Mm huyu mtumishi Adamu amenifundisha sana na nimepata picha ya tathimini ya maisha yangu ...Mungu ambariki sana mtumishi Adamu na mtafsiri wake pamoja na promover tv
@flourishing_wilderness60729 ай бұрын
Kama una roho mtakatifu hizi nyimbo utazijua, hazipeleki hisia zako kwenye toba na kumtafuta Mungu katika utakatifu bali unapata hisia tu zakuburudishwa (spiritual sleeping peel) , saa nyingine zimebeba hisia za huzuni, unahisi kujihesabia haki, zinaamsha kiburi na kumfanya mkristo arizike na hali yake ya kiroho Edit: Pia hizi nyimbo zinatabia ya kuchuja; muda wake wakuvuma ukishapita haileti hamu kuisikiliza, inakuwa very empty haifai tena kwa nafsi lakini wimbo uliovuviwa na roho Mtakatifu HAUCHUJI KAMWE. Unaweza ukaisikiliza 20 yrs later na bado ukasikia ule uwepo/hamu ya kuwa karibu na Mungu au kuacha uovu au kutiwa moyo. Ushawai kupitia mahali pagumu ukamkumbuka Mungu naye akakukumbusha wimbo flani wa zamani, hata kama ni wa kitabu alafu ulipousikiliza au kuuimba ukasikia amani!
@gosbertmuta54219 ай бұрын
We dada una rohomtakatifu dana ase umeeleza vzr mnoooooooo mpk nimejikuta uchi kiroho
@trophywilson72118 ай бұрын
ila watu wako Busy kusifu Kishetani Shetani
@mabondolawrence18128 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi
@sallymumia84259 ай бұрын
Very true most gospel music when you see their dances,their dressing code,and song,lord have mercy
@julianamhenga17129 ай бұрын
Wakati Mungu alinifundisha hiki kitu nilijisemea itakuwa ni akili yangu na siyo ROHO MTAKATIFU, lakini nilipopata kufatilia ndo nikajua kuna kitu hakiko sawa. Na watu tunaimba tukijua tunamuimbia Mungu kumbe hakuna
@Kais123119 ай бұрын
shallom ...ata mimi nilichukulia poa kabisa lakini hiki kitu hua kinazidi kunisumbua sanaa yani sana...mpaka juzi baada ya kugundua kua nimepoteza mpaka hamu ya maombi na kubaki kusikiliza hizi nyimbo ndio nikashtuka nikazifuta zote ....
@CherieDeDieu9 ай бұрын
Tres Vrai l'homme de Dieu
@annamakandawa70659 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@marthaumazi21978 ай бұрын
That's very true man of God ,
@LucyKway8 ай бұрын
Mungu atusaidie
@Stelaelias-i8o9 ай бұрын
Bwana Yesu atusaidie
@Alfredmusa249 ай бұрын
Amen
@josykogei76479 ай бұрын
Ukweli mi niliota naona waimbaji ila si waimbaji ni sura za kutisha
@Stelaelias-i8o9 ай бұрын
Nikweli kabisa 😢😢
@MariamMlingwa8 ай бұрын
Very true 😢😢
@marymwapiya12749 ай бұрын
Juzi tu nimekutana na video mtumishi wa Mungu mmoja akasema kunamuimbaji aliacha ndoa yake ni shoga na huku nyimbo zake zinapendwa sana anasema alialikwa kuimba huko congo wakafumaniwa na binti anayemuita mtoto wake .kwa kweli Mungu atupe macho ya rohoni
@lukafbbwebelof38749 ай бұрын
Nimwimbaji gani huyo? Mtuambie nasisi tujuwe na tumjuwe
@marymwapiya12749 ай бұрын
@@lukafbbwebelof3874 chunguza muimbaji wa kike anabinti na huyo binti ni wa kumlea wote wanaimba
@trophywilson72118 ай бұрын
@@lukafbbwebelof3874Hakumtaja Jina
@PerisChari9 ай бұрын
Na utajuaje nyimbo inatoka kwa Mungu ama kwa shetani
@trophywilson72118 ай бұрын
Utukufu Utakao kuwemo
@rehemakilapilo3507Ай бұрын
Roho Mtakatifu atakufunulia
@upendochiwa258 ай бұрын
Mm moyo wangu ndio unanipa ga kibali
@trophywilson72117 ай бұрын
Hapo Sikupingi
@kayf-kk7bg9 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa somo la maonyo. Bila macho ya rohoni tutawezaje kuona?
@janethmwihumbo12899 ай бұрын
Tuombe Mungu atupe macho ya rohon
@kayf-kk7bg9 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289 ni kweli janethmwihumbo1289
@MariamMlingwa8 ай бұрын
Kwakwel inatsha tupo nyakati mbaya
@ainekishagodwin18779 ай бұрын
Kanisani nàtamani kuacha kusali kanisani wanapiga mapiano na watoto wanafundishwa jucheza stail 😢😢😢
@ireneauxley88029 ай бұрын
Usiache , yapo makànisa bado yametunza uwepo wa Mungu
@hamismabula99348 ай бұрын
Zingine zinapigwa mpaka baa lkn eti ni za kanisani!
@Alfredmusa249 ай бұрын
Je, unakubaliana na hawa watumishi??? Toa maoni yako hapa kwenye reply section tufundishane 👇
@owenomwanawayesu69619 ай бұрын
Kweli kabisa….
@PatrickMathias-cs9qc9 ай бұрын
Ndio wapo sahihi haswa
@rosemarymwanitega79269 ай бұрын
Yes wapo sahihi kabisaaaaaaa
@Alfredmusa249 ай бұрын
@@owenomwanawayesu6961 kweli kabisa
@Alfredmusa249 ай бұрын
@@PatrickMathias-cs9qc haipigwi
@yesuanikumbukejanuary83639 ай бұрын
MUNGU nakuomba utukumbuke tuta ponaje sisi jamaani