YESU NDIYE MUNGU MKUU SIYO TU MWANA|UFAFANUZI KUHUSU UTATU MTAKATIFU NA UUNGU WA YESU|Ev.SamSungwana

  Рет қаралды 1,554

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 31
@chorinevalley6284
@chorinevalley6284 4 ай бұрын
I cried tears 😭 Today is the day This has been to me Thank you the Holy Spirit.
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 4 ай бұрын
Sio nafsi baba, ni vyeo vya Mungu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nafsi ni kwa viumbe wa Mungu
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 4 ай бұрын
True teachings
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 ай бұрын
Watu wanaotafsiri Mungu kibinadamu hawaelewi hata ukiwafafanulia. Tunapojadili mambo yamuhusuyo Mungu ni lazima tuweke mbali mitazamo ya kibinadamu sababu Mungu siyo kitu fulani ni uwezo usio na kikomo usiochunguzika.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 ай бұрын
Roho mtakatifu siyo nguvu za Mungu ni nafsi ya Mungu ndiyo sababu Yesu alisema mtapokea nguvu atakapokuja Roho mtakatifu. Neno atakapokuja humaanisha mtu/ nafsi haliwezi kutumika kwenye kitu.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 4 ай бұрын
Nilikuwa sijaona Kanisa la Mchungaji Katekela leo nimeliona Amina,
@chorinevalley6284
@chorinevalley6284 4 ай бұрын
Translate
@evalynerwegasira7485
@evalynerwegasira7485 4 ай бұрын
YESU NA ROHO NA BABA NI WAMOJA. YESU ALIPOKUJA DUNIANI.ALIMALIZA KAZI YAKE. HAKUWA KILA MAHALI. ILIBIDI ROHO AJE AKAE NDANI YETU. NA YUKO KILA MAHALI.
@marypeter4584
@marypeter4584 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana.
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 4 ай бұрын
Hivi yesu angekuwa ni mungu angesema anaenda kwa baba kuandaa makazi,,,,,,mawazo ni mazuri japo ni ya uongofu
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 4 ай бұрын
Yesu ni Mungu. Wewe ndo huelewi.
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 4 ай бұрын
Mwanz1:2 ROHO ya MUNGU ni NGUVU za MUNGU au ni nafsi ya 3.....
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 ай бұрын
Kwanini Mungu anasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu, badala ya nimfanye mtu kwa mfano wangu.?
@annkim2690
@annkim2690 4 ай бұрын
Hatu tawalazimisha kuelewa maandiko yako wazi mambo haya wanayo yaelewa niwale wako Rohoni
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 4 ай бұрын
SOMA,YOH:17;3,8,21,23,25.YESU ANASEMA WEWE NDIWE ULIYENITUMA, JIBU SWALIYESU NI MWONGO KWAMBA AMETUMW JE NANI ANAMTUMA....
@rebecca-nj6wl
@rebecca-nj6wl 4 ай бұрын
Ilimpasa Yesu kristo ajishushe kwa maana alikua mwili ulionao wewe ili mwanadamu alie na mwili ajifunze kwake
@KuratiMarwa
@KuratiMarwa 4 ай бұрын
Roho ya Mungu , Mungu ni nani ? Roho ya Mungu ilitulia juu ya vilindi vya maji , Mungu akasema , lakini Roho ya Mungu Ilikuwa Kwenye maji , hiyo Mungu alikuwa wapi ? Kama ROHO ILIKUWA KWENYE MAJI ?
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 4 ай бұрын
Mnaosema YESU ni MUNGU MKUU mpingeni YESU hapa... YOH 10:30" Mimi na baba TU umoja " sio mmoja ....umoja ...., na umoja maana yake wako tofauti/separate ila wanakubaliana kufanya jambo Kwa pamoja, YOH 14:28 baba ni mkuu kuliko Mimi Pina na hii.
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 4 ай бұрын
Sasa soma hiyo verse kwa kiingereza
@zilphakalenzo7787
@zilphakalenzo7787 4 ай бұрын
Bible ni msitu mkubwa tunamuhitaji Roho mt atusaidie
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 4 ай бұрын
KAMA VITU HAMVIJUI MSIJITOKEZE KUWAFUNDISHA WATU, EMBU SOMA 1KOR8:6 YUKO MUNGU NA YESU ,1YOH5:8 YUKO BABA,NENO NA ROHO(WATATU) OMBA TUKUFUNDISHE HUJUI ....
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
shida saana
@chorinevalley6284
@chorinevalley6284 4 ай бұрын
Revealed to me.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 ай бұрын
Jehovah's witness ni wapinzani wa Roho mtakatifu na wamejitungia biblia yao inayomtafsiri Roho mtakatifu kama nguvu za Mungu kitu ambacho ni uongo mkubwa.
@reachglobal9939
@reachglobal9939 4 ай бұрын
Kama mapepo yalimtambua ni Mwana wa Mungu,Shetani pia alimtambua pale mlimani alimwambia jitupe maana ineandikwa atakuagizia malaika,kama Petro alimjua akasema wewe ni Mwana wa MUNGU aliye hai.Wewe ni nani useme Yesu ni MUNGU Baba?wewe nizaidi ya shetan.Biblia imeweka wazi Yesu ni Mungu sababu mtoto wa simba ni simba ila Yesu sio MUNGU BABA.Zaburi82:6 nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia. Hata sisi tukiwa watakatifu ni Miungu ndyo maana hata Yesu alisema tunaweza fanya makubwa zaidi yake. 7 Lakini
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 4 ай бұрын
Biblia inasema Yesu ni Mungu. Ni mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Kama huelewi si kosa letu. Nawe ndo unayo Roho Ya Shetani inayokudanganya.
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 4 ай бұрын
No ya katekela please
@methodemmanuel4658
@methodemmanuel4658 4 ай бұрын
Jacktan, Aston Adam Mbaya anasemaje kuhusu hii ishu? Kuna video yeyote aliyowahi kuongelea jambo hili?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
na yule ni mwanadamu tu hana jipya
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 4 ай бұрын
Alisema Yesu ni Mungu. Na unafaa ufuate anayosema binadamu au ambayo biblia inasema?
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 4 ай бұрын
Mwanz1:2 ROHO ya MUNGU ni NGUVU za MUNGU au ni nafsi ya 3.....
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 42 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 24 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 150 МЛН
NGUVU YA IMANI | BISHOP BRAYSON MKUMBWA
41:52
TAG JERUSALEM TEMPLE-MBEYA SOKOMATOLA
Рет қаралды 317
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28
JINSI YA KULITUMIA NENO LA MUNGU ILI LIKUPE MATOKEO PART 2 || PASTOR GEORGE MUKABWA || 18/04/2024
1:45:10
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 42 МЛН