ALIKUWA MCHAWI WA KUTISHA LAKINI SASA AMEOKOKA,JE!YAPI YALOMSIBU?

  Рет қаралды 64,147

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 130
@kmwendemusic5379
@kmwendemusic5379 2 жыл бұрын
Shukrani kwa Bwana wetu Yesu Kristo, Yeye ni moto ulao hakika, hashindwi na chochote kabisa
@angie346
@angie346 2 жыл бұрын
Asante
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 жыл бұрын
Ushuhuda ujao huu,kwa mtirirko mzurii wa Promover tutabarikiwa sana.Mungu awabariki kwa kazi njema.
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Hongera mtumishi wa Yesu kwa kukombolewa na Yesu azidi kuku inua
@titinmbega4128
@titinmbega4128 2 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah na barikiwa sana 🙏
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x 2 жыл бұрын
Mungu atabariki kazi ya mikono yetu. Kuvumilia na kungoja wakati wa bwana.baraka za bwana utajirisha
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
This woman has touched my soul I want hear more
@titinmbega4128
@titinmbega4128 2 жыл бұрын
Waah. Mungu ni mwema na mwaminifu. Hallelujah
@MrXavely
@MrXavely 2 жыл бұрын
Asante sana Jacktan. Nilikuwa nautafuta huu ushuhuda.
@benjaminbwenge9166
@benjaminbwenge9166 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@isabellkingori6161
@isabellkingori6161 2 жыл бұрын
Asante Jacktan kwa ushuhuda huu. Tafadhali mwalike huyu mtumishi kwa interview. Barikiwa sana Jacktan.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
🔥🔥 gloire à DIEU.... BWANA YESU asifiwe 🔥
@jamilaezekiel6174
@jamilaezekiel6174 2 жыл бұрын
Nimekupenda sana dada yangu mungu akwinue na pole umetoka mbali kweli wachawi wanatutesa sana bila yesu ni bule
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Amina jamani,,Yesu ni mwema sanaaa,,asante kaka jack.
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Namshukuru Bwana Yesu jmn!!! Jacktan ahsante sana, Bwana Yesu akufunike. Amen.
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Mama pasua majipu watu wapone!! Hafikirii anatiririka tuu na USHUHUDA HUU NI WAKWELI...Hakika Yesu anaweza kuokoa Tumuache yeye aitwe mwokozi!
@malk8152
@malk8152 2 жыл бұрын
Mshukuru Mungu alikuokoa. Ungesunguka kwa waganga wakora uchoke bure.
@trizahawinja9481
@trizahawinja9481 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏 woow...nice teaching na MUNGU apewe sifa
@joelongamo
@joelongamo 2 жыл бұрын
Amina Mungu ni mkuu
@benjaminbwenge9166
@benjaminbwenge9166 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana shujaa waimani
@mariajili6319
@mariajili6319 2 жыл бұрын
Jina la yesu ni dawa, nime barikiwa sana kweli 🙏❤
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🙌🙌🙌Amen Amen uyu mama tunaitaji aliyoyaongelea ndani kwasababu siri zote ataongelea ndani
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Sawa
@aishakaluta561
@aishakaluta561 4 ай бұрын
@barakacharo5967
@barakacharo5967 2 жыл бұрын
Amen mamangu amen yesu akuokoe
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 2 жыл бұрын
Barikiwa sana m2mishi
@aminalimu5150
@aminalimu5150 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi 🙏
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Following from Saudi Arabia, kaka Jacktan Asante kwa hizi ushuhuda unatuletea ,mama barikiwa sana umenitia nguvu kwa maombi nasubiri pt2
@fatumakimaro4328
@fatumakimaro4328 2 жыл бұрын
Aminaaa
@judithomondi6874
@judithomondi6874 2 жыл бұрын
praise de lord
@judithpraisesmusic
@judithpraisesmusic 2 жыл бұрын
amina
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
Amen. Yesu asifiwe. Mungu amsaidie huyu dada mpaka mwisho.
@yemimajobdaughterjob1055
@yemimajobdaughterjob1055 2 жыл бұрын
Hellelujah mtumishi jacktan mungu akuzidishie maubiri neno takatifu lamungu 🙏
@clementmnami6979
@clementmnami6979 2 жыл бұрын
Ameen mama
@magrethedson7445
@magrethedson7445 2 жыл бұрын
Amina Amina
@floraflora9622
@floraflora9622 2 жыл бұрын
Mugu akubariki.maman.
