FAHAMU DALILI ZA MTETEZI KUJA KWENYE MAISHA YAKO YA KIROHO | Mch.Amiel Katekela

  Рет қаралды 11,605

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 44
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 4 ай бұрын
Tunampenda sana huyu mtumishi,amekuwa baraka kwa kanisa.🙏
@PCharlzy-rr2iv
@PCharlzy-rr2iv 4 ай бұрын
Mimi ni mwanafunzi wa Tanzania Law School kuna mkaka alikuwa si mwanafunzi wa mtaan alinizoea tu na siku moja akanambia hiyo sheria unayosoma Mungu hawezi kukusaidia, atakayekusaidia ni Shetani yaaan toka siku ile nikamchukia nikamblock! Na sasa nayasikia kwa Mchungaj 🙏 nimeelewa sana nitasimama zaid ktk iman na sala
@user-ph8wz4ei8j
@user-ph8wz4ei8j 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi na kuelewa sana Mungu akutie nguvu
@EliasHerman-qy4gt
@EliasHerman-qy4gt 9 күн бұрын
Asant san mchungaj mungu akuzidishie nguvu
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 4 ай бұрын
Nimengi tunajifunza kutoka kwako Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
@ElijahAmon-uq6zk
@ElijahAmon-uq6zk 4 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe sana ninaamini mwaka huu utakuwa ni mwaka wangu wa baraka namshukuru kwa mafundisho mazuri ubarikiwe zaidi ya baraka MUNGU ukuinuinue viwango na viwango
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 4 ай бұрын
Amina kubwa nafurahi sana kumuona mke wa mchungaji katekela.
@ericksylivester8757
@ericksylivester8757 4 ай бұрын
na ni mzuri ,
@annajotham9478
@annajotham9478 4 ай бұрын
Yani mi huyu mtumishi nahisi ndo nabii wakweli dunia nzima aliye tumwa na Mungu maana siyo mtu wa kawaida
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 4 ай бұрын
Ndio ni mtumishi wa Mungu mimi RohoMtakatifu alishanidhibitishia.
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 4 ай бұрын
Niliambiwa hivi ndotoni, " Amiel ni mtumishi wangu atakae kataa kumsikiliza ni shauri yake .
@evermayala5817
@evermayala5817 4 ай бұрын
Amen
@SesyKenesy-ge2ri
@SesyKenesy-ge2ri 4 ай бұрын
Huyu ndiye
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 4 ай бұрын
Amen nimekombolewa kwa jina la yesu wanazareti
@fitinamarando
@fitinamarando 4 ай бұрын
Asante PROMOVER TV nimeona mbarikiwe sana wana wa Mungu
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 3 ай бұрын
Amina mtumish,i unanibariki sana
@MayolwaGolani
@MayolwaGolani 4 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe Naomba msaada wa kupata mawasiliano ya huyu mchungaji au group lake la whatsApp
@HappyJohn-kk1pr
@HappyJohn-kk1pr Ай бұрын
Mi Kuna mtu aliniambia anayo ngoja nimuombe
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 4 ай бұрын
Hallelujah jina la BWANA lisifiwe
@raelnangila3006
@raelnangila3006 4 ай бұрын
Ameeni 😮
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 4 ай бұрын
Ameen mm nimushindi kwa damu ya yesu
@Uplifiting
@Uplifiting 4 ай бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa mafunuo na mafundisho ya maana saana. Haya hatupati popote, isipokuwa kwako wewe tu! Tunalı hitaji sana ütüm eler hata huku🇺🇸 hatujui yukupate vipi! Mungu Ali kutuma ktk vipindi hivi vya kumalizia, azidi kukupa Afya na nguvu, pamoja na Familia yako. 🙏
@juniorkalinge5861
@juniorkalinge5861 4 ай бұрын
Amen&Amen be highly blessed IJN 🙌
@drmaryjohnmponda3484
@drmaryjohnmponda3484 4 ай бұрын
Ameeen
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Amieli Katekela
@raelnangila3006
@raelnangila3006 4 ай бұрын
Aleluyaah 🎉
@user-wt9kj7gl1i
@user-wt9kj7gl1i 4 ай бұрын
Amen
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wa BWANA
@judithbett420
@judithbett420 4 ай бұрын
Amen 🙏
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 2 ай бұрын
Ni Elimu ya vingo vilkubwa
@elizabethsanya4468
@elizabethsanya4468 4 ай бұрын
Mtumishi wcha mungu akubariki
@floramahenge6224
@floramahenge6224 4 ай бұрын
Mchungaji naomba maombi
@user-jc5bc2xe1f
@user-jc5bc2xe1f 3 ай бұрын
Naomba mawasiliano ya mchungaj pls
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey 2 ай бұрын
Jamani naombeni namba zake.
@EddahMwakipesile
@EddahMwakipesile 4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi,mko wapi Leo.
@victormwacha2805
@victormwacha2805 4 ай бұрын
Nimefuatilia sana mafundisho ya huyu mt kwa kweli ni mt wa kweli wa Mungu. Huduma yake iko wapi? Na mtu anawezaje kumwona?
@user-wt9kj7gl1i
@user-wt9kj7gl1i 4 ай бұрын
😢
@user-hl2kn6si2i
@user-hl2kn6si2i 4 ай бұрын
Eeh, MUNGU, mbn Mambo yanatishaa🙇🏾‍♀️🙇🏾‍♀️,lakini sisi ni WASHINDI 💪💪 zaidi ya kushinda kwa DAMU ya YESU KRISTO WANAZALETI ULIE HAI.
@user-vc4cl8xm8u
@user-vc4cl8xm8u 4 ай бұрын
Huyu mchungaji yupo wapi
@floramahenge6224
@floramahenge6224 4 ай бұрын
Mpo wapi leo?
@sadikibernald9519
@sadikibernald9519 4 ай бұрын
Hujambo kaka nitafsirie kidogo mbona rewiyatani bibiria inamutaja kama mtawara wabahari samaha I nierewe
@amishambar3418
@amishambar3418 4 ай бұрын
Amina ipo kitabu gani mpendwa🙏
@nadratirankunda3052
@nadratirankunda3052 4 ай бұрын
Ipo kwenye kitabu cha ayubu mpendwa
@juliamuthoni7534
@juliamuthoni7534 4 ай бұрын
Amen
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 13 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН
Nyisake Chaula_ukombozi wa nafsi
1:01:49
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 1,2 М.
KISA CHA KUSISIMUA CHA NABII YONA
45:10
Pastor Lazaro Samwel Kilala
Рет қаралды 1,8 М.
False Accusations
31:27
Hidaya Media TV 📺
Рет қаралды 4,8 М.
Day3_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:55:14
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН