No video

MGOGORO WA ELIMU. ISHARA ZA UNABII WA RAISI SAMIA WAZIDI KUTIMIA.

  Рет қаралды 19,233

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
HUDUMA YA KRISTO samahani naomba jina la huu mziki (instrument). Ni nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@shadracktarimo2675
@shadracktarimo2675 Ай бұрын
NABII wa Mungu barikiwa sana ,kazi yako njema .kazi ya NABII Nikufikisha taarifa kazi iko kwa anaepewa taarifa Amen.
@loycep7785
@loycep7785 Ай бұрын
Amina Sema sababu ni nini kama umeambiwa na Mungu Changamoto za uongozi ni ngumu tunaelewa kama umetumwa waambie watu waombe Mungu anajua Yeye alichaguliwa kwa katiba hajaomba Mungu mwenyewe atajitwalia utukufu Soma Yeremia 28 10-17 uone habari ya Nabii Hanania yaliyompata
@vitalisantony239
@vitalisantony239 Ай бұрын
Si kila kitu kinahitaji mtu aombe mengine yanamhitaji mhusika achukue hatua mheshimiwa. Mfano Nabii Yona alipeleka unabii Ninawi, kwani alikuwa ameshindwa kumwambia Yona aombe kwa ajili ya ninawi?.
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
Mungu hahojiwi Babu akisha sema Kesha sema
@norahfrank
@norahfrank Ай бұрын
Mama.Samia Hawa TRA. Wana shida hawatembelei biashara za watu zaidi ya kukaa maofisini na kuandika madam ya kodi kwa simu.huku wakijua kuwa biashara zilishakufa siku nyingi.watembee ili kupata ukweli
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Amina Mtumishi,Mungu hataunyamazia utawala wa wakati huu ambao ni wa uharibifu,hatuna budi kuadhibiwa!
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 күн бұрын
Aache king'ang'anizi aende kwa amani sio kwa vita,
@billmkushi849
@billmkushi849 Ай бұрын
Sitakuelewa, namwelewa Mungu tuuu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 күн бұрын
Anang'ang'ania maslahi yake sio ya wananchi
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
TIME WILL TELL, Acha Wapuuze na Kudharau Unabii"
@jesaminzo
@jesaminzo Ай бұрын
Amen! Breaking News: Rais Joe Biden wa Marekani amejitoa kwenye kunyang'anyiro cha urais!
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Mungu atawaonyesha kwa sababu Mungu adhihakii hata siku moja. Mungu azidi kukuonyesha zaidi
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg Ай бұрын
Hakulazimishwa nahakuchaguliwa asubiri apigiwe kula
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Anang'ang'ania kwa nini? Basi arudishe Inchi yake Zanzibar katika Muungano bila kufanya hivyo Mungu pia atamfanyia kwa sababu hakuna haki yo yote.
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 Ай бұрын
Mungu wako inaonesha kuwa ni mlevi akeshalewa ndipo anakupa unabii.
@hudumayakristo
@hudumayakristo Ай бұрын
Huyu mungu aliye mlevi utamuona baada ya siku 7 akikutendea ulevi.
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 Ай бұрын
@@hudumayakristo acha kutishia watu wenye akili huyo mlevi mwezako hana uwezo wowote.
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 Ай бұрын
​@hudumayakristo Usimjibu mpuuzi
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
Nisivyokuelewa ni pale tu unapodhani Magufuli amekufa kwa ajili ya kupisha hayo unayosema mama Samia kayamaliza. Wewe sema alipaswa akimalizia miaka ya Magufuli baada ya kifo chake, yeye Samia atoe nafasi ya ushindani huru kwa kugombea nafasi hiyo ya Urais na sio kudai kwamba jina linapita pasipo kushindaniwa kwenye chama chake. Huo ndio ibinafsi6na kunogewa na madaraka. Maana ni KWELI analazimisha nafasi hiyo pasipo uhalali.
@nyembobea7285
@nyembobea7285 Ай бұрын
Mbona kwa kagame hakuna mambo kama haya ya unabii hayapo tuseme kule hakuna MUNGU anae tumia unabii hawa manabii
@MonicaBeni
@MonicaBeni Ай бұрын
Ebu Muulize Mungu kua watanzania wanauliza maandamano rasmi rasimi lini? Alafu tuletee majibu sawa nabii wa samia.
@vitalisantony239
@vitalisantony239 Ай бұрын
Punguzeni mzaha mpendwa Mungu hadhihakiwi, ni vema kuamini Mungu yupo kuliko kutokuamini kuwa hayupo, ukamkuta.
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
Hakika wewe nimtumishi wamungu nayote uliyo yaongea yatatimia kwakua mtumisjhi wamungu Rais magufuri walimzurumu nafsi yake damu yake inawalilia hakika hakuna kiongoz aliye fanya dhuruma atakaye pona
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Hao watu wameruhusiwa ni halali yao. Mbona wakati wa Magufuli hiyo haikuwepo? Nawambia wanaruhusia na watawala wa ccm.
@gladysdyamvunye1212
@gladysdyamvunye1212 Ай бұрын
Uko vizuri sana mtumishi wa Mungu. Nimekuwa nikifuatilia baadhi ya jumbe zako,nabarikiwa na nafurahi kuona nchi yetu Mungu anajishughulisha nayo kwa wema. Linalonisumbua tu mtumishi unisaidie au kama kuna wa kunisaidia,je mheshimiwa Rais wetu mama Samia, anaziona hizi jumbe zote zinazomhusu? Na hata wengine wanaopewa ujumbe huu wameusoma/umewafikia?
@hudumayakristo
@hudumayakristo Ай бұрын
Jumbe zote anaziona100%
@HezronJeremia
@HezronJeremia Ай бұрын
Shalom, mtumishi wa Mungu endelea kusema yote Mungu anakufunulia
@gladysdyamvunye1212
@gladysdyamvunye1212 Ай бұрын
@@hudumayakristo Afadhali kama anaziona. Ni yeye tu sasa aamue kuzingatia,madam ameziona hizo jumbe. Asante sana mtumishi kunijibu.🙏
@gladysdyamvunye1212
@gladysdyamvunye1212 Ай бұрын
@@HezronJeremia Kabisa, Mungu amtie nguvu na ujasiri,asiogope kusema ukweli ambao Mungu kamtuma auseme.
@HafidhMwinyi-fp2po
@HafidhMwinyi-fp2po 26 күн бұрын
Nabii wa shetani
@saramss7262
@saramss7262 Ай бұрын
AMINAAA barikiwa shaloom
@user-sx1xi4yb2z
@user-sx1xi4yb2z Ай бұрын
Mtumishi mie niombee my nina majanga
@OmbenOmary
@OmbenOmary Ай бұрын
Sema tu mtumishi was MUNGU haijalishi watasikia au hawatasikia maana ni kizazi chenye shingo ngumu.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Ай бұрын
Mimi nafurahia sana maana hatujui tunaelekea wapi
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 Ай бұрын
Mtumishi samahani tupunguzie sauti ya back ground music.inakula sauti ya waongeaji.muombe unjinia wako wa aweketu tu sauti ya chini sanaa iskike kwa mbali yan itanoga tu sana maana kakinanda nako yah ni katam sana lakin kanaharibu kakiwa juu kupita kiasi maana sana kanaumiza na kukosesha sauti za waongeaji
@ramadhaniathumani1025
@ramadhaniathumani1025 Ай бұрын
Neno la Mungu litimie!
