Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka

  Рет қаралды 71,439

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 273
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 Жыл бұрын
Hawa Mr perfect na egomaniac ni bora ya wooote kuliko hawa..yan you better be single than get into the fire of mr perfect and hawa egomaniac men..yan i repeat hii ni type ya ovyoooooo kuliko zoteeee🤨
@shamimually1484
@shamimually1484 3 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa mwalimu, ila kuna wanaume wengine ambao hawana maamuzi na misimamo yao
@shukuru9792
@shukuru9792 2 жыл бұрын
Daar ume nigusa
@achilawikachele4053
@achilawikachele4053 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mhizavinyangaza624
@mhizavinyangaza624 3 жыл бұрын
Bro, ukitoa hao mum’s boy hizo tabia zingine hata wanawake pia wanazo, au siyo kweli?
@khadijaal6548
@khadijaal6548 3 жыл бұрын
Ahaha wanaume mmezid mnatukatisha tamaa saana wapenzi wenu 😒😔
@meryanmwailakale670
@meryanmwailakale670 3 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu kaka joel, najifunza mengi sanaaaaaaaaa na masomo yako
@patrickkomu3198
@patrickkomu3198 3 жыл бұрын
Yaan mume wangu ni wa Mama's boy, Mr right, egonomic, controlling ni matatizo kwa kweli, inabidi unamfanya mtu mwanaume wa mbegu tu hakuna lingine
@anthonywilliam3977
@anthonywilliam3977 3 жыл бұрын
Hahahahahahahaha msaidie
@bennycaleb5583
@bennycaleb5583 3 жыл бұрын
Oo oh😥msaidie bhna
@petronilakimario8533
@petronilakimario8533 2 жыл бұрын
hahaha
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 3 жыл бұрын
Sasa avae kama kina Cardi B na Nicky Minaj nimwabgalie tu... Nampiga mikanda.. Anatakiwa avae kama Mwanamke wa Kiafrika wa zamani
@Alama_Tv_online
@Alama_Tv_online 3 жыл бұрын
Hao bad boys jamani.🤣🤣🤣🤣 jamaa anarudi kwa miguu wakati nyumbani alitoka na gari
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 жыл бұрын
Hiyo ni mbaya sana
@emmanuelmadata
@emmanuelmadata Жыл бұрын
@@rumdeesonsoa1811 ppppp
@emmanuelmadata
@emmanuelmadata Жыл бұрын
P
@emmanuelmadata
@emmanuelmadata Жыл бұрын
@@rumdeesonsoa1811 ppp
@happymakambi233
@happymakambi233 3 жыл бұрын
Kuna mtu anakuwa controlling,mr perfect na egomanic. Yaan hatar sana,huyu asubuh tu atakimbiwa
@wadeesalum402
@wadeesalum402 3 жыл бұрын
Mtu wahivyo ninoma hana hata jambo dogo kwake
@josephsimpamba8528
@josephsimpamba8528 3 жыл бұрын
I now know where I stand time for change
@mwalimudismasherman
@mwalimudismasherman 3 жыл бұрын
Mpaka mnasherekea Anniversary ya miaka23 ni lazima atakuwa ameshatambulisha watoto 14, Bad boys wote wakimbiwe tu😂😂😂
@chiefchale7710
@chiefchale7710 3 жыл бұрын
i don't understand this, why is it guys like that always have the best women and in actual truth women don't leave them they just complain?
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
We would to conduct a research on this kwa kweli
@chiefchale7710
@chiefchale7710 3 жыл бұрын
You will solve a lot of confusion I have with women, please do a research on that.
