Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU

  Рет қаралды 158,032

Prophet Edmound Mystic

Prophet Edmound Mystic

Күн бұрын

FOLLOW US BY CLICKING THESE LINKS BELOW:
INSTAGRAM:
/ edmound_mys .
.
KZbin:
/ edmoundmuye. .
AUDIO PODCASTS:
player.fm/seri....
.
FACEBOOK ACCOUNT
web.facebook.c....
.
church.heavenl...

Пікірлер: 229
@deborahmwaipopo833
@deborahmwaipopo833 7 ай бұрын
Tunapotoa comments, ni vyema kujua namna ya kuandika neno la muumba wetu. Ni Mungu au ukipenda andika MUNGU, HATUNA neno mungu likamaanisha Muumba wa Mbingu na Nchi. Pitia Biblia na tuone inavyoandikwa. Ameeen Ameeen, Shalom Maranatha.
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 2 ай бұрын
hilo ni dogo sana herufi kubwa iko moyon, unaweza andika herufi kubwa ila moyon hayupo. lakn asante kwa ukumbusho mzuri
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 6 ай бұрын
Mapenzi ya Mungu yatimie,Amen.Ccm ife kama inavyouwa wengine!
@rastheunique
@rastheunique 6 ай бұрын
Tena ife na ioze kabisa japo hatutaisahau Kwa ilichotufanyia
@personpeter2221
@personpeter2221 5 ай бұрын
Hujausikia unabi unasema watashka serikali za majimbo
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 8 ай бұрын
Bwana tunamuomba Mungu atuletee mtu kama JPM
@frankjohn8706
@frankjohn8706 7 ай бұрын
Nani alimuondoa
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 7 ай бұрын
​@@frankjohn8706waliomuondoa
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 7 ай бұрын
​@@frankjohn8706nyie majambazi
@rastheunique
@rastheunique 6 ай бұрын
Jpm nammiss ila kamwe asitokee kiangozi kama huyo tena Tanzania! Ilikuwa ni ajali
@sethymagyo3405
@sethymagyo3405 5 ай бұрын
Una roho ngumu wewe dada
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 7 ай бұрын
Nitamuombea Samia kwa kuwa tu imeandikwa,, waombeeni mema maadui zenu ila moyo wangu uko mbali kabisa nae so aruhusu katiba mpya ili wizi ukome ktk nchi hii
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 7 ай бұрын
Naungana na wewe
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 8 ай бұрын
Amina NABII wa Bwana
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 6 ай бұрын
Rose nimefurahi kukuona king wa Muziki wa injili
@edmoundmystic
@edmoundmystic 6 ай бұрын
2:56 wa kwangu…Prophecy has began to be fulfilled.
@JosephLeonardMatemba
@JosephLeonardMatemba 6 ай бұрын
Suree prophecy confirmed kbsaa Mambo yasha anza
@Gaynor1234
@Gaynor1234 7 ай бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe ulio wazi. Na iwe vile Mungu mwenyewe apendavyo kwa Jina la Yesu. Amen
@patrickJosse-t7h
@patrickJosse-t7h Ай бұрын
Tunachoomba Huyu mama asiendelee kuongoza inchi 😂😂tunapigwa mno
@ustawiwetu
@ustawiwetu 7 ай бұрын
Kama sijaelewa vizuri namba 4 ni Kikwete, 5 Magufuli na 6 ni Samia
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 7 ай бұрын
Ndiooo
@kepharichard4183
@kepharichard4183 Ай бұрын
Kitu ambacho huwa nashindwa kukuelewa ni unabii wako unavyokuwa unauongea kwa mafumbo, wakati manabii walikuwa wakiongea direct na kutoa solutions ili jamii na uongozi ujiandae au ubadilike. Lakini manabii waleo utadhani Mungu yupo mbali nao. ni jamaa mmoja wa arusha @huduma ya kristo you tube ndiye anaenda direct
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 7 ай бұрын
Huo sio utabiri ila ni UCHAMBUZI wa hali ya kisiasa nchini. 😮Tunajua mgawanyiko ulioko ndani ya CCM kwa sasa. Tunajua jinsi upinzani unavyozidi kujiimarisha kwenye mikoa yote. Tunajua mkakati unaofanywa wa kuwa na Tume ya Uchaguzi itakayo hakikisha Chama fulani kinashinda.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 7 ай бұрын
AMEN Mtumishi wa Mungu aliye hai. Hakuna kundi lolote linalomuishia MUNGU wa kweli aliye hai...! Tunamuombea yupi kati ya hawa wasioamini?! Nabii wa Mungu, je, sio sahihi tukiomba kwaajili ya Taifa lote badala ya makundi haya?
