SIONI LISSU AKIBAKI CHADEMA/ALICHOKIFANYA LISSU KITAIBOMOA CHADEMA/MBOWE ANAHESHIMIKA ILA HAPENDWI''

  Рет қаралды 21,894

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z 2 күн бұрын
Lisu Anatosha kwa Sasa Twende Na Lisu
@paulinebogohe-pi8gn
@paulinebogohe-pi8gn 2 күн бұрын
Lissu ni kiongozi mzuri sana, kwanza anamusimamo wa dhati na anamusimamo.....hivyo anatosha kuwa mwenyekiti.
@Erik-kj5no
@Erik-kj5no 2 күн бұрын
Umechambua vizuri broo sana Sasa Kuna uwezekano wa mbowe tukamfanya ahairishe uchaguzi
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 2 күн бұрын
Mchambuzi uko vizuri,kweli umechambua vizuri Sana, (really political scientist).
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 2 күн бұрын
Mbowe umefanya mengi ,muogope Mungu kwaajili ya watanzania muache lisu,agoombee bila hivyo chama itagawika,
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 37 минут бұрын
Lisu yeye alikuwa makamu shida Nini.Tamaa za kishenzi.awe mwenyekiti ili iwenje.Mbona maalimu shariffu hamadi mbona hamjamsema ,wakina, cheyo,nk mbona hao hamwasemi.mboe kanzuiya Nani kugombea .Lisu ,odero ,mboe ,komba wote Hawa wanagombea.wewe unaongea Nini.kapige kura umchague unaemtaka .sio kupiga kelele hapa akipita yoyote basi
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 2 күн бұрын
❤ Ya ngoswe tumuachie ngoswa na chama chake. Maana ni uchaguzi wake
@BensonTemu-h6h
@BensonTemu-h6h 2 күн бұрын
Mbowe anaweza kuchagulika kwenye kamati kuu, halmasauri kuu na mkutano mkuu ila lisu anachagulika kwa wanachama wengi wa chadema na hata wananchi wengi. Mbowe ameshawachosha watu atelier wengine waanze mapya
@Jackson-Novat
@Jackson-Novat 2 күн бұрын
Kamwaga haijui vizuri historia ya LISSU
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 2 күн бұрын
Lissu kweli hawamjui. Huyu jamaa atamshinda mbowe tu. Huyu jamaa kzaliwa ili awe mtu wa kubadili historia. Atamshinda mbowe. Na atamshinda samia.
@anicethjonathan2846
@anicethjonathan2846 2 күн бұрын
This guy hamjui Lisu, sikiliza hoja za Lisu na hoja za Mbowe kwanza ndo utoe hitimisho kuwa Lisu atashindwa…!
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 Күн бұрын
@@anicethjonathan2846 lissu hatashindwa muda utajibu
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 күн бұрын
Wee Mohamedi Rajabu una mapungufu nchi hii ilipofikia Lissu anafaa sana ktk nafasi za maamuzi umwenyekiti URAIS vyote anatosha, lkn kwa jambo hili sanduku la kura litaongea
@DandasiKundi
@DandasiKundi 2 күн бұрын
Kwa kweli Mimi sioni tofauti ya lisu na mbowe maamuzi Yao kwenye chama wanaamua wote hapo Mimi naona wanafanana tu. Wagombee wote isipokua wagombee wote demokrasia itaamua. Asanteni sana wanachama wenzangu.
@hajimjaja1163
@hajimjaja1163 2 күн бұрын
Ww ccm
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 2 күн бұрын
Mmbashiri.Lissu anatosha 😊
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 2 күн бұрын
Hili chawa, Lisu tuu
@charleseleiza7548
@charleseleiza7548 2 күн бұрын
Lisu anafaa sana kwa sasa tatizo lake wangekubaliana anapokisema chama ubaya wake na mwenyekiti ni kuvunja chama chao hata kama katiba inaruhusu angeangalia athari zake nakushauriana kwa hili tundu amechemsha chama hakiwezi kubaki salama
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 күн бұрын
Good analysis Big up
@jumamwita8180
@jumamwita8180 2 күн бұрын
kwani Lisu kakosea Nini, kumbe kugombea nafasi ya Boss ndio kosa!!
@SamweliMango
@SamweliMango Күн бұрын
CHADEMA Mbowe akijichagua itakuwa ni obvious Chama Cha Wachaga.
