JAMBO HILI NI MSUMARI WA MOTO KWA WANAWAKE

  Рет қаралды 5,499

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@alimau7939
@alimau7939 Жыл бұрын
Assalam alaikum nawausia na kuusia nafsi yangu juu ya kumcha Allah, kila tunachokifanya tukifanye ktk misingi sahihi ya dini yetu
@hawaabdi516
@hawaabdi516 Жыл бұрын
Dada jistiri hapo hauko na mahrim zako hiyo sio jalbab ya kisheria Dunia nzima wanaume wanakuangalia hinA mapambo yote yako wazi .....dini ni nasaha Allah akuongoze pamoja na sisi
@hamadyussuf5307
@hamadyussuf5307 Жыл бұрын
Huyo hayupo kidini yupo kidunia zaidi
@saidkhamis9507
@saidkhamis9507 Жыл бұрын
@@hamadyussuf5307 sababu kama ni nasaha tumeshamueleza lkn imeshindikana bora tumuangalie tu
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 Жыл бұрын
Una kaa wp dada nina zawd yako
@hamidahamad1905
@hamidahamad1905 Жыл бұрын
Ata na mimi pia nashangaa hayo mavazi yake mtandio mdogo kifua kipo wazi
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Asanteni kwa mafundisho yenu mazuri❤❤❤❤❤❤
@hawamafita368
@hawamafita368 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh ukhty yangu tumeabiwa tujipambe kwa waume zetu tu hapo wamekuona wangapii stara kwanza ndo darsa itapendeza kisheri inshaallah
@AliymgenSalmin
@AliymgenSalmin Жыл бұрын
Dada jitahid kujistir izo piko ni kivutio tosha kwa kil mwanamm anaekuangalia ilo ni pambo kwa ajili ya mume wako
@abdulhamidhaji5056
@abdulhamidhaji5056 Жыл бұрын
Sheikh Rashid nadhani unapitia comment Twaomba hayo mapambo yafichwe halafu darsa ziendelee
@OmanOman-bm1lr
@OmanOman-bm1lr Жыл бұрын
Kila akija kwenye kipindi lazma achore henna halafu huyu dada jeuri saana tofauti na unavyomuona ukimfata kuomba ushauri pesa mbele na hana maneno mazuri atilisti awe na maneno mazuri mtuu sio shida kutowa pesa tatizo ukarimu wakumpokea mtuu alokufata
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Жыл бұрын
Hasbiallah wanigh’mal wakyl
@fatmakhalid2898
@fatmakhalid2898 Жыл бұрын
Mbina hana shida huyu hamjamjuwa vizur jmn
@BestBest-rx3sb
@BestBest-rx3sb Жыл бұрын
Wallaa yubniian ziinatahuna illaa maaadhahara......
@OmanOman-bm1lr
@OmanOman-bm1lr Жыл бұрын
Shekhe huyo dada kakaa kimitego mbona
@BestBest-rx3sb
@BestBest-rx3sb Жыл бұрын
Ni aibu sana hivi mashekhe hivi mlivokaa
@alimau7939
@alimau7939 Жыл бұрын
Sheikh Rashid humuoni kama huyo mwanamke hayuko sahihi kimuonekano kwa maelekezo ya uislamu
@hamidahamad1905
@hamidahamad1905 Жыл бұрын
Sanna sheikh yupo kimya
@alimau7939
@alimau7939 Жыл бұрын
Enaweza kukuletea fitna hata kwenye ndoa yako watu wa nyumbani wakiona hali kama hiyo rabda iwe hawana wivu lkn ni mtihani huo
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Mwenye dhambi ni mumewe alomruhusu kuvaa hivo mashehe hawahusiki
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Na wala sioni kama kuna ubaya hapo kwani yupo uchi? Mwajitia ushehe wala hamna lolote😂pengine mmejaa machafu haya mununulieni nikabu na juba avae
@alimau7939
@alimau7939 Жыл бұрын
@@eyabdimaha3698 hujui ukisemacho bora ukae kimya
@muznesuleiamannmuznesuleia72
@muznesuleiamannmuznesuleia72 Жыл бұрын
Pia inauafadhali kuwa yupo kazini kutafuta rizki za halal wengi wenu huutumia muda wa kazini kama kisingizio mwanamke unakaa nyumbni unajuwa mume yupo kazini kumbe kunasehemu kajichimbia na mwanamke kimyaa.
@omanmuscatmus2155
@omanmuscatmus2155 Жыл бұрын
Manshaallah 💖💖💖
@asmahanabri9265
@asmahanabri9265 Жыл бұрын
0
@asmahanabri9265
@asmahanabri9265 Жыл бұрын
8⁸o1😅😅😮😮😮 1:05
@BestBest-rx3sb
@BestBest-rx3sb Жыл бұрын
Subhallah hivi ndio hamjui nyie mashekhe kama huyo mke wa mtu yuko kinyume na sharia ya dini au mnaona raha kumuangalia mcheni Allah wacheni kufanya usanii
KINACHOKUSUMBUA SIO WIVU, NI ROHO MBAYA
17:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 27 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 48 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 25 МЛН
MWANAMKE AMBAYE HAOMBI KILA KITU MPE KILA KITU
13:16
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
MFAHAMU MCHAWI KWA SIFA HIZI | SHEIKH MSABAHA (UISILAMU KWA HOJA)
16:09
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,1 М.
KWANINI WANAWAKE HUWA WAZITO KUSAMEHE
5:18
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 2,2 М.
NIPE NIKUPE, RAHA TUPEANE
18:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 27 МЛН