@PascalPascual-rn6fx
@PascalPascual-rn6fx 8 ай бұрын
Pascal Bujimu classmate wako shule ya msingi, nafarijka sana kwa hatua uliyofikia Mungu akubariki sana katika huduma yako.
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
Oh waoh Bwana akubariki sana. Tutafutane ndugu yangu. Wewe ni ndugu yangu!
@PascalPascual-rn6fx
@PascalPascual-rn6fx 8 ай бұрын
@@edmoundmystic haya mtumishi wa Mungu.
@Shedrackwilfred
@Shedrackwilfred 7 ай бұрын
Yaan Rose Huyu unamwamini naye Kama nabii?
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 ай бұрын
@Shedrackwilfred Nuhu alitumwa na Mungu hilo halikupi shida. Yohana alitumwa na Mungu, hilo nalo halikupi shida. Moses Kulola alitumwa na Mungu najua haikupi shida. Unataka Mungu amfufue Nuhu wa Biblia aje Tanzania aseme ndo utaamini n Mungu anaongea?? Ni nani ulitamani Mungu amtume, na mwenye vigezo gani ungemsaidia Mungu kuchagua! Fungua macho yako uone jinsis maisha yako unavyoyaingiza penye jangwa!
@Shedrackwilfred
@Shedrackwilfred 7 ай бұрын
@@edmoundmystic ndugu Kama Umeweza Muita Geodavie Mtumishi wa Mungu basi *ni wazi njia unayoipita sio ya Kweli*
@SuperGenius-t6o
@SuperGenius-t6o 7 ай бұрын
Acha Mungu awafyeke wote walioharibu nchihii tukiwaombea wanakuwasalama wanaendeleakuharibu nchiyetu.
@NeemaRamadhani-wm8vv
@NeemaRamadhani-wm8vv 2 ай бұрын
Amina mchungaji naomba tupate kiongozi bora ajaye.
@YusufuNyangusi
@YusufuNyangusi 6 ай бұрын
Mungu akurnde hofu yangu usje ftwa kwenye uso wadunia maana unayaweka lehani maisha yako' talatbu unawatoto tofauti naiman yako ebu tzama yesu mwenyewe aliumizwa unaongea mwri wangu unatetemeka navja jasho mungu akurnde mtumishi.
@FelistaMushi-n8n
@FelistaMushi-n8n 8 ай бұрын
Mapenzi ya mungu yatimiye . Amen
@qmanelikemwenda2621
@qmanelikemwenda2621 8 ай бұрын
Hakuna unabi hapo. Ila ni uchawa na kujipendekeza tu. Kweli makanisa ya kujipendekeza ni shida tu.
@MeruWilliam-w9n
@MeruWilliam-w9n 8 ай бұрын
We pumba tu mambo ya rohoni hujulikana kwa jins ya rohon
@AverinaShirati
@AverinaShirati 6 ай бұрын
Kanisan mambo siasa Nini
@mrhekimasuleiman3884
@mrhekimasuleiman3884 Ай бұрын
Mtumishi halisi hana chama, Kazi yake kuombea watu wote, ni wakiri wa Mungu anaye wanyeshea mvua wanao amini na wasio amini, wala kwenye siasa hayuko kabisaa, kwani imeandikwa kila alitajaye Jina la Bwana na auache uovu! uliona wapi mwanasiasa ameacha uongo.
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 7 ай бұрын
Mama aligeuka mipango ya magu kuusu taifa
@NeemaJoseph-uo2gw
@NeemaJoseph-uo2gw 7 ай бұрын
Kusudi la MUNGU litimie katka nchi yetu tupate kiongoz mwenye hofu na MUNGU tu bas
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi Ай бұрын
Aminaa,mtumishi wangu wa ibrahimu na isaka,mungu azid kukuonyesha na jina lake libarikiwe sana,ntajinyenyekeza mbele za bwana ili atakaporud nimlaki mawingun,mungu aisaidie tanzania
@lemalema5221
@lemalema5221 8 ай бұрын
Kazi nzuri classmate...nakuona mbali sana..Mungu akusimamie
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
Ameen
@samuelmakara
@samuelmakara 7 ай бұрын
Wewe ombea katiba ambayo itaweka wagombea katika mizani sawa.
@pastorabraham7551
@pastorabraham7551 8 ай бұрын
Nalipokea Neno la Bwana .
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Ай бұрын
Sina neno japo unaongea yaliyoo mazitoo
@c.bproduction2576
@c.bproduction2576 7 ай бұрын
Amen. ..Camera man na editor jitahidini muaplod material ambayo ipo clear mtumishi aonekane sisi tunaona gizagiza tu
@MicahLutambi
@MicahLutambi Ай бұрын
MUNGU atuepushhe na dhoruba hiyo nchini TANZANIA amen
@ilovemiginamygodblessumany2466
@ilovemiginamygodblessumany2466 3 ай бұрын
Nitumie namba yako mtumishi nifanye jambo
@ahazichunya4265
@ahazichunya4265 2 ай бұрын
Hakika Mungu amekuita kutusaidia katika macho ya rohoni tutambuee yatupayao kutenda mbele za Muumba wetu Mungu wa Mbinguni akutunzee
@graceshayo5763
@graceshayo5763 7 ай бұрын
Jmn hakun mtu ambaye ni nabii Mungu pia amemwonyesha haya ili unabii uwe na usibidiashwe
@MSHUA1985
@MSHUA1985 Ай бұрын
Huyu nabii ni msenge Sana tena ni nabii wa mchongo sasa hapo anahubiri injili au anasimulia hadithi alizozitunga mwenyewe na waumini wake ni kama mazuzu wanavomsikiliza Aache uongo na atafute kazi ya kufanya nabii choko
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Ай бұрын
Wewasema ila chunga sana kinywa chako wekijana,usiwe kam yule aliyekuw na YESU msalabani
@jumamario-vr1mw
@jumamario-vr1mw Ай бұрын
We mwenyewe no Zuzu kwakuwa umemusikiliza
@CecolenaMalliya
@CecolenaMalliya 3 күн бұрын
Chunga maneno yako
@AnneyAmablique-tw5mi
@AnneyAmablique-tw5mi 7 ай бұрын
The prophecy is very clear what we all need is prayers. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@JulianaSanga-h1f
@JulianaSanga-h1f 7 ай бұрын
Nabiii ubarikiwe na bwana na Mungu aendelee kukupa maono zaidi naamini napokea unabii kwaj kina la yesu
@SeperaKahabuka
@SeperaKahabuka Ай бұрын
Mbona wote wanatabili makundi?mabaya?
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 8 ай бұрын
Amina NABII wa Bwana
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@esterndullu390
@esterndullu390 8 ай бұрын
Sina mashaka na unabii huu Maana huyu Mtumishi wa Mungu amewahi kuongea vitu vitakavyotokea kwenye Maisha Yangu 2023 na alisema 2021 na vikatokea🙏
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 8 ай бұрын
Nahitaji maombi yako mtumishi
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 8 ай бұрын
😢😢😢😢
@MichaelMjika
@MichaelMjika 2 ай бұрын
Kama ni manabii kwanini msiwatabiliye wanao angamia na
@AlphaBukuku-f9j
@AlphaBukuku-f9j 2 ай бұрын
Acha siasa bro mungu sio wa mchezo wanao kusikiliza ni wengi kwanini uciongee yanayo Toka ktka biblia acha ubbaishaji
@JoshuaNzali
@JoshuaNzali 2 ай бұрын
Wewe ni Mungu..!?
@RizikiVincent
@RizikiVincent 7 ай бұрын
Poleni sana afrika sida tu usaliti utaisha lini?ni ole ole kabisa
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 6 ай бұрын
hawachelewi kujiita UFUNUO WA YOHANA🤣🤣🤣MUNGU ATUSAIDIE HAWA WATU WANAPATA HSBARI HUKO KWENYE VYAMA VYAO VYA GIZA ,KISHA WANAJIFANYA KUTOA UNABII
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 7 ай бұрын
Ndo tunachotaka Mungu atamweka anaeona anafaa
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 7 ай бұрын
Sina shida na unabii wa uliooteshwa ,lkn swali langu ni kwamba tutaaminije kuwa niya KIMUNGU
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 8 ай бұрын
Mungu isaidie Tanzania
@EustochiaJohn
@EustochiaJohn 8 ай бұрын
Mamayetu amjiingiza kwenye vita isiomhusu kwahio Mungu atamazibu. Yeye nakikwete mshauri mbaya wataazibiwa vibayasana😂
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 3 ай бұрын
Unabii gani unaandika notisi kama darasa la saba. Jamani hayo mawazo au fikra zako ukiziongea bila kumsingizia Mingu kunashida gani? Waovu wengi wanatimiza maleno yao kwa mgongo wa dini. Narudia tena hakuna unabii kama huo bali kuna mipango kama hiyo hiyo inayopangwa na watu haohao .
@edmoundmystic
@edmoundmystic 3 ай бұрын
Kuna shida gani mtu kuandika maono aliyoyaona? Au hujasoma Habakuki 2:2? Rudi usome biblia vizuri. Prophecy zote zilizo kwenye biblia including za kuzaliwa Yesu kwenye kitabu cha isaya, Majuma 70 kwenye kitabu cha Daniel, Sanamu na falme nne alizoona mfalme Nebukadneza kuhusu mambo yajayo YOTE YALIANDIKWA KABLA HAYAJATIMIA. Na ndo maana leo unasoma! Ufunuo wa Yohana Je, huo si unabii?? Yesu mwenyewe anamwambia Yohana andika maono haya!! USIPOTOSHE WATU Kwa kutolijua neno!!
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 3 ай бұрын
@@edmoundmystic Hata mimi naota ao kuoteshwa lakini ifike mahala tuheshimu uwepo wa Mungu na kuacha kumfanya Mungu kama kichaka cha dhamira zetu. Alichopanga Mungu kipo tu hata kisiposemwa au kuandikwa na Mungu alishasema na kuandika kila kitu kuhusu mwisho wetu na huu unabii wenu ni kasehemu tu ya unabii mkuu ulioandikwa na wala hauihusu Tanzania tu bali kwa ulimwengu mzima. Sasa kama unaona kila mtu anahaki ya kuandika au kuongea anachooteshwa kwa nini uniulize kuhusu hicho nilichooteshwa kuwa huu sio unabii wa Mungu bali ni wa mtu au watu kwa dhamira zao nzuri au mbaya. Manabii tumekuwa wengi mno na woote tunaiandama Serikali tu kwani huyu Mungu alituagiza tuifuatilie na kuikosoa serikali au ni kumpinga shetani ? Nani wa kusakamwa kati ya viongoxi wa serikali na shetani ? Hii serikali inaongozwa na waumini wetu ambao licha ya uwingi wetu tumeshindwa kuwajaza NENO la uzima na sasa hawana hofu ya Mungu tena kwa ababu ya udhaifu wa viongozi wa dini. Tumemwacha shetani akiteka watu wetu na badala yake tunatishana binadamu kwa binadamu huku HUKUMU ya Siku ya mwisho inatusubiri bila kujali kama wewe serikali au Nabii au mchungaji au askofu au shehe. Kwa nini mnahangaika na serikali ? Hangaikeni na waumini wenu ndio wanaoiongoza serikali. Mnafeli wapi nyie manabii?
@امزكرياالجابري-ه7ق
@امزكرياالجابري-ه7ق 6 ай бұрын
Amina mtumishi tuombe sana jamni.usiogpe kufa kimwili maana utaurithi ufalme wa mungu muumba mbingu na ichi
@livingmunisi5963
@livingmunisi5963 7 ай бұрын
Nyie manabii Wa uongu mtazidi kulitabiria taifa mabaya mpaka lini ushuhuda Wa uongo utawapeleka jehanam
@GidionRaphael-j8g
@GidionRaphael-j8g Ай бұрын
Mapenzi ya mungu yatimizwe
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 8 ай бұрын
Huu unabii ni WA kweli ni muhimu kumuombea sana sana mama Samia
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 8 ай бұрын
Ili mapenzi ya Mungu yatimizwe tumechoka na uongozi dhalimu
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
Na yeye inatakiwa ajimbee alone jee aliyoyaacha Magufuli alifuatisha au
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 5 ай бұрын
@@mariamfaicalhassan2890 kwahiyo hujamuombea
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 7 ай бұрын
Unabii gani, mbona unasoma badala ya kusimulia? Acha kudanganya watu wewe!
@saalim5401
@saalim5401 5 ай бұрын
Hakuna hiyo uongo mtupu tafuta kaz hivi mm nashangaa wakristo mnakuaje mnadanganywa hivi mmebweteka tu kweli mmepotea poleni sana kila mtu utabiri utabiri hamuoni aibu wehu Nyie?
@ValerianAidani
@ValerianAidani 22 күн бұрын
Ee mwenyez mungu tusaisie
@SallaGwimo
@SallaGwimo 6 ай бұрын
munguu nimwenye haki kuna viogozi wanatunyanyasa baadhi yawanaichi
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 6 ай бұрын
hivi kwanini mnapenda kujifanya kutoa unabii Mambo ambayo ni ya kweli tangu JPM yupo huu ugomvi ulikuwepo na Jpm alipambana na hili swala gumu Hadi anakufa.
@SamweliMwamulima
@SamweliMwamulima Ай бұрын
Tusilaumu manabii Bali tuombe ili Mungu atuonyeshe walio wa kweli tusikimbilie kuhukumu Bali tuombe kwa bidii ili tupewe macho ya Kuna maana imeandikwa
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 8 ай бұрын
MUNGU TUNAKUOMBA UTUINULIE KIONGOZI MZALENDO MWENYE UCHUNGU NA TZ
@stevenmigata8914
@stevenmigata8914 Ай бұрын
Tayar yeanza kutokea
@jesusismyeverything1630
@jesusismyeverything1630 7 ай бұрын
Huyu mchungaji anapatikana wapi?
@mselimsuya6952
@mselimsuya6952 7 ай бұрын
Kimara Baruti uliza bodaboda Kanisa la Nabii Edmond utapelelekwa.
@mamyomar1241
@mamyomar1241 6 ай бұрын
Ulikuwa kushashiba tu, nabii wa siasa , kazi uongo tu.
@franciswillfred9763
@franciswillfred9763 7 ай бұрын
Mungu atupatie Raisi sahihi 2025
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 5 ай бұрын
Mwenye uruma na watanzania ni Gwajima na anauwezo wa kuendesha nchi bila kuiuza
@juliuskasasa7485
@juliuskasasa7485 7 ай бұрын
Usanii katika ubora wake
@ChristinaJulius-ss7ir
@ChristinaJulius-ss7ir Ай бұрын
MUNGU tusaidie
@MdauCrown
@MdauCrown 7 ай бұрын
Haya maelezo kama samia anapita tena 😭😭😭😭
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 7 ай бұрын
Samia hapiti ng'o
@festokemibala5832
@festokemibala5832 6 ай бұрын
Hakuna unabii hata mitume hapo bali ni pepo la utambuzi hilo. Kwa hiyo huyu ni Yohana?
@godsonshoo1959
@godsonshoo1959 7 ай бұрын
Kama ni unabii mbona unasoma?😮 Unabii naamini ni kama maono, you see the end before the beginning. I'm not objecting. Sorry!
@ZenaJarufu-g7e
@ZenaJarufu-g7e 6 ай бұрын
Hikawe ivyo ivyo ktk jina la YESU
@careenworksgroup
@careenworksgroup 5 ай бұрын
Upo sahihi mwaka 2025 Kuna makundi mengi yapo kinyume na mama ila tutashinda
@BakariCheo
@BakariCheo 2 ай бұрын
Kwan kanisa ni siasa au mbn kila mtumisha anazngmza habar za siasa kisa uchagz umekarbia kanisa bwana wat ata awaamki bongo zao toeni maubr acheni siasa
@ulayaz
@ulayaz 8 ай бұрын
Nani atakemea dhambi!?, Ataitangaza injili!? Zimebaki ramli tu.
@harrylivanga7245
@harrylivanga7245 8 ай бұрын
Hujui hata maana ya ramli,let the prophet do the work of a prophet
@JoshuaMutinda-fb4fu
@JoshuaMutinda-fb4fu 5 ай бұрын
Mungu aliichukia ccm kitambo
@CharlesMwakanyanyila
@CharlesMwakanyanyila 6 ай бұрын
Amina ila kama unasukumwa naMungu safi
@masungajp1
@masungajp1 7 ай бұрын
Nani anaukubali upumbavu huu? Only Stupid people.
@barnabasjosiah2554
@barnabasjosiah2554 7 ай бұрын
Jiombee mwenyewe mkuu hujui ulisemalo
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 ай бұрын
Siamini mwanadamu yeyote aliyeumbwa kama mimi naamini mungu ndyo muamuzi wakila jambo😅😅😅😅😅😅
@salama1113
@salama1113 8 ай бұрын
Acha uchawa waimize waumini kufanya mema na ibada
@ElishaJohn-ws5ix
@ElishaJohn-ws5ix 6 ай бұрын
Nabii unazingua tushachoka aya maisha ya ccm kama umeota ccm itachukua madaraka tena saa ccm tumeichoka sana wananchi
@ramadhanabdala8611
@ramadhanabdala8611 7 ай бұрын
Utawajuaje manabii wa uongo???? Kazi mnayo ya kufumbua fumbo hili katika bible .
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
Muñgu atusaidie ni hatari 😊
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 5 ай бұрын
Tena magu alikua akisema niletee .... na alisimama kutokomeza corona
@Shafiikabelwa
@Shafiikabelwa 5 ай бұрын
Mh! Mtihani huu wakristo mnapotea xana dini ya uongo mtupu na mnakalilishw kila kitu na mnaamin
@nurumnyumba7964
@nurumnyumba7964 8 ай бұрын
Uchawa kanisani!
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 7 ай бұрын
😂😂😂😂uchawa tena?😂😂
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 7 ай бұрын
Hahahahaah
@rizicksaruni3538
@rizicksaruni3538 6 ай бұрын
Mungu atusaidie
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 ай бұрын
Asante mtumishi kama unasukumwa na mungu saw ila kama ni binadamu umefeli😢😢😢😢😢
@edwardelias6984
@edwardelias6984 5 ай бұрын
MUNGU NA Si mungu
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Ай бұрын
😢
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 ай бұрын
Ninavyojua Awamu za uongozi zinaundwa au kutokana na uchaguzi mkuu kwa mabadiliko . Utabiri huo unagusa namba na makundi .. Maana kuna Unabii na Utabiri na Maono..!!
