MWANAMKE AMBAYE HAOMBI KILA KITU MPE KILA KITU

  Рет қаралды 7,773

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 6 ай бұрын
Nimependa Mungu azid kuwajaalia kwa haya mafunzo mazur
@aboudhamid3
@aboudhamid3 7 ай бұрын
Kwa kweli madam uko na knowledge ya kutosha Jazzakallah likheri.
@sabihaomary6109
@sabihaomary6109 Жыл бұрын
Swadakta 🫶Al fatah yaleo kalii
@ArifAli-hw4gz
@ArifAli-hw4gz 8 ай бұрын
Kiukweli wallahi munafurahisha na kufundisha
@sabihaomary6109
@sabihaomary6109 Жыл бұрын
Shukran my sister somo lipo vizur
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
mashllah somo.. umenifundisha kitu kikubwaaaaaaa sn kwny maisha
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili ya allah. Tupe vip cc atia . Me huita unlimited MB. Cos saiv kuna wake wa MB n waume MB . Mara ikiisha mb ya weeks .ni kuachana.
@umisiluman3799
@umisiluman3799 Жыл бұрын
Mashaallah somo mtomto,sijaolewa bado ila❤❤❤...Allah nijaalie mume mwema alo
@abumutwaira4892
@abumutwaira4892 Жыл бұрын
MMA apewe mauwa yake mapema.....niozeshe Mtoto wako Niko tayari Hussein kutoka Mombasa kenya
@khatijakhatija6172
@khatijakhatija6172 Жыл бұрын
Kweli kabisa wanaume wameshikana na marafiki zaidi ya mke wake tena wanatupa nyumba anakuja home utafikiri hotel
@zainabissa7851
@zainabissa7851 Жыл бұрын
Mwanamke atakaye weza kumrudish mwaume aliye pinda kwanza awe na subra hilo la kwanza mn😪😪pili mume mwenyewe awe amempenda kweli mke sio mke awe amependa yy tu . mwanaume au mwanake akiwa amependa yupo tyr kwa kila kitu na ndio inspatikn maana halisi ya mapenzi ni kutii na kufuata kila atakacho kwambia mwenza wako. Ukion hamna hivyo mnavuta bc ile maana halisi y upendo haipo hataa ufanye vipi kumrudisha mtu kuwa binaadam sio rahisi . Suratul-al-imrani ikiwa mnampenda allah basi mfateni sasa na binadam ivo ivo akikupenda atakufuata kinyum n hivyo ni saw na kumpiga konzi kinyago tu.
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 6 ай бұрын
Hahahaaa ngoja nichek kdogo, kweli ndug
@ArifAli-hw4gz
@ArifAli-hw4gz 8 ай бұрын
Naomba mada za wake wenza kwa nn wanchukiana kwa nn sio wenye ushindanu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hiii ni mtihani kuna wanaume hawabebeki ni mtihani walah😮
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
😅😅
@salamabakar5288
@salamabakar5288 Жыл бұрын
Tugeomba ataje number ya simu Kwa maelezo binafsii na anapopatikaa anapoishii
@salamabakar5288
@salamabakar5288 Жыл бұрын
Number ya hyo mwanamke ni muhim kuitajaa
@biubwazahir782
@biubwazahir782 Жыл бұрын
Asante somo mtoto kwa darasa zako
@AminaBakari-h1g
@AminaBakari-h1g Жыл бұрын
Bravo somo Somoooo somoooo keep it up utafika mbali
@ashahemed9843
@ashahemed9843 Жыл бұрын
Mh ! Si wanaume Hawa wanachosha Chengine kikubwa hawajui hata maana ya make ni nini
@SadiNassib
@SadiNassib Жыл бұрын
Mimi niliwah kumpakipigo mume wangu hajaamin.😂nishatia mahina yangu ananijia sa4 eti anapiga stor narafiki yake.kapata funzo.
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 Жыл бұрын
Ya lini hii
@amour8802
@amour8802 Жыл бұрын
Shehe Rashid MBNA hupendi kuvaa kofia?
@zainabissa7851
@zainabissa7851 Жыл бұрын
Kofia na shati jamani?
@alimau7939
@alimau7939 Жыл бұрын
Assalam alaikum asenteni kwa mafunzo lkn tambueni kwamba dini imemuhifadhi mwanamke sawa ww umechora mahina cc tunayaangalia na shekh Rashid anayangalia apo vp? Ni haramu kwa mwanamke wa kiislamu kuonesha mapambo yake isipokua kwa watu maalum, wasiwa wangu tumcheni Allah haki ya kumcha ili tupate radhi zake, shukran
@salumnassor6555
@salumnassor6555 Жыл бұрын
Kama hunachooojre
NDOA NI YA WATU WAWILI: KIPINDI HUBBUL HALAL
18:31
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 18 М.
MFAHAMU MCHAWI KWA SIFA HIZI | SHEIKH MSABAHA (UISILAMU KWA HOJA)
16:09
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,2 М.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 34 МЛН
Mjue Ukht Raya Omar,kipenzi cha wengi
12:13
Kalamutz
Рет қаралды 9 М.
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Chris Mauki
Рет қаралды 79 М.
DAKTARI WA MWANAMKE NI MUMEWE. (HUBBUL HALAL)
20:39
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1,6 М.
KWA TAFSIRI HII YA QUR’AN DUNIA ITANIKUMBUKA
31:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,9 М.