Pt1_USHUHUDA WA MAMA ALIYEKUFA WAKATI AKIJIFUNGUA AKAZUIWA KUINGIA MBINGUNI SABABU ALIPAKA PIKO

  Рет қаралды 16,497

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 17 күн бұрын
Yesu ni Mshindi. Huyu mama alitafutwa na ulimwengu wa Giza kweli kweli.
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 11 ай бұрын
Nina uhakika kwamba Yesu Kristo hakika yupo. Ameeeen. Yesu Kristo mfalme wa wafalme asifiwe sana jmn!! Yaani nasikiliza hadi nalia. Nahitaji sana nifike Mbinguni.
@rerisamba
@rerisamba 11 ай бұрын
Nilimuona mahali nikatamani afike promover TV na leo amefika that's good
@henrysizya239
@henrysizya239 11 ай бұрын
Ushuhuda mzuri sana, Mungu atujalie kuishi kwa kuzishika Mafundisho yanayo mfaa na kumpendeza Mungu. Naomba namba ya mama mtoa ushuhuda
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 6 ай бұрын
Hakika huyu mama amenivusha parefu popote alipo Mwenyezi Mungu akaendelee kumtumia , theatre ni kugumu sana unakufa unajiona ni Mwenyezi Mungu pekee anaeturudishia uhai kingine mi sio msukaji wa rasta ila napaka sana rangi kucha bila kujua madhara yake asante YESU kwa kunionyesha huu ushuhuda wenye kunijenga kiroho
@gracegachigi8
@gracegachigi8 11 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe ,mtumishi Wa Mungu asante Sana Kwa kazi nzuri mnafanya. Tafadhali Niko Na swali kuruka mstari ni kufanya Nini Rachel n zipporah testimony part 4.
@flm1530
@flm1530 11 ай бұрын
Kuvuka neema ya MUNGU aliyokupa kwahy hutawez ten kurudia toba
@gracegachigi8
@gracegachigi8 11 ай бұрын
Thanks thanks so much for replying I'm humbled.
@miria659
@miria659 11 ай бұрын
Jactan endeleeni kuleta hizi shuhunda siku Mmoja afta hii maisha watu watajua kumbe after life is real
@dolyjinemongare8787
@dolyjinemongare8787 11 ай бұрын
Amina sana mtumishi..tunalia pamoja hauko pekee yako...YESU NI BWANA ACHA TUMHIMIDI..AMINA
@owikesibonike
@owikesibonike 11 ай бұрын
MUNGU Wetu Mwema Tunaomba Mwisho Mwema.Amen.
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 11 ай бұрын
Amina,,heri wenye kusadiki bila kuona
@issachege5606
@issachege5606 11 ай бұрын
Yesu yupo hai kuzimu mbingu nkweli I hv been there I know bt nobody can believe me
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 11 ай бұрын
Asante Yesu kwa kuzidi kutupa neema ya kuku jua wewe
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf 11 ай бұрын
Matendo ya Mitume 15:20 watumishi inatakiwa watafakari sana maana ndiyo wanaowajaza watu unajisi na uasherati kwani wanaamini lasta, wigi, make up shedo, kucha za bandia, kope za bandia, rangi za kucha, kujichubua cream hair dye nk kuwa havina matatizo kwa aliyeokoka. Washirika wakisikia Roho Mt anawazui hupinga na kuamini ni sauti ya adui. YESU turehemu kanisa lako.
@mdas2340
@mdas2340 10 ай бұрын
Ameen and améen mungu ni mkubwa na mungu anatendaa
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Blessed promover tv..n mtumish wako .tujikane nafs zetu tuweze kufika mbingun😢
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt 11 ай бұрын
Ni kweli jamani yesu kristo ni halisi Mungu atusaidie wapendwa
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 11 ай бұрын
MUNGU APEWE SIFA. ASANTE SANA PROMOVER TV. MUNGU AWABARIKI ZAIDI
@JulianaTryphony
@JulianaTryphony 11 ай бұрын
nabarikiwa sana na hizi shuhuda..
@annajotham9478
@annajotham9478 10 ай бұрын
Ndiyo maana makanisa ya leo nikujisifu tu sababu wanajilemba sana namapambo ya dunia
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 11 ай бұрын
Amen BWANA awabariki sana
@patrickkatana8823
@patrickkatana8823 11 ай бұрын
Kutoka 🇰🇪 nafurahia shuhuda hizi..
@nashonmsafiri1487
@nashonmsafiri1487 11 ай бұрын
Shuhuda nyingine ni vzr mkawa mnazifanyia uhariri kabka ya kuzirusha hewani, kwa hiyo alivyozuiliwa kuingia mbinguni aka rudi duniani eeh..😊😊 Shuhuda nyingine ni uongo sana
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 11 ай бұрын
Wewe acha kupinga usiyoyajua ,Kwan wangapi madakitar husema wamesha kufa ,na wanarudia uzima Tena, una dhan wanakua wap mda dakitar akithibitisha vifo hivyo, ya ,Mungu huwez kuyajua kama umekaa Sana kimwili ,yahitaji Roho mtakatifu atusaidie, ndipo waumini wengi wataishia kuzimu ya moto ,sababu ,hawana Roho mtakatifu, kila kilicho cha kweli ni kupinga tu, hata imebaki kupinga biblia hiyo hiyo ,mtakuja kuikana ,siku zinakuja, mana dunia imewatawala ndiyo mana ,mkiingia kanisani na mtokapo nje hamna tofauti na wasio Sali, pole sana
@JulianaTryphony
@JulianaTryphony 11 ай бұрын
Nibora kuamini kabla hijaona.. na kama humuamini Roho mtakatifu hiwezi amini hata malaika akikutokea live.. Mungu tu atusaidie, watu wa Mungu.. Tutafute iman
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 11 ай бұрын
Angalia sana, siku yakikukuta ww, nakwambia hutaamini afu utasema laiti ningejua!!! Nikwambie tu hivi, mwamini Yesu leo hii.
@japhetstephano5517
@japhetstephano5517 11 ай бұрын
Inatia shaka
@stephanomaduhu5426
@stephanomaduhu5426 11 ай бұрын
Pole
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 10 ай бұрын
Amen
@edinakibani8725
@edinakibani8725 11 ай бұрын
Ivi kwanin watu wanashingo ngumu tubadilike jamani tuache na Mambo yezbeli
@liesharehema5193
@liesharehema5193 11 ай бұрын
Ushuhuda mzuri sana
@Elizabeth-d8p2m
@Elizabeth-d8p2m 29 күн бұрын
Wanadamu wanashingo ngumu mbingu niyawachache mama
@ScolaMwanjoka
@ScolaMwanjoka 4 ай бұрын
Hivi jamani kwa Nini wachungaji wengi awakemei madhabauni dhambi ya mapambo yaaani wamama wachungaji wengi utumia vipodozi,mapambo Mara kujichubua lakini unakuta wachungaji wamenyamaza watu wanavutwa na shimo la kudhimu lakini wachungaji wako kimya...inasikitisha sana
@ScolaMwanjoka
@ScolaMwanjoka 4 ай бұрын
Nimeacha kupaka piko MUNGU naomba unisamehe
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Daah...... Comment zote hakuna mtu alieenda against, hivi kwer inawezeka Mungu baba, akurudishe dunian kisa piko😂. Ngoja ninyamaze....... Hii channel sijawah kuamin ushuhuda wao....
@jacobsimba7398
@jacobsimba7398 11 ай бұрын
Utaamini ukifika jehanamu Wala usipate shida ndugu
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk 11 ай бұрын
Unataka kuamini nn sasa soma maandiko amerudishwa ili wengine tujifunze na dhambi sio uzinzi tu hata rangi za nywele au rangi za kucha
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
@@HildaPaul-hm4jk .... Hivi nywere ikipauka uiache hivyohivyo kwer❓. Mbona ngoz ikipauka mnapaka mafuta, muwe mnaacha hivyohivyo sasa. Piko ni repair ya nywere, inarudisha nywere kwenye hali yake ya kawaida. Ni sawa na mtu kuishiwa damu akaongezewa damu.... Jaman tuache na ushabiki, tunaongea kufundishana. Dhambi ni kubadili rangi halisi na kuonekana tofaut na asili yako, mfano kupaka breach.n.k ... M nashangaa mbona wanawake huwa mnapaka midomo yenu lipstick kwa ajiri ya kuzuia mdomo kuchanika......