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen kwa ushuhuda mzuri
@ashuraissa7044
@ashuraissa7044 2 жыл бұрын
Mungu ni muweza wayote nimebarikiwa Sana.
@Star-qf7ls
@Star-qf7ls 2 жыл бұрын
Thank you very much for this message 🙏
@irenemuriithi3478
@irenemuriithi3478 2 жыл бұрын
Ushuhuda mkubwa pale.Barikiwa dada.
@omusuguevans6350
@omusuguevans6350 2 жыл бұрын
Amen....twangoja ya kanisani
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu waeliimishe watu wa Mungu waovu Wachawi wawaache watu wa Mungu wamtumikie Mungu wao.
@bazuriyaido6616
@bazuriyaido6616 2 жыл бұрын
Amen
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 2 жыл бұрын
Semaaa Mama ktk jina la YESU!!! Sema tupone!!! 🙏🙏🙏
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Mtafute huyu mama tupate full ushuhuda mtumishi wa mungu
@elifaswilifredhonkonya4734
@elifaswilifredhonkonya4734 2 жыл бұрын
Nice
@japhetselestine2156
@japhetselestine2156 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@Star-qf7ls
@Star-qf7ls 2 жыл бұрын
Please Please give us more we are learning alot from this pastor 🙏
@victoriasimon185
@victoriasimon185 2 жыл бұрын
Amina mama🙏
@jacintasyombua7512
@jacintasyombua7512 2 жыл бұрын
U shuhuda mzuri sana be blessed mtumishi wa mungu.... Nasi utuombee🙏🏿🙏🏿
@lynbahati1200
@lynbahati1200 2 жыл бұрын
Barikiwa mama
@salomemahenge209
@salomemahenge209 2 жыл бұрын
Nasonga mbele na Yesu
@nyotabrigitte5385
@nyotabrigitte5385 2 жыл бұрын
Mufanye naye interview please, her testimony is very powerful. Be bless mtumishi jacktan.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@juliawangui777
@juliawangui777 2 жыл бұрын
Nampenda huyu Mama, God bless her soul ❣️💖 Jacktan msafiri barikiwa
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 2 жыл бұрын
@@PromovertvTz jacktan kitabu cha huyu mama.msaada pls
@isabellaobonyo2890
@isabellaobonyo2890 2 жыл бұрын
Jacktan pliz put the rest of the parts. Thank you
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Ok thank you
@scolasticakaduma9027
@scolasticakaduma9027 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mama
@shakukawele9959
@shakukawele9959 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@joshuagole8528
@joshuagole8528 2 жыл бұрын
Daah uko wap mama asante mungu
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 2 жыл бұрын
Nashukuru Sana Jack, Barikiwa Kwa kazi Nzuri hiyo unayofanya, ukitembea Kenya, tafadhali karibu kwangu Eldoret
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen, sawa
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
Amen 🙏 😭😭😭
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
Jacktan please full video
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Ok
@candywendy6619
@candywendy6619 2 жыл бұрын
How can i hear more of her videos
@ruthnundu3322
@ruthnundu3322 2 жыл бұрын
Glory2 GOD
@paxmyinde6890
@paxmyinde6890 2 жыл бұрын
Amen glory be to God…
@natrinemweha8625
@natrinemweha8625 2 жыл бұрын
Angel Michael at work, i love this testimony. Mtumishi mwenye ujasili mwingi, i already love her...Hii ndio channel yake??
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Hapana
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
Amen 🙏 mwendelezo doctor wa roho please nimebarikiwa
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Sawa
@Queenrinna98
@Queenrinna98 2 жыл бұрын
Wow
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 2 жыл бұрын
Kaka jacktan asnte na ubarikiwe tafadhali tusaidie n vipi tunaeza kupata vtabu vyake hyu mama
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Sifa Kwa Bwana YESU
@powerplus1933
@powerplus1933 2 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuhuda.naomba number zake.
