NAMNA YA KUTOA TALAKA

  Рет қаралды 12,419

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

5 жыл бұрын

Пікірлер: 19
@rahiyaabdallah7348
@rahiyaabdallah7348 Жыл бұрын
Mi nilikua nauliza mume akimpa talaka mkewe bila ya kumtaja jina je talaka inaswihi
@kublaibrahimu3319
@kublaibrahimu3319 3 жыл бұрын
Naaam
@fatmabarkale8610
@fatmabarkale8610 2 жыл бұрын
Assalam aleykum , shekh nauliza mathlan talak tatu zimepita kabla ya kuonana au kuingiana je wanaweza kuona tena au ni mpka mke aolewe tena
@teekayonline7646
@teekayonline7646 3 жыл бұрын
He talaka ikiwa haina jna wala tareh wala mashaidi hyo imekamilika kuwa talaka?
@MwanaidyMgonja-ek5ls
@MwanaidyMgonja-ek5ls 3 ай бұрын
Asalam aleykum shekhe mm sijui niko upande gan mm niligombana nae nikaenda kwa mama ake nikakaa akamwambia mama ake aniambie niende kwetu nilipojua nikaondoka sababu niliona kabsa nafos nimekaa kwetu hapo nina mimba miez7 mpka nimejifungua sasa hivi mtoto ana mwana na miez mi4 hyo talaka inaitwaje hi yangu au imekaaje na kama napata mume naweza olewaa tangu mwaka 2023 mwez wa 10 mpk leo
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 2 ай бұрын
Wa alaykum ssalam warahmatullah wabarakaatuh, Kwa ufahamu wangu ,Dadangu hapo ulipojuwa uko na ujauzito ulikuwa haufai kuondoka kwenye hiyo ndoa yako mpaka ujifunguwe,na mumeo alifaa akupe huduma zako kama alivyokuwa akikupa wakati wa nyuma
@MwanaidyMgonja-ek5ls
@MwanaidyMgonja-ek5ls 2 ай бұрын
@@DeBoy-oy2jg sasa ningefanya nn kama alitaka niondoke aliniondoksha nikaenda kwa mama ake skutaka kwenda kwetu lkn pia alisema niondoke kwa mama ake niende kwetu
@ZahraZahra-cx9xw
@ZahraZahra-cx9xw 4 жыл бұрын
Shukran kwa mafundisho
@nadhifibrahim5076
@nadhifibrahim5076 4 жыл бұрын
Sheikh shukran. Mume alianza kwa kudai nitapoenda masomoni maisha yatakua magumu, akawa haji nyumbani bali akaa kwa mkewe mkubwa tu kwa miezi mingi, na akaacha kutuma matumizi, baada ya kumuliza hali ya kuning'inizwa hatimae akasema ktk simu basi nimekuacha. Na hakika baada ya hapo hakua akifanya muamala wowote wa kimahusiano sasa mwaka wa 3, lkn kwakua tuna cheti cha ndoa, nahitaji talaka ya maandishishi ananibabaisha. Hapa kuna shaka yeyote kua si talaka?
@nasraothman1395
@nasraothman1395 2 жыл бұрын
Nenda kwa kadhi dada yangu. Niko na situation kama yako na sasa nimeanza kwenda kwa kadhi. Alitamka tu ila amekataa kuandika. Mtihan sana
@saebajoma8419
@saebajoma8419 Жыл бұрын
Kwahiyo my km kaandika hajatamka nilazima atamke
@ZahraZahra-cx9xw
@ZahraZahra-cx9xw 4 жыл бұрын
Lakini nilikua kumuuliza swali shekh nitampataje
@yassirgk3954
@yassirgk3954 3 жыл бұрын
Ustadh asalaam aleykum nilikuoa naomba namba yako ya whatsap nikupigie nna Swali inshallah
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 3 жыл бұрын
+254772611120
@kautharramadhan-ej2iy
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin mbona hupo wasap ustadh
@kautharramadhan-ej2iy
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin assalamaleikumsheikh naomba kuuliza ikiwa mume hakumtamkia mkewe kua kamuacha na kwenda kusema kwengine je talaka imeswihi
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
@@kautharramadhan-ej2iy talaka hua imepita madamu kashaitamka kwa wengine
@kautharramadhan-ej2iy
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin bila kuitamka kwangu inakua imepita
USIKATE TAMAA KWA MOLA WAKO
46:56
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.
NAMNA YA KUTOA TALAKA Sheikh Ayub Rashid
49:21
SAUTI YA AHLULBAYT
Рет қаралды 1,3 М.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 57 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 19 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,4 МЛН
SABABU ZA KUTOA TALAKA
1:25:05
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 44 М.
AINA ZA TALAKA
39:32
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 49 М.
Sheikh Nurdin KshK - TALAKA
1:10:32
shining noor
Рет қаралды 174 М.
KWA NINI UAPTE MITIHANI?
1:18:31
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 3 М.
TALAKA YA MKE MZINIFU
17:37
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 79 М.
KUMREGELEA MKE KATIKA EDA
22:42
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
UBAYA WA FITNA NA KUSENGENYA
1:01:25
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 17 М.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН