S1EP1_USHUHUDA WA PROF.UZORMA ALIYEKUWA MKUU WA WACHAWI SASA AMEOKOKA

  Рет қаралды 30,128

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 85
@harimmdahe5616
@harimmdahe5616 2 жыл бұрын
Yesu Kristo ndiye uzima wetu,na ndiye MUNGU wetu mkuu sana,mamlaka ya giza haitatushinda kwa jina la Yesu Kristo.ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Kwa ushuhuda wa kututia moyo tuzidi kumtafuta Bwana na kukesha Kwa maombi
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Amen Yesu na apewe sifa
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 3 жыл бұрын
Napenda sana na huyo mtu wa Mungu Ike nimemsoma na nimebarikiwa sana
@alexndambukiemmanuel3894
@alexndambukiemmanuel3894 3 жыл бұрын
Natokea Mombasa ila kwa hivi sasa nipo Nairobi huko kulikokuwa kwatoka huo moshi kwa ajili ya maombi ya hao ndugu watano. Ama kweli Jina la Yesu linazo nguvu. Wafilipi 2:10, kila goti litapigwa kwa jina la Yesu... Barikiwa Sana mtangazaji kwa juhudi zako...
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 Жыл бұрын
GOD HAVE MERCY FULL
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu sana asante kwa ushuhuda huu kwa kweli unafunza
@benogechi5329
@benogechi5329 3 жыл бұрын
A
@navokisembo
@navokisembo 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu Jactan
@faithsia217
@faithsia217 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu.
@selemanmwaisela4733
@selemanmwaisela4733 3 жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi wa mungu wa mbinguni 🙏🙏
@aishakilimba5938
@aishakilimba5938 3 жыл бұрын
Barikiwa na BWANA 🙏
@bonnybernad
@bonnybernad 3 жыл бұрын
Hakika Mungu Baba, Yesu Kristo na Roho matakatifu watukuzwe kwa kuiamsha hii yako huduma. Maana hakika kupitia hizi shuhuda tunajaliwa macho ya rohoni na ufahamu kamili wa kiroho juu ya siri nzito na mikakati kamilifu ya ulimwengu si tu wa kiza bali hata wa nuru. Kwa jina takatifu la Kristo Yesu aishie na kutawala hata yote milele, 'Pokea NGUVU, ULINZI, REHEMA NA NEEMA na yote mengineyo yapasayo ili hii huduma kuweza songa mbela kila itwapo leo'.
@denismugisha2
@denismugisha2 11 ай бұрын
MUNGU Baba, Roho mtakatifu, Yesu kristo ndiye MUNGU mmoja hivyo usiseme watukuzwe kana kwamba ni wengi....sema atukuzwe kana kwamba ni mmoja tu.
@denismugisha2
@denismugisha2 11 ай бұрын
Atukuzwe MUNGU Baba,mwana na Roho mtakatifu
@caromuthii5663
@caromuthii5663 2 жыл бұрын
Shetani ashindwe katika kina la yesu ashindwe
@bonnybernad
@bonnybernad 3 жыл бұрын
Jacktan a.k.a Dr. wa roho, tafadhali naomba kufahamu jina ya melody/background song tafadhali. Kwakua ni mda sasa umenigusa na kutamani sana kuujua. Tafadhali sana
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
Listening keenly.. Part 2 please.
@piusmtwale9491
@piusmtwale9491 3 жыл бұрын
Hakika Kama umeupata Sana ushuuda wa huyu mtumishi hakika naamni watu watabalikiwa Sana mm Nina vitabu vyake Mungu akubaliki Sana jacktan
@everlinekemunto2700
@everlinekemunto2700 3 жыл бұрын
Asante nimejifunza mengi, leteni part 2
@esthernyoka3780
@esthernyoka3780 3 жыл бұрын
Upo kila coner mrembo pamoja sana
@hajiriyoramkiyogela3384
@hajiriyoramkiyogela3384 3 жыл бұрын
God bless you all.Indeed we have learn something.
