Mwasema Maulidi ni Bidaa, Mbona mwafanya Mashindano ya Qur'an?

  Рет қаралды 25,881

IHSAAN TV

IHSAAN TV

5 жыл бұрын

Hosted by: Nassor Bin Shabaan
Guest: Sheikh Salim Barahiyan
الجواب الكافي
{Jibu lenye kutosheleza}
RADIO IHSAAN FM
TANGA, TANZANIA
ANSAAR MUSLIM YOUTH CENTER

Пікірлер: 195
@awadhkaramakarama4576
@awadhkaramakarama4576 3 жыл бұрын
KATIKA SIKU TUKUFU YA LEO, NAKUOMBEA ALLAH AKUONDOLEE DHIKI NA MARADHI, ALLAH AKUJAALIE KHERI, AKUKINGE NA HUSUDA NA SIHR, AKUZIDISHIE IMANI, AKUPE AFYA NA AKUKUBALIE AMALI ZAKO ZOTE ZA KHEIR. AMEEN, AMEEN. JUMAA MUBARAAK
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 3 ай бұрын
nyinyi vitumbua nyamazene tumewambia hatutoacha maulidi hata siku Moja vitumbua wakubwa nyinyi hatuachi🎉🎉
@simbalion2871
@simbalion2871 4 жыл бұрын
Hana jibu anasema mashindano ya mieleka mara mikuki hio sio hoja wala jibu alafu anasema mwanachouoni ibinbaz karuhusu sisitunataka kama mnabosema hadith na aya je mashindano ya quraan mtume kayafanya kama hajafanya hakuna hadith ni bidaa kama msemavo kwemye maulid.mbona wakati wa mtume maswahaba walimsifia mtume kwa mashairi mbona wahabashi walikua wakicheza ngoma zao za asili na mtume aliwaona na hakuwakataza
@kayadigo8970
@kayadigo8970 3 жыл бұрын
Sasa sheikh ukisema mashindano ya Quran asili yake ni mikuki na mashindano ya ngamia....basi maulid kama in kumsifu mtume..Allah ashamsifia pamoja na maswahaba akiwemo mjombake Abdullah ibn Abbas,swala ya mtume..asili yke in mtume mwenyewe..kasema atakae mswalia Mara moja atamtakia Rahma kwa mwenyezimungu Mara kumi.Ukisema Seera(historia) ya mtume ni mtume mwenyewe kaisimulia kwa maswahaba wake..kwaiyo upo umuhimu wa sisi kuitaja sira yake ili tupate kumjua na kumpenda.Kila siku nkusema mawlid ni shirki mkiambiwa mzitoe shirki izo kuhanyahanya bado.....Nyny ilo dhehebu lenu la uwahabi mligawanya tawheed(aqsam)..hamuioni kuwa bidaa io.kwani Allah hakujigawanya wala mtume hakugawa tawheed....Al Suali?....Je ?mnatetea sunna ya mtume ama nikutetea dhehebu lenu?.
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 4 жыл бұрын
Kiasi,kiasi,sheikh mboni unajikanyagaa? Twambie haya mashindano ya Quran yalifanywa na Mtumeee?? Uswitwambie kalaa wala kaleee.
@isarichard
@isarichard Жыл бұрын
Maashallah tabarakallah nice explanation sheikh
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 2 жыл бұрын
Sheikh umefunza vizuri
@mariamumgwali7205
@mariamumgwali7205 5 жыл бұрын
Umeeleweka sheikh asielewa Allah ampe uelewa inshallah
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@jumasalum5769
@jumasalum5769 4 жыл бұрын
Hiyo Dalil yako umeitoa kwenye kitabu gani?? Acha uongo wew usimzulie Mtume uongo bhan et atakae soma Surat ikhlas n saw saw na aliesoma Qur'an nzima??? Mmmhhh!!! Rudi ukasome wew acha kukalili Surat ikhlasw n sawa na theluth ya Qur'an sio Qur'an nzima bhan
@zamzamkashakara1230
@zamzamkashakara1230 4 жыл бұрын
Toa ushahidi wa aya au hadithi mpaka mtume SWA anashidana kwa ngamia au na mkewe aysha Qur'an haikuwepo? Kama hakuishindanisha nyinyi mwaishindanisha kwa dalili zipi? Acha kubabaisha.
