Ufafanuzi wa tuhuma za kuwakufurisha Maibadhi na kishki - Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 25,544

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Bidaa zipo aina mbili kwa mujibu wa mwanachuoni sheikh shaarawi. Bid-atun hasana na bid-atun dhalala. Acha jazba ustadhi barahiyan na kaa kwa masheikhe usome
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 3 жыл бұрын
Sharawy ndo dalili ??? Huyo barahiyan kasoma hakuna msufy tz anamkuta huyo
@aliybecka5169
@aliybecka5169 3 жыл бұрын
kama wewe na shrwy munasema kuna bidaa mbili basi ujue mtume anasema kila bidaa ni upotevu na kila upotevu motoni ndio malipo yake kwahiyo wewe hiyo bidaa yako hasani itie kwenye dini halafu uje uone mbele ya mungu itakuaje
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
@@aliybecka5169 acha kuhukumu watu.Tatizo hao maustadh waliokufundisheni ndio wanakupotezeni.Elimu ni bahari na kila mtu ana ufahamu wake.Na Allah amesema kila penye mjuzi pana mjuzi zaidi.Na kazi ya kuhukumu ni ya Allah.Sisi ni kuomba hidaya na mwisho mwema.Dini sio siasa au ushabiki wa simba na yanga
@aliybecka5169
@aliybecka5169 3 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 Maskini unataka sana kuongelea dini lakini kichwani hamna kitu pole sana ety elimu ni bahari kila mtu ana ufahamu wake mhhh sasa wewe mtilie mungu uzushi wako kwenye dini yake halaf uje umuambie elimu ni bahari na ww umeogelea upande huo
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
@@aliybecka5169 imam Ally alisema akibishana na mtu mjinga anashindwa.Na akibishana ns mtu msomi anamshinda.Kwa kuwa huna elimu siwezi kubishana na wewe
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
Allah atakuangaza Leo duniani kesho akk
@sharifahandhara8592
@sharifahandhara8592 4 жыл бұрын
الله يحفظه شيخ نور الدين محمد Allah ampe subra kwa hivi anavyo fanyiwa na sheykh wenzie balaa wakalinganie waikrst waingie ktk deen waanza kukufurish masheikh wenzao Mmmmh Allah atupe salama
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 9 ай бұрын
Nimechelewa kuiyona hii lakini barahiyan nipo tayari kukusomesha,hoja zote ulizotoa dhidi ya ibaadh hazina mashiko.
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 5 жыл бұрын
jazakaallahukheir wallahi umenilisha chakula cjawahi kula maishani mwangu asante shehe allah akulipe jazaa nyingi
@salimhabib2177
@salimhabib2177 5 жыл бұрын
Abuu Ashyam Ameen ya rabby kwasote
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Amekulisha fitna na chuki na upotofu
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Waisilmu naomba tue letu moja bila kujali madhehebi tupeleke usilaamu juuu asante
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Kaa chini usome tuwe pamoja na wazushi na wanao kufurisha maswahaba mche allah
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
mungu aibariki Tanzania na watu wote ishallha Nulu hatuwezi kuungana na wazushi
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Haliwezi kuwa letu mmoja ikiwa watu hawataki mongozo sahihi wa mtume
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 10 ай бұрын
Masalafy hawakubali kushirikiana na muislamu yoyote isipokuwa uwe Salafy. Masalafi wanaamini kuwa Waislamu wote ni wapotofu isipokuwa wao. Hawako tayari kuwa pamoja na Waislam wengine kwa lolote.