@basilwamba2182
@basilwamba2182 Ай бұрын
Nabii hajawahi kulazimisha ujumbe wake ueleweke, huu sio unabii ni umbea tu
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
Nilazima tusisitize kwakua kizazi hiki nichaukaidi kizazi Cha nyoka
@kepharichard4183
@kepharichard4183 Ай бұрын
Hata mimi nimepata ndoto hii kuwa nchi inakuja kuwaka moto na nikaambiwa hayo unayoyaona ni kwamba Utawala wa Mussa na fimbo yake Umeisha Sasa utanakiwa Utawala wa David kijana mdogo. Kwahiyo anayetakiwa kutawala ni mtu mwenye maono ya vijana wa Millennium na Gen Z ndio atawale Tanzania
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 Ай бұрын
Huu sio unabii hata kwa kutazama na macho nchi inavyoongoza haya hayaepukiki ( mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake)
@janengaga2928
@janengaga2928 Ай бұрын
MUNGU atusaidie Tz.Mziki wako huu mzuri.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Halafu wapo Viongozi wa CCM wanamponda Raisi wa Kenya. Maajabu sana 😮
@rosekennedy2075
@rosekennedy2075 Ай бұрын
Ameeen
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Abdul anapelekewa hizo pesa sasa kwa nini huyo mama yenu asiwemo?
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
mungu ni mwema kaka aendelee kukutumia wanaokupiga madongo hamjaitwa umu 😂
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 Ай бұрын
Hata yeye anajua jukumu lake anelikamilisha. Ila Vatican ndiyo wanataka kulazinisha aendelee
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w Ай бұрын
Huyo anae jiita mama alisema yeye ni chura akipigwa teke ageuki au aukumsikia mtumishi
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka Ай бұрын
Haelewi sasa!
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 Ай бұрын
Wewe ni nabii wa Mungu wasiokuelewa sio waombaji
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Ай бұрын
Huyo tapeli nabii nani huyo mchawi
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Ай бұрын
Mnayembebesha mizigo mabegan hana uwezo wa kuibeba!
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Ай бұрын
Hivi kwa Nini watu wa system hawawashughulikii kanjanja kama hawa? Sasa mhusika ni Dr. Samia sisi wananchi wengine yanatuhusuni? Nyinyi watu wa kaskazini mtasumbuka sana, CCM iko imara.
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 Ай бұрын
Kalale Kaskazini ndiyo nini?
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 Ай бұрын
Ndio Mtumishi wa Mungu kabisa
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g Ай бұрын
Yote yote tukusaidie nini wakati mambo yako yamevilia damu tena yenye usaha
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z Ай бұрын
😊
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Ай бұрын
MWALIMU NYERERE AMBAYE NI BABA WA TAIFA ALISEMA MAENDELEO YA NCHI YAENDANE NA MAISHA BORA YA WANANCHI. FLY OVERS, DAT, TRNI ZA MWENDO KASI HAZITAKUWA NA MAANA KAMA WANANCHI UMASIKINI WAO UNAONGEZEKA
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 Ай бұрын
@@nabiimgongolwa8728 kwani Nyerere ni nani muda wake umekwisha.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
JINA LA HIYO INSTRUMENT PLEASE
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Instrument ni nzuri Yaani inaburudisha sana!! Imenipa kuutafakari Ukuu wa MUNGU Baba Muumba wetu . Naomba ukipata jina lake unipe. Asante
@OinotiMbessere
@OinotiMbessere Ай бұрын
LAKINI HUYU MTUMISHI ANAONGEA, TUSIDHARAU, TUFWATILIYE
@user-ew9cp4jh9e
@user-ew9cp4jh9e Ай бұрын
Oo
@user-ql4qw3ow4r
@user-ql4qw3ow4r Ай бұрын
Naona unachoongea no ukweli mtupu
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Ай бұрын
Kwa hiyo ndio kituko ulichotabiri?😏
@seifserenge3340
@seifserenge3340 Ай бұрын
Acha ujinga huo, umevurugwa akili na matamanio ya nafsi yako. Iko siku utajua kuma mboga ni kitoweleo ni dawa ya maumivu
@DannySanga-gh1oj
@DannySanga-gh1oj Ай бұрын
Vyombo vya habari vipi viko huru?
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Ай бұрын
KÈSHÒ ŸÀKÒ ĤUIJÙI ÙTAĴÙÀ
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Ай бұрын
Hakuna nabii baada ya nabii MOHAMMAD SAW eti nabii wa uongo mtupu
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Ай бұрын
Mohard hakuwa nabii alikua jini lilitumwa na majini wenzie kuja kueneza ujjini hapa duniani
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Ай бұрын
@@clarencehilary5588 ina maana wewe ni mmoja wapo katika majini.
@KhadijaSaidi-bg6nc
@KhadijaSaidi-bg6nc 29 күн бұрын
Wee ndio chizi kabisa Akili huna hujielewi🥹🥹
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
🇹🇿😪
@YOSHUANYAMAHANGA
@YOSHUANYAMAHANGA Ай бұрын
Usiseme vitu kinyume na Maagizo ya Mungu, Au upo kwenye kampeni mbona unaongopa. Mungu yupi amekueleza.
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Ай бұрын
Wajinga Tupo wengi sana Uta tudanga kadri una vyotaka Huyu Mwongo na Tapeli lakini wapo wengi wana Mkubali
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 29 күн бұрын
Ndiyo unaanza kumufatilia Leo sisi tulianza muda sana na anavyo visema vina tokea sijui ww ndiyo mugeni
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
Mm toka nyerere sijaona mtawala ninayemkubali zaidi ya huyu mama na ni no 2 ktk marais bora Afrika..kwa takwimu za mwezi huu
@erickmsigala138
@erickmsigala138 Ай бұрын
Ukizoea kukuaa chooni hutaona shida ya harufu mavi
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Ай бұрын
Kabisa
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 29 күн бұрын
Hakika ww ni mjinga sijapata kuona Nyerere aliuza bandali usituchokonoe Kuma la mama yako
@allymohamed2724
@allymohamed2724 Ай бұрын
WAKATI WA MJOMBA PALE NAMANGA NA HOLILI PIA MALORI YALIKWAMA SANA TU TENA ZAIDI YA WIKI. MNAJIBEBESHA KANISA MABEGANI ILI.MUONEKANE NI WATU WA MUNGU.
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Ай бұрын
Acha uzandiki
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z Ай бұрын
nyie mnaompinga huyu kijana mnauwelewa kweli manabii wote wanasema samia hana nafasi inayoonyesha kwa atakuwa Raisi 2025 tuompee nchi yetu mmeona nguvu ya uma iliotokea kenya mpaka Ruto ameomba pooom msichese na mda ukifika mimi kamanakuta na Rais samia nikapata nafasi ya kuongea nae na akataka ushauri kutoka kwangu.ningemshauri mambo matatu 1 awazikilize wanainchi 2 amwondoe mwigulu kwenye nafasi mwigilu ndie anaesababisha wananchi wachukie uongozi wa samia 3 Raisi akatae sifa .za machawa wanao sifa bira kukosowa hawa ndio wabaya wake babdae kama raisi ana washauri wake au mtu anaemshauri ajane nao hawa msaidi Raisi atumie akili yake na mungu wake nakumbuka hotuba alioitowa Raisi wakati anaingia madarakani angetembea mlemle pasi Rais wetu angekwa kipenzi cha wstanzania sisi tulio chini huku kila kona popote ukienda inchini watanzania wanalalamikia uongozi wa Rais wetu mimi hunitoka machoni nikiona mama ya kuonewa huruma anatakiwa asaidiwe wasaidizj wake hawamsaidie wanapaki kumsifia raisi kinafiki
@user-ew9cp4jh9e
@user-ew9cp4jh9e Ай бұрын
Umelaanika chuki za kidini zimekutawala mungu Gani alokutuma wewe
@Ufalme_Wenye_Nguvu
@Ufalme_Wenye_Nguvu Ай бұрын
Don't crash him, aske yourself. What new thing do you expect from Hon: this one being talked about?.
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f Ай бұрын
Utajuwa kama ujuwi
UPAKO WA MWL.MWAKASEGE UTAKAVYO ONDOKA.
51:06
huduma ya kristo
Рет қаралды 4,2 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 11 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 18 М.
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA NAMNA YA KUTOKA KWENYE TATIZO LOLOTE KUBWA LINALOWEZA KUKUPATA
14:37
Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU
9:34
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 147 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 11 МЛН