No video

Je, Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya?

  Рет қаралды 12,236

Durusu Kiswahili

Durusu Kiswahili

Күн бұрын

"Wanaodhani kwamba Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya hawajui Kiswahili ni kipi," asema Khalid Omar Mohammed Kitito ambaye ni Mratibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa nchini Kenya. Sikiliza Sababu zake hapa.

Пікірлер: 326
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Жыл бұрын
Mimi kama Mkenya, maoni yangu ni kwamba Watanzania kwa ujumla hufua dafu sana katika matumizi ya lugha ya Kiswahili, hata lugha yenyewe inatumikika kwenye viashiria vya barabarani mfano badala ya "Stop" ni Simama. Wakenya ni wadau na watalaamu wa Kiswahili ambao huweza kuwasiliana kwa Kiswahili kwa ufasaha. Tukitaka Kiswahili kikuze kwetu Kenya lazima tuondoe kikwazo ambacho ni Kiingereza. Halafu Kiswahili kiwe lugha rasmi ya matumizi kote nchini. Huo ndio mtazamo wangu.
@DianaRoseAOyula
@DianaRoseAOyula 2 жыл бұрын
Wabara tunajitahidi kujifunza Kiswahili! Asante sana umeelezea vizuri ni kweli wengi hawaelewi hili suala.
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 жыл бұрын
Waarabu wanajua kiswahili kuliko wewe ulie zaliwa afrika mashariki cause asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili ni kiarabu
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 5 ай бұрын
​@@user-mq6lu2po3ykiarabu kiliingia baadae kwenye lugha ya kiswahili lakini kiswahili kilichotoka shungwaya hakukua naneno lakiarabu hata moja
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 жыл бұрын
Asante kaka. Kiswahili kina wenyewe, wazungumzaji asilia. Nadhani kuna makundi makubwa mawili ya wanaotumia kiswahili. 1. Waswahili asilia, wakazi wa mwambao, wakiwamo wakenya na watanzania. Hawa aghlab lugha yao haina mashaka. 2. Wale ambao kiswahili si lugha yao asilia, hawa pia wapo Kenya na Tanzania. Katika kundi hili wapo ambao kiswahili chao kina mashaka, japo kidogo na japo wengi wao wanafanya jitihada kubwa kuzungumza vizuri. Nadhani pia kundi hili la 2 kwa upande wa Kenya kiswahili chao kina mashaka zaidi ya wenzao wa upande wa Tanzania. Mimi kama mzawa wa Zanzibar nakubaliana nawe kuhusu umahiri wa waswahili asilia wa Kenya. Tunathamini sana mchango wao na mimi hupenda kuwasikiliza wanapozungumza. Tukitunze kiswahili chetu na tukithamini - mcheza kwao hutunzwa.
@jeniffermasha2540
@jeniffermasha2540 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Mimi nilizungumza lugha ya kiswahili cha Kiamu mbele ya wenzangu ambao wametoka Zanzibar na wakanicheka niliwaeleza kuwa lugha niliyo itumia ndio kiswahili hasa .Wakanijibu kuwa lugha ya Sawa ni kiunguja. Sasa nimeona ajabu kuwa Wewe ni kutoka Zanzibar na unapenda kusikia lugha za kutoka sehemu zetu za pwani ya Kenya.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Assalaam alaykum akhy. Kwanza pole sana kwa kufanyiwa dhihaka na baadhi ya waswahili wa Zanzibar! Kusema kweli tatizo ni kuwa sisi waswahili wenyewe miongoni mwetu historia ya hii lugha yetu hatuijui (vizuri). Ninavotambua mimi ni kuwa kiAmu ni moja ya lahaja kuu za lugha ya kiswahili. Lahaja ya kiunguja ndio imekuwa msingi wa kiswahili sanifu, ambacho kinatumika kwenye vitabu n.k. Pengine kwa sababu tu kuwa Unguja ndio ilikuwa makao makuu ya Dola ya Zanzibar. Dola ambayo ilitandawaa mwambao wa afrika ya mashariki na kufika mpaka Congo. Labda hii ndio sababu baadhi ya wazanzibari, khususan waliotoka Unguja mjini, hudhani kuwa kiswahili chao tu ndio sahihi! Unguja na Pemba zipo pia lahaja za kiswahili, kama kihadimu (kimakunduchi), kitumbatu n.k.. Mimi nilifanya ziara makhsus ya kwenda Mombasa, Malindi, Lamu na Pate. Kwa nia ya kuitembelea jamii ya waswahili wenzangu na kuona maisha yao na kuwasikiliza wanapozungumza. Nilipokuwa Lamu nilisikia maneno sikuwahi kuyasikia kabla. Lakini kwa kuwa mimi pia mswahili niliweza kufahamu maana yake kwa mujibu wa mazingira ya matumizi (context). Kumradhi kwa maandishi marefu.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@Ali-nl2du Shukran Kwa maelezo yako ambayo