Jawabu kwa Abu Khatwab kuhusu tuhuma zake dhidi ya Ibadhi.

  Рет қаралды 1,366

FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV

FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@salehsaif1414
@salehsaif1414 Жыл бұрын
Bora uwasogeleye ma ibadh utawajuwa vizuri weye una sema byenye hawujuwi bora tafuta ilimu ya ma ibadh utakuta wako sawa.shukran.shukran.
@m.othman866
@m.othman866 3 жыл бұрын
Nakukubali sana Sheikh Juma.. Allah akuhifadhi...
@SoudSanawari
@SoudSanawari 3 ай бұрын
Shk juma na shk Hafidh sawafy fanyeni ziara ya daawa Tanzania mkipata wakati mje Kwa pamoja insha'Allah
@faidikanamawaidha
@faidikanamawaidha 2 ай бұрын
Asaa Allah akaleta taufiki katika hilo, tutafanya juhudi za kuwafikishia ujumbe.
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 3 жыл бұрын
Baraka Allah fik
@abunusrat3016
@abunusrat3016 5 ай бұрын
Ubabaishaji hamna kitu kutoka Kwa ibaadhi. Talbis nyingi na kuwatukana Khulafau rashidiyn kama Uthman na Ali Radhiy za Allaah ziwafikiye. MASWAHABA watukufu hawaja salimika na ndimi zao chafu
@sultanmansour7257
@sultanmansour7257 3 жыл бұрын
MaashaAllah
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
kumbe kiarabu hawakijui mawahabi wanapeleka tu wanavotaka wao
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
Sheikh Mazrui naomba namba yako nina maswali yangu ili uweze kunikinaisha baadhi ya vitu
@omdaz6068
@omdaz6068 3 жыл бұрын
جميل
@seifissa4506
@seifissa4506 2 жыл бұрын
Masalafy wote machizi
@magdmagd3707
@magdmagd3707 2 жыл бұрын
Hee juma ushaacha uganga?
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
Mimi nafikiri awamu nasi yaani watu wa kawaida wanachanganyikiwa nani yuko sawa kwanini msiitishe mihadhara ya wazi sheikh juma mazrui kama ukivyofanya debate na mkadiyani Kaluta.Ningependa ufanye munaqasha ya wazi na sheikh Qasim mafuta au Maanswari ingependeza vizuri
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 8 ай бұрын
Hawa jamaa wanao jiita answar suna na salafi washaombwa sana ila hawataki coz wanajua hawawezi sasa kazi yao kutuma voice za kutuhumu tu wakati hivyo vitabu vyao vinawasuta 😅
@husseinonacha4111
@husseinonacha4111 3 жыл бұрын
kama wajua haki mbona ufwati hiyo haki wabaki kua ibadhi
@nassorseif2799
@nassorseif2799 Жыл бұрын
Kijana soma uelimike
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
Ibn tayyimiiyah katika kufanya interpretation hajakataa kwa ujumla kufanya ta'wiil bali amesema taawil ikiwa na dalili inafaa na kama hamna dalili maana yake itakuwa kama ilivyo. Ama ikiwa kuna dalili anakusudia ima hiyo aya au hadeeth unayoifanyia taawil ina aya nyingine inayoelezea au hadeeth au maswahaba wamelielezea hiyo aya au tabi na tabiina na pia kama lugha ya kiarabu ina maana hiyo au inayo qarina yaani contextual meaning haya yakikamilika taawili inafaa au kuketa taawili bila dalili haifai yaani wewe tu useme hapa mkono ina maana kadha bila kuangalia aya zingine au hadeeth au wanavyuoni kuanzia wakati wa masahaba na tabi tabiina taawili hiyo ndio wrong.
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
we unaesema hafuati haki una uhakika gani kua unayofata ww na mawahabi wenzako nihaki?au ndio munaletewa wahyi nyie hamuna makosa
@omdaz6068
@omdaz6068 3 жыл бұрын
جميل
JAWABU KWA ABU KHATWAB KUHUSU TUHUMA ZAKE NA IBADHI
47:44
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 660
MUHADHARA. IBADHI HISTORIA NA ITIKADI.
1:23:47
Abu Muslim Alghammawi
Рет қаралды 12 М.
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 169 МЛН
Can we pray behind an Ibadi Imam? - Assim al hakeem
1:29
assimalhakeem
Рет қаралды 14 М.
KATI YA IBADHI NA SALAFI NI NANI KHAWARIJI?
36:36
Haki Kwa Dalili
Рет қаралды 1,9 М.
JE INAFAA KUSWALI NYUMA YA IBADHI?
9:03
OMAR KHAMIS MOHAMMED
Рет қаралды 2,8 М.
Kuna IBADHI gani mwenye jina la Uthman Radhwiyallahu A'nhu?
5:00
Dr Islam Vs Mbarak Awes Allah yuko wapi ?
5:11
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 27 М.
GPS: ICC yataka NETANYAHU na GALLANT wakamatwe kwa Mauaji ya Raia wa GAZA!
51:30
Kunci dari Dakwah ( Salah satu hal yang membuat ustadz terharu )
34:05
SHK SALUM MSABAH: NITAUA NZI KWA NYUNDO | NAWAPA ONYO MASALAFI WOTE
1:51