Proud to be a Christian, njoo kwa YESU mpate pumziko
@adrianoscar1974 Жыл бұрын
Yesu ni Mfalme wa wafalme. Yesu tawala ushuhuda huu ukaokoe wengi
@njockjanes3897 Жыл бұрын
Amina mungu akutie nguvu uwezekumtumikia kwa himani
@beingkeemie264 жыл бұрын
I like the way he says the living name of Jesus christ... Yani yesu kristu aliyehai.. Be blessed
@sarahabdulatif73914 жыл бұрын
Wamwisho watakuwa wakwanza hongera Mtangaze Bwana Kwaviwango vyajuu sana ulinzi ndani ya Yesu niwauhakika
@reemamwangi91924 жыл бұрын
Yesu Asante kwa Kuwa upo kama wakati WA Paulo, Imani yangu imeongezeka zaidi🙏
@sheillahwairai46913 жыл бұрын
Addishababu wanao tusumbua Kenya, Eeeh baba wa mbinguni JESUS CHRIST naomba utuonekanie. Asante kwa ushuhuda huu mungu akubariki sana
@titinmbega41284 жыл бұрын
Huu ushuhuda unatoa mtu kiwango na kupeleke kiwango kingine cha kuzidi kumtafuta MUNGU kwa Bidii. 🙇♀️🙇♀️. Barikiwa sana Mtumishi na jactan pia Mungu akuinue kwa kazi hii
@barakajacobs45394 жыл бұрын
Praise God,here we goo. Whoever is reading this, whatever you are going through be patient and wait upon the LORD,He has heard your prayers and He says when the time is right,I will do it swiftly.It shall be well with you, You are blessed in Jesus name.Amen
@twaibumikidadi73774 жыл бұрын
Jesus is not God Jesus is a prophet who sent by God to the Earth Huyu jamaa n muongo sanaa duniani hakuna kuokoka wapi umepata ktk bible kuwa kunakuokoa na wapi ktk bible yesu anasema ' mm ni mungu' hiz n story watu wanafındshwa tu vyuo maaalum kama mnavyotengeneza vilema fake! ww ulıkuwa mchawi tu usitımie sura hiyo et kusema nilkuwa muislamu ! Huwez kumdanganya mtu! planed and taught stories aime to misslead people from the right way!. kiarabu hujui wewe hakuna ktk kiarabu neno babu hidiyat wala babu nisan huyu jamaaa n totally lier Hahahahahajahahah
@luciasimeo21703 жыл бұрын
@@twaibumikidadi7377 Unanifurahisha sana unavyo ongea na kulahani ayo majini, kwamba yalaaniwe kwa jina la Yesu.
@carolinederi56902 жыл бұрын
@@twaibumikidadi7377 Aujui usemalo Mungu akusamehe
@herriethtz98332 ай бұрын
Yesu ndio njia pekee yakufika mbinguni waislam mnajaribu kupindisha lakni ata Quran inasema Yesu ndio njia Sahihi @@twaibumikidadi7377
@carolynadhiambo25434 жыл бұрын
Barikiwa sana Na Mungu jacktan,huyu mtumishi anaonge vizuri sana napia anaeleza mambo taratibu vizuri yani nirahisi kuelewa
@SarahShao-jw1upАй бұрын
YESU Asante kwa kutuokoa, kutulinda na kutuhifadhi hai......🙏🙏🙏🙏 Asante sana YESU! Mtumishi umetushangaza!!! Lakini tumejifunza na tuna ujasiri wa ajabu katika YESU TUNAEMWABUDU! ❤❤❤❤YESU❤❤❤
@eastcuisines1244 жыл бұрын
Haleluya ooh Mungu asante kwa upendo wako, asante kwa kulikusanya kundi lako hata kwa wale ambao walikua hawalitaji jina lako
@franklinkajange15844 жыл бұрын
hakika yesu ni bwana
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Hallelujah
@azizasaid76604 жыл бұрын
😂😂😂
@adriandanford2084 жыл бұрын
Groly to god
@christinengumbao9934 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa ushuhunda jina la bwana libarikiwe milele yote amen
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah asante Bwana kwa nguvu na mamlaka uliyo tupa asante Mtumishi wa Bwana kwa ushuhuda wako maana unabadilisha hata wasio mjua Yesu
@florasingano58594 жыл бұрын
Asante Jactani mtumishi wa Bwana,shuhuda hizi zinatujenga,keep it up bro..
