IBRAHIM TRAORÉ, MAMADY DOUMBOUYA na ASSIMI GOITA: Wanajeshi Miamba wanaowanyima usingizi MABEPARI

  Рет қаралды 217,064

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

KAPTENI IBRAHIM TRAORÉ: Mwanajeshi Mtata na RAIS wa mpito wa BURKINA FASO aliyempindua BOSI wake
• KAPTENI IBRAHIM TRAORÉ...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 258
@kahmardintebe9266
@kahmardintebe9266 Жыл бұрын
Huyu mwamba kajitowa sadaka Kama alivyojitowa jpm mungu mlinde Ibrahim troure kwa majeshi yako usimuachie wanadam wanadamu wengi ni mawakala wa wajomba na ni vibaraka wa wajomba tunakushuru mungu kwa kutufuta machozi ya jpm
@jamalmohamed8195
@jamalmohamed8195 Жыл бұрын
Nataman Sana Kuona Hii Isue Yao Wote Wanaungana Na Kua Kitu Kimoja Ili Kusaidia Kuziba Nafasi Za Kibepari Na Sisi Tutajifunza Kitu Kupitia Kwao Respect ❤
@dadambiki5132
@dadambiki5132 Жыл бұрын
Magufuli did the same and they killed him... he sacrificed his life for Tanzania 🇹🇿... this young man is doing the same... I pray the rest of the African leaders stand with him instead of selling him to west as they do.... God bless Africa..
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
Nafurahia Taarifa Zako. Kwani matamshi Yako ya Lugha ya Kiswahili ni fasaha Sana I enjoyed. Asante.
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao Жыл бұрын
Ukombozi Afrika Unakuja,🙌🏾❤️🇰🇪
@kahmardintebe9266
@kahmardintebe9266 Жыл бұрын
Tatizo viongozi wengi Africa ni vibaraka big up Ibrahim troure
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 11 ай бұрын
izi Ndio habari sio kila kukicha kajara na harmonize tokeni ukoo
@ramachaly3521
@ramachaly3521 11 ай бұрын
Kati ya wote Ibrahim namkubali sana👍👍👍
@Babudicky-zn1kp
@Babudicky-zn1kp Жыл бұрын
Yaani Tanzania tuitaji mwamba kama huyu mungu ampe mwisho mwema katika upambanaji Wake wa kutetea Africa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Allah akubariki Ibrahim Traore 🙏
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Asante sana kwa kutupa hii historia nzuri ya hawa viongozi mahari wa kijeshi wa west Africa
@belzylucas7275
@belzylucas7275 Жыл бұрын
Africa tunaitaji leadership vijana Africa is rich ❤❤❤
@salama1113
@salama1113 Жыл бұрын
Tumpemauwayake na baadhi ya wengine wajifunze wasiogope watusemee mungu amlinde naamuepushe na wabaya wote
@grationkato7658
@grationkato7658 Жыл бұрын
Tunatakiwa kuwa na vyuma kama hivi Africa walao 5 tu afirca tunaweza sana
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 Жыл бұрын
Kuna waniger ssa
@Zenny89
@Zenny89 Жыл бұрын
Hii iwe fundisho kwa viongozi wa Africa.. hasa hapa Bongo.. Huko Bungeni tunaviongozi ambao wapo madarakani tokea miaka ya tisini na hawafanyi kitu zaidi ya kusinzia tuu na kujishibisha
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Akina m7
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Жыл бұрын
Stand up for Ibrahim traore✊
@abisaimsewa1935
@abisaimsewa1935 11 ай бұрын
Ivi kwanini hata huku Tanzania tunaambiwa masikini?hii yote uroho wa viongozi wetu na ubinafsi wao
@salminbahdellah1377
@salminbahdellah1377 11 ай бұрын
😊0 LLpp😊
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 11 ай бұрын
​@@abisaimsewa1935 umenena tuna ambiwa maskini kwasababu ya viongozi kuuza Mari za Tanganyika bila sababu
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Жыл бұрын
Mungu lisaidie bala la Afrika. Walinde waafeika ss sio masukini wa ombaomba. Ni mipangilio tu. Afrika ni matajiri sana duniani.tumebarikiwa sana. Mungu tulinde waafrika I m proud to be born in Afrika.
