ISHINDE HALI YA KUKATA TAMAA - JOEL ARTHUR NANAUKA

  Рет қаралды 32,973

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 49
@mounzinhojr
@mounzinhojr Жыл бұрын
Nimeamini kweli “kuna watu wanaishi kwa ajili ya watu”, Ahsante sana uncle. Wewe ni wewe tu 💯✅
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 6 жыл бұрын
asante sana kwa mafunzo yako mazuri. Kweli unagusa maisha ya watu kwa njia tofauti sana. Naomba kama ukiweza kuzungumzia swala zima la "Jinsi ya Kujiamini (self-confidence)" asante na keep up with the good work. Be blessed!!
@rafaelmwanyila33
@rafaelmwanyila33 5 жыл бұрын
Unatisha kaka,unazungumza fact binafsi nilishawahi kuamini anaezuia mafanikio yangu ni rfk yangu wa karibuu hasa baada ya kuzuia kila fursa ninayopata ndani ya kampuni coz yeye ndio manager
@mosseszyherizonic2584
@mosseszyherizonic2584 5 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA kaka kazi yako ni NJEMA sana .
@MwanzalimaLeonard
@MwanzalimaLeonard 20 күн бұрын
Tuzingatie,huu ni ushaur chants kwetu! 20:24
@kidboy6765
@kidboy6765 4 жыл бұрын
Mwalimu wangu, mungu akubariki
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
Following from kenya
@agneshiza7229
@agneshiza7229 2 жыл бұрын
Ni kweli aisee!nilikuwa sielewi Nini maana ya kukaa tamaaa ya maisha lkn nilipofiwa na baba yangu nilijikuta nakata tamaaa ya kuishi.Niliwaza nani atanipenda Tena,nitafute hela za Nini sasa wakati alinifanya nitafute pesa ili afurahie maisha amekufa.Sasa naishi ili iweje!Lkn Mungu ni mwema amanishindia🙏🙏
@Lily-xw6hg
@Lily-xw6hg 9 ай бұрын
Watu wanatokea mbalii sanaa
@yusuphmohamedy1316
@yusuphmohamedy1316 6 жыл бұрын
Kaka na kukubali sana natamani sana kukutana na ww macho kwa macho Thank you so much broo
@robertgwelela6581
@robertgwelela6581 6 жыл бұрын
Ni kweli mwl Mungu atusaidie sana.kushinda hali ya kukata tamaa ni jambo muhimu sana.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Robert Gwelela kabisa Robert,hakuna kukata tamaa
@deusjohn1107
@deusjohn1107 4 жыл бұрын
Nimekuelewa bro nanauka kukataa tamaa ni mwiko mimi sintakata tamaa siku zote za maisha yangu yote
@adolfmaliyao4015
@adolfmaliyao4015 6 жыл бұрын
Nimejifunza jambo zuri kutoka hapo . Uzidi kutoa elimu zaidi
@mwanaharusialifakifaki8716
@mwanaharusialifakifaki8716 4 жыл бұрын
Ahsante doctor somo zuri.
@bressafya605
@bressafya605 5 жыл бұрын
Aisee MUNGU akubariki sana Kaka JOEL, umekuwa msaada mkubwa sana kwangu...
@mashakaabduly4506
@mashakaabduly4506 6 жыл бұрын
Aisee hyoo jamaaa kila anachozumngumza kimenitokea natamani siku niongee nae vizuri
@methewmartin9380
@methewmartin9380 4 жыл бұрын
asante sana kk mungu aendelee kuku zidishia maarifa kk
@qurankareem582
@qurankareem582 5 жыл бұрын
broo nakuelewa sana sisi ni washabiki kwenye taaluma izi unazotupatia tunashkuru kiukweli
@immamadalale3940
@immamadalale3940 4 жыл бұрын
Thankx u broo
@aikammari2042
@aikammari2042 6 жыл бұрын
Ninashukuru kwa ujumbe mzuri
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Aika Mmari karibu sana,nisaidie kushare
@lucasgodfrey6976
@lucasgodfrey6976 4 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu.
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu hii
@user-hh3vh6zz2r
@user-hh3vh6zz2r Жыл бұрын
Be done by only.
@rafaelmwanyila33
@rafaelmwanyila33 5 жыл бұрын
hii hali imetukuta sanaaa ktk maisha lkn kupitia wewe tunabadilika sanaa.,
@alidimwalyobe6806
@alidimwalyobe6806 6 жыл бұрын
Mm nimekuwa mwanafunzi wako BLAZA
@londonkeith4804
@londonkeith4804 3 жыл бұрын
A tip: watch series at Flixzone. Me and my gf have been using it for watching loads of movies these days.
@judsondevon1582
@judsondevon1582 3 жыл бұрын
@London Keith definitely, I have been watching on Flixzone} for since december myself :D
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 5 жыл бұрын
Asante baba mungu akulipe
@segolinetingo2916
@segolinetingo2916 5 жыл бұрын
Oooh nakupenda kwan mada zako zimenifanya nijiamin zaid
@markomasatu1653
@markomasatu1653 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@rehemakawamda629
@rehemakawamda629 3 жыл бұрын
Kaka umeigusa mimi ninatabiya ya kukata tama
@muhojatv3680
@muhojatv3680 6 жыл бұрын
Ase unaongea mambo ya kweli sana kaka joel
@evaphilipo560
@evaphilipo560 6 жыл бұрын
amina sana kaka
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti Жыл бұрын
Kiukweli hata mm huwa nakosa nguvu ya kutekeleza majukumu yangu, je nifanye nini ili kupata nguvu ya ndani ya kujituma?
@shabanmkori2196
@shabanmkori2196 6 жыл бұрын
kila kwenye uzito kuna wepesi wake.Quran tukufu.
@hafsacletty1519
@hafsacletty1519 6 жыл бұрын
Shukran.
@saidikalume1438
@saidikalume1438 5 жыл бұрын
asante kaka
@happynessruge9016
@happynessruge9016 5 жыл бұрын
tangu nianze kukufuatilia hakika hamna nilichopoteza
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti
@SylviaCornelyBalemba-ne8ti Жыл бұрын
How to undergo emotional pain?
@priscilerehemasongolo7233
@priscilerehemasongolo7233 6 жыл бұрын
Ukweli kabisa Kaka
@yusuphmsely8734
@yusuphmsely8734 5 жыл бұрын
Minahitaji kitabu kinacho fundisha jinsi yakupata mafanikio nta kipata wapi ili nijifunze mala kwa mala
@josephdavid7410
@josephdavid7410 6 жыл бұрын
Mbna kila uricho ongea kma vile unaniongerea kaka
@raymondlubaga6232
@raymondlubaga6232 6 жыл бұрын
Safi sana
@charlesgathogo333
@charlesgathogo333 5 жыл бұрын
J
@mwajumamusa3352
@mwajumamusa3352 4 жыл бұрын
Naomba nambar zakoo
@kalistakidava8078
@kalistakidava8078 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@fatumakweka5950
@fatumakweka5950 5 жыл бұрын
Tanga utakuja lini kutoa somo kaka
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA PILI
35:42
Harris Kapiga
Рет қаралды 67 М.
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 29 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 18 МЛН
CREATING GENERATION OF WEALTH CREATORS - JOEL NANAUKA
1:51:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 100 М.
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
Unawezaje kuwa na hamasa kila wakati?
7:13
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
TABIA 11 ZINAZOZUIA MAFANIKIO   - SEHEMU YA  KWNZA (1)
12:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 82 М.
Maeneo Sita (6) Ya Kuzingatia Katika Kujenga Nidhamu - Joel Nanauka
12:01
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 29 МЛН