongoz
@trillhappybeautypoint98743 жыл бұрын
Mwamba wa Afrika 💪
@peterandrew27953 жыл бұрын
Mc u dady nakupenda sana baba.
@AhmedSaid-nr8nb3 жыл бұрын
Pôle sana Africa tulipoteeza kweri
@josephnchunga12473 жыл бұрын
Tutakumbuka Sana lile neno mafisadi linaogopwa kusemwa Serikali rege rege huzaa udhaifu Wa uoga .tunakuombea kwa mungu
@charlesignas66673 жыл бұрын
Wamemfanyia kitu mbaya Sana Rais wetu
@adamfundikira10293 жыл бұрын
Duh hata siamini kama umeondoka Magufuli gafla Sana Ila na Imani kuna kitu katika hili
@saitawilson73073 жыл бұрын
Kwa kweelii umejua kutuumizaa😭😭😭😭
@angelamarlow5103 жыл бұрын
Nikweli kabisa saita
@bahatimohamedi63793 жыл бұрын
Tutakukubuka sanaa 😭😭 kiongozi wetu 😭😭😭😭😭😭😭
@MichaelKibona-p9m2 ай бұрын
Kweli hamna ambaye ameweza tangia uondoke duniani, mwamba ulikuwa sio mnafiki❤
@jeanpieremirindi47883 жыл бұрын
Mungu akupumzishe vema baba 😭😭😭,tuna kuliliya Sana, africa nzima ulikuwa chuma kweli,ulipigana na rushwa uliweza yote uliweza ila maaduyi ni mengi
@amiryhamza19843 жыл бұрын
baba wapili wataifa umeondoka bado tunakuhitaji inauma sana mzalendo wetu
@laurentpeter80433 жыл бұрын
Tutakukumbuka milele baba yetu mpendwa
@IadoBoy2 ай бұрын
Baba.tutakukumbuka.daima
@godfreycharlessrarariae36193 жыл бұрын
Daah ni ngumu kuamini---ila Mungu ameamua hatuna lakufanya na yeye mwenyewe Mungu ansjua nini ametukusudia Watanzania--Ameandaa njia ya Watanzania
@estherpaul33623 жыл бұрын
RIP shujaa wa Africa waliokusaliti Mungu akakupiganie mpaka mwisho