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 күн бұрын
KWA SASA TWENDE NA MH. LISSU
@JonathanMundeda
@JonathanMundeda 2 күн бұрын
Lissu lissu lissu atosha
@PrivatusKabazimu
@PrivatusKabazimu 2 күн бұрын
Wewe ni Chawa wa mbowe Lissu atashinda tena kwa kishindo
@conasmalale1073
@conasmalale1073 2 күн бұрын
Hakuna mchambuzi hapo
@frankvianey2438
@frankvianey2438 2 күн бұрын
Mwandishi naomba umkaribishe tena huyo brother kwenye uchambuzi mwingine,yupo vizur sana na haropoki ropoki
@blues4life633
@blues4life633 2 күн бұрын
Jamaa kachambua vizuri mwanzo, mwisho kachambua njegele!😢 poor mchambuzi
@PauloLaizer-c7f
@PauloLaizer-c7f 2 күн бұрын
Shikamoo kaka mwaandishi makini lisu ni jembe
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 күн бұрын
Tena freeman MBOWE anaheshimika na VIONGOZI wachache wacdm sasa huu mjadala ndiyo unampandisha Lissu
@davymtui5854
@davymtui5854 Күн бұрын
Uchambuzi na ushauri umenyooka sana
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 2 күн бұрын
Lissu mwamba anatosha hatuhitaji mwingine kw sasa
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 45 минут бұрын
Kupenda yeye ni mwanamke apendwe shenzi nyinyi
@yahyamalolo3202
@yahyamalolo3202 2 күн бұрын
Kilicho mfanya Lissu agombee uenyekiti ni kuwa Mbowe ameshafanya mipango Lissu akose hata hiyo nafasi ya Makamo Mwenyekiti ndicho kilichomuudhi
@kirariwilanya1850
@kirariwilanya1850 2 күн бұрын
Kabla ya 2017 Lisu alikua tayari Moto ww
@MarygetrudeKyauke
@MarygetrudeKyauke 2 күн бұрын
Uko sawa mchambuzi, huyu lisu yy ajiandaye kuhama tu , kushinda haiwezekani hata kidogo
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Күн бұрын
Kwan wewe ndoo unamuchagua
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 күн бұрын
TENA naiona Hatari labda MBOWE yeye ndiyo position yake CHADEMA IWE CCM B KAMA CUF NA ACT WAZALENDO BASI TURUDI ONE PARTY SYSTEM.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 күн бұрын
Msijidanganye Lissu hatomuweza hata kdg Mboye😅, na mwisho wake kufa Kisiasa kunakuja kweupe
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 күн бұрын
HUKU uraiani kwenye wapiga kura MBOWE atahudhibishia Umma CHADEMA MALI YAKE NA WACHAGA HIYO NI HATARI KWA CHAMA
@JonasPhilimon
@JonasPhilimon 2 күн бұрын
Dah kumbe kilamtu anaangalia tumbo lake tu aise maswala yakujifanya uanpigania democrasia ni unafki
@JuliethNyoni
@JuliethNyoni 2 күн бұрын
Lisu juu
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 2 күн бұрын
Lisu ata tuvusha
@masanjaelias5829
@masanjaelias5829 2 күн бұрын
Uchumbuz mzuri kamwaga Ezekiel ila Kuna Hawa wa mihemko loooo
@MkandalasiSanga
@MkandalasiSanga 2 күн бұрын
Lisu na mbowe kura za urais wao kipindi Cha ugombea kura kwa umma alizidi mbowe
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 күн бұрын
Kamwaga kuna mahali umechemka sana... Umesema mwenyekiti kama ameshindwa basi na makamu ameshindwa kwa sababu wanafanya kaz pamoja...sasa maswali 1. Wakati covid 19 wanapelkwa bungeni lissu alikua bado hakuwepo nchini so mbowe ndo anajua kila kitu. 2. Wakati mbowe anafanya maridhiano na Rasi alikwenda direct ikulu bila wenzake kujua wala kujadiliana 3. Mridhiano waliyotaka wenzake sio yale Mbowe aliyoyaweka na Rais. Hivyo bado mbowe anawajibika kwa kutumia nafasi yake vibaya.
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 2 күн бұрын
jambo tv mnatumika na ccm kumhadaa lissu tushawasitukia na lazima anashinda mtafute njia nyingine
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
Ubaya wa wafuasi wa chadema wakikosolewa tu wanaanza kutukana Ukisema ukweli kuhusu Lissu wanakutukana😮 Sasa je wakipata madaraka itakuwaje😢😢
@salimmpanda358
@salimmpanda358 2 күн бұрын
Lissu tutawaletea kwenye uchaguzi mkuu mumpe urais ili kuthibitisha mahaba yenu
@foodchallenge.
@foodchallenge. 2 күн бұрын
Lissu ana nguvu ndan na nje ya chama kwa sasa, mtazamo wako hauko sawa, unaleta hoja za kisisas tu, Lissu anachagulika
@evelina9621
@evelina9621 2 күн бұрын
Waandishi.acheni Kuchanganya.viongozi.mpate.sifa.ukomo.upo.hata.makanisani.huwezi.ongoza.pekea.yako.umekuwa.roho.mtakatifu.milele.chama.umoja.wingi.sio.cha.mtuau.watufulani.tumieni.talanta Vizuri
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Күн бұрын
Uyuu fala ni chawa wa serikali muda mrfuu tuu
@musamabura5200
@musamabura5200 2 күн бұрын
Ezekiel kamwaga katika ubora wake
@mahamboviews5757
@mahamboviews5757 Күн бұрын
Sijajutia kutumia MBs zangu kumsikiliza mchambuzi huyu
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
Wewe nani
@sautikuu212
@sautikuu212 Күн бұрын
Uchambuzi makini kabisa.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 2 күн бұрын
Kushinda kwa Lissu ni mtihani sana sana, mnajidanganya haiwezekani mbowe achukue form alafu eti ashinde lissu hiyo ndoto.
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 2 күн бұрын
Mr Kamwaga, kwangu mimi na kwa kadiri nilivyokwisha kumfahamu Tundu Lissu, ikitokea akashindwa kuwa mwenyekiti, possibility ya kuhama CHADEMA ni 1%. Na ikitokea ameshindwa kimizengwe, Lissu atapambana kisiasa na kisheria
@MUSAHAMISI-ke9qx
@MUSAHAMISI-ke9qx 2 күн бұрын
Uchambuzi wa kisayansi
@matalo0551
@matalo0551 2 күн бұрын
Kwani mchambuzi huyu anaishi Tz? Nikama hajui Hali ya Sasa kisiasa nchini....na tunapaswa kuwa na viongozi wa upinzani wa namna gani?! Laiti angekuwa hajapewa mlungula, Basi angesimama na Lissu WETU......Anatosha kwa Sasa , mbowe asitafu tuu
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 2 күн бұрын
Lissu hakuwahi kuhongeka.nahahongeki.huyo ndo kiongoz bora.ccm wame jaribu mapesa mmengi. Lakin mtu wawatu hakupokea.mnataka kkiongoz gani ninyi.
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 2 күн бұрын
Tundulissu anatosha kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu! Mbowe pumzika kwa Amani Baba. Mbowe staafu kwa heshima uenyekiti umwachie Tundulissu aendelee kuongoza Chama wewe uwe mshauri wa chama acha kung'ang'ania madaraka. Miaka 21 kwako inatosha ondoka kwa heshima usivuruge chama! Wandishi wa Habari msiwe machawa!
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 2 күн бұрын
Kifupi watanzania hawana Imani na Mbowe
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 күн бұрын
Wana Chadema NDO hawana Imani na Mbowe. Tanzania Kuna vyama vingi. Chadema kwenye uchaguzi huu inawahusu wana Chadema
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 күн бұрын
Huwez kua hueshimik af upendwe,,hii hesab ya wap
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 2 күн бұрын
naona kamwaga ayo maswali ukujiandaa kujibu
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z 2 күн бұрын
Ni uongo kusema Lisu Hana nguvu Ndani ya cha chama sio kweli Sisi tulipo chadema tunajua Lisu Anaumihimu kiasigani ndani ya chama
@Fred-Ma
@Fred-Ma 2 күн бұрын
Elewa tu vizuri..Anamaanisha ukimlinganisha Lissu na Mbowe.
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 2 күн бұрын
​@@Fred-Mabado Lissu yupo juu ya Mbowe
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 2 күн бұрын
HUYO TUNDU LISU ANAE MPENDA NI NINI LABDA WATU WENYEWE UFUNGUFU WA AKILI SIO WATU WAELEQA
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 2 күн бұрын
Ni makamu mwenyekiti chadema na alikuwa mgombea urais aliyepita labda kama wewe si mtanzania.
@alfredpenford8681
@alfredpenford8681 2 күн бұрын
Na wewe una ufungufu
@SaidMkome-p6s
@SaidMkome-p6s 2 күн бұрын
Ccm paka Dunia inaisha mnajisumbua tyuu yani mbowe au lisu ndyo awe raisi😁😁🏃🏃🏃🏃
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 2 күн бұрын
Hakuna maelezo mengi watu wamesha mchoka . Wamesha mkinai hatumtaki tena enough Is enough. Basiiiii
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 2 күн бұрын
Kimwaga hebu acha kudanganya watu lissu tayari alishakuwa maarufu
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 күн бұрын
Mbowe daima, lisu baadaye
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 күн бұрын
Wenye IQ kubwa watampenda Lisu. Yaani Lissu ni kiboko kwelikweli
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 күн бұрын
Mbowe hawezi kumshinda Lisu kwenye sanduku la kura labda kwa msaada wa polisi. Huyu mwamba ameshauza chama. Watu makini ndani na nje ya chama hawana imani tena na Mwamba.
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 2 күн бұрын
Lissu tangu awe mbunge amekuwa bora kuliko wabunge walio wengi .
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 2 күн бұрын
Mchaga na pesaa ni hatar
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 2 күн бұрын
Mbowe na kwa sakata la maridhiao,halikuwa zuri uliitwa gaidi umesahau wa detained in prison 8months scolded by a woman truely uli fidiwa ikuru.
@amirjuma9395
@amirjuma9395 2 күн бұрын
Mbona ruto na kinyata ilikua ivyo lakini ruto kashinda
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 2 күн бұрын
Kwani kenyata nae alikua anagombea kipindi Cha ruto!!
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
HOTUBA YA JAJI WARIOBA MSIBANI KWA JAJI WEREMA
9:48
JAMBO TV
Рет қаралды 705
🅻🅸🆅🅴  TUNDU LISSU AMRUSHIA DONGO FREEMAN MBOWE
49:31
UWIII!!...LISSU AMSHITAKI Mbowe NCHI ZA NJE!!!!
42:20
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 6 М.