@bonniebaraka4 жыл бұрын
Big Up Jactan , hili ni boooooooonge la ushuhuda. Kazi nzuri sana hii umefanya
@tabithakawira78442 жыл бұрын
Mungu ni mwema ak anaokoa
@melemmele2944 жыл бұрын
Yesu ndio kiboko yao.
@carolgitonga13714 жыл бұрын
God bless you, this is really eye opening..
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
1 Petro 1 5 Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho. Hakuna kuokoka duniani kuokoa ni siku ya mwisho
@blessedlovedandfavoured41294 жыл бұрын
The Lord bless you jactan... Na mtumishi wa Mungu Bwana azidi kumlinda
@blessedlovedandfavoured41294 жыл бұрын
Sir mbona notifications haziji.. Kwa account yako video hizi hazipo hadi mtu afuatilie kule whatapp... Ndio imwelekeze huku
@PromovertvTz4 жыл бұрын
The videos are not yet public, it is always starts to be available only for our members especially on WhatsApp.
@deodarius85134 жыл бұрын
@@PromovertvTz Kaka Jacktan, tafadhari naomba umtafute Dr. Paul Hussein Mubarak. Anaushuhuda mkubwa utakao gusa maisha ya watu wengi. Kuna baadhi ya video zake chache humu KZbin. Ubarikiwe Sana.
@kmwendemusic53794 жыл бұрын
Amechoka kweli kweli ila amejitahidi ili tuelimike.. Mungu akulinde na akupe nguvu kweli dunia rangi rangile
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Tuwaombee watoto wetu sana wasikutane na walimu wamafunzo mabaya kama alio kutana nae mtumishi huyu
@carolinetalam58324 жыл бұрын
Powerful testimony thanks for sharing
@sallygrace14954 жыл бұрын
Praise the Lord Jesus Christ Of Nazareth. Let we surrender our lives to Jesus our Savior✝️ 🙏
@annewanjiku524 жыл бұрын
Nimesoma kusamehe na kuwaombea wanikoseae asante kwa huu ushuhunda umenisomesha mkubwa thank you Jesus Christ
@thelonewolf44294 жыл бұрын
Yaani jina la YESU daah achatu aishi milele Wala akuna chairizi wala sjuw udi KULITAMKA basi pepo zote nduki... YESU UISHI MILELE
@dorahndanguzi98927 ай бұрын
Nafurahia kumtumikia na kumwabudu Mungu wa kweli
@mathewrongorongo88414 жыл бұрын
Ndugu zangu kwakeli kwa YESU kuna rahaaaa wewe ambae bado njoo kwa YESU upate raha
@beatricenjine87494 жыл бұрын
Thank you jesus for the salvation of his soul
@estherngendo54712 жыл бұрын
Asante sana kwa kutufunulia siri
@richwchrstofer14402 жыл бұрын
Amen mtumishii wa mungu
@sheillahwairai46913 жыл бұрын
Asante kwa mungu, for He loves everyone one. Welcome we love you
@deodarius85134 жыл бұрын
Kaka Jacktan, tafadhari naomba umtafute Dr. Paul Hussein Mubarak. Anaushuhuda mkubwa utakao gusa maisha ya watu wengi. Kuna baadhi ya video zake chache humu KZbin. Ubarikiwe Sana.
@abdalahsuleiman89893 жыл бұрын
Huu ni uongo na huyo Hussen mubaraka niliongo zaid tazama vizuri
@sallygrace14954 жыл бұрын
God gives us Authority to use, fear not... Holy Ghost 🔥
@mercyjesus66374 жыл бұрын
Jactan lete shuhuda nyingi tuuuu,YESU juúuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@waimani55504 жыл бұрын
JactaniMsafiri Barikiwa sana kwa kuteletea hizi shuhuda, naomba muulize swali mtumishi, kwenye maelezo yake ya awali amesema majini ni malaika waasi, swali je malaika wanaoa na na kupata watoto kwa maana ya kuzaa? nashukuru sana mtumishi.
@yunusramadhan25464 жыл бұрын
Iliujua kuwa huyo jamaa ni jiringo tangia lini jini akawa malaika ?kwanza malaika hawana sifa ya uasi hata siku moja achaungo ww sasa tutakuamini ww au Mungu maana Mungu asema malaika hawa muasi mungu ila hufanya yale walio amrishwa na Mungu
@bonykaulagwa2688 Жыл бұрын
Ukitaka kujua vizuri soma kitabu cha mwanzo, kuna habari za wana wa Mungu walipo wapenda binti za wanadamu baada ya hapo walizaa watu wanaoitwa wanefili em soma utaelewa au utapata kitu
@annewanjiku524 жыл бұрын
Wewe ulinaswa Kama Saul wakati alikuwa anaenda kuwaua wakrito ghafula mbin huu akaangushwa kwa radi kutoka kwa panda au farasi alimo kuwa ameipanda kwenda zake kuwauwa wakristo Roho wa yesu akamnasa na badaye akagizwa atakaye enda kumuombea kweli nimeamini mungu anatuona kwanzia kwa mawanzo na mipango yote tunaikusudia kufanya, jina la Yesu kristo lipewe sifa Amen
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Jina la Yesu lina nguvu kweli kweli Mungu anakutumia
@yunusramadhan25464 жыл бұрын
Yesu jina lake lina nguvu gani ww mshamba tu
@otacyndula54914 жыл бұрын
@@yunusramadhan2546 huwezi kuingia mbinguni bila kumkubali Yesu
@azizasaid76604 жыл бұрын
@@otacyndula5491 😂😂😂😂ndo mnadanganyana
@otacyndula54914 жыл бұрын
@@azizasaid7660 Utakuja kujua ukweli tu,,, ipo siku . Na utakiri hatakama hutaki
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
@@azizasaid7660 Yesu Ni njia kweli na uzima, ya kwenda mbinguni,
@lilianfelekeni77714 жыл бұрын
Mighty God bless you and protect you
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
Praise God if God says yes nobody can say no Jesus is the way the truth and life ata Waislam wanajua ndie atakuja in the judgment day
@pinogreentv43374 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo maana Imani yangu imeinuka Zaidi ya mwanzo
@maryamnjagila38963 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe💥
@marysteven6054 жыл бұрын
Anaongea Kwa utulivu Sana,hongera mtumish,Mimi nakuelewa vzr sn,mungu akubark
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Marko 13 13 Nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu; lakini mwenye kusaburi hata mwisho, ndiye atakayeokoka. Siku ya mwisho usipo ingia kwenye moto ndio utakuwa umeokoka hakuna kuokoa duniani
@nemaodhiambo72744 жыл бұрын
Jacktan ninabarikiwa sana na shuhuda zako Mungu wa mbinguni akubariki sana sana
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Ameen
@glorianishimwe15874 жыл бұрын
Asante sana mutumishi ubarikiw saana
@reginakarambu11362 жыл бұрын
Asifiwe Yesu Sana
@frankshalula65044 жыл бұрын
Je mtumishi huyu wa bwana kafungua kanisa hapa kahama kwan nimependa shuhuda zak na nimejfunza jambo kubwa san kwake
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Waislam Mungu anawaona ipo siku utaamini
@yunusramadhan25464 жыл бұрын
Hilo sahau huyo kafiri tu kafuata pesa huyo hata sio ustadh lolote mzushitu huyo Allah anakuona ww mnafiq waongea uongo hali yakuwa wajua wadanganya
@@yunusramadhan2546 ata hapo ulipo una majini. Mkiri Yesu
@yunusramadhan25464 жыл бұрын
Siwezi semeshana namtu ambae hufuata dini ambayo yeyewe haiwexi kujitetea
@abbyadams86914 жыл бұрын
@@yunusramadhan2546 Shekh kamaliza kila kitu kama hujaelewa hilo ni tatizo la mafundisho uliyokalilishwa
@alydjuma30823 жыл бұрын
Amen mutumishi
@drnow15284 жыл бұрын
Kweli Yesu pekee ndio jawabu
@JaneKuyokwa-ng2qf2 ай бұрын
Walokole mupo mungu nimwema sikuzote
@judithauma7833 Жыл бұрын
Jesus rule forever
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
2Wakoritho11:14 wala siajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@azizasaid76604 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 bwana wako
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
@@azizasaid7660 ndio my Lord kwa kizungu kama una akili mgando
@yeshuasweapon43843 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 alikimbia shule
@kadunawewe72483 жыл бұрын
Ameen .mtumishi
@hamisikitwana79574 жыл бұрын
Ujatamboa ustadhi na Sheikh ni MTU gani ustadhi ni Mwalimu kwa kiaarabu na Sheikh ni MTU mzima mwenye Busara
@ilhamswaleh34283 жыл бұрын
Sifa zote Hana hata kiarabu hajui hata Aya anaungaunga
@enuelabunimkali95294 жыл бұрын
Yo me amo yesu masiah
@brianfave60924 жыл бұрын
Blood of Jesus
@tantinemwemendi87903 жыл бұрын
Amen
@JamallyHMlela4 жыл бұрын
Kwa wakristo pesa IPO ,kuweni lakini aina hii ya watu wanavutwa na pesa,huyu aliku mganga Wa vitabu vya kiarabu kaona uganga haulipi sasa anasema ameokoka.
@erickmislakuba41364 жыл бұрын
Hyo pesa wanapewa nanan? ukipata Bahat kama alioipata Amir utajutia mawazo yako potofu,
@erickmislakuba41364 жыл бұрын
Then nawashangaa nyie waislam!!!!!!!!! Why fikra zenu zimeangukia kwenye kuaza pesa? Ndio maana hata sadaka zenu na dhaka zenu ni mashaka matupu!!!!!
@AndrewKundya Жыл бұрын
Ninyi Majini si ndugu zenu
@nizaelluka6274 жыл бұрын
Rahaa kwa yesu
@nathanaelkiswili76262 жыл бұрын
Maisha yanabadilika ubarikiwe mtumishi
@selemanali50534 жыл бұрын
Unayo sema yote Quan imezunguza sema kuna watu wanatabia mbovu kama hizo
@ramadhanwilbard46854 жыл бұрын
Huyu jamaa anachafua Wislamu kupitia watu wasioelewa,kwa ufupi huyu alikuwa wimbi la wachawi sasa anataka kuhusisha uislamu na uchawi.
@JamallyHMlela4 жыл бұрын
Siku hizi watu hawaaminiki wapo kifedha zaidi,wakristo chunguzeni hawa watu la sivyo mtajikoroga kumbe wenzenu wanataka pesa tu,maisha magumu .waislam hawatoi pesa lakini kwa wakristo pesa IPO .kuweni makini
@abubakarimshahara35283 жыл бұрын
Kama Yesu kafa msalabani na dhambi zenu zimekwishwa, mnahangaika nini sasa makanisani kwanini msitulie msubili siku ya mwisho, maana nyinyi dhambi hamna, Yesu hawezi kufa msalabani hata siku moja maana ni kifo cha laana, someni biblia zenu vizuri,msitegemee story zao, maisha yakiwa magumu wanakimbilia sehem ambako sadaka ziko njenje, na huko fursa ya kufungua msikiti upige hela haipo, huyu Amir ni mganga na mchawi wa kawaida Kama wachawi na waganga wengine asisingizie kitu, ushauri wangu chukua biblia yako soma vizuri, Yesu huyu mnae mhubiri Wala wakristo hawajawahi kufuta mafundisho hata siku moja, na siku Yesu akirudi atawakataa wote nyie, maana hamfuati mafundisho yake, mnafuta Paulo ambae ndio mpiga mafunzo ya Yesu mkubwa, someni msitegemee story za wenye njaa,
@shedrackmathias21383 жыл бұрын
Amina kwa kutambua huyo nimchawi katka kristo Yesu maana wote walio mpokea aliwapa uwezo kuwa wana wa Mungu
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
Abubakar kwa Yesu kila goti litapigwa
@AndrewKundya Жыл бұрын
Kwanini hamtaki tujue ukweli, ninyi Majini ni ndugu zenu
@servantofgod43404 ай бұрын
Eti someni BIBLIA zenu😂 aliewaambia WAKRISTO hawasom8 BIBLIA ni nani?? Endeleeni kudanganywa na mashehe wenu.
@الوردالورد-ز4غ4 жыл бұрын
Eeh ilikua sawa atoe mtoto wake siyeye ndie alikutuma huko
@cynthianawambugha76634 жыл бұрын
It is 13 hours now wapi part 4
@PromovertvTz4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/o4CppYugYph8mdk
@cynthianawambugha76634 жыл бұрын
@@PromovertvTz thank you
@ramadhanwilbard46854 жыл бұрын
Sisi wanadamu sio watoto wa mungu koma kabisa;mwenyezi mungu hana mtoto bali sisi ni viumbe wake katuumba!
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
Sisi ni watoto wa Mungu uchungu unakuma Yeah ni BwAnA
@bennyngoye87074 жыл бұрын
Sasa kama amekuumba inakuaje usiwe mtoto wake,au tatizo ni kuelewa.(mtoto mpaka azaliwe nini)
@ramadhanwilbard46854 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 Sisi wanadamu ni viumbe wa mwenyezi mungu ambao chimbuko letu ni baba yetu Nabii Adamu mtume wa kwanza wa mwenyezi mungu akishirikiana na mama yetu Hawa;mwenyezi mungu hana ndugu,hana mtoto,hana ukoo,hana mke na hakuna anayemjua yuko je;Yeye anaumba hazai ni sawa sawa na ww ukijenga nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe hiyo nyumba unahita mtoto wako?Ili upate mtoto lazima ufanye kumuingilia mke wako apate ujauzito azae yule mtoto unamhita mwanao;sijui unanielewa vizuri?Mwenyezi mungu hana mfano wake kaisha sema ktk Quruani tunatakiwa kumsujudia hivyo hivyo bila kumshirikisha na chochote!
@ramadhanwilbard46854 жыл бұрын
@@bennyngoye8707 Ww kuelewa kwako ni kugumu sana lakini utaelewa tu;Hakuna awezaye kujua mwisho wa ujuzi wa mwenyezi mungu make kaumba viumbe mbali mbali hivyo,kaumba binadamu,kaumba mimea,kaumba dunia na vilivyombo kama bahari, moto,mabonde, milima na kadharika,kaumba majini,kaumba nyota,kaumba sayari mbalimbali,kaumba mbingu 7 na vingine vingi sana,kwahiyo kwa akili zako pamoja na mafundisho yako na imani yako kwakua unaamini sisi ni watoto wake kwahiyo hata wanyama,milima,nyoka,punda,nguruwe, kuku, bata,minyoo ni ndugu zetu?make yeye ndiye muhuumba wa vyote?Sisi waislamu dini sio ya Shekhe wa ustath dini ni mali ya kila mwislamu ana haki ya kutetea dini ya mwenyezi mungu ndiyo kila mtoto mdogo anapitia madarasa ili hasije kupotoshwa na viongozi wetu wanaosimamia Quruani na kuifundisha tumeimizwa kuwaheshimu na sio kuwaabudu na ndiyo watu bora kwake mwenyezi mungu!
@bennyngoye87074 жыл бұрын
No comment bro.
@nicolausmosesi18394 жыл бұрын
Waambie hao waislam wajue
@ramadhanwilbard46854 жыл бұрын
Ww unachokiandika hujui unacho andika
@yeshuasweapon43843 жыл бұрын
@@ramadhanwilbard4685 mwache ana Uhuru wa kusema
@Ali-ui7qh3 жыл бұрын
NJAA IMEKUTOA AKILI MUONGO WW ATAHICHO KIARABU HUJUI SIO TAFSIRI YAKE HIVYO
@AndrewKundya Жыл бұрын
Panicking 😂
@merryn.mwambene29454 жыл бұрын
Niya whatsapp
@egospeltz94864 жыл бұрын
Super
@drnow15284 жыл бұрын
Kweli Yesu pekee ndio jawabu
@azizasaid76604 жыл бұрын
Njaa mbaya sana wallah
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Yaani mwenzio kapatwa na shida kwenye mambo yake ya giza Yesu kamuokoa, sasa asiseme ukweli? Jua dada Yesu utakutana naye tu hata umkimbie vipi
@hildamassanja84833 жыл бұрын
Kwahiyo kule ndiyo kunanjaa
@azizasaid76603 жыл бұрын
@@hildamassanja8483 njaa ndo inamsumbua
@azizasaid76603 жыл бұрын
@@lilianluhasi5053 nikutane nae wapi ww kaa kushoto kwanza
@AndrewKundya Жыл бұрын
Ukweli mchungu sana😂....ninyi mnapenda sana kukshfu Imani za watu, leo mmepatikana
@annewanjiku524 жыл бұрын
Kwahivyo sio kila muslam anajini na mambo ya kuuwa wakrito?
@sadikfarhan254 жыл бұрын
ili jamaa pumbavu sana watu wanasilimu yeye ndo linajitapa sababu limeritad ama kweli bado duniani kuna wajinga waliopindukia mipaka
@lilianlilian64584 жыл бұрын
Mbon nyie waislam wagomv sana aache kusema ukwel unataka aseme nn
@AliMohamed-kd1uc4 жыл бұрын
Wote tulikuwa huko na tumeujua ukweli na kumrudia YESU . YESU ndo njia ukweli na uzima.
@suzansuzanei11433 жыл бұрын
@@AliMohamed-kd1uc kabisa ni vizuri umeujua ukweli
@elizabethamon74542 жыл бұрын
Watafunguka tu taratibu
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
Wengine wanakasirika hawapendi tujue habari za majini.Sijui wana uhusiano gani na hawa viumbe