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 11 ай бұрын
Ndugu acha kusema mbona wengine wanafanya hiki na kile ukiona mashaka na ushuhuda wowote omba Mungu akufunulie kwa unyenyekevu uwe na utulivu mbele zake Mungu atakufunulia tu kwa jina la Yesu Kristo
@gloriaakyoo2079
@gloriaakyoo2079 11 ай бұрын
Mungu akusaidie uijue kweli nayo kweli ikuweke huru na ikutenge na Giza amen Amen
@flm1530
@flm1530 11 ай бұрын
Naomba Link ya mwendelezo mtumishi wa Mungu jactan please
@PromovertvTz
@PromovertvTz 11 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iXevmWVugdajqdE
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 ай бұрын
Chezea nusu kaputi mie niliongea kiizungu.wakati cjui
@mbuerecarlos1396
@mbuerecarlos1396 11 ай бұрын
Uhu ushuuda ninzuri sana PARTY 2 ikowapi mbona hakuna Mr.Msafiri tupatie PARTY 2 nakwendelea utusaidie tuweze kujua vinavyoitagika. Tupatie mwendelezo wake.
@gracegachigi8
@gracegachigi8 11 ай бұрын
Kuruka mstari wa Rehema
@Ititisonga
@Ititisonga 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 wonders shall never end 😂😂😂
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 10 ай бұрын
Sasa unacheka nini?
@maimunakayanda9960
@maimunakayanda9960 4 ай бұрын
Watu wahitaji injili zinazosapoti tamaa zao nyie mapambo ni dhambi Mungu hapendi kubadili asili yake aliyokuumba nayo ndio maana Mungu anasema katika kitabu cha Rum 2 kuwa aliona awaache watu wafuate tamaa zao
@Neemakilimba
@Neemakilimba 11 ай бұрын
Huu ushuhuda ni kama wangujamani
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Ushuhuda wa uongo..... ..... Mm leo napinga.....
@Neemakilimba
@Neemakilimba 11 ай бұрын
@@RamadanPaul Endelea kuupinga ndugu hujalazimishwa
@maryandason1815
@maryandason1815 11 ай бұрын
Leta wwko wa ukwel basii😂.utupeleke mbingu yako
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 11 ай бұрын
Tushuhudie basi mtumishi tupone .shetani ametupofusha sana kwa vitu vidogovidogo tuvione kawaida tupotee.ila tutashinda na zaidi ya kushinda kwa yeye atutiae nguvu
@elizamsemwa3161
@elizamsemwa3161 11 ай бұрын
Pati 2 tunaomba
@PromovertvTz
@PromovertvTz 11 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iXevmWVugdajqdE
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
Hivi nyie huwa mnatuonaje ..... Huu ni uongo, huyo ni Mungu wa mchongo.... Kisa piko😂😂.
@sanchezrose1560
@sanchezrose1560 11 ай бұрын
Utakuja kuyajua mbele ya safari yako kama ni Mungu wa mchongo ni heri unganganie wokovu ndugu yangu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
@@sanchezrose1560 ... Kwa hyo na ww unakubaliana na hayo, kwamba Mungu alimrudisha kisa piko
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 11 ай бұрын
Ndio Hakuna linalomshinda Mungu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 ай бұрын
@@rabilubinza7661 ... Tusipake chochote sasa kwa ajili ya kurudisha asili ya kitu ... Mafuta, na madawa ya kutoa machunusi usoni (Acne) CeraVe foaming cleanser
@gloriaakyoo2079
@gloriaakyoo2079 11 ай бұрын
Mungu akusaidie uijue kweli nayo kweli ikuweke huru ikutenge na giza amen
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 116 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 378 М.
USHUHUDA:NI KATOTO KADOGO TU!KUMBE ALIKUWA MKUU WA WACHAWI KAGERA
27:15
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19