No video

MCH.AKERWA MKOA WA SIMIYU TZ KUKABIDHIWA KWA WAGANGA WAJADI,AONYA"UMEKABIDHIWA KWASHETANI TUWAOMBEE"

  Рет қаралды 6,975

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 36
@HalenBahati
@HalenBahati Ай бұрын
Waachie kwa jina la Yesu Kristo
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 Ай бұрын
Maneno yenye nguvu ya Mungu aliye hai aishuye milele!
@user-28Gerardineakimana
@user-28Gerardineakimana Ай бұрын
Hallelujah hallelujah Amen Amen
@JeremiaShimba-cq8mq
@JeremiaShimba-cq8mq Ай бұрын
Mmmm ase Usalama wetu ni YESU!
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 Ай бұрын
Ila Yesu amponye dah😊
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Ай бұрын
Shalom! Hii Imeenda
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 Ай бұрын
Ubarikiwe. Kamanda wa yesu
@elizabethawuor5402
@elizabethawuor5402 Ай бұрын
Asifiwe yesu nisaidie maombi Kwa ajili ya mtoto wangu anapata zero yuko sekondari ninafanyakazi ngumu yamjengo ukiomba najua atafungukiwa Mimi nimkenya niliona Kwa KZbin ukiombea watu na Mimi nilikuwa mgonjwa sana wewe ukasema kilamtu na awe na imani hatakama uko mbali kweli nilibeba Imani ulipo maliza maombi nika pokea uponyaji nikawa mzima u arikiwe sana nimekuwa kiroho Kwa ajili ya kusikia mahubiri yako Niko nawenzangu tuna barikiwa sana mungu azidi kukubariki Nina roho ya uchungu sana nikiona wenzangu wamenishindawale tulio anzanao maisha naumia sababu Niko nyuma sana niombe na Mimi mungu anisaidie nifanye kazi yake na ukweli mtupu
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 Ай бұрын
Kutoka Kenya nami nafuatilia Sana...mkoa Wa simiyu TZ MUNGU auokoe
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf Ай бұрын
Amen amen mtumishi wamungu
@wemangota8945
@wemangota8945 Ай бұрын
mungu atusaidie
@NeemaSulle
@NeemaSulle Ай бұрын
Naomba namba ya MCH KATEKELA iwekwe humu kwa mawasiliano
@AlbethAlbeth-wh6qd
@AlbethAlbeth-wh6qd Ай бұрын
Amina pasta
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf Ай бұрын
Hayo yote yataisha kwa walokole kujaa Roho Mt sana tu.
@PaulinaMajengo
@PaulinaMajengo Ай бұрын
Nataman sana huyu mama aliyeharibiwa miguu aje atoe ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu wetu
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 Ай бұрын
Pole
@ZawadiDaudi-js7wl
@ZawadiDaudi-js7wl Ай бұрын
Ameeeeeeen
@eunicekileo
@eunicekileo Ай бұрын
Watuache hiyo miungu haikuwasaidia hawakujenga' hawakusoma' hawakula vizuri halafu mnakabidhi watu kwao lli iweje
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 Ай бұрын
Maumivu Sana jamani dah
@SelemanZakalia
@SelemanZakalia Ай бұрын
Bendeara chuma mlingot chuma wachane mutumishi
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 Ай бұрын
YAANI KACHEMKA KWELI SHETANI AMEPEWA KIBALI
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh Ай бұрын
Wapigwe
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Ай бұрын
Ivi jamani nampataje huyu mtumishi wa Mungu, tafadhari nisaidieni namba yake
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 Ай бұрын
Ingia group yake Ya watasspp
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Ай бұрын
@@anthonymaina7100 kupitia namba ipi?
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 Ай бұрын
NI KWELI MGANGA NI MCHAWI KABISA
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu Ай бұрын
Kabisa kabisa
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb Ай бұрын
Huyo mkuu wa huo mkoa ndiye amepata majanga ya .... na yule mwana chuo!!
@tadeymdota8480
@tadeymdota8480 Ай бұрын
Hapana huyu ndiyo kachukua nafasi ya yule, huyu anaitwa Kihongosi
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb Ай бұрын
@@tadeymdota8480 ooh! Ahsante kwa kunijulisha! Hata aliyeondoka pia alikua tatizo kwa hiyo scandal iliyomwondoa! Mungu auponye Mkoa wa Simiyu.
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 Ай бұрын
Baba Babu zako walitibiwa wapi acha ujinga wewe
@user-dz3rl1ki6u
@user-dz3rl1ki6u Ай бұрын
Shetani mkubwa hujielewi nyamaza
@E.emillymillyBlessings
@E.emillymillyBlessings Ай бұрын
Mbona ikifika kwa maombi mnakata jamani naomba mwache kwa maombi tuombe pia pamoja tunakombolewa hakika
@rosekishinhi8246
@rosekishinhi8246 Ай бұрын
True, hiyo ni muhimu saaanaaaa
@E.emillymillyBlessings
@E.emillymillyBlessings Ай бұрын
@@rosekishinhi8246 ndio please promover tunaomba mwajie sehemu ya maombi tunaitaji kukombolewa pia
@user-hz8mp5cp7v
@user-hz8mp5cp7v Ай бұрын
Mwambie huyo mch katekela apokee simu yangu, kwani nimemkosea Nini?.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 539 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 4 МЛН
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 423 М.
Sikiliza Shuhuda Hizi 4, ya Mwisho Inasikitisha  | Rev. Dr. Eliona Kimaro
9:13
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 9 М.