@MohamedMage
@MohamedMage 7 ай бұрын
Hiv mtu ukitukia akili ktk kutafsir matukio ni Unabii? Tumien akili
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 5 ай бұрын
Mnamjua mtu mwenye uruma na watanzania na mwenye akili nyingi na Muombaji
@emmanuelbusuti8800
@emmanuelbusuti8800 Ай бұрын
Maandiko yametimia watatokea manabii wa uongo si ndiyo hawa
@festokastory5282
@festokastory5282 7 ай бұрын
Mmmh 😮😮😮
@barakabusima
@barakabusima 7 ай бұрын
😂 wacha bwana hiyo ni uongo huo unabii wa wapi anyway sababu ndiyo mafundisho watu wanayohitaji wape vyuma
@امزكرياالجابري-ه7ق
@امزكرياالجابري-ه7ق 6 ай бұрын
Acheni.kulumbana chukua na changanua na akili yako pia
@getrudankole7445
@getrudankole7445 Ай бұрын
Natamani awamu ya nne ikufe na ya sita , Nimechoka
@HAAM670
@HAAM670 8 ай бұрын
Amen Prophet, unabii upo clear kabisa. What we need is to pray for this Nation ili tuvuke salama.
@belovedflorence4109
@belovedflorence4109 7 ай бұрын
Mnyama, demons
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 7 ай бұрын
Hapo ndipo nawashangaa serikali inavurunda halafu mnaitetea kuendelea kuharibu nchi
@BagambiMukhtaary
@BagambiMukhtaary 7 ай бұрын
Hunauwezo wakuwasiliana namungu.wacha siasa chafu.nabii muongo
@AverinaShirati
@AverinaShirati 6 ай бұрын
Wamtoe huyo mwanamke atumtaki kakaa tu anaiba
@kabichishida8137
@kabichishida8137 7 ай бұрын
Unaacha kuhubiri neno la mungu unawaka tamaa
@belovedflorence4109
@belovedflorence4109 7 ай бұрын
Ninatafuta kwenye huduma ya Yesu na mitume, labda sijasoma biblia yote bado nione kama nao walifundisha siasa.😢. Biblia siyo ya mzaha na wavivu, ndo maana wanafanya siasa na saikolojia kwenye madhabahu ya Bwana.
@teyllalugazia
@teyllalugazia 7 ай бұрын
Siasa ni mfumo wa Dunia , kilicho mfanya shetani awe adui mkubwa wa Mungu na wanadamu ni madaraka
@rynerlinuma8484
@rynerlinuma8484 7 ай бұрын
Tena tamaa kweli
@Punda284
@Punda284 7 ай бұрын
Uongozi hutoka kwa Mungu,tofauti kabisa na inavyidhaniwa kuwa siasa.
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 7 ай бұрын
Ukisikia kikulacho ndioo hii sasa😂😂Walimsaliti kipenzi chetu wacha watafunanee tuu
@getajo1153
@getajo1153 5 ай бұрын
Siasa Cha Bongo hazihitaji unabii...
@musakatwale1959
@musakatwale1959 5 ай бұрын
JPM ATASHINDA JAPO HATUKO NAYE
@BakariCheo
@BakariCheo 2 ай бұрын
Toen mahubr kaz za kn mwijaku hizo
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 70 МЛН
NI HATARI SANA KUOTA NDOTO ZA AINA HII
53:12
Haleluya Tv
Рет қаралды 40 М.
UNABII WA WAMAASAI NA NGORONGORO KUTIMIA | NINI KITATOKEA BAADA YA HAYA?
15:49
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 13 М.
MAZITO NCHINI: SIASA,CHUKI, USALITI, NABII ROLINGA ANENA HAYA
25:33
UNABII || FARASI WAWILI KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophet Edmound Mystic
9:19
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 23 М.
UNABII JUU YA ISRAEL KUSHAMBULIWA |  WATIMIA| Prophet edmound Mystic
3:06
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 1,8 М.
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 24 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12