@simonnsengiyumva1000
@simonnsengiyumva1000 2 жыл бұрын
Huyu Mama ungemwafwata , ashuhudiye mkiwa naye, itakuwa vizuri sana
@rosedzuya6869
@rosedzuya6869 2 жыл бұрын
Glory...hakuna magumu asiyoyaweza barikiwa mama
@janeysemagogwa2670
@janeysemagogwa2670 2 жыл бұрын
YESU MBABE💪 HALLELUJAH 🔥
@joyblessing191
@joyblessing191 2 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo wa ushuuda wa Mama huyu plz
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 2 жыл бұрын
Jina lake anaitwa nani? Na wapi nitapata zaidi video zake.
@beatriceingabire6169
@beatriceingabire6169 2 жыл бұрын
Mama anaitwa nani ..tunataka Video zake please
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Ushuhuda mzito na ujumbe mzito Anastahili maelfu ya watu lakn sababu injili yakweli watu hawaitaki hawajaja! ila angekuwa msanii nabii wa uongo wangejaa wanafuata majina sio Injili
@qwqw1665
@qwqw1665 2 жыл бұрын
Kweli ww ulikua mchawi laki waona mungu aliokufanyia niwakushukuru sana
@mariajili6319
@mariajili6319 2 жыл бұрын
Nasubiri kesho, mungu wetu ni mkumbwa
@georgevicent6849
@georgevicent6849 2 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 2 жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE SANAA!!!
@melisahakatu2512
@melisahakatu2512 2 жыл бұрын
Hahaha woiii amina amina
@floraflora9622
@floraflora9622 2 жыл бұрын
💯💯🇧🇮🇧🇮
@winniemartin7647
@winniemartin7647 2 жыл бұрын
Eeee Yesu tufungueee!!!!
@gracejulibong2040
@gracejulibong2040 2 жыл бұрын
dada unisadiyeko niko south Africa family niko wa Congo
@babumrisha
@babumrisha 2 жыл бұрын
Hayo majini yalotajwa hapo mbona mengine majina ya watu asee..latifa zakia sjui nn .. dah kaz kwelikwel
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Mganga masikini
@chishugiomba9810
@chishugiomba9810 2 жыл бұрын
Part 2 iko wapi jameni? Nahitaji kumusikiliza zaidi
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 2 жыл бұрын
Pia naomba kukutana na huyu Mtu WA Mungu, naomba aje kanisani kwetu Kenya.
@veeinn7965
@veeinn7965 2 жыл бұрын
Amen amen 🙏🏿
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
kama kawaida Evangelist Jacktan huanzisha Shuhuda nzito kisha channel zingine zinafuata ulikopita!!!
@feliscafelisca7985
@feliscafelisca7985 2 жыл бұрын
Number nazo
@joycengonyo7230
@joycengonyo7230 2 жыл бұрын
Aitwa Nani huyu mama??
@neemariziki9576
@neemariziki9576 2 жыл бұрын
Juice tu kaombea nusu saa nzima chakula masaa mangapi 😄😄 alafu sisi tunaomba hata sekunde haziishi kweli hatupo serious.Mungu tusaidia
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 жыл бұрын
Hii iko nusunusu huko mitandaoni natamani ingepatikana in full
@rosemongi5273
@rosemongi5273 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu wokovuni mama mlinzi wa israeli tulinde watoto wako na kila hila za yule muovu ameeni.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Doh maskini wote walikufa
@marykibwana9413
@marykibwana9413 2 жыл бұрын
Naomba namba ya Mtumishi huyu.
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 ай бұрын
Anaongea kama Rose Muhando😊
@philiposanare805
@philiposanare805 2 жыл бұрын
Jactani naomba utuletee ushuhuda wa huyu mtumishi wa mungu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Sawa
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 2 жыл бұрын
Nadhani huyu mtumishi unge mfuata ingekuwa nzri mnoo
@marymary8313
@marymary8313 2 жыл бұрын
Aky uchawi ni mbaya
@bumikasege3088
@bumikasege3088 2 жыл бұрын
JINA LA YESU JINA LINALOPITA MAJINA YOTE
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Ukimwi siyo uchawi
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 87 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,7 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 45 МЛН
'Niliteuliwa nikiwa mwaka wa pili chuoni sitasahau maishani'
14:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 142 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 87 МЛН