@yusufsaid2069
@yusufsaid2069 5 жыл бұрын
Shekh Barahiyani ana danki danki huku na kule KATIKA KUIIKIMBIA ((IMANI YAKE NA FIKRA ZAKE JUU YA MAIBADHI)) IKIWA MAIBADHI HAWAJULIKANI,BASI IFAHAMIKE KUA MAIBADHI TWAPINGA HAYA YAFUATAYO: 1) MUNGU HAONEKANI DUNIANI WALA AKHERA 2) MUISLAMU MWENYE KUFA NA MIJIDHAMBI MIKUBWA BILA YA KUTUBIA hapati (SHAFAA)uwombezi wa bwana mtume swalla llahu alaihi wa sallam SIKU YA QIYAMA 3) QURAAN NI (MAKHLOOQ) kwa maana IMEUMBWA....na wala SIO SIFA QADIMA(YA AZALI) kama wanavyodai WENGINE.... Na hayo MAMBO MATATU HAPO kilitungwa KITABU {{AL HAQQU DDAAMIGH} cha shekh Ahmad Alkhalili mufti wa Oman...anae JUA KUSOMA kiarabu na KUELEWA mambo ya DINI na ARUDI HUKO AKAJISOMEE kwa upana..... 4) Mas'ala ya MASWAHABA ...hasa hasa KUBUSU swahaba OTHMAN na ALLY (RADHIYALLAHU ANHUM))....ni mas'ala ambayo WANAWAZUONI TANGU KARNE NA KARNE waliwazungumzia HAO ...baada ya (FITNA) Kutokea....kila watu wamezungumza KIVYAO NA KILA MMOJA AMEKUA NA MTAZAMO wa HOJA ZAKE....ila MAIBADHI katika MAS'ALA HAYO KUNA ((RAI TATU) juu ya swahaba OTHMAN hasahasa.........na anaetaka KUYAJUA HAYO NA ARUDI KWENYE vitabu vya KIHISTORIA VILIVYO TUNGWA na MAIBADHI wenyewe.....AMA ukisoma VILIVYOTUNGWA NA WAPINZANI WAO utabakia MILELE KUWA KAMA SHEKH SALIM BARAHIYANI....!!!!! 5) Mas'ala ya MIZANI na SWIRAAT siku ya QIYAMA pia MAIBADHI wana mitazavo TAFAUTI...(SOMENI SIO MSHANGILIE TUU)!!!! 6) MAS-ALA YA KUA MAIBADHI NI MAKHAWAARIJ kila ANAEWAPIGA VITA IBADHI hilo ndilo JI IMANI LAKE.......mawahabi(mujassima,hashwiyya) na SHIA ....woote ni WAPINZANI WA MAIBADHI katika MITAZAMO YA MAS-ALA YA KISIASA NA FITNA ZILIZOTOKEA BAADA YA VITA VYA {{SWIFFIIN}} baina ya MUAAWIYA gavana wa SHAMU na IMAAM ALLY (karrama llahu wajhahuu)....Kuanzia PALE NDIO BALAA LOOOTE LILIANZA.... ........KWA KUKUPA FAIDA ZAIDIMSOMAJI WA COMMENT hii ni kwamba VITA VYA (SWIFFIIN) vilipelekea KUZALIWA MAKUNDI MAKUU MATATU AMBAYO LEO HII YAMEKUA NA WAFUASI DUNIANI KOOOTE.....(NA HAPA NAMAANISHA ZAIDI UPANDE WA KISIASA na SIO KIELIMU/KIDINI).... LA KWANZA : SUNNI LA PILI : SHIA LA TATU : IBADHI .......... fungua macho acha KUSHABIKIA SHABIKIA TUU....waburutwa na kutekwa akili na WEWE WAKUBALI!!!!!!!....
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 5 жыл бұрын
Endelea kupotoka na kupoteza watu
@jumahemed9841
@jumahemed9841 3 жыл бұрын
Qur ani ikiwa ni kiumbe au si kiumbe, inataka tuifuate vilivyo na kuifanyia kazi ipasavyo.
@jumahemed9841
@jumahemed9841 3 жыл бұрын
Duhh kumbe ukifanya madhambi makubwa kuna Shafaa.Kuanzia leo hapa duniani nafanya nitakalo.nitaokolewa na Moto kwa Shafaaaa.
@simbalion2871
@simbalion2871 4 жыл бұрын
Hao mnaowaita watu wa bidaa na kuwakufurisha na kuwambia watu wamotoni angalieni vifo vyao na wanakufa huku wanatowa shahada nahio sio moja walakumi ni maelfu vp kama watu wamotoni waipate shahada na mtume asema mwenye kuipata shahada neno lake la mwisho huyo mtu wa peponi.
@sadambakari2579
@sadambakari2579 6 ай бұрын
Allah atujaalie tubaki kumswalia mtu mpaka tuingie kaburini
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 5 ай бұрын
😂😂😂 acha kupoteza time yako Kwa watu wa pumbavuu kwani akisema barahiyani ndio kasema mtume s.a.w ? Waache wao wamejiveshaa cheo Cha mtume s.a.w Kwa kubashiria watu pepo na motoo ,ila chaajabu wao wenyewe hawana uhakika kama Ibada zao Allah anazikubali 😂😂😂 na watu kama hawaa ndio watu wa motoni ,maana mtu mwema hawezi kumbashiria mwenzake moto Kwa sababu Hana mamlaka ya kumtia mtu motoni 😢 Allah ndie mwenye kuhukumu wao waha wajinga wa kiwahabii wamejiveshaa mamlaka ya mwenyezimungu na mtume wake ndio maana hawaoni tabuu kuwabashiria wenzao motoni ila kiukweli kabisa waoo ndio watu wa motoni ,katika Kila umma lazima litatoka kundi la watu wa ovuu na katika umma wetu huu washajuulikana ni masalafi ndio watu waovu na ndio watu wa motoni kwa sifa zao na kujiona kwao ni Bora kuliko wengine ni dalili tosha ya kwamba Hawa ni watu wa motoni
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Жыл бұрын
Tunamuomba Allah akuoneshe njia
@stonecolly
@stonecolly 4 жыл бұрын
1. Muliandika kishki artadi ... ikisha twataka atoe shahada tena ...sio nyie. 2. Bwana wangu wewe hoja zipo kwenye vitabu umesoma . 3. Kwa ushahidi gani kua wamesema sayyidina uthman r.a ataingia motoni . Huu ni uongo na uzushi . Na Allah anakuona. 4. Kwa kusema akida yetu mbovu ... yenu iko sahihi dalili zilizo tolewa na jawabu mlizo pewa kupitia kitabu cha shk juma mazrui . “Fimbo ya mussa” umekisom . Na vingi vinginevo. Mlikijibu . Kadhalika binaadamu anatabia kujenga picha unapo mwambia kitu leo atakwenda kumuona Allah wasema ... na akianza kumchora na kumfikiria akilini utamlaumu . Jee hilo hali pingani na surat ikhlas sifa za Allah. 5. Ahlussunna wanakubaliana na wewe ? Au unajinasibisha nao iliwaliokua bendera kufata upepo nao wafate . (Vichwa mchungwa) . 6. Sh kishki ingelikua mbumbu angelikuja oman . Kipi kilichomfanya aje . Tafakari na elimu yako finyu . 7. Huyo anekuliza ikisha akakunsupport hapo nae mbumbu ... kapeqa karatasi aulize ikisha kinacho jibiwa ... eheee kabisa kabisa . Enyi ndugu wacheni kupotoa umma na kufarakanisha . Haki inapo simama uongo hubatilishwa . Hakki kwa dalili.
@kudrawanguvu5923
@kudrawanguvu5923 4 жыл бұрын
Mm nakuomba ukitaka kumjibu Shekhe jibu kwa dalil na dalil ni Qala Allah Qala Rasulu
@salimhabib2177
@salimhabib2177 5 жыл бұрын
Masha Allah shekhe barahiyyan Allah akulinde na akupe ujasiri wakuongea hakki
@omarinurdin261
@omarinurdin261 4 жыл бұрын
Baaraakallahufiyka yaa shaykhana!
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
Qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 5 жыл бұрын
Baarakallah feekum Ihsaan media, Kwahika tunawaombea dua kawa Allah awajaalie afya ili muweze kuelimisha Umma
@ismailimzeewachpsazizi5190
@ismailimzeewachpsazizi5190 3 жыл бұрын
mashaallah
@abdulazizal-mazroui3363
@abdulazizal-mazroui3363 9 ай бұрын
Sheikh Barahiyan mpka Leo umekimbia majibu yangu kwa kukuthibitishia kama imam rabiu bin habib al farahidy katajwa na masheikhe WA kisunni
@fahmifahim2594
@fahmifahim2594 5 жыл бұрын
Allah akuzidishie juu ya kutupa elim kubwa juu ya mapote mabaya katika uislam
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Hakuna faida utapata kwa watu wa fitna isipokuwa fitna zao na chuki na upotofu
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Subhana alah mtu mzima kama huyu, na alie vaa nguo za ahli al ilmu kawa ni muwongo kisiachi hichi
@ur4meAnwar
@ur4meAnwar 5 жыл бұрын
Ustadh Barahiyan salamun alaykum Kuhusiana na Ibadhia na maneno uloyatamka katika mada hii na khabari zijulikanazo kuwa dada yako umemwozesha mu ibadhi, ikiwa ni kweli basi haifai kukusikiza maana unawapotosha watu na kauli mbili ulonazo
@ur4meAnwar
@ur4meAnwar 5 жыл бұрын
@@IHSAANTV Jawabu iko kwenye comments ya video, ishajibiwa
@binnurdinkimberngurilay9363
@binnurdinkimberngurilay9363 5 жыл бұрын
shukran sheykh hayyaakallahu
@asilclub
@asilclub 3 жыл бұрын
WEWE jifundishe kiarabu kabla kuropoka AIBU hizo ndevu na udaganya
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 3 жыл бұрын
Weee pita kule twakujua sana
@yumnakarimov2105
@yumnakarimov2105 5 жыл бұрын
Jazakah llahu kheyra
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 3 жыл бұрын
Unapotosha watu, ni uongo kusema ibadhi wanasema Qur-ani si maneno ya Allah, unazungumza mambo kwa hawaa yako bila ufafanuzi wa sawa. Mche Allah
@aliybecka5169
@aliybecka5169 3 жыл бұрын
Wewe ndio hujaelewa au huwajui ibadhi mimi nimekua ibadhi zaid ya miaka5 na nimesoma kwako na najua kama hii ni itikadi yao halafu et unatetea mhhhhhhhhhhhhhhhhh pole
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
Umekula kiapo kusema uongo
@111dudi
@111dudi 5 жыл бұрын
Kuna barua ilisambazwa iliyotoka kwa sheikh Bahrayani ya kumfukuza Sheikh Kishki toka kwenye madhehebu ya Ahl sunna . Sheikh Bahrayani nakushauri uende Oman ukajifunze msimano wa maibadhi.
@UNO-xt7we
@UNO-xt7we 4 жыл бұрын
unaacha kulingania vijana unaanzisha fitna kwenye uislamu .
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
, shades
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
hahahahhahahhah🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😃🤣🤣🤣🤣😀🤣😀🤣😁🤣😁😃😄😅😅😃😁🤣😁makundi yote motoni ispokua lao ansari sunna salafi wahabi mungu na mtume wake kawatabiria hawana wasiwasi na pepo ya allah......
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
ametabiri ahlu ssunna hajatabiri uwahabi wala salafi wala wahbi, soma vzr usijipaishe km upepo
@AbdallahIssaShekhan
@AbdallahIssaShekhan 10 ай бұрын
Huyu sio shekhe ni shehena Mola ameshajieleza hafanani na chochote kama utamuonaje kwani upepo unaonekana lakini c upo ndio mfano Mungu yupo lkn hatujamuona,hatumuoni na hatutomuona milele na milele Answar wote wakasome hawana elimu
@ChabAlly-jq6oo
@ChabAlly-jq6oo 9 ай бұрын
Wewe ndio unaeleza uongo. Huchambui hilafu zilizopo kwa uadilifu. Mtu hawezi kusema Quran si maneno ya Mungu akabaki muislam.
@aliabdalla4708
@aliabdalla4708 2 жыл бұрын
mnafiq mkubwa kasome kwa maibadhi hoyoo
@omaredhasaidal.obthani4775
@omaredhasaidal.obthani4775 10 ай бұрын
Akasome nini sasa kwa maibadhi ? Kukataa aya za quraan au ? Maibadhi ni watu wa bidaa ... Maibadhii ndio waje wasome kwa sheikh barahyaan
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 4 жыл бұрын
Allah ametuita sisi ni Waislamu.nyinyi wajiita Ahlul Sunnah waal jamaah.Kuna Bidaah zaidi ya hiyo.
@omarinurdin261
@omarinurdin261 5 жыл бұрын
Sheikh wangu Barahiyan naye ni salafiy
@aliasas5772
@aliasas5772 3 жыл бұрын
Sheikh huelezi vizuri tafauti.Tafauti kweli ni tafsiri.Mfano kuoneka kwa Mungu sawa.Ataonekanaje?Kwa Sababu kuna aya zisemazo jicho halimdiriki Mungu.Sasa ninyi mkimfa ya Mungu ana umbile la binadam hutuwezi kukubaliana na nyie.Halafu huna uislam kama hukuamiQuran maneno ya Mungu.Nyinyi mnalazimisha mtu aseme Qur'an si makhluk ndio akamilishe Iman.Huko ni kuengeza nguzo za lmani kuwa saba kulikomfanya sheikh Ibnitaimiya kufia jela.Na waliomga so maibadhi.Watu waOman hawajashiriki Vita vya masahaba wala kumuasi khalifa yeyote.Kwa hivyo hawana hawakuwa na sifa za ukhawarij unazizungumza.Tofauti nyie mmewasafisha masahaba wote kuwa maasum,wakati Ibadhi wanaamini hakuna.Ikiwa kutaja makosa ya masaba ni dhambi basi umewatia katika daraja ya maasum si mujitahidi.Mujitahidi ni wale waliambatana na Mtume hijra.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
,shahada hatoitoa kwa zulma ànazofanya kwa waislam
@KAIPAAA3211
@KAIPAAA3211 9 ай бұрын
Mbona tasis na kanisa ni sawa wote ni matasisi
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 3 ай бұрын
Huyuu mzee sijui kama sio mlevii huyuu
@SalehLofy
@SalehLofy Жыл бұрын
HADITHI GANI YA MTUME (S.A.W) INASEMA AHLUSUNNA WAL JAMAA NDIO KUNDI SAHIHI NA NDIO KUNDI LA PEPONI? NA IBADHI GANI AU KITABU GANI CHA IBADH KINASEMA SAYYIDNA OTHMAN,SAYYIDNA ALI NI WATU WA MOTONI? NA IBADH NA NYINYI NI LIPI KUNDI LA ZAMANI
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 5 жыл бұрын
huwa nasikiliza mawaidha yako ila kuna siku ulipojibu nikaona huna elimu na na unajificha kwenye kivuli cha ahlusunna ila ukweli wewe sio ahlussuna undelea kudanganya watu wajinga
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 4 жыл бұрын
Nakuunga mkono ndugu
@asasally3978
@asasally3978 5 жыл бұрын
Shekhe khitlafu za maulamaa zilikuwepo toka wakati wa maswahaba.Muhimu ni kutegemea Qur'an na hadith.Muhitlafiane kwa tafsir. Shida ya masalafi hawaweki wazi tafauti zilizopo na Maibadhi.Ni kama watu wanaojiona wana wajiibu wa kuwapinga kwa hali yoyote. Mfano ukisema Maibadhi wanesema Qur'an si maneno ya Mwezimungu ni kupotosha ukweli tu.Mjadala wa Quran makhluk au si makhluk hauko kwa Maibadhi tu uko pia kwa Ahalsunna Waljamaa.Tafauti zilipo baina ya Maibadhi na Salafi Ibadha wana maelezo mazuri ya kutegemea Qur'an na Sunna.Wala hakuna sababu ya uhasama.Waislam tuwasikilize mashekhe wetu na tufuate yaliyo mazuri tu.
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Ndugu itikadi ya ibadhi ni kama mashia tu kwa mujibu wa itikadi ya ibadhi ally kwao ni kafiri othamani kwao nikafiri Muawiya kwao ni kafiri HUSSENI kwao nikafiri mtume asema umma huu utatofautiana makundi 73 mmoja litaenda peponi ni lile litashikamana na muongozo sahihi
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Ni lile litakalo faata Yale aliyo kuwa nayo mtume Je mtume aliwaita maswahaba ni makafiri ?
@asasmohamed8437
@asasmohamed8437 5 жыл бұрын
@@hasanially9294 Huo ndio uzushi mtupu.Hakuna ibadhi anaewatukana masahaba.Ibadhi inawatambua masahaba kwa utukufu na vyeo vyao.Inawatambua pia taabii na taabii tabiina kwa juhudi zao.
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
@@asasmohamed8437 soma vitambu vyao wana mkufurisha ally husen Muawiya othumani
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
@@asasmohamed8437 tafuta mtoto wa ibadhi anae itwa othumani
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
,mbona umemshki maha.kamani mjane kwa hakizake
@111dudi
@111dudi 5 жыл бұрын
Na wale wanao waudhi Waumini wanaume na wanawake pasina wao kufanya kosa lolote, bila ya shaka wamebeba dhulma kubwa na dhambi zilio dhaahiri.Ahzaab 58
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Sheikh wewe unauhakika gani kama unachokifanya Allah anakikubali na atakuingiza peponi
@hakikwadalili
@hakikwadalili 2 жыл бұрын
Maneno ya Bidaa za Kukufurisha alipoulizwa huyu kuhusu kufaa kusali nyuma ya Maibadhi yashapeperuka.
@alimsemakweli1376
@alimsemakweli1376 4 жыл бұрын
Wewe unaweza kumchallange al ulaama SHEIKH Ahmed al Khalil?
@yasakilube9946
@yasakilube9946 3 жыл бұрын
Yy km nani ? Ni mtu wa bid' aa tuu, aliesema nabii Issa kashakufa na wala hatokuj ten dunian
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
@@yasakilube9946 yy nikama ww elimu yako iko juu kidogo yy hamna kitu mjinga ww ....ivi kuna sheikh mwenye hikma na tabia za aina yake kama yule anapigiwa mfano na masheikh wako wakiwahabi huko saudia hem fatilia utaona acha kuporoja ww
@yasakilube9946
@yasakilube9946 3 жыл бұрын
@@imash04tv20 mzushi tuu kama wazushi wengine, anapigiwa mfano na nan ? Labda radd nzito kutok kwa mashekh wa kisaudi
@yasakilube9946
@yasakilube9946 3 жыл бұрын
@@imash04tv20 soma iyo itikadi yako chafu ya tuu makhawarij wa kiibadhi nyinyi, Ahmad khalil anaitakidi nabii issa kashakufa na wala hatorudi duniani, kwaiyo yy na mtume tumfate nani
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
@@yasakilube9946 sawa mm ninazo natosheka nqzo sio lazima kwani ww unatosheka na ta3assub za kimadhebu wala hunitikisi mfano wako wapo elfu moja mm najua maibadhi hawana kawaida ya kujibizana mitandaoni kama nyinyi nq kukufurisha wengine na hilo ndio linatufanya tuwe na yaqini nayo radd unazijua ww lugha yakiarabu umesoma wapi hata uifahamu hakuna alokua anapendwa na watu wote wapo watamsifia na wapo watamchukia inatosheleza hile hadithi لو اتيت اهل عمان ما سبوك وما ضربوك....
@mohdsalehsaid258
@mohdsalehsaid258 3 жыл бұрын
Maibadhi makafiri kabisa
@asasally3978
@asasally3978 5 жыл бұрын
Sheikh unazugumza siasa.Siasa za kugombea waumini. Kwa mwanasiasa kusema uongo,kupinda ukweli au kuleta ukweli yasiyo na maelezo sahih ni sawa tu kama malengo yanafikiwa.Hakuna hata moja unalozungumza kuhusu lbadhi likawa na usahihi.Mfano:Unazungumzia ukhawarij kamani itikadi ambayo inarithiwa.Wakati ukhawarij nikukhalifu amri ya Khalifa. Kwa mujibu wa maulamaa wengi ukhali ulimalizika na Saydna Ali.Leo khawarij katokea wapi.Watu was Omani wenyewe hawakushiriki vita vya maswahaba ambavyo ndivyo vilivyozaa makhawarij wakubwa.Shekhe zungumziia khilafu kwa ukweli.Kuna muislam anaesema kuwa Quran si maneno ya Mungu?
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Shekh kasome vizuri, na pia kuwa msikilizaji vizuri pia
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Uongofu wa akida na upotofu wake ni kulingana na qurani na sunah aw kwenda kinyume na vitu hivyo viwili
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 5 жыл бұрын
we shehe ni muhuni acha uhuni katika dini haya umeyasema hadharani na mm nakwambia hadharani
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 3 жыл бұрын
uhuni wake mini ime kungo su vp
@asiahaji5081
@asiahaji5081 4 жыл бұрын
Yaani ndevu tuu hapo Mzee tukikupiga bomu kuhusu ndevu utatamani uzinyowe zooote
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
ndo nin sasa
@asilclub
@asilclub 3 жыл бұрын
Hujui kiarabu wewe haditha za bukhari nyingi zimewekwa na wajinga kama wewe ingokua siyo Abadhi hautakuwa wewe muislamu kabisi lakini peasa za Wahabiya zimejaa mdomo wako
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Mimi nahisi kama hawa masalafi wote akili zao haziwatoshi, Inatosha kabisa kuwa masalafi wenyewao wanakufurishana na wanapapurana kama manyani
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 3 жыл бұрын
Ebu kalale
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
@@mussamsuya8595 Tatizo nikuwa Muwahabi akingia pahali huwanyima watu usingizi kwa fujo lao
@twahir555mohd5
@twahir555mohd5 5 жыл бұрын
Sheikh Mm kuna mtu ni Muibadh na kafa ba Shahzad, acheni porojo
@mzuvendi
@mzuvendi 4 жыл бұрын
Wallahi muongo hadi ndevu zake huyu..In Shaa Allah Allah amfungue akili yake iliofungika..kama kweli anayoyasema aje apambane na masheikh zetu tuone kama hakurudi kuwa dhalili huyu..mabwana zake Saudia walifyata itakua huyu chipukizi! Bana kula ugali wako ukalale hayo ni makubwa kukushinda wewe hako kaelmu kako..
@fahadsulaiman9996
@fahadsulaiman9996 3 жыл бұрын
Nikweli huwa wanasemea mbali mbona hawaji karibu wakaenda kihoja
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 8 ай бұрын
Wewe mzehe natamani ufe kabisa ....maana huna musada kwa ummat Muhammed
@sl-uh6jc
@sl-uh6jc 4 жыл бұрын
Astaghfirllah
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 3 жыл бұрын
na wote wamfatao
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Kundi hilo sio laa answari sunna ni kundi ra Sarafiyuu babuu twataka mnakasha tangamano as masarafi na answari ili watu waijuwe haki iko wapi
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 9 ай бұрын
Ndio maana mi nakwita BARAHAYAWANI kwa kuwa huna akili
@saudhamdoon4825
@saudhamdoon4825 2 жыл бұрын
toa ushahidi ndani ya quran kuwa watakao ingia motoni watatolewa wewe unaleta ushahidi wa hadith zunazopingana na quran
@saudhamdoon4825
@saudhamdoon4825 2 жыл бұрын
kuhusu sayyidna Othmaan radhia llahu anhu na kumnasibisha na maibadhi huko ni kuwafanyia dhulma nataka nikujuze kama ulikuwa hujui kuwa othman ameuliwa na kundi la maswahaba na wakati huo ibadh hayupo je ni sababu zipi zilizopelekea kuuliwa je hawa waliomuuwa upo ushahidi kuwa walitubu au kisasi kilipita juu yao? toa maelezo ya ukweli
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
Anwar Alhashimy congratulation umeitia nguvu imani yangu saana niliamini kuwa huyu balaaahiyana ni njaa ilikuwa ikimsumbua tu sasa Anwar umeweka mambo yote hadharani kubwa naloona mimi mtu yeyote yule kwa balaahiyana ni mwisilamu tuuu wakati pesa anatoa hata shia kumbe wakimrambisha pesa huyu mbona atatuliza mizuka kumbe njaaaaaa ASTAGHFIRULLAH .
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
Mimi iwapo nitamkutia salafi wahabi ameridhika na muhabi mwenzake, wakawa hawapapurani kama mapaka, ndio pengine nisadiki uwongo wao
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Sheikh kwanza ingizaa wewe kwanza peponi acha kuongeaa porojoo unakufurisha watu utafkiri kama wewe iyoo pepo umeandaliwa wewe tu
@AbdallahIssaShekhan
@AbdallahIssaShekhan 10 ай бұрын
Katika mashehe vihiyo huyu na Bachu nina wac wac wana mizigo ya bega sio kwa upotofu huu na wote wanaowafuata makafiri hawa wasiokuwa na elimu na adabu ya dini mafikio yao Jahanamu.
@suleimansaid7486
@suleimansaid7486 2 жыл бұрын
Wewe sheikh wacha fitina. Ibadhi gani alokataa quran Tuletee ushahidi.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
Wacha zulma Kwa yatima na wajane
@fatemaissaissafatema6310
@fatemaissaissafatema6310 4 жыл бұрын
Kwani ibadhi anatumia kitabu gain?
@ABUUALLY-u6x
@ABUUALLY-u6x 3 сағат бұрын
Huyu mzee ni mgonjwa wa akilii usishangae katumwa ili kuwachafua waislamu,alafu ety anajiona anaelimu ,hebu nikuulize swali je unauhakika gani kama wewe ni mtu wa peponi ?? 😂😂😂
@sulaimanalamri9261
@sulaimanalamri9261 Жыл бұрын
Hio nadhira ya hapo sio ya kuona na yakusubiri
@z34-kp9qq
@z34-kp9qq 9 ай бұрын
Na إلى jee?
@ABUUALLY-u6x
@ABUUALLY-u6x 2 сағат бұрын
Huyu mzee anakuharibieni channel yenu ya ihsaan tv 😂😂 huyu mzee chuki na ufisadi ndo alonao hana jipyaa musipokuwa makini nae basi mutajikuta mumepoteza wasikilizaje
@sultanismaili
@sultanismaili 2 жыл бұрын
Sheikh bora ujishughulishe na jiepushe nafsi yako na watoto wako na moto kama inavyo tukumbusha quraan. Isome aqida ya kiibadhi kabla kurepuka na kusema kuwa maibadhi wanasema Othman ni mtu wa motoni. Ibadhi gani kasema haya?
@asiahaji5081
@asiahaji5081 4 жыл бұрын
Kwani jamani Ahlisunna waljamaa na Answarusunna waljamaa hawa watu ni akina naniiiii?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
MAIBADHI NI WATU WA OMAN (ALGHUBAIRA), MSIKILIZE MTUME SAW ANASEMAJE JUU YA WATU WA OMAN (IBADHI). = Prophet Muhammad (PBUH) said that, ‘God’s mercy be on the people of Al Ghubaira (the people of Oman)…They have believed in me although they had not seen me.’ قال النبي محمد (صلى الله عليه وسلم): ""رحمة الله على أهل الغبيرة (أهل عُمان) ... لقد آمنوا بي رغم أنهم لم يروني"". ☝️sasa wewe BARAHIANI MUWAHABI ( KUTOKA NAJDI ALIOZALIWA MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI) UMEOMBEWA DUWA GANI NA MTUME SAW?!!!!. Au ni choyo zenu WAFUASI WA NAJDI DHIDI YA WAFUASI WA ALGHUBAIRA?!
@Kzm-c9u
@Kzm-c9u Жыл бұрын
Weka na sanadi ya hadithi yako. Ansema ibn mubaarak الإسناد من الدّين ولولا الإسناد لقال من شاء ما شاء
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@Kzm-c9u ISNADU YA HADITHI KAMA HUJUI RUDI MADARASANI, KWANZA ITAFUTE ISNADU YAKO KATIKA DINI. MIMI ISNADI YANGU NI WA 28 KUTOKA KWA MTUME SAW NA SANAD YA LKADIRIY , JEE WEWE ISNADI YAKO NI WANGAPI KUTOKA KWA MTUME SAW NI IPI?. MAANA ISIJEKUWA UNAHAGAIKA KUJUA SANAD YA HADITHI HALI WEWE MPOKEAJI SANAD HUNA!!!
@yahasalel-sheibany5403
@yahasalel-sheibany5403 4 жыл бұрын
Hy si Sheikh na atafuta dume hk asilete porojo hap kam unataka dalili ya yote pitia vitabu vyetu kakae usome vzr moja chukua "Alhaaqq ddamiu" na ujitokeze tena hap la sihivyo tafuta dume likupande huko
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 жыл бұрын
Nyinyi wenyewe Masalafy wanakupigeni raddi.
@ausihaji2398
@ausihaji2398 5 жыл бұрын
Ndugu yangu tambuwa ya Kuwa RADDI Ni sehemu ya Dini na wala si Chuki
@yahyaibrahim2657
@yahyaibrahim2657 5 жыл бұрын
Allah amhifadhi sheikh bakhaliani tuna muweke kundi la whatsup ili ujumbe ufike mbali
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 жыл бұрын
@@ausihaji2398 Ndo mujue hakuna mkamilifu, chamsingi ukipigwa radd unatakiwa ubadilike, na sio kusimamia upotevu.
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 жыл бұрын
@@yahyaibrahim2657 Naomba kuengezwa kwa group la whatssap +254722616109 Abu Muhammad
@issamohammed5728
@issamohammed5728 5 жыл бұрын
Ukisema mimi nidhehebu flani bc wewe nipote uliepotelea mbali bwana mtume Muhammad swalla llahu alayhi wasallam katuachia Qur.an na sunna bc madhehebu yote nimapote yaupotevu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Жыл бұрын
,,watakao ingia motoni utawaongoza wewe kwa zulmazako
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 3 жыл бұрын
kama ndevu na nguo zitamfikisha motoni bas na wewe motoni,,, kwa sbb mtume hajalingania ktk maredio
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 5 жыл бұрын
Sheikh bado , endelea kutumia hekma sana , wewe ulisema tabligh katika mazingira ambayo sio mazuri bila hata ya kuwa na dalili leo hii unaomba dalili, katika masala ambayo yamewagusa moja kwa moja
@abdulmussa5686
@abdulmussa5686 3 жыл бұрын
barahiani ni fitna
@hemedwow8802
@hemedwow8802 5 жыл бұрын
Fitna tu wewe....huna lolote.wakat ulipokua unapewa misaada na maibadhi ulikua kimya.leo umekatiwa misaada ndio mdomo mrefu!
@omarinurdin261
@omarinurdin261 5 жыл бұрын
Yeye ndo ameanza daawa ya salafi kitambo sana
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Hata wewe unazo bida zako za uaswari sasa wadai nawe ni sarafi haya usarafi huo babuu ume utowa wapi wakati wapingaji wa dawatu Sarafiyuu nawe umoo
@azizamri1522
@azizamri1522 2 жыл бұрын
Elimu finyu na fitna zimekujaa. Hukmu yako iko kwa Allah. Haina haja kubishana na wewe.
@aliabdalla4708
@aliabdalla4708 2 жыл бұрын
wewe pia utaingia motoni
@mohamedkiyungi4867
@mohamedkiyungi4867 5 жыл бұрын
Wana wananpigana na Qur-an? Bado sio makafiri tu hawa? Wa LLAH ni makafiri labda wasilimu na wabadilike kabisa
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
ndio hapo sasa watu wanataka watu wa bidaa na watu wa haqi wawe pamoja hilo haliwezekani kabisa ...mana sio tafsir ya aya
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
We mshenzi tu Kama washenzi Wengine
@abuusalum928
@abuusalum928 5 жыл бұрын
Asalaamalaikum, muogope allah !!!
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Wemwenyewe ulidai msikiti wa moshi sasa uko China ya masarafiyyu usi mradi kishiki we mwenyewe waradiwa na Shekh kasimu achaa bidaa zako za utaa sisi na kuchukuwa Mali za watu
@yahyaibrahim2657
@yahyaibrahim2657 5 жыл бұрын
Hasani Ally ivi taasis ya ibn taaymia ni yanani Sheikh yupo safi Allah amhifadhi sheikh bahaliani
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
@@yahyaibrahim2657 taasisi ya answari waijuwa yatoka wapi nitafute kupitia mamba hii inshaallah tupate fahamishana zaidi +255 674602754
@deathrow8004
@deathrow8004 5 жыл бұрын
hata abdul fadhwili qassim ibn mafuta anataasisi..HILI LIMEKAAJE?
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
@@deathrow8004 je kuna kupiga kura kama aswari sunna kuweka amirii
Mwasema Maulidi ni Bidaa, Mbona mwafanya Mashindano ya Qur'an?
10:02
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
TALAKA ILIYOTOLEWA WAKATI WA HEDHI INASWIHI? | SHEIKH SALIM BARAHIYAN
4:23
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 683
Asieswali ni Kafiri? | Sheikh Salim Barahiyan
8:38
IHSAAN TV
Рет қаралды 6 М.
Jawabu kwa Abu Khatwab kuhusu tuhuma zake dhidi ya Ibadhi.
22:25
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 1,3 М.
UISLAM SI UGAIDI || Sheikh Salim Barahiyan
22:05
Sadick TV
Рет қаралды 474
FATWA | Je! Kuvaa Niqab kwa Mwanamke ni lazima?
5:37
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 3,3 М.
NDOA NA MKE WA ZINAA
8:43
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 127 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН