Kijamaa kipusi hiki! Kha! Eti mauya aliuangalia mpira kwa jicho baya mpaka mpira ukaamua kusimama
@rehemamahendeka-rm2ek Жыл бұрын
Wananchi tupo vzr/vjn wapo timamu kiakili/mwili.Nimeipendaje cku yetu.Daima mbele nyuma mwiko.Tabu yao ipo pale pale.
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
Kiingilio cha elf 3000 ni Mikia fc ndo thamani tao hiyo maana timu Lao washaliuza kwa MOO BIL.20 ambayo hiyo ni bajeti ya Yanga ya msimu ujao
@kilungahamis1270 Жыл бұрын
Masikini kijana wa watu anaendelea kukonda tu. Utopolo wala mihogo watakuuwa 😂😂😂
@nasibugunda7927 Жыл бұрын
hahaha
@Kimjongun4996 Жыл бұрын
Acha kujitetea na kurogwa mtajiroga wenyewe😮😮😂😂
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Ety Gift kautazama mpira ukasimama
@barisolbeatz2731 Жыл бұрын
😂😂😂
@nasrihassan4817 Жыл бұрын
😂😂😂
@abdulrahmanally1412 Жыл бұрын
NYAU FC MNAUMIE SAAAAAAAAAANA, KISA WANANCHI WAMEUPIGA MWINGI INAWAUMA
@muhammadjamady-zx1jy Жыл бұрын
Washaza maan mpila n frendi mechi kwan simba awabadili kikosi
@yokoi3970 Жыл бұрын
Kijana mshenzi kbsa ana heshima na ana mdomo kma dada ake. Swali ni swali si swali sbbu unatka ww na kulazimisha maongezi na nyie wandishi si umuache tu
@salehmussa9371 Жыл бұрын
Timu nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi ya SA ,unapayuka hivo,subiria mzunguko wa kwanza CAF champion league uvuke uingie robo ndio uje ujigambe ,bado nimapemasana kaka.
@gustavompemba1781 Жыл бұрын
Kweli ww chiz
@mwanangusana Жыл бұрын
Unzala unzala wa makolooo huuu hauna kichwa wa miguu sasa ndo umeongea Nini hapo ??
@mjumbewakristo8677 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo😂😂😂😂😂
@AjiaMohamed-rt5pb Жыл бұрын
Kina sawa dogo mpo
@emmanuelodiembo Жыл бұрын
🤣🤣🤣 tusajilini straiker wadau, hii timu yet Kwa straiker Ile hatutoboi wadau, labda kama tunaenda Kwa kupeana moyo twendeni hivi
@mkalisantosTV Жыл бұрын
hata msimu uliopita gemu ya vipers striker hawakufanya kitu Bora msonda..
@faustinesamani6359 Жыл бұрын
Nyambafu wachezaji 22 kwa 11 halafu kigoli kimoja cha kuotea halafu majisifu kibao. Hakuna cha makundumbele wala makundunyuma wakawaida tu.
@matrida.lunyilija5196 Жыл бұрын
Nawewe otea kama ni rahisi
@mwanangusana Жыл бұрын
Tabu ipo pale pale na dawa imeingia tulia dawa ifanye kazi .....
@scholarmawala1403 Жыл бұрын
Mwanangu ulipoaajiriwa na Yanga afya Yako nzr mbona kama kwa sasa Nuru inaondoka usoni.?
@ramadhanmanzi661 Жыл бұрын
Kuna Tm ya wanyama wa talangile ipo utuluk Et inazoea balid ikiwa kwao polin bunyu kunajoto 😂😂😂😂😂😂😂
@rashidgogo5558 Жыл бұрын
Sasa nyie mmecheza bonanza mmefunga Moja sisi tuliwakanda3 wakiwa kwenye ubola mkubwa
@mwanangusana Жыл бұрын
@@rashidgogo5558 halaf mkaenda nuxu final 😂😂😂😂 ? Mbona hamsemi kama na nyinyi waliwakanda za kutosha na mwisho wa siku mkaishia mnapo ishiaaga ??
@rashidgogo5558 Жыл бұрын
@@mwanangusana Tanzania machizi wengi kwani nyie mmecheza nao wapi nasisi tuliwakanda wapi usizungumzie vitu ambavyo ata baba yako Alisha achaga kuwaza toka 1998 hajawahi ingia makundi wacheka alitoewa robo kwer nyani haoni kundule
@yusufumwakyambiki8062 Жыл бұрын
Sasa watu mnachukia nini yanga inawatesa
@Kimjongun4996 Жыл бұрын
Acha uongo wewe😅😅😅😂😂😂
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
Elf u 3000 ni mechi za Nokia fc
@Oscarmarwa-fitnesstrainer Жыл бұрын
Hamna kitu yaani team mbili goli moja bure kabisa
@burudanitiv324 Жыл бұрын
Ongera ulie nakitu umemrudisha ex wa zamani sijui kama atakuwa na utam ama ndio shimo kubwa lime liwa balaa alafu limetoa mimba mara tatu toka limeeechwa 🤣🤣🤣
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Huna akila shoga ww
@mwanangusana Жыл бұрын
Ndo maana mnaishiaga robo
@eddsonjeremiah6669 Жыл бұрын
Ulizani basketball Ile shangilia mpira unaoujua zaidi
@Oscarmarwa-fitnesstrainer Жыл бұрын
Yaaani kipindi cha kwanza team moja kipindi cha pili team nyingine😅😅😅😅😅😅
@khamisbk8569 Жыл бұрын
Kwan na wao hawakufanya Ivo ushabik WA kishamba uo.......... Hayo ni mazoez tyu
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
We ulitakaje
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
Usikute una miaka 12 umechukuwa simu ya Mama ako
@azizymachadeson3577 Жыл бұрын
😂😂😂 kwaiyo imekuma ..😂 angalia pre season z mambele ndo utaelewa !
@mwanangusana Жыл бұрын
Mmeanza kutokwa na povu iyo ni timu moja tu ....au unaona yanga na Barcelona apo ? Kwa kikosi icho lazima mchanganyikiwe mropokwe ropokwe ovyo
@SalumOmary-m2j Жыл бұрын
Unaongea ujinga ww
@KATOPE1 Жыл бұрын
Wacha kuchezea dini kwenye mambo ya mpira pumbavu
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Dini gani?
@imatisatv9239 Жыл бұрын
Kolo fc wanaumia nini, kolo fc ni wagonjwa wa Akili hata wachezaji wagonjwa
@Mumewangu Жыл бұрын
Manara alisema pale yanga wenye akili ni wawili tu Kikwete na baba yake wale waliobaki machizi tu
@mwanangusana Жыл бұрын
@@Mumewangu Rage kasema Simba ni wote ni mbumbumbu ...
@Mumewangu Жыл бұрын
Eti injinia amedanganya umma. Alafu mkude utamwitaje mtoto wa nyumbani hahaha eti wakati mkude nyumbani kwao ni simba wewe uko amekuja kwa jirani tu ndugu
@mwanangusana Жыл бұрын
Kwan bado mnampenda aa ?? 😂😂😂
@Mumewangu Жыл бұрын
@@mwanangusana amemaliza mkataba wake yule ni mtoto wetu ameondoka nyumbani amekuja kwa jirani
@bermudatriangle434 Жыл бұрын
Tulieni na jiandaeni
@EtooSigalahh-li2tj Жыл бұрын
Wakwana
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Akili Za Kutosha.
@ningekuwambunge820 Жыл бұрын
Kiingilio elf 3 na uwanja haukujaa.
@mwanangusana Жыл бұрын
Bado hujawa mbunge ???
@dennisndare1237 Жыл бұрын
HILI NI DEBE TUPU
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Wakati huo we bado upo kwenu cjui nan debe tupu
@meshackmwalongo9798 Жыл бұрын
Danganya wajinga wenzio nyie msimu huu nafasi ya NNE.
@josephmapunda3794 Жыл бұрын
Usiwadanganye watu
@Azikiwe-qi6jd Жыл бұрын
Eno mengi mnn0
@SalimoAmisse-xk7xl Жыл бұрын
Ugonjua unazidi kueneya kwenye mwili wakamw
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Watu wanaumia
@meshackmwalongo9798 Жыл бұрын
Acha ujinga wewe mtoto alelewe namzazi mwingine weumuite home boy
@mwanangusana Жыл бұрын
Kwan bado mnampendaaa ??
@constantinochalle856 Жыл бұрын
Sema mayele yupo wapi na wenzake Acha story kamwe
@neemaisrael688 Жыл бұрын
Fuatilia acha maswali ambayo yameshajibiwa.
@mwanangusana Жыл бұрын
We ikusaidie Nini wakat umeambiwa taarifa rasmi itatolewa acha unzala unzala kaka ,,,wenye timu yetu hatuna kiherere icho Bhana 😂😂😂
@nasrihassan4817 Жыл бұрын
🎉🎉
@mwikamwika4851 Жыл бұрын
Pumbavu kweli njiti huyu
@OmarMohamed-bp9ix Жыл бұрын
Yanga mwaka huu wamekosea kusajili,,skudu ni mchezaji wa video hawezi kusaidia timu,,,