@mrishomzelela1590
@mrishomzelela1590 3 жыл бұрын
@@joelnanauka Me nishafanya research, ishu ni hela tu kwisha
@sarahjackson8755
@sarahjackson8755 2 жыл бұрын
Ni kweli tupo apa😭
@emmymo2683
@emmymo2683 3 жыл бұрын
Mimi ndoa yangu ndoivoivo Yani Kama ulikuwepo nyumbani kwangu
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
mi ni BAD BOY...lakini sina matukio mabaya ya kihuni....mana ukizingua mi nazingua na sikutafuti tena.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
😂😂😂
@Zanzibar_Iland
@Zanzibar_Iland 3 жыл бұрын
wewe so BAD BOY wee BAD BOY VERY
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Aisee hawa Perfect ni shidaaa. Nishakutana nae aisee na juzi tu nimeamua kunyanyua mikono aende japo Nampenda sana. Ila kila ukizoom huko mbele itakuaje ni mtihani. Maana kila kitu utakua ww ndo chanzo,simu unapiga ww hapokei, ukiuchuna unakuja kuambiwa Una kiburi kisa hujamcheki 😁😁😁na atakuambia nakupigia simu hupokei wakati hakuna simu yake iliyoingia kha 🤣🤣🤣Akiwa na tatizo ww uwe bize nae, na usipokua bize nae anaona humjali, ila ww ukiwa na tatizo hata ukiumwa hana mda wakukucheki hata kukujulia hali mpk akijisikia. Jamani mahusiano na hawa viumbe ni magumu mweeeh. Na ukilalamika kwa kutokujali kwake kibao kinarudishwa kwako unajikuta ww ndo unaomba msamaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubinafsi mwingi mno kwa hawa viumbe. Hadi unajiuliza kama ww tu hakujali ndo atajali ndugu zako, jibu unapata hakuna. Mwee Haya maisha stress tupu,bora niendelee kupata stress yakutafuta pesa. Watoto wa mama mkwe ni ugonjwa wa moyo.
@salehsaleh548
@salehsaleh548 3 жыл бұрын
Hehehe aisee hii hatariii
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
@@salehsaleh548 😂😂😂😂😂Hatari kweli, unaweza kufa huku umesimama. Yaani mpenzi wa hivi ni kwikwiii, hawatakagi kuambiwa wamekosea, afu wasiri waliopitiliza, hawapendi kuulizwa sana 🤣🤣🤣ugomvi tu ndo hawawezi ila kununa mtashindana hata kama kosa lake. Hawajui kubembeleza, wanachojua wao ni wao tu wabembelezwe, aidha umemkosea au kakukosea utarudi ujishushe ww, ktk wanaume hawajui kuomba msamaha ni hawa!!! Yaani akili yake inamtuma yuko Perfect kila kitu kukuomba msamaha kwake dhambi. Na kusamehe kwa dhati ile nimekusamehe yaishe kweli huo ni mtiti mwengine 😂😂😂😂😂Anaorodhesha makosa balaaa, unakuja kushangaa kitu cha miaka ulishasahau yeye kipo stoo kipyaaaa,unakumbushwa hadi unashangaa afu eti mlishaongea akadai yameisha 🤣🤣🤣afu wanakuaga na fake smile.Yaani nilimsoma tabia zake kama kitabu, afu nikimuangalia nacheka.
@salehsaleh548
@salehsaleh548 3 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 nimekueelwaa sasa kwa sasa umeamuwa kuwa peke yako au umrpata mwingine😀😀😀
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
@@salehsaleh548 😅😅😅saa hizi nirudie tena stress. Acha tu niangalie maisha yangu kwakweli nisijekufa kabla ya mda loh.
@salehsaleh548
@salehsaleh548 3 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 ukipata kama mm utafurahi na maisha yako😊😊😊
@meshackevance9959
@meshackevance9959 3 жыл бұрын
Iv hii clip ulilekodi mwanzo mwisho 🤣🤣🤣 maana penye bad boy nimecheka kwa saut 🤣🤣 Ahsante mwalimu 🙏🙏👏👏👏
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
@joel_nanauka naomba behind the scene ya hii clip 😂😂😂😂
@k.kswitzerland4168
@k.kswitzerland4168 3 жыл бұрын
Me too😂😂
@petronilakimario8533
@petronilakimario8533 2 жыл бұрын
EGOMANIC UNAKIMBIA.SPEED.MIA.AISEEE😖😖😖
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 3 жыл бұрын
Haaaa! Haaa! Mada nzuri sana hii,saluti kwako aisee!
@shukranikapange608
@shukranikapange608 2 жыл бұрын
mamaz boy
@mariahungwi6352
@mariahungwi6352 2 жыл бұрын
Halafu kuna wazembe na wasiotambua nafasi zao kwenye maisha ya mwanamke na familia
@RahmaYusuph-eh4ry
@RahmaYusuph-eh4ry 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mimi cna lakusema ila mada ya leo nimzuri sanaaa
@domitilabarnabas2843
@domitilabarnabas2843 2 жыл бұрын
Yan clip za namna hii zinawaibua mediocre ambao hawajielewi wanashabikia tu.
@josephkashalu4173
@josephkashalu4173 3 жыл бұрын
Daaaah ahsante Sana kwa mafundisho pia mm ni mmoja wa wanaume niliepoteza mwanamke nmpendae kwa tabia zangu na mifumo yangu ya maisha
@cupcandymushi9126
@cupcandymushi9126 21 күн бұрын
Big up kwa kujitambua❤
@bensonmshiu1894
@bensonmshiu1894 Жыл бұрын
How should a man be?. I think kama ndoo mapungufu ambayo tunayo
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 2 жыл бұрын
Duuuh uncle joel huyo Mr perfect ni hatar sana siyo uongo sikujal km nlmpeleka kwe2 kudadeki yaliponishinda nikasepa na tulikaa kwenye relationship kwa 6 years tangu chuo lakin sikujal
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 жыл бұрын
Ebwanae yamenikuta ayoo ila uyoo mwana mke aliyo niacha sasaivi ananitafuta na mie simpendi tena ila nime zaa nae wtt 2 ila hadi now sifahumu aliniacha kwa sababu gani
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 3 жыл бұрын
Asante Joe, katika mafunzo inepata fundisho tosha. kwani uuhusiano sio kitu rahisi. Ikiwa ina deal na ndungu, jamaa na marafiki. hakika uuhusiano wa ndoa una changamoto nyingi. Hawa wanaume wa aina hii tukonao katka safari. Je una ushauri gani. Naomba uelezee tu kijumla.
@RahmapenieliyMdoro
@RahmapenieliyMdoro 11 ай бұрын
Mimi ni muhanga mume Wang anatabia ya pili mpaka ya tano nimeishi nae mwaka wa 14 huu nahisi kukata tamaa
@octaviantito
@octaviantito Жыл бұрын
Mwanaume akiwa na tabia zaidi ya moja au mbili. Je huyo inakuwaje?
@alfredbierhoffsteve535
@alfredbierhoffsteve535 2 жыл бұрын
Lakini pia umegusa na wanawake wengine wanatabia hizo.
@sarahjackson8755
@sarahjackson8755 2 жыл бұрын
Yaani hizo sifa zoote ulizodadavua hapo zinamuhusu Mr right wangu😭zoote jamanii
@ennakweka1019
@ennakweka1019 2 жыл бұрын
mm nina huyu economic man na nimemvumilia kwa yeas ila sasa mambo hayaend nini kifanyike
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Hapo kwa badboy...uwiii nimeamua kumuepuka watoto watano kila mtu na mama yake...mmi hapana.
@akshots_tz
@akshots_tz 3 жыл бұрын
hahaha hawa bad boy nimecheka sana, asante kwa somo mwalimu..
@fallykhan2383
@fallykhan2383 3 жыл бұрын
kuna wanaume haujatutaja tunaopenda kulalamika yani kitu kidogo tunahisi tumeonewa hata kama umetaniwa, na tukiombwa msamaha ndo tunazidi mpaka tunapohisi maneno yametuishia ndo tunasamehe mimi nipo kwenye kundi hili
@farajiajali3030
@farajiajali3030 3 жыл бұрын
Wajina umetisha hahahahaha
@salehsaleh548
@salehsaleh548 3 жыл бұрын
Aisee huyu mm kabisaaaaa😊😊
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
😂😂😂 tutaiongezea hii
@emeraldmaeda6792
@emeraldmaeda6792 2 жыл бұрын
JOEL am married to the last on the list and its a nightmare najaribu kuwaeleza ndugu ninacho pitia ina kuwa ngumu nime shukuru ume fafanuwa kwa kiswahili kizuri ili niki share waelewe halafu hawa shauriki watu wa namna hiyo ni ngumu sana
@magdalenacharles5615
@magdalenacharles5615 3 жыл бұрын
Aisee ....
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 3 жыл бұрын
Na wanawake ambao hata akikosea hawezi kuomba msamaha,hajui kitu lkn pia hataki kuelekezwa.Zaidi sana mwanaume ukishuka ili kwamba angalau msawazishe yeye anakuja juu kwa majibu ya shombo je;mwanamke kama huyo atakuwa ni wa aina gani au anaashiria nn?
@OdenGreen
@OdenGreen 2 ай бұрын
Ukweli mtupuu
@ladymarry
@ladymarry 2 жыл бұрын
Asante saana kaka Joel Nanauka kwa Elimu nzuri.wapo saana na wengne tunapata taabu kuwarudisha kwenye mstari kwan wameshikiria wanavyomin wao kuwa ndio viko sahihi na wasijue ht kama wanaumiza wenza wao ht jamii iliyowazunguka pia..na wanajichelewesha hata bila kujua, ni neema ya Mungu tuu ndo huwafanya waelewe baadae na wengne hufungwq ufahamu kabisa mpk wanazingua kaburini.🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽shukran kwako na Mungu akubariki hujawahi niboa kwenye mafundisho yako..
@cupcandymushi9126
@cupcandymushi9126 21 күн бұрын
Thank you 😊
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 2 жыл бұрын
kweli kaka tutajilekebisha asnte sana kwaushauli
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Ай бұрын
Be blessed
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 3 жыл бұрын
Jamani Mimi wangu anazo zoooote nimemkata tena mahakamani na Hana hâta rushusa ya kufika kwangu,hasa na nne na ya mwisho Kwa ujumla vyote anavyoa anavyo sio rahisi kuishi na mwanamme wa aina hiyo.
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 2 жыл бұрын
Devotha kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee? Hamkubahatika kupata watoto?
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 2 жыл бұрын
Devotha kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee? Hamkubahatika kupata watoto?
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 жыл бұрын
@@kumekuchaonlinetv Nina watoto naye wawili n'a wa tatu wake kutokea kwa mwanamke mwingine.tena WA kwake Hugo ninayebkuanzia akiwa na miaka Saba SASA ana miaka kumi naa Tano je huo si msamaha . Ada Kula maradhi mimi n'a shule sio lelemama .Mama wa moto Hana habari.
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 2 жыл бұрын
@@devothasimbi6495 Duuuhh! Kwa kweli wewe ni mke mwema sana,yaani umeweza kulea hata mtoto wa mwenziyo-MWENYEZI MUNGU ATAKULIPA MARA ELFU ZAIDI!! 👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 жыл бұрын
@@kumekuchaonlinetv Amina sio kwa uwezo wangu ni nguvu ya Mungu .
@mcnyoka
@mcnyoka 3 жыл бұрын
First Joel nijibu nivimbe
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Haya MC Nyoka
@joycehaule9717
@joycehaule9717 3 жыл бұрын
Nanauka mawasiliano yako wapi?
@suzanayakobo2926
@suzanayakobo2926 2 жыл бұрын
Haaaaa
@rahmahrr4471
@rahmahrr4471 3 ай бұрын
Aise kaka wankumbusha nlvyo mpiga vibao vya uso mme wangu alvyo ni chit akaenda kusema na mamake😅😅😅 wafanya mchezo na asira
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Ahahaha
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 6 ай бұрын
Noted.
@ndugwahamisi1470
@ndugwahamisi1470 Жыл бұрын
Asante
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Ututumie na ya aina ya wanawake wanaokimbiwa na wanaume
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Sawa Sawa
@adijarichard8571
@adijarichard8571 2 жыл бұрын
M
@emmamoshi855
@emmamoshi855 2 жыл бұрын
Umenigusa nimemkimbia mume wangu kwa tabia ya Mama's boy
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 2 жыл бұрын
Emma msamehe bana ili maisha yaendelee!! 😁😁😋😋
@CKMO
@CKMO 3 жыл бұрын
Yaaaah sijui nisemeje ili nifahamike yani mimi mume wangu ni gubu yani ni lawama tuu 24/7
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 3 жыл бұрын
Pole mtu asieridhika ujue pia hana huruma
@mndambacomedian4127
@mndambacomedian4127 3 жыл бұрын
joel master of life me sipo kati ya haina hizo ila nimeona watu wa namna ya aina ya mwisho na asante mungu akubalik
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa Kujifunza
@godfreymkilindi2022
@godfreymkilindi2022 3 жыл бұрын
Tuish nao kwa akili tuu ,Mungu akubariki kwa message unazo fundisha
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 6 ай бұрын
😂😂😂😆
@salomesaedy8186
@salomesaedy8186 Жыл бұрын
Khaaaaa😂
@rachellyeme3097
@rachellyeme3097 3 жыл бұрын
Yaani ni aliyekua mume wangu kabisa na nimemkimbia kweli si utani japo hatujadivoce bado na sitegemei kurudiana kabisaaa
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
njoo kwangu bac.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 3 жыл бұрын
Same to me 😂😂 kabisa
@glorianyambua1348
@glorianyambua1348 4 ай бұрын
MUNGU akubariki sana,, tangu njue channel yako nmesaidika sana na kujua aina za watu na category zao
@saidagalu2914
@saidagalu2914 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@patientmatene4428
@patientmatene4428 2 жыл бұрын
Ndio nianeye Egomaniac girl Tawezaje kuishi naye?
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 6 ай бұрын
😂😂😂
@sweetbertmligo9637
@sweetbertmligo9637 3 жыл бұрын
Wambie na wadada hao,nao wapo wanaosumbua balaa!
@estherndola4900
@estherndola4900 Жыл бұрын
Kuna mwamba mmoja yeye ni controlling type of a person, Mr right na egocentric Harafu ndo mume sasa.. hali inakuwa ngumu sana.. 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@youngsuperhiphopmrog
@youngsuperhiphopmrog 3 жыл бұрын
Dah pnguzq kutusema😂😂😂
@dorisilukinja4507
@dorisilukinja4507 2 жыл бұрын
Truu
@abrahamuedson4268
@abrahamuedson4268 2 жыл бұрын
Truu
@ashaally5883
@ashaally5883 3 жыл бұрын
Asante kaka mume wangu alikua na sifa ya kwanza na ya pili sana nashukur mungu nilishajitoa kwake now niko napambana na hali yangu natafuta kuliishi kusudio langu 😊😊😊😊😊
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 2 жыл бұрын
Asha Alli kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee?
@PhillipoHaule
@PhillipoHaule Жыл бұрын
Mimi Niko hivyo na nahisi nimemvadilisha mwenzangu nifanye nn nitoke kwenye hatari
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي 2 жыл бұрын
Mmoja anayote hayo kaka Joel , nimekutana nae vyote hivyo anavyo
@ambrose_vevo137
@ambrose_vevo137 2 жыл бұрын
we moto ulikuwakia hakii 😂😂😂
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي 2 жыл бұрын
@@ambrose_vevo137 😆😆😆
@glorianyambua1348
@glorianyambua1348 4 ай бұрын
Kweli kuna watu wana tabia hizo, mimi nlikuwa na mume Ana tabia hizo zote ilibidii nmtoroke
@johnsonkibadeni5053
@johnsonkibadeni5053 3 жыл бұрын
Bad boy balaa aiseee😂😂
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Jaman badboy ndo sitak hata kumuona ktk mahusiano heee😂😂😂😂majanga
@SonySony-hx5yd
@SonySony-hx5yd Жыл бұрын
Yeah nlikutan namwanaume ,anokufanya mtumwa,anauza viwanja nammbo kibao hkushrikishi ,taarifa unaziskia kwa mama ake au dada zake,au rafiki yake,nliona haina haja tulimwagikana
@geraldmilanzi9048
@geraldmilanzi9048 Жыл бұрын
Kaka mm humanga namna moja sijui yaan hayo yote anaya sijui nilitoe moja la kuto chukuliwa na polisi tu lkn mengi yapo.
@MariamBahat
@MariamBahat 5 ай бұрын
Mimi ni huyo no5 nifanyeje hayuko care katika mambo yangu lakini yako anataka yawe no1 kwangu mm hataki kujua
@VelonikaMakota
@VelonikaMakota 6 ай бұрын
Njoo.chukue huyu wakwang anamsikiliza mama yk
@nickrose9560
@nickrose9560 2 ай бұрын
Mungu akuweke we baba hii ni zaid ya point mamas boy hii inatesa mnoo
@rayansaldivar2796
@rayansaldivar2796 Жыл бұрын
Mimi nikutana na number 5. Aise ............ Nipo karibu ya kukimbia
@ggvv9970
@ggvv9970 Жыл бұрын
Minajipata kila nimpataye nimoja waapo sijui nifanyenje 😂😂😂😂 ndio uwa nakufatilia ili nijiliwaze❤
@samsonjoel3349
@samsonjoel3349 Жыл бұрын
Ubarikiwe He chanzo Cha tabia hizi ni Nini na huweza kubadirika?