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p Жыл бұрын
Daaaaaa nimependa hawa majamaaaa saaaana yani afrika inatakiwa iwe na serikali ya shirikisho moja lenye nguvu chini ya jua
@cmantz8837
@cmantz8837 11 ай бұрын
ipo siku nasi tutampata Ibrahim wetu kama unaamini sema ndiyo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Ndio
@Aysha_ally
@Aysha_ally Жыл бұрын
Shukran 🙏 sky
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Жыл бұрын
We need this akili zetu zimeganda sna tunafaaa kujifunza
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
New generation's New Africa, the power in our on hand,, 🇫🇯🇫🇯
@salminbahdellah1377
@salminbahdellah1377 11 ай бұрын
P
@salminbahdellah1377
@salminbahdellah1377 11 ай бұрын
P00
@salminbahdellah1377
@salminbahdellah1377 11 ай бұрын
Pp0
@AndrewPaul-wy6qq
@AndrewPaul-wy6qq Жыл бұрын
Sky nakukubali✊
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Bado Nchi ya DRC Congo natumai Jeshi la Urusi kupitia Wagner PMC (Private Millitary Contractor) wataingia kuondoa Mamluki ya Ufaransa na Ubelgiji. Changes is Coming to Africa. Lets support Russia and China against Western Countries. Ifike Mali Waafrika tutamani kubaki Afrika na siyo kwenda Marekani na Ulaya. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿
@asumtamwingira465
@asumtamwingira465 Жыл бұрын
Watu kama hawa hawadumu nikama magufuli tu😢😢
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 11 ай бұрын
Baba yetu dr John alikuwa peke yake kikwete na kundi lake alijipanga na ujambazi wao dhidi ýa Tanganyika dr angekuwa amejipanga kwanzia jeshini mpaka hao viongozi vigeugeu wasinge weza kumuuwa kila hisi hivyo mpaka hao walinzi wake huwa kuina kilocho endelea
@wilsonsamsonwilliams
@wilsonsamsonwilliams Жыл бұрын
Waafrika wote Kuna cha kujifunza hapa
@allymatilda7519
@allymatilda7519 11 ай бұрын
I love him so much God guide him power to Niger 🇳🇪 ❤
@atrianusmutungi6612
@atrianusmutungi6612 Жыл бұрын
Aisee safi kwa makala nzuri
@dennisnjonanje62
@dennisnjonanje62 Жыл бұрын
Aaah acha sisi tumpangishe Mwarabu wa Dubai 😂😂
@eliasstafawa4935
@eliasstafawa4935 Жыл бұрын
Braza umetishaaaaa
@liviaG87
@liviaG87 Жыл бұрын
Traoure kamrithi Thomas Sankara kwa kila kitu mpaka u handsome🤗
@ericksaid5327
@ericksaid5327 Жыл бұрын
Nashangaa sana nchi kama Kenya Tanzania na wanajeshi wao wanabeleka nchi zao kifamilia mfano kama Kenya ndio ukuwe mwanajeshi unaitaji kama nusu milioni ndio upate hiyo kazi napenda sana kazi ya hao ndugu wakweli katika Africa au Alkablan means Africa may the gods protect black people
@isaachayes9783
@isaachayes9783 11 ай бұрын
Dont ever entertain such crazy things like military coups, once they are in, it will hapen again and again, and who will come to do busoness in such environment, in our week and fragile economies a slight instability can backtrack our economies 10 yesrs back, ni wananchi ndio tuna makosa kwasababu tuna shabikia viongozi wa wabovu, problem ya Africa ni week leadership not coups, coups will bring up more distruction and poverty, look at liberia today, thats a good example.
@francisgachungei1818
@francisgachungei1818 11 ай бұрын
Africa rising 🙏🙏🙏
@ericksaid5327
@ericksaid5327 Жыл бұрын
Napenda sana kuona kazi ya vijana wadogo kuwa na amaki ya uongozi
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Viongozi wanajisahau,wanauza Mali za umma wakati wananchi ni maskini,wanatajirisha familia zao,ipo siku vijana hawatakubali Hilo.
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
Kabisa 😂
@hamzambasha6647
@hamzambasha6647 Жыл бұрын
Wajinga kabisa
@chaucassim4123
@chaucassim4123 Жыл бұрын
Wajinga. Kabisa
@saidshaban9284
@saidshaban9284 11 ай бұрын
Vijana wapiiii,Tz au?sisi niwaoga sana kuyaendea mabadiliko,kuhoji palipo nashaka nk.tunogopa mamlaka ukifanya kuhoji tuu umepotea
@user-do5mp8zl1v
@user-do5mp8zl1v 12 күн бұрын
Baba wa Africa mtetezi wa Africa is Ibrahim traore Swali na mungu atakulinda cha kufanya weka shule kwa wafasi wakoweengi iliwatabakia kuendeleza kukataa ukoroni mamboleo pia tembelea hadi ncho za africa mashabiki mungu Akulinde milele dua nyiiingi za usalama dhidiyako Traore Ibrahim
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Жыл бұрын
Viva African viva IBRAHIM ❤ 🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💯
@mananzizaabdul2689
@mananzizaabdul2689 11 ай бұрын
Kaka bundara mungu akilibde bro napenda saana simulizi zako kaka. Unajitahidi kufafanuw kwaustarabu ..am very proud kwasauti yako bro..big up bro
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 Жыл бұрын
Jwtz na Jw..mnasubiri nini hapa home Tanzania 🇹🇿..piga chini maccm..
