Jaji Warioba Atoa Somo, Aeleza Hofu Yake Kuelekea Uchaguzi, "Yasijekujirudia ya Zanzibar 2001"

  Рет қаралды 7,787

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amezitaka pande zote za kisiasa zinazosiagana kukaa chini kuzungumza ili kumaliza utofauti wao kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu 2025, na kusema kuwa amani ni muhimu sana na kuonya yasije yakajirudia yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 baada ya uchaguzi mkuu a 2000.
Warioba ameyasema hayo wakati akitoa mada wakati wa Kongamano la hali ya demokrasia nchini lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD) katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Katika hatua n

Пікірлер: 19
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 10 сағат бұрын
Mzee warioba nalikubali siku zote,kemea kwa nguvu zote vitendo viovu vya mauaji ya watu vinavyofanywa na serikali yetu.
@EdesAron
@EdesAron 10 сағат бұрын
Mzee Anabusara za kutosha Na hii ndio maana ya Uzee🙏🙏
@yohanakateko
@yohanakateko 10 сағат бұрын
Mzee nakukubali sana
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 9 сағат бұрын
Haya ukisema ukweli inaambiwa wewe ni muhalifu sasa na huyu mze mwenye busara anaelewa democras ni nini waje wamteke nyara .
@emanueljames6798
@emanueljames6798 9 сағат бұрын
Mzee wangu Warioba,uishi milele
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 9 сағат бұрын
Sauti iliayo nyikani....., tunapitia kipindi kigumu, ni misiba, ni kilio na maombolezo. Tunalilia amani, tunalilia haki. Mungu ibariki Tanzania!
@LazaroMwakasege
@LazaroMwakasege 10 сағат бұрын
Waloho wamadaraka hawataki uchaguzi huru nahaki hawataki ndomaana watu wanatisha wenzao
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 9 сағат бұрын
Hii ni HAZINA ya Taifa letu.Maisha marefu mzee Warioba.
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 9 сағат бұрын
Mzee watu waleo hawanahuru imani imetoweka watakunyakuwa mzee kuwa macho .
@hechechacha4032
@hechechacha4032 6 сағат бұрын
Mzee warioba true mara blood
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 8 сағат бұрын
Hakika busara za huyu mzee ni hazina kwa taifa
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 4 сағат бұрын
Hekima yako Mzee walioba ni tunu kubwa ktk inchi yetu ya TZ
@ramadhankibushitzramadhank81
@ramadhankibushitzramadhank81 8 сағат бұрын
Mzee 🎉🎉 akili mingi
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 9 сағат бұрын
Sikuwai kufikiria kbs kwamba Mzee Warioba bado anapambana sn kuona Taifa letu linabaki na amani... Mungu akufiche Mzee wetu. Ipo nafasi ya viongozi wa dini kuombea Taifa na sio kuegemea popote wala kulalamika.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 9 сағат бұрын
Baba kuna mhili wa uovu uko ktk taifa hakun siku haki itapatikana bila
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 9 сағат бұрын
Kila mtu anatumia madaraka yake
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx 7 сағат бұрын
CCM ANGUKO LENU LINA KUJA MUKIMBAKIZA HUYUMAMA
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 62 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 32 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
MAPINDUZI ZANZIBAR
29:55
Bin Seif
Рет қаралды 42 М.
TUNDU LISSU AICHAMBUA SERIKALI "HAKUNA LOLOTE"
9:35
JAMBO TV
Рет қаралды 8 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 62 МЛН