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 Жыл бұрын
GOD HAVECY MERCYFULL
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 Жыл бұрын
FROM KENYA
@mkumbosamson7981
@mkumbosamson7981 3 жыл бұрын
Asante sana
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Amen
@mushialfa1685
@mushialfa1685 3 жыл бұрын
Nzur sana
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Amen Amen
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Thank You Man Of God
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
Yaani asimulie mwenyewe au jacktan ushuhuda unaeleweka vema
@davidmaina797
@davidmaina797 3 жыл бұрын
Nitanunua kitabu wapi
@henrymatebe1492
@henrymatebe1492 3 жыл бұрын
Ryne salewa hii siyo the story book .huyu mtumishi Iyke Nathan ozoma ni baba yangu wa kiroho wa muda mrefu amenifundisha vitu vingi sana Niliwahi enda kwake toka Tz mpaka warri aliko Ni mtu huyu ni wakujifunza kutoka kwake ni hazina kubwa
@joycelukumay4957
@joycelukumay4957 2 жыл бұрын
Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Siri z mbinguni
@simbawayuda2328
@simbawayuda2328 3 жыл бұрын
Nimejifunza jambo hapo
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
AMEEN
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 Жыл бұрын
May God be the Glory Amen
@venancezumba202
@venancezumba202 3 жыл бұрын
tuko pamoja doctor "kutoka chunya
@newforcejv9721
@newforcejv9721 3 жыл бұрын
Hapo wanakuchukia Vyakutosha walengwa
@samsonmgonja4014
@samsonmgonja4014 3 жыл бұрын
Ni muhubiri 12;6-7
@captainlufumbe1597
@captainlufumbe1597 3 жыл бұрын
Asante kwa msitari
@tumsifushoo6400
@tumsifushoo6400 3 жыл бұрын
mbona kwenye biblia hamna Mhubiri 16:6-7 inayosemwa?sura ya mwisho ni 12.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ni makosa tu ya kimatamshi,ila hakuna tuliponukuu nje ya biblia.Asante
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Hii shuhuda ingenoga Sana kama angelihadithia mwenyewe
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
Jacktan anaeleweka sana pia,si lazima atoe mhusika mwenyewe
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 3 жыл бұрын
Mwenyewe kasimulia kingereza unaweza utafuta
@venancezumba202
@venancezumba202 3 жыл бұрын
Tunasuir no2 Kwa ham
@dynesssteve7532
@dynesssteve7532 3 жыл бұрын
Siajieleze mwenyewe
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Hujaelewa wapi ndugu tukusaidie
@azizaz1628
@azizaz1628 3 жыл бұрын
Musafiri muache aeleze mwenyewe
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Lakini hazungumzi kiswahili
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Sisi hatujui kinaigeria msafiri anatusaidia
@fayfay8111
@fayfay8111 3 жыл бұрын
Hakuna mhubiri mlango wa 16?!
@aysherkitoi1845
@aysherkitoi1845 3 жыл бұрын
Sasa nini mana ya ushuhuda si mtu mwenyewe anatakiwa aseme mwenyewe
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Huyu haongei kishwahili ni mnigeria, ushuhuda wake ni wa kiingereza tumeutafsiri na kuusimulia ili wengi waelewe,angekuwa anafahamu kishwahili ungemsikia mwenyewe anasimulia
@aysherkitoi1845
@aysherkitoi1845 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz aaah ok kwl kbs sorry
@paulinerathgeber1045
@paulinerathgeber1045 3 жыл бұрын
Jaktan wapi huyu msomi? Yuaja leo ama!!!!
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Hivi karibuni
@rynesawaya7043
@rynesawaya7043 3 жыл бұрын
The story book
@dekathuva6443
@dekathuva6443 3 жыл бұрын
Ecclesiastes hakuna 16
@mahomamahoma1858
@mahomamahoma1858 3 жыл бұрын
Jacktani nitapataje icho kitabu chake
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ndio vitabu vyake vipo
@mahomamahoma1858
@mahomamahoma1858 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz nitakipataje na shilling ngp
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Uko wapi wewe
@mahomamahoma1858
@mahomamahoma1858 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz Nipo Kigoma
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Kigoma havipo mpaka uagize Mwanza au Dar
@allyawadh8492
@allyawadh8492 3 жыл бұрын
Wakristo bwana yaani inaonekana dini yenu inaendeshwa na ushuhuda na sio na biblia inavyoonekana wakristo wanaamini sana shuhuda kuliko biblia yenu,kingine ninachokiona wakristo wengi ni wachawi sababu kila unaposikia shuhuda basi utasikia akisema alikuwa mchawi inamaana kuna wakristo wengi wachawi,kingine huyo jamaa alichokifanya ameruka maji amekanyaga tope kwasababu huo ukristo wenyewe ni dini ya shetani naukitaka kujua fatilia kwa umakini yale yote yalokatazwa na mungu kwenye ukristo yote ni ruhsa kwahiyo huyo jamaa bado anamtumikia shetani katika njia nyingine.
@jackmichael1953
@jackmichael1953 3 жыл бұрын
tusubiri siku ya mwisho ndio tutajua ipi ni ya kweli, hata hivyo kumbuka hakuna dini inayompeleka mbinguni ila ni Imani (unayemwamini) inayokufanya uende mbinguni. Ikumbukwe pia kuwa uchawi ni imani na sio dini hivyo ametoka kwenye imani hiyo amemuamini YESU KRISTO na kuokaka.
@neemanyove3151
@neemanyove3151 3 жыл бұрын
Pole natamani ujue ukweli umwamini yesu Kristo ili akuokoe na dhahama ijayo
@petermageta4987
@petermageta4987 3 жыл бұрын
Wewe ni huweleki chochote, kaa barazani ufundishwe
@frolacharles6788
@frolacharles6788 3 жыл бұрын
Yani Wewe MUNGU akusamehe
@goodlucklendey1722
@goodlucklendey1722 3 жыл бұрын
Uwezi kuona ushuuda msikiti kama hii maana amna yesu aokoae ndio maana waislamu baazi wanaokoka pia na kusema abali za yesu labda nkwambie ushuuda nkama kuwakumbusha watu wapate kuamasika kukuaa vizuri katka imani na kujifuza mambo ambayo watu wengene awa yajui muombe mungu akusaidie
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 70 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 23 МЛН
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 381 М.
KUFAHAMU HEKIMA YA MUNGU KWAJILI YA ULINZI WAKO - PASTOR GEORGE MUKABWA
2:00:21
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 87 М.