Asant kwa kutufundisha kumjua mwanaume wa kwel na sio mapenz ya uusani kama mapenz ya wasani❤❤❤
@nchandzessaid6805 ай бұрын
Shukran san kaka MUNGU Hakujalie khre Insha'Allah ❤❤❤❤
@mbekitv6935 ай бұрын
Amina amina mpendwa😊🙏
@judithmwambe4767Ай бұрын
Nashukuru sana kusikiliza na kutizama hii makala.
@mbekitv6935 ай бұрын
JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA?
@sein.2085 ай бұрын
Naam Shukran sana .. be blessed
@Nimriysbabe9845 ай бұрын
❤ndio kaka shukrn sanaa Allah akujaze kheri
@PrinceKonde-zm3fi5 ай бұрын
Asante Kabisa nimejifuza kitu kabisa
@mbekitv6934 ай бұрын
Karibu kwenye darasa la whatsapp group.
@AishaOman-qz7tn5 ай бұрын
Habari zetu nzur broo be blessed
@mbekitv6935 ай бұрын
Amina🙏
@magnibrondi31525 ай бұрын
Mungu akubariki kaka kama 👂na tuelewe
@mbekitv6934 ай бұрын
Amina amina
@najmasaidy73173 ай бұрын
Me huwa ananambia yanni wew unafaa kuwa mke kabisa il ukimuangalia kam hayupo serious 😊😂😂
@mbekitv6933 ай бұрын
@@najmasaidy7317 fatilia video zingine hapa zitazidi kukusaidia
@B23-i8p5 ай бұрын
Asante kwa darasa kubwa Teacher
@mbekitv6934 ай бұрын
Karibu sana na kwenye group.
@fatumakale70045 ай бұрын
Thanks so much brother
@mbekitv6935 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
@maryah46014 ай бұрын
Ahsante
@mbekitv6934 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@HamidakomboKombo-xs2ju5 ай бұрын
Dah upo sahihi sana kk
@mbekitv6935 ай бұрын
Asante sana Hamida🙏
@GracePendo-nc1el5 ай бұрын
That's why I love my man yote haya huyafanya ❤❤❤❤asante sana bro 🙏
@mbekitv6935 ай бұрын
Hongereni sana👏👍😀
@deborakadhengi57712 ай бұрын
Bro ni ukweli aky😢❤ yan mm nko na 4yrs kwa relationship na huy chali na wazaz wakipanga kitu mpk nijue na pia huy kjana pia,, juz kulikuw kuna plots flan zinatak kugawanwa baba vyaa akasema niambiwe na nipeane id no:😢🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@Sharefa-v6n24 күн бұрын
hahahaaa kweli ni kukurupuka, ukikurupuka nawe utakurupushwa
@TinnaCharo5 ай бұрын
Nashukuru sana kakangu naomba unisaidie hili ni mda gani sahihi wakiufanya maamzi ya familia kujuana ni miezi ama miaka mingapi ukinisaidia hili ntashukuru sana
@Tynadavid5 ай бұрын
The nyoka part😅....anyway u hitted the nail on the head🙌🏾
@mbekitv6934 ай бұрын
😀
@aishaabeid31525 ай бұрын
Thank you 🙏
@mbekitv6935 ай бұрын
Asante aisha🙏
@NizereOrnella5 ай бұрын
❤❤❤
@mbekitv6934 ай бұрын
😊🙏
@almerquen89105 ай бұрын
𝑀𝑢𝑐ℎ 𝑙𝑜𝑣𝑒 𝑓𝑟𝑜𝑚 🇰🇪..
@mbekitv6935 ай бұрын
Asante sana love you too😀😊🙏
@PaulinaMasali5 ай бұрын
Waooo kunakitu nimejifunza apA Kwa ishara zote zipo but Niko na question kwako brooo ,kunamtyu Niko nae na alishawahi kumpea mimba msichana mwingine apo zamani na huyo msichana akamuacha na kuolewa sehemu nyingne ,je nawezaje kumuelewa kama kweli ananipenda ? Na pia Kuna madhara kudate na mtyu amekuzidi umri?
@mbekitv6935 ай бұрын
Video ya kumjua mwanaume anaekupenda na asiekupenda zipi hapa itajaribu kuangalia utazipata n zitakusaidia. Na kuhusu umri sio shida but utatakiwa kuelewa taratibu za huo umri.
@PaulinaMasali5 ай бұрын
Ok sawaa broo shukran Kwa hilo
@CresenciaMahembega4 ай бұрын
Nimeapenda sana masomo yako
@mbekitv6934 ай бұрын
@@CresenciaMahembega Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@FrolaMlunga-z4b4 ай бұрын
nmejifunza lakn nna swali nnamtu but kla nnachoktaka ananpa bt hanxhrkxh mipango yake pia hanpigii sm ata mwez unaixha halafu n mkimya Sana lakn pesa ya tumzi ananpatia Nfanyje❤
@deborakadhengi57712 ай бұрын
Aky niukweli mim nko kwa relationship kma hiy yan hta kma kunapangwa kitu lzma nkijue na wazaz wa kijana walimwambia kjana kma hutamuoa Deborah usilete mwanamke mwengine,, aky God awabless hao wazaz, mawifi na waume zang wadogo❤❤❤❤
@mbekitv6932 ай бұрын
@@deborakadhengi5771 Amen🙏
@HamidakomboKombo-xs2ju5 ай бұрын
Ndio
@neemarevocartus81193 ай бұрын
Je na mwanaume abaye hatk kukupelek kwake yeye anakuj tu kwako ?
@mbekitv6933 ай бұрын
@@neemarevocartus8119 nimekujibu kule 😊
@Sara-z5x7o5 ай бұрын
Ndiyo kabisa
@mbekitv6934 ай бұрын
Hakika
@NaomiSarambaАй бұрын
Make it short
@maryah46014 ай бұрын
Naomba uni ambie nini chakufanya kumuweka sawa mwanaume aliekuwa na mchumba kisha uchumba ukafa Alafu akapata mwanamke mwingine lakini ana wasi wasi Kwamba atakua kama yule
@mbekitv6934 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.