Duh mtihan sana Allaah anasir kubwa sana huyu nifakhari kwa waislam hata kama kafa Allaah amraham
@HemedSeriousКүн бұрын
Mwamba umeanguka, subhana llah!!!
@AbdulRama-u7d4 сағат бұрын
Hakuna ndoa kwa mwenye ujauzito Ikiwa kwa mke ambae kaachwa au kafiwa na ikiwa kwa mwanamke ambae hajaolewa pindi ikithibitika kuwa anaujauzito basi ndoa haiswihi Allaah anasema na waja wazito eda zao watakapojifungua
@IsmailKatope12 сағат бұрын
ais tumepoteza kiongoz mkubwa ktk uislam Mw/Mungu.amsameh makosa yake na mfutie dhambi zote Inshaallah
@kabalyomundarweikiza77384 күн бұрын
Inna llah wainna ilah rajiuun 😭
@KhalidSwaleh-b6o8 ай бұрын
Maasha Allah
@swahilitzr8 ай бұрын
Somo zuri, shukran sheikh mohammad
@maftahmusa95136 сағат бұрын
NDOA INASWIHI KAMA MIMBA ILE NI YA YULE ALIEZINI NAE, NA KAMA SI YA YULE ALIEZINI NAE ASUBIRIWE MPAKA AZAE INAKHOFIWA YULE MWNAMUME ATAMWAGILIA KATIKA MBEGU ZA MWINGINE