Рет қаралды 70,140
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakagua ujenzi wa daraja la Kiyegea Kilosa Mkoani Morogoro ambalo liliharibiwa na Mvua mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu pamoja na kuzungumza na Wananchi mbalimbali wa eneo hilo machi 16, 2020