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 Жыл бұрын
Hizi ndio habari zinazotakiwa Kila siku Tanzania kwa ajili ya kuzikimaza akili na kuzipa uelewa wa kutambua haki zetu sio Kila siku maisha wa watu yakuigiza yanayohalibu akili zetu kabisa😊
@muddyso1953
@muddyso1953 Жыл бұрын
Hakika ni sahihi
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Жыл бұрын
Asante sana kwa makala hii
@MercyJayden
@MercyJayden 2 ай бұрын
Mungu muogose ibrahim
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Africa inaamka. Wahuni mashakani. Maana vibaraka wao wanapigwa chini. Wanahofia hawatovuna tena madini
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 11 ай бұрын
Hahaha haha kweli wanavuna wasipo panda
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Жыл бұрын
Sns is my favourity channel for mind updates
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Acha Wanajeshi washikilie nchi km Viongozi waliopewa dhamana wameshindwa kujua wajibu wao wa kuwaongoza Wananchi waliowachagua na kuwaamini
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
The Congolese M-23 are from the UN group. the UN miners are protecting them. The UN is sending weapons to the Congo, they are taking minerals and sending them to the United States.
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Kbs wanarewa madaraka sana hawatambui umuhimu wa kudhaminiwa na watu nia wasaidiwe lkn wanawadidimiza zaidi
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
@@rogersiddy Sema Viongozi wengi wa Kiafrika wakisha chaguliwa wanakuwa Vibaraka wa Mabepari na Mabeberu wa America na Ulaya badala ya kuwatumikia Wananchi wao
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
@@rogerslwitiko3915 Hilo ndo tatizo kubwa la Africa 🌍 sasa kumpata mwanajeshi kusubutu kama hao hamna kbs ili wawatumikie wananchi
@MAINA_THETHERE_1704
@MAINA_THETHERE_1704 Жыл бұрын
Ibrahim troure❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@kahmardintebe9266
@kahmardintebe9266 Жыл бұрын
Dalili nzuri kwa bukinafaso mali gine mungu awatanguli katika kuwatumikia wananchi wenu
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Kwetu sijaona wa kulifanya hili maana sielewi kinachofanyika hapa Tanzania 🇹🇿 kwakweli siasa za ujanja ujanja tu hawatoi haki za uchaguzi unaenda kupiga kura bunduki ipo krb yako mawakala wa vyama pinzani wanatolewa nje wagombea wa ccm wanapitishwa bila kupigwa yaan tumechoka kwakweli Mungu atuongoze
@peacemuzaliwa2563
@peacemuzaliwa2563 11 ай бұрын
Magufuli alikuepo mka amua kumtoa sadaka ,Madiliko yanaitaji zaidi.
@rogersiddy
@rogersiddy 11 ай бұрын
@@peacemuzaliwa2563 Sio kweli usio lijua ni sawa na usiku wa giza kama unaona vinavyoonekana barabara magorofa basi bado hujajua nini maana ya uhuru wawatu maana yake nini ndugu siliza
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 11 ай бұрын
Ni magufuli tuu tulikuwa naye wanajeshi wanao jiita jwtz wapo kuka rushwa ya nyama za NGO'MBE shenzi kabisa hao
@hanschuma7734
@hanschuma7734 Жыл бұрын
Sio habari za kinamond nawapuuzi wengine kila kukicha na faida hakuna zaidi ya Upuuzi tu hizi ndizo habar tunazozitaka sisi kaka AFRICA stand-up
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Жыл бұрын
Hongera sana bro sky. Ndo maana Mimi nilikushauri uanzishe taarifa ya habari walau kwa dakka 5 tu kila siku.
@aaronswai3092
@aaronswai3092 11 ай бұрын
Mungu akubariki kwa ufafanuzi mzuri. Nafikiri Viongozi wengi waovu (wasiojali Wananchi wao) Afrika wanawahitaji akina Traore, Doumbuya na Goitta!
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Traore kwasasa amekuwa mtu muhimu sana kwangu kuriko mtu yeyote nili wa misi viongozi kama traore recpect traore rudisha heshima ya Africa na Ecowas waki jichanganya tuna raranao
@KAZUNGUKITHI
@KAZUNGUKITHI 11 ай бұрын
Good job men keep it up
@mooztiree6158
@mooztiree6158 Жыл бұрын
Iam kenyan..iam with you bro...
@KuwakuMalumba6895
@KuwakuMalumba6895 Жыл бұрын
MUNGU Ibariki Africa 🌍 yetu! Let see what next 👀 we need peace ✌🏿 in Africa 🌍 we need food every way in Africa 🌍 we need good education all Africa 🌍 we need good health care all Africa 🌍 we need good fare political to all Africa 🌍 we need seriously President's who care about people's in Africa 🌍 we need Africa who everything things is good 👍🏿 we need big company all Africa make jobs 😢 so all Africa gets jobs and work hard for live. We need better Africa 🌍 we want best Africa 👌🏿in everything work ok 👍🏿 electricity wate, in all Africa 🌍
@jonasizack6712
@jonasizack6712 Жыл бұрын
EXACTLY ✅✅✅✅
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 Жыл бұрын
🫡
@MrChachaboyKingmselfLinu-de6yx
@MrChachaboyKingmselfLinu-de6yx 11 ай бұрын
Kwenye namba 4 dunian za viongoz bora na Ibrahim hakosi🙌🙌🙌🙌✍️✍️✍️✍️
@user-do5mp8zl1v
@user-do5mp8zl1v 12 күн бұрын
Hakika mungu aaawe na Ibrahim na jumuia yake na Mungu awalinde kifasaha male go Yao yatafika sehemuhusika na Africa nzima Isha allah
@MkenyaN
@MkenyaN Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana. Big up Sky!
@samsoniris
@samsoniris Жыл бұрын
He is a gentleman
@user-qm7wy2ms4r
@user-qm7wy2ms4r Жыл бұрын
Hongera sana.vizuri sana wanajeshi.hayo ndivyo tunataka Afrika viongozi wabinafsi.wala rushwa.wanaogawa raslimali za nchi kwa maslahi yao.kupinduliwa bado Tz
@user-tk9nq4zm2d
@user-tk9nq4zm2d Жыл бұрын
❤hongera sna
@ThomasBhoke-bk6jp
@ThomasBhoke-bk6jp 11 ай бұрын
Uhakika brother 🙏🏼🙏🏼
@angelsalome2207
@angelsalome2207 Жыл бұрын
Bado kenya 🇰🇪
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 11 ай бұрын
Kenya pia wanajeshi fanyeni jambo
@nellyhortensia2407
@nellyhortensia2407 Жыл бұрын
Madagascar people need a revolution like this. We suffer a lot
@ibnayub2374
@ibnayub2374 11 ай бұрын
Polen sana Africa tuko na viongozi wa ajabu sana sio Madagascar tu
@NeemaMlasu-ez5nl
@NeemaMlasu-ez5nl Жыл бұрын
Simulizi nzuri
@peacemuzaliwa2563
@peacemuzaliwa2563 11 ай бұрын
Central Afrika need such Revolution mindset, specially DRC these people surely have sufered alot alot alot alot alot yani saaaana tena, Bila Viongozi Wazalendo Nchi yenue Rasilimali zote kama zile na bado watu nimasikini. Afrika Tunaitaji kuamka sasa. Big up Sns kwa Makali Kama.izi zakizalendo.
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Жыл бұрын
Mungu awasimamie
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 11 ай бұрын
Nakubali sana makala YAKO
@CosmasCosmas-lb2su
@CosmasCosmas-lb2su Жыл бұрын
hiiii umeenda tuamkeni Africa we need like this
@user-jr7kn7sd2y
@user-jr7kn7sd2y 11 ай бұрын
African countries should follow the example of (these people, there is nothing to fear if the political governments do not do well,
@abuusufian6506
@abuusufian6506 11 ай бұрын
@KasalambaJuma
@KasalambaJuma 2 ай бұрын
Hongera Ibrahi
@user-it6pm4rh8s
@user-it6pm4rh8s 11 ай бұрын
Hizi nchi za kiafrica kawaida znatakiwa kutawaliwa na wanajeshi tu wenye machungu halisi na nchi zao
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. Жыл бұрын
Na mkubali ila iwaga wana geuka au ku huwawa 😢😢😢
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 ай бұрын
Mwezi January 2022 na akapinduliwa September 30/2020??? How come?? @Sns
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Жыл бұрын
Kaka kwenye hizi makala huna mpinzani 🎉 nakupongeza sana
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Jamaa yupo clearly Sanaa anafaa kuwa kiongoz il nifunzo kwa wale viongoz wasyo jali raslimal za nchi huska kpnduliwa Ni sawa kbisa viongoz wetu wamekalia kuombaomba t ovyo tnakuwa na madeni ya syo Isha vzaz na vizaz ili Ni Jambo la atar Sana ). ktowa milady Ayo naona sns ikiwa no 2 tz kwa habar nzr
@inaciobernardo6491
@inaciobernardo6491 Жыл бұрын
🎉 Moçambique 🇲🇿
@michaellilahenda2110
@michaellilahenda2110 Жыл бұрын
Naiona aflika ikiungana kupitia wanajeshi siyo demoklasia
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Жыл бұрын
Africa ina wanaume wamesimama vizuri
@user-fc1im3uf8i
@user-fc1im3uf8i 11 ай бұрын
Nice story
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Waafrica wanadhani kwamba watakombolewa na Rais 1 ambae anadhani kua wengine hawawezi. Magufuli alipokua madarakani alipingwa na watanzania wanzake. Hadi wamemuua tukiwa tunaona. Kudhani kua atabadirisha ni vigumu. Nchi zote za watu weusi weusi duniani ni masikini wa kutubwa japokua wanaishi kwenye kila utajiri. Hivi huu muungano wa EA unasaidia nini?
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Mtu mweusi ana matatizo ya kutojitathmini zama zote ndio maana hatupigi hatua na kubaki kusalitiana.
@thimotheedundji-ck5ip
@thimotheedundji-ck5ip Жыл бұрын
Una tafsiri sawa alivyo Sema.
@chrismahinga5854
@chrismahinga5854 Жыл бұрын
Maswala kama aya ya Kivita na siasa uwe unamuachia DJ SMA255, Wewe baki kwenye muziki na mengineyo. Haufai huku.
@abdallakhamis8708
@abdallakhamis8708 Жыл бұрын
Wakiungana kwaudhati watafika wanakotaka lakini muungano uwewakweli ucwekama ulewa Zanzibar na Tanganyika uweni muungano wa hakina usawa
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 Жыл бұрын
Wachambuzi wengi Wa Tanzania wana uwezo mkubwa wakuchambua mambo ya selikali ya nchi ya Hapa nyumbani Hawawezi
@taslimanyange2850
@taslimanyange2850 11 ай бұрын
😂😂😂
@robbyrobson6998
@robbyrobson6998 11 ай бұрын
Watafika na inatakiwa nchi zengine zifate long livi the commando 🏴‍☠️
@adammed6037
@adammed6037 Жыл бұрын
Mi kwetu tz siikubali democrasia maana ndio chanzo za mizozo Kama haki za binadamu.leo ndoa hazi dumu wanawake hawaolewi single mama . Siasa chanzo cha mipasuko
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Жыл бұрын
Unahakili sana kaka
@asifiwekayole-ft7er
@asifiwekayole-ft7er Жыл бұрын
Watafika mm nilivyoon mungu awatangulie
@patriciatumain172
@patriciatumain172 Жыл бұрын
Hawa viongoz watatu mi nawakubali Sana wako vizuri waache wwaletee maendeleo wananchi wao wako right kbsa coz nchi za mangaribi wanatutawala sana nchi nyingne zijifunze kuptia hawa viongoz
@BahatiDotto
@BahatiDotto Жыл бұрын
wananchi wamataifa hayo waonyeshe msimamo maana mateso yamezidi
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Nauku uzalendo ungekuwepo ili takiwa iwe ivyo ivyo wanao kula matunda ya nchi ni baazi ya familia zina fanya kufulu
@eliamushi2897
@eliamushi2897 Жыл бұрын
This is the magufuli in Tanzanian
@juliusbrush3202
@juliusbrush3202 11 ай бұрын
Damiba alipinfuliwa 2022 then akapinduliwa 2020 imekaaje hii, but kazi nzuri kaka
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 2 күн бұрын
Noma noma2
@pauloegbert515
@pauloegbert515 10 ай бұрын
Heroes of africa
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Watafika tena sana
@yasminsalim291
@yasminsalim291 Жыл бұрын
Zikifika nchi 7 africa Kupinduliwa Tumeisha
@user-gv6vl7lt5j
@user-gv6vl7lt5j Жыл бұрын
Asante
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 85 МЛН
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
MAITI YATUPWA BAHARINI 1 August 2024
7:28
Abu Shuraim
Рет қаралды 2,4 М.
IBRAHIM TRAORE AMEKUWA RAIS WA MILELE BURKINA FASO KWA MENGI ALIYOIFANYIA NCHI
42:26
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН