IKULU LIVE: Rais Magufuli akutana na wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme

  Рет қаралды 27,783

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@mimizlove6992
@mimizlove6992 5 жыл бұрын
Viva Raisi wetu
@josewanjombetz8571
@josewanjombetz8571 5 жыл бұрын
safi kabisa mheshimiwa raisi nakuelewa sana
@thamoskitebi6032
@thamoskitebi6032 5 жыл бұрын
Mh rais mungu akubariki sana,tena sana,tunakuombea,usiku na mchana.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san baba yetu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@sebastianzenda3440
@sebastianzenda3440 5 жыл бұрын
mimi nichadema damu,lakini Magufuri wewe ni kiongozi sahihi kabisa,unafaa na unastahili kuliongoza Taifa letu,Mungu akutie nguvu na ujasili mwingi zaidi.udhaifu kila mtu anao,ila wewe uko sahihi na aupendi ujinga,Mungu akuweke Rais wangu akuongezee hekima ujasili zaidi sana atuandalie mtu sahihi kama wewe au zaidi yako pindi utakavyo achia madalaka.
@eliathomas8446
@eliathomas8446 3 жыл бұрын
@Civilyan Daniel hujui kusoma Alama za nyakati....hiyo Ni 1year ago😂😂😂😂
@localcheif9208
@localcheif9208 3 жыл бұрын
Muheshimiwa May god bless you. You’ll be remembered as “Africa greatest”.
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 5 жыл бұрын
Safi Sana tawala urais miaka Mia mpaka uzeekee ikuu
@mimizlove6992
@mimizlove6992 5 жыл бұрын
Aliseni Peter Amen
@denicmsigwa5199
@denicmsigwa5199 5 жыл бұрын
Kweli baba unapiga kazi
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 3 жыл бұрын
Daah Safi sana my president
@sharifusalema3448
@sharifusalema3448 5 жыл бұрын
Watanzania hatujajitambuaa!!!!!! Mainjinia mpoooo!!!!! Hata mmoja kukupongeza hamnaaaa eeee!! Magufuli oyeee Dah kweli zawadi kutoka kwa Mungu
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 5 жыл бұрын
Acheni utani,kuna wakati utafikia watu wakialikwa ikulu wataogopa kwenda
@harunaiddi5628
@harunaiddi5628 5 жыл бұрын
Unaweza kutokwa jasho wakati kuna kiyoyozi
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 3 жыл бұрын
Safi rais
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 жыл бұрын
Safii magu nyoshaaaaa mkuu
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 6 ай бұрын
R.i.p Mwana Mageuzi Jasiri
@bonnykahema2390
@bonnykahema2390 5 жыл бұрын
duh aiseee hatareee sana
@israelmoses883
@israelmoses883 5 жыл бұрын
Safi sana hawa wazee ni wa bunifu pia raisi tunaye
@franciskasembele5938
@franciskasembele5938 3 жыл бұрын
Siwezi kusemakitu kabisayani tu.
@joycemwambe3494
@joycemwambe3494 5 жыл бұрын
Safi sana ila wafanyakazi pia ukutane nao wana yao mengi tu
@harunaiddi5628
@harunaiddi5628 5 жыл бұрын
Umeme oyee!
@majeysalum580
@majeysalum580 5 жыл бұрын
Rais tunae
@TheSamkasiba
@TheSamkasiba 5 жыл бұрын
Ahsante sana Mh. Rais Magufulu kwa kutambua umuhimu na uwezo wa Watanzania. Inasikitisha sana kuona wageni wanatambua juhudi za watanzania lakini sisi wasomi tunashindwa kusaidia badala yake tunatoa maagizo tu. Mungu ambariki Mh. Rais Magufuli na Mungu ibariki Tanzania.
@dimashtay6344
@dimashtay6344 5 жыл бұрын
Jambo la kwanza Nimpongeze mweshimiwa Rais. Mm nilivyo mwelewa mweshimiwa Rais tunapoitaji kuleta maendeleo tuache siasa kwani tatizo la wasomi wetu wanaona kuwafata na kuwasikilia ao wabinifu wanaona wanajishushwa kielimu tija si kuwa na elimu tija kukuza taaruma yetu na kuleta maendeleo.Tanzania wabunifu wapo wenge mweshimiwa aliuliza munawapataje? ushauli wangu tengenezeni baraza mulitangaze wabunifu waje wajiandikishe watambulike. je ukiwa kama mkulugezi kwenye wizala yako ukaenda nae adi kwenye uwo mradi kisha ukashea nae mawazo ujue zaidi uwezo wake jinsi yeye anavyo taka kukuza uwo uwezo wa kuongeza uzalishaji kisha ukamsaidia kupitia mawazo yake iki ndicho mweshimiwa Rais alicho kiitaji zaidi ila tatizo munaona mutajishusha kielimu. nandomana mweshimiwa akaona munakwepa kwepa isiwe tabu muaidi pesa zakuwapa. USHAULI WANGU TUSIWE TUNAMSIFU MZUNGU ANAAKILI ATA SISI AKIULI TUNAZO TATIZO WENZETU WANAJITOA KWA KILA JAMBO LENYE MANUFAA ILI KUKUZA KIPAJI ILI KUPATA MAENDELEO KUKUZA UCHUMI NA KUJENGA HISHORIA. TUBADILIKE WATANZANIA TULIJENGE TAIFA LETU
@hamisidale2704
@hamisidale2704 5 жыл бұрын
Siasa Safi na uongozi Bora Nina Imani watanzania Sasa wamekuelewa dhamira yako njema isiyojificha ,fanya kazi mkuu tuko nyuma yako,
@sekiondowarema1786
@sekiondowarema1786 5 жыл бұрын
Muheshimiwa raisi naomba utufikie,umeme wa rea nausikia tuu kwa vyombo vya habari😭😭😭
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 3 жыл бұрын
How much do you have
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 5 жыл бұрын
Mh Rais wakuletee habari za Mwalimu wa Arusha alichomwa sindano kwa kulalamikia uonevu..source milary ayo
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 5 жыл бұрын
Magufuli 2020 akuna uchagudzi
@SteveMK
@SteveMK 9 ай бұрын
Yaani hadi machozi yamenitoka
@raypius1825
@raypius1825 3 жыл бұрын
Yaani mimi binafsi nakupenda sana Raisi wetu. Watanzania tumepata Raisi jamani achen blaa blaa za wasiopenda maendeleo na wapenda madalaka!!
@ramadhantangani7770
@ramadhantangani7770 3 жыл бұрын
Miaka 10 haitoshi watanzani tunataka uzeeke na ukiwa rais BG. UP magufuliiiiíiii
@fahadfahmy
@fahadfahmy 5 жыл бұрын
Raisi pekee ambae anatoa pesa papo hapo,sijawahi kumuona Raisi kikwete kutoa pesa.
@emeraldkomba6959
@emeraldkomba6959 5 жыл бұрын
Hiyo ni RAM Pump haihtaji nguvu ya inje maji yenyewe yana sukuma maji, inaleta maji bila shida kwa miaka mingi
@davidnyigu2061
@davidnyigu2061 5 жыл бұрын
pwagu amekuwa msaada mkubwa sana kwa shule nyingi.kufanya field kwake pale
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 5 жыл бұрын
Huyo miwani mweusi aachishwe kazi anazarau
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 3 жыл бұрын
Dah kama umegundua wazee wote wanamuangalia huyu mvumbuzi wanatamani wamnyamazishe
@bonifacekidawi6535
@bonifacekidawi6535 5 жыл бұрын
Jpm nakuamini hunaga upndeleo watendaji wako wa hawana wito wapenda kupiga pesatu hawa wito hata tra nao baazi ni miungu watu nishida weka napo usalama wataifa kugundu uozo ulioko sima2 hapo2 songa mbele zaidi tupo nyuma
@williamsesthony4951
@williamsesthony4951 5 жыл бұрын
Hata siku za weekend hawakukata umeme Tunduma
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 5 жыл бұрын
Hakuna aja ya kuwa na wasomi wakubwa halafu wamejawa na dharau na vitu vingi hawavijui mimi ningemshauri rais hao wanaojiita wasomi sijui enginia, makatibu wakuu na watendaji wao wote ningewakata misharaha yao wote kwa mwezi mmoja kila mtu ningewapa hao wazee ila wakaudumie wananchi vijiji najua wangenunulia mitambo umeme na maji vungesambaa
5 жыл бұрын
Natazama kutoka Zanzibar! Makala mazuri sana haya. Akothee, hatimaye amwonyesha mwanamume aliyemvunja ubikra. Ndiye huyu hapa, sikiliza alichoambiwa na Akothee kwa kuenda @youtubedotcom slash msonobari slash videos
@ramadhantangani7770
@ramadhantangani7770 3 жыл бұрын
Miaka 10 haitoshi watanzani tunataka uzeeke na ukiwa rais BG. UP magufuliiiiíiii
Mahojiano na Tundu Lissu
50:43
NTV Kenya
Рет қаралды 53 М.
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 23 МЛН
Wait for it 😂
00:19
ILYA BORZOV
Рет қаралды 11 МЛН
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 75 МЛН
PIZZA or CHICKEN // Left or Right Challenge
00:18
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
FULL SPEECH: Trump projected winner of 2024 presidential election
30:19
FOX 5 Washington DC
Рет қаралды 1 МЛН
Donald Trump's full victory speech
26:31
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 7 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 23 МЛН