@farajhassan1775
@farajhassan1775 3 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki kaka Joel 🙏
@mwanashahussein6829
@mwanashahussein6829 Жыл бұрын
Hi yaani nilipitia nanishakimbia tayari nasasa naongopa kudeti tena maana sijui nitapata waaina ngani tena
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
No 4&5 ndiye niyenae Sasa ! Keeeero
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 2 жыл бұрын
🤣
@JasmineMilima
@JasmineMilima 6 ай бұрын
Yaani huyo wa2 ni alie kua mme wangu kabisa 😂😂Yani kama naMuona 😂😂
@tatu3tatu549
@tatu3tatu549 3 жыл бұрын
Nmeachwa na kuzulumiwa mali ya an milion kumi ikiwa nyumba piki piki na shamba nipo nipo natangatanga
@luciasoko9026
@luciasoko9026 2 ай бұрын
,Mimi ninaye mwenye Tabia kama hiz karibia zote
@rachelmwangaile4468
@rachelmwangaile4468 3 жыл бұрын
Mmmh yaàn doctors komu Mimi ninae mwanaume ako na tabia hii ikifika mchana ukimtafuta atakwambia nipo kwa mama nimeenda kula jion nayo hivyo hivyo na anafanya kazi na analipwa pesa nzuri tu lakin everything depending to her mother na izo tabia zinakwaza kwakweli
@loiceomwola7451
@loiceomwola7451 3 жыл бұрын
Kunywa maji kwa Bill yangu
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante kwa OFA
@galbeana2499
@galbeana2499 3 жыл бұрын
Wangu niuyo bad boy hakosi matokeo pia anaiyo yakuuza vitu bt niliamua niachane nae
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Sifa ulizotaja Kuna wanaume wengine wamebeba sifa mbili au tatu mtu unakuta ni mbinafs kupita kias pia yeye si mkosaji pia unakuta ajui kujisimamia mpaka asimamiwe na mama yake kaka zake au wengine ata marafiki yaan ni kero mwanzo mwisho
@shazilishaibu8480
@shazilishaibu8480 2 жыл бұрын
Oya endelea kuelimisha na utoe familia ya mwanamke ambae unatakiwa kuoa au kuolewa juu ya sifa zake
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 3 жыл бұрын
Mm nimeshakimbiwa tayari lkn sipo ktk makundi yote haya, nahisi ni ukabwela(ulofa)ndio 7bu!
@fridalaswai1000
@fridalaswai1000 2 жыл бұрын
Yani km mm apo ndo mhanga wa mambo karibia yotee yan ad nimejiurumiaa
@edgeredson9691
@edgeredson9691 2 жыл бұрын
Sasa kumsikiliza mama yako ni kosa? Wanawake wa sasaiv hawa ndio wa kufanya mtu asimsikilize maaake?
@rosemarygelas1473
@rosemarygelas1473 4 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri , wakwangu ni no 4 na tano uwii ni mtihani sana
@qwqw1665
@qwqw1665 3 жыл бұрын
Hata mm nimeumizwa na wanaume waaina hio kwahio sahii sitaki mahuaiano tena mana anatakayeye ajiongeze tuu laki mm nikimwambia nmtihani jamani nimechoka
@claramrosso2566
@claramrosso2566 Жыл бұрын
Jamoni imebidi nicheke manake kila aina ilotajwa yupo Mungu akubariki brother
@LuluMsacky
@LuluMsacky Ай бұрын
Mm wangu vitu v3 anavyooo kabsaa
@pendojeremiah9111
@pendojeremiah9111 3 жыл бұрын
Me nilishawahi kukutana na Mama's boy kiukweli nilimwacha ndani y mwezi mmoja,for sure wanakera🤣🤣
Maswali 7 wasiyopenda kuulizwa Wanaume - Joel Nanauka
9:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 69 МЛН
Aina 9 Za Wanawake Watata
13:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUTENGANA NA WATU - JOEL NANAUKA
15:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 8 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 249 М.
Aina 5 Za Connection Muhimu Kwenye Maisha
8:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 48 М.
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 127 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19