@husseinhamad1135
@husseinhamad1135 2 жыл бұрын
Safi sana😎😎😎💓
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 4 жыл бұрын
Umeulizwa Makongamano ya mashindano ya Qorani, yalifanywa nanani?
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 2 жыл бұрын
Huyu barahayani na mawahabi wote ni watu wa ubabaishaji tu
@mishikatembo4204
@mishikatembo4204 5 жыл бұрын
Hatujasikia jibu kuhusu uhalali wa mashindano ya Quran. (Mimi Abdullatif)
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Mishi Katembo kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@carimchilumba1329
@carimchilumba1329 5 жыл бұрын
Mashndano ya quran yalkuwepo tangu mtume mwenyewe akiwa hai, mana almuozesha bint yake kuptia watu kushndana kusoma quran
@asiakheir6406
@asiakheir6406 4 жыл бұрын
Miifano yotehiyo hujaelewa?
@mussagweje8731
@mussagweje8731 4 жыл бұрын
Kasome ww bado hujawa mwachuoni wakumshinda ibn taymia
@bakariali859
@bakariali859 3 жыл бұрын
Wew umesoma
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 2 жыл бұрын
Mzee swahaba abudardaa alifanya msabaqa waquran lengo nikuithibiti kifuani wasome katika siari aalamin nubalah
@jumaaomary4949
@jumaaomary4949 3 жыл бұрын
Usiongee uingo shekh maulid hayana shirk
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 4 жыл бұрын
Khaaaaa!!? Kwani hayo Maulidi yafanywa lini? Subhaanallaah!! Mashekhe wanafikki hawa kumbe bado wapo? Sura yake inaonahaya maskini
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Alafu sula kavu mpaka ndevu zimeungua😂😂😂😂
@shakuruzubeir2124
@shakuruzubeir2124 5 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh salim
@yashfaruq9730
@yashfaruq9730 2 жыл бұрын
mwenyezingu amesema mwenyewe katika Quraan tukufu yakwamba shindaneni katika mambo ya heri ndio maana tunashinda, kwasababu quraan ina heri kubwa
@abamohamed7092
@abamohamed7092 2 жыл бұрын
Mawahabi mnashida kubwa sanaa mnachokifanya nyie ndio halali lkn kwa wengine ni kibaya,hapo unazunguuka mieleka sicho ulichoulizwa ,rejea swali uliloulizwa
@maase2023
@maase2023 3 ай бұрын
Hilo ni swali hasa la maana😊
@hassanhhassan6309
@hassanhhassan6309 2 жыл бұрын
Jibu vizuri maswali
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@user-fi2mz9gc4v
@user-fi2mz9gc4v 3 жыл бұрын
Twataka Quran sio utupe kiasi !!!!! Kwa sabb watu wamaulid wakiwapa kias mwa kataa
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Halina ttz, je alifanya mtume we mwehu???
@semenimtoka1121
@semenimtoka1121 4 жыл бұрын
Kutakua na tatizo gan cc kumsifu mpenz we2 muhan
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 2 жыл бұрын
Hahahahahhhahhahha
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 2 ай бұрын
sheikh usiruke ruke quraan ilikuwepo wakat wamtume je yalifanyika mashindano?
@aliawam3471
@aliawam3471 4 жыл бұрын
Ama kweli kusoma na kufahamu ni kitu tofauti,Jamani someni tena someni musiichafuwe dini
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Kweli kk
@musakasimu7400
@musakasimu7400 2 жыл бұрын
Babu ana kwepa mishale
@wastarayussufu9463
@wastarayussufu9463 3 жыл бұрын
Huyu shekh hajafafanua kuhusu kushindana kunako kusoma quran anakwepa mada
@abdulmunira8430
@abdulmunira8430 4 жыл бұрын
Shekh kiasi swahih kumbe hata kama mtume kafanya jambo kwa namna hii wew kufanya kwa namna nyingine yenye maana ya namna ile ni sahih sasa unachopinga jitihada za mawlid ni nin kama sio kukosa insafu katka hukmu sema tu vyoote ni bidaa hasana ila mawlidini toeni hiki na hiki utaeleweka but umekosea kuhukumu
@mohammedhusseinhabiib6313
@mohammedhusseinhabiib6313 2 жыл бұрын
Mashindano ya Qur'an yalifanyika? Ushahidi uko wapi?
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Kwani maulidi anasifiwa Mohammad bin abdulwahab?au Mohammad bin Abdillah
@yusuffaki8841
@yusuffaki8841 2 жыл бұрын
Asant Sk wang.Ayo mazuzu t
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Mtume alivaa mic na kuonekana mitandaoni?
@asiakheir6406
@asiakheir6406 4 жыл бұрын
Swali la kipuuzi
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 жыл бұрын
Bidaa inakusudiwa kwenye dini si kwny world materials
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@Yu-jr9uf Bidaa iwe bidaa tu.
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 жыл бұрын
@@hajihassan5433 Tafuta mwalimu akufafanulie haya mas'ala vizur
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 2 жыл бұрын
Wewe nawe umechemsha sana bana mic navyombo kisheria zaitwa maslahatul mursala sio bidaa katika dini jamani
@aminaosman3315
@aminaosman3315 10 ай бұрын
,kumzalilisha mama yao mahakamani umeona sawa nashanga huambiwa kweli wanaokusiza nawashanga
@AhmedAhmed-ff6dp
@AhmedAhmed-ff6dp 3 ай бұрын
Inaa maana mpira ni mashindano na inafaaa Hana hoja huyo Mzee ajibu swali kuhusu Quran mtume alifanya
@othmanbakari2675
@othmanbakari2675 5 жыл бұрын
barahiyani tuambie bidaa nzur
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Othman Bakari kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Maulid yatazid Na nyuma hayatarud Waumie mahasid Na huku wakilalama
@hajigahimbare579
@hajigahimbare579 4 жыл бұрын
Allah atuongoze.
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 4 жыл бұрын
Huti Saleh Fanya utakavyo ujumbe ushafika ww ukienda kwa mungu mwambie tuu aya aliokuteremshia usome maulidii
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 4 жыл бұрын
Wewe unae jiita Sara Abdul Latifu hebu kua na heshima na dini isiyokuhusu. kama simuelewa wa uislam wafate wenye kujua wakufahamishe
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 2 жыл бұрын
Muwahabi haikanyagi arthi yoyote la huinajisi kwa fitna zake, inatosha kuwa hawakutani mawahabi wawili ila moja atamkufurisha mwenzake, Mzee kama huyu barahayani hajitayarishi kwa safari yake ya kukutana na mungu wake Mawahabi ni kama manyani kwenye shamba, wakipatana hula mazao na wakigombana hutilifu na kuvuruga mazao
@nasibuahamadi458
@nasibuahamadi458 3 жыл бұрын
Jaman tusikashifu allh ndo mjuzi zaidi
@darajanida
@darajanida 2 ай бұрын
huja towa dalili mzee wangu
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 2 жыл бұрын
Muwahabi haikanyagi ardhi ila huinajisi kwa fitna zake
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
Hapo Hakuna الجواب الكافي acha kutudanganya bwana
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
hemed harouna kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
@hemed harouna umeelewa au umechukua misimamo uliyokuja nayo humu
@muhammedkhamis416
@muhammedkhamis416 3 жыл бұрын
@@abdulrahmanmussalonka4935 sawa na kuna swahaba mmoja wakati mtume anapondwa na makafiri akaja akamsifia kwa mashairi makali hadi mtume akafurahi sasa watu wengine wakimsifia mtume inakua haifai au....
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 2 жыл бұрын
kwani sisi maulid twashindana au twaeleza sera ya mtume? na kusoma kur an
@abdurazaqhamisi4576
@abdurazaqhamisi4576 5 жыл бұрын
Wanaojikusanya kwenye maulid niwatu ao niwanyama tuwa jibu acha kujikanyaga
@mariammnazi7880
@mariammnazi7880 3 жыл бұрын
Wanao jikusanya kwenye maulid wako kwenyekher yenye uchafu
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 4 жыл бұрын
Wapi mtume s,a,w, kafanya Mashindano ya Qorani?
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 4 жыл бұрын
Ibnu Baazzzz,rai ya mwanachuoni
@ahmedbalouch922
@ahmedbalouch922 4 жыл бұрын
Maulid bidaa washa kwani nani alikuambia usome maulid Baba yako kasoma maulid Tanga . Dubai shop
@khalfansharji-ez7pg
@khalfansharji-ez7pg 2 ай бұрын
Ukiona majibu ya kujikanyaga utamjuwa uwezo alio nao hoja ubidaa wa mashindano ya usomi wa quraan.kwa sabab hana jibu sahih utaanza kuambiwa kina bin baaz wa juzi tu kina imam malik shafii hambaliy hanafiy hawaoni haya utasikia mashindano ya mikuki mara ngamia.ELEZA MASHINDANO YA QURAN KWA UWAZI.
@MohamefMullah
@MohamefMullah 9 ай бұрын
Huyu mzee Baraiyan naona aporoja tu ni mawenge matupu haijulikani anachoongelea ni majanga tu Mawahabi ni shida ni janga pia ni mtihani kwa jamii mzima ya kiislam wapotoshaji wakubwa Ahlul Tauhid 3
@mabablaz123
@mabablaz123 3 жыл бұрын
Siungi maulid ila hapo kwa mashindano ya Quran,makurafi wametuwahi. Mashindano ya Quran bidaa qalas
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 5 жыл бұрын
Duh kumbe tatizo ni siku maalum sheikh uko juu kwa kutumia qiyasi
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
kinyume kabaku kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@mohammedomar9883
@mohammedomar9883 4 жыл бұрын
Huyu sheikh majibu yake mbona siyaelewi kauliziwa swali linalohusu Quraan anatoa Mfano wa mikuki farasi na ngamia,toa jibu kwa hoja usizunguke,zunguke
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
😂😂😂 Hana akili huyu shekhe😂😂
@abii-nurayn
@abii-nurayn 2 жыл бұрын
Ukisoma utujua ina munasaba gani hadith ya mtume ya mashindano na Qur'an
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Rudi ukaxome tena Riyadh au madina Tena ukaxome xana Wewe bado uko nyuma
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 3 жыл бұрын
Huyu sio sheikh ni Shehena asili yake sio mwarabu ni mtu wa kutoka Burma Saudia wanaitwa Barmia. Asili yake ni Rohingya tazama ndevu zake kama za wa Bangladeshi.
@mbarakmohamed6132
@mbarakmohamed6132 3 жыл бұрын
Swadakta shehe
@happyarooun6037
@happyarooun6037 3 жыл бұрын
Sura haina hta nuru ndevu tu rudi kwa Allah acha unafiki maulid ni bidaa
@suleimanmustafa6042
@suleimanmustafa6042 4 жыл бұрын
Duh! Huyushekhe kasoma au kapita?
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
😂😂😂
@fatwimatzahrau2327
@fatwimatzahrau2327 3 жыл бұрын
Kwahio wakati wa mtume hakukua na mashindano ya quran kwa nn nyinyi mwafanya kwani mtume hakujua nijambo lakheri
@abii-nurayn
@abii-nurayn 2 жыл бұрын
Abu dardaa swahaba kawafanyia wanafunzi wake !!
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Sheikh unakwepa swali.wapi wakati wa mtume yalifanyika mashindano ya Quran na kupewa zawadi
@khamisbakar7637
@khamisbakar7637 3 жыл бұрын
So kila alo fata mtume na sisi tufate kuna mengine yeye hajafanya sisi tuna fanya.mtume kaowa wake 9 na wewe unataka 9.mtume alikuwa akila anakaa chini wewe mbona unakaa kwenye meza.mtume ana mambo mengi
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 жыл бұрын
Sheikh ulitakiwa utuambie ni Wajawema gani waliofanya mashindano ya Qur'an na sio kufananisha na mashindano ya mikuki au mishale.
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Hking Tv kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Tujuzee juu ya namna bibi Fatima بإنت رسول اللهaliolewa na Ally au Yale yalikuwa mashindano ya namna gani?
@zaitunimuhammad8546
@zaitunimuhammad8546 3 жыл бұрын
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم،::::::: وكل بدعة الضلال::::
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 2 жыл бұрын
الكل هنا للتخصيص
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 4 жыл бұрын
Yalikua ni mashindani ya nini Sheikh? Quran au kitu gani?
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 жыл бұрын
Bado sijaona jibu hapo, Bali mmezungukazunguka tu. Semeni ni bida'a nzuri tu basi, ila sio mzungukezunguke.
@sepinesalum3845
@sepinesalum3845 5 жыл бұрын
kwa kweli jibu halijajitosheleza
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 жыл бұрын
@@sepinesalum3845 Yani nikiangalia kwa mujibu alivyojibu huyo Sheikh basi hata watu wa maulidi hawana kosa. Mana anafananisha mashindano ya mishale , pamoja na mashindano ya Qur'an.
@sepinesalum3845
@sepinesalum3845 5 жыл бұрын
@@ibnahmad607 Ni kweli kabisa,kwa majibu haya hakuna haja ya kuwakosoa watu wa maulidi labda kama ana hoja ya ziada
@jumajuma1166
@jumajuma1166 5 жыл бұрын
Shekh uko vizuri tunakuelewa asielewa ni hasidi tema aje chuoni
@jumajuma1166
@jumajuma1166 5 жыл бұрын
Acheni uislam wa kulakula nyie maulid, maulid mkisingizia mwamsifu mtume sana sana ni umero
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Huyu shekhe wahovyo kabisa anaonekana kaijua dini uzeeni😂unaulizwa mashindano ya qur an weunajibu farasi,riadha. 😂😂😂Rudi madrasa uchapwe bakora Kisha urudi Tena.
@salmahilaly9708
@salmahilaly9708 4 жыл бұрын
Huyu shekh hajui nini maana ya mashindano ya qur_an nitofaut na maulid waulize mashekh wenzio wakufafanulie
@bakariali859
@bakariali859 3 жыл бұрын
Wew unajua
@abdulkhamis1170
@abdulkhamis1170 2 жыл бұрын
Jibu kama ulivyo ulizwa usiwe na chuki na watu maulidi tu
@mohammedhusseinhabiib6313
@mohammedhusseinhabiib6313 2 жыл бұрын
Hayo mashindano ya Qur'an kubalini pia Ni bid'a, mtume hakuweka
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 3 жыл бұрын
Yaani hapo jawabu sheikh hana anazunguka tu maskini..swali lilikuwa ndogo lakini jawabu mtihani.. nilikua nangoja hadithi mtume alifanya mashindano ya quran, kumbe ni yale yale story za kushikanisha uku na huku.ukiuuliza pia maulidi mtume kafanya utasikia story tu kama hizi.kwa hivyo ngoma draw wote hawa ni bidah tu...mwache hizo bidah mrudi kwa sunna
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 2 жыл бұрын
Ndio kawaida ya mawahabi ubabaishaji
@asiakheir6406
@asiakheir6406 4 жыл бұрын
Aliyeuliza swali hana hata idia
@mohamedbadbess6230
@mohamedbadbess6230 3 жыл бұрын
TUMECHOKA NI DEBATES ZISIOKWISHA. HI NI BIDAA HII SI BIDAA. YAKO YA MUHIMU ZAIDI ENYI MASHEKHE WETU.
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 2 жыл бұрын
Swali halijajibiwa
@muhammadallyson7796
@muhammadallyson7796 2 жыл бұрын
Mlitakalo nyie mawahab mnalitafutia njia ya kuswii lakin msilolitak hata kama lina dalili haliswihi
@zaitunimuhammad8546
@zaitunimuhammad8546 3 жыл бұрын
Mbn mumewk ck maalumu unamaanxh sk nyngn hamumcf m2me allh awaongz
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Mashehe wanawasilimisha mpaka kina nabii musa wanasema walikuwa dina yauwisamu huo niuongo uliozahiz mashehe itafuteni kweli usiishuhulike kuruani kukataza maovu kuna mengi yamejifisha nyuma yapazia kuruani nikitabu chamajini nasichawanadamu kuruani haikutoka mbinguni muhamad anawapeleka motoni halafu yey kahimiza aswaliwe maana yakumswalia mtume nikumuombea sasa aombewe nini nayey kasamehewa madhambi mpaka yanayokuja kasema kila MTU ana shetani wake ila wake kamsilimisha halafu anawapeleka maka mkampige mawe shetani tumini akila sasa anapigiwa nini mawe nayey muisilamu baada yakumoiga yey anawapiga nyinyinakanyagana mnakufulia mbali anabeba kundi lake moton kafa hija moto unawaaZibu huko kafa katowa shahada nikweli yakumshuhudia ibilisi nasio mungu wajuu mungu wajuu mbingu yake haina nafas yamashetani amkeni uisilamu ninjia nyepes yakuwapeleka moton
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Sarah Abdulatif ndugu yetu dini ya uislamu haziendeshwi na utashi wa mtu au kikundi cha watu embu tupe uhalali juu ya hayo unayosema kuwa quraan ni ya majini niwapi imeandikwa hata mtume hakusema isipokuwa katika radhi za muumba wake unapozungumzia kitu uwe na legitime authority juu ya hicho uanchozungumzia
@jumasalum5769
@jumasalum5769 4 жыл бұрын
Ukafiri sio mahala pake hapa wew mbwa #Sarah
@semenimtoka1121
@semenimtoka1121 4 жыл бұрын
Ushirikin ww ndo mshirikina sababu wataka ucfiwe ww badala ya mtume
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
Kuzulum yatima na mjane wahabi mnaruhusiwa
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Na cc twaxhndana kumcfu m2me ambaye ndy alokuja na hyo Qur'an
@saidimuslim4505
@saidimuslim4505 4 жыл бұрын
Hakuna ibada ya kumsifu Mtume
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 4 жыл бұрын
@@saidimuslim4505 basi tutakusifia wewe
@saidimuslim4505
@saidimuslim4505 4 жыл бұрын
@@AbdulAbdul-pr9qe Eeh OK kama inafaa sawa
@ismailkaita8183
@ismailkaita8183 3 жыл бұрын
Ukitaka kumsifu mtume fanya aliyoyapenda halafu maswahaba hawakumsifu kwa njia hiyo kwa hiyo wewe unataka kutuambia unampenda mtume kuliko Sahaba wake waliomtetea isomeni sira ya mtume jamani tusishikilie dini eti shehe fulani ninayemwamin anafanya maulid kumbuka huyo si mtume tusifate mashekh kwa kuwa tumewakuta leo hii kuna watu wanaaguliwa na mashekh wao wanaowaamini wanasema ni shekh kumbe ni mganga aliyevaa kanzu
@shafikakrabi8490
@shafikakrabi8490 3 жыл бұрын
Huyu Sheikh hajuwi kama macca na madina wanasonma Maulidi na hawajakatazwa. Afunguwe youtube ushahidi tosha
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 4 жыл бұрын
Ata manuizi ya swala yakutamka wenye kutamka walichukua asli ya manuizi ya hija
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 4 жыл бұрын
Hakuna kunuia katika hijjja
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 4 жыл бұрын
Hakuna kunuia katika hijjja
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
Waambie watu mashindano ya kusoma quraan mtume alifanyaje aliweka majaji au waamuzi na walishindanaje???baaas mambo ya marehemu mufti wa saudia bin baaz wa kazi ganiiii!!!! Tanzania yupo Abibakr zuberi atosha.
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Khalfan Sharji kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
@@abdulrahmanmussalonka4935 hiyo quraan mtu apewe mke siyo kukusanya watu afrika mzima washindane na mtu apewe milions za pesa hatukuwahi sikia hadithi hata moja ya mtume s.a.w watu wakishindana na kuna majaji au waamuzi halafu anachaguliwa mtu ati huyu mshindi wa 1 na huyu 2 n.k shida mashekhe wa kiwahabi wanakwepa kwepa sana kukubali kuwa hii nayo bidaaa lakini inayofaa kwakuwa wakithubutu kukubali watapambana na hoja nzito kutokana na kuwakera wengine na kudharau mambo yao kwa kisingizio cha bidaa bidaaa bidaaa kila kukicha!!! Hataturudi kuwa Alliy alishinda akapewa mke je mshindi wa pili nani na watatu nani na walipewa nini???Mafhum ya hiyo ni kuwa kusoma quraani yaweza kuwa mahari.hebu tujiulize wangeweza kusoma watu 2 ingekuwaje? Hapo wazi kabisa mtume alijuwa kuwa kipenzi chake sayiduna Alliy ndie anaejuwa kwa kuwa yeye mwenyewe sayidina muhamad alikuwa kashamfundisha na ikumbukwe Fatima na Alliy wote wamelelewa ktk nyumba ya rasuul binti mwanawe rasuli aliy mwana wa Ami yake rasuli (Aliy yatima)
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Kwani nini maana ya Wahabi?
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
@@abdulrahmanmussalonka4935 Barahiyani analikariri sana neno hili mawahabi muulize atakwambia analijuwa na anajuwa maana yake ila juwa tu barahiyani ni wahabi na wafuasi wake (mawahabi)
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Nishajua kiwango chako cha elimu ahsante
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 4 жыл бұрын
Mawahabi acheni unaafiq
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Naonekana kadiani huyu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 жыл бұрын
Wewe unapata dhambi kwa kumwita mtu jina ambalo halipendi..!
@hamdunabdurazak9153
@hamdunabdurazak9153 5 жыл бұрын
Aww uko poa shekhe langu
@UNO-xt7we
@UNO-xt7we 4 жыл бұрын
Waislamu wasahivi wanapenda kuongelea masuala yenye fitna ndani yake yale ya msingi hayaongelewi.
@mrtinockomzeewamashutiyamb999
@mrtinockomzeewamashutiyamb999 3 жыл бұрын
Kweli kunamamboyamuhimu hawayaongei kwasababuya maslaiyaotu
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Hao wanaofanya mashindano yakuruani hao ndio wafuasi waisa waziwazi jini lisomewe kuruani nawadamu wakusanywe wasomew kuruani ni akili kweli muhamas kigezo chen lakini feke anaowa mpaka mtoto wamiaka 6 halafu Leo mnawahukumu wazee wamiaka 50 kuwaingilia watoto wamiaka 9 msiwahukumu wao wanafata kigezo chao muhamad
@swahibuallymussa154
@swahibuallymussa154 4 жыл бұрын
HAPO UST HUJAELEWEKA,JIBU SWALI,WAPI MTUME ALIFANYA MASHINDANO YA QUR'AN, WEWE NDIO UNAESEMA MASHINDANO NI HALALI,KWA KUFANANIZA NA MASHINDANO YA FARASI,ACHA POROJO,TOA JAWABU,WAPI MTUME ALIFANYA MASHINDANO YA QUR'AN?
@rashidyunus1835
@rashidyunus1835 5 жыл бұрын
Jambo ambalo maulamaa ambalo wapo ambao wanalikubali na wapo ambao hawalikubali hilo haliingii ktk munkar Sio haraam
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 2 жыл бұрын
خالف تعرف hatutatawaelewa wewe barahiani na wasenge wenzako wote wakufatao
@ismaildaffa8124
@ismaildaffa8124 5 жыл бұрын
Maulid bidaa ,mashindano yaquran bidaa vilevile ,sema zote bidaa nzuri
@aidoact3166
@aidoact3166 5 жыл бұрын
Ismail Daffa Tuafikiane tu zote ni bidaa lkn ucxeme kuwa zote ni bidaa nzur kwan yot hayana acli kweny uixlam
@aidoact3166
@aidoact3166 5 жыл бұрын
Au kma una hoja ya kuhalalisha maulidi lete
@halfanabdalla8949
@halfanabdalla8949 5 жыл бұрын
@@aidoact3166 je una hoja ya kutetea mashindano ya Quran kwa dalili
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 жыл бұрын
Kila bida'a ni upotevu. Hakuna nzuri wala mbaya.
@aidoact3166
@aidoact3166 5 жыл бұрын
halfan abdalla umeielewa vizur lkn iyo comment yangu , maana mim nimesema kuwa tuafikiane tu kuwa zote ni bidaa co bidaa nzur maana bidaa nzur ni ile isiyoleta athari katik dini
@musakasimu7400
@musakasimu7400 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Comment zote zinamuona mwehu shekhe 😂 😂 ushauri wangu rudi madrasa shekhe😂
@androidhms8184
@androidhms8184 4 жыл бұрын
Muhimu Yasiwe na Siku maalumu Ya kufanyika ila Sin Elimu mimi
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 4 жыл бұрын
Shekh hujajibu swali, leta dalili hao wanachuoni, waliyatoa kwa nani?
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Sasa katika mawlid tunawakusanya ngombe?
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Khattab Khamis kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Abdulrahman mussa Lonka ماشاءاللہ جزاك اللهُ‎
@user412
@user412 5 жыл бұрын
umeongea kitu
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Lkn harambeee cjui ameileta nani?
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Mnakusanya ushirikina
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 4 жыл бұрын
Kwaiyo sasa Kongamano la watu kwa Maulidi kinatatizo gani shekheee?
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 2 жыл бұрын
barahiani kua mkweli bidaa wewe pumba wewe
@fatwimatzahrau2327
@fatwimatzahrau2327 3 жыл бұрын
Muna chuki namaulidi tu
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 4 жыл бұрын
Bid' A kubwa saaanaaaaa
@abdulmunira8430
@abdulmunira8430 4 жыл бұрын
من جهل شيء عداه
@othmanbakari2675
@othmanbakari2675 4 жыл бұрын
Umesema kweli akhii
@m.othman866
@m.othman866 5 жыл бұрын
Yani wewe ni juha wa hali ya juu... Waulozwa mashindano ya Qur an kisja wasema Mtume alishindana mbio na mama aisha. Swali maghribi .. Jawabu Mashariki
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Hayo ndio madhara ya kusikiliza vitu kwa kudonoa sikiliza uelewe acha hisia kwenye dalili
@binshelabinnabah8613
@binshelabinnabah8613 4 жыл бұрын
Jamani huyo shekhe hakuelewa SWALI au maksuditu au jibu hana?
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 4 жыл бұрын
Huu ni Unaafiq
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
Nyie mawahabi ni wajinga kabisa sasa hapo umekataa nn ume kubali nn,
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
hemed harouna kinachowachanganya ni kwakuwa haya ya sasa wanapewa pesa au? Mbona Fatma binti rasuli aliolewa na Ally kwa kuwekwa mashindano ya qur'an. Ilikuwa hivi; siku moja mtume aliwaambia masahaba, atakae soma qur'an yote atamuowa Bint yangu fatma, hapo masahaba wakaparangana lakini hakuna alieweza, nae ally alikuwepo hapo, kisha ally akasoma zake suratul Ikhlaas kisha akakaa kimya Mtume (Swallallahu 'alayhi waalihi wasalaam) akamwambia: mbona umekaa kimya? (Ally) Akajibu nimewahi kukusikia ukisema kuwa ataesoma suratul al-Ikhlaas ni sawa amesoma qur'an nzima. Hapo ally akapewa mke. Mbona dalili hii ipo, labda sheikh wetu kasahau tuh.
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 5 жыл бұрын
Ww unajaji kundii hujaji miongozo ya dini hutojua unachotaka kujua
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
@@xalamlutfih6014 tena Ww ndio mjinga kabisa وأنت جاهل مركب
@xalamlutfih6014
@xalamlutfih6014 4 жыл бұрын
@ hemed harouna sawa ahsante
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Huna ilim ya kupnga maulid wallaah huna
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 4 жыл бұрын
Maneno yako yana harufu ya ujaahil
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Km ilivyo akili yko
@ramadhanomar8093
@ramadhanomar8093 4 жыл бұрын
Sidhani kama hata alifu waijua wewe
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Nmeweza kujua ubovu wa akil yko ntaxhndwa alif
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Una kchaa cha kiwahab ww
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 12 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
LIVE - KONGAMANO LA KIDAWAAH  | AFRIKA MASHARIKI
56:52
IHSAAN TV
Рет қаралды 3,3 М.
Jee Maulid yametajwa katika Quran Sh Ahmad Msallam
11:17
Abu Ayman
Рет қаралды 50 М.
KUJIGONGA GONGA KWA NURDIN KISHKI
2:46
Nahjusalaf Online Tv
Рет қаралды 13 М.
MJADALA WA MAULID ELDORET -KENYA - 15 OF 16
7:26
shining noor
Рет қаралды 128 М.
Ust mazinge Part 13 of 17-Ibrahim in the qur'an and the Bible
9:35
Haya ndio aliyoyasema SHEKH MOHAMMAD IS'HAAQ
2:26
mirath tv online
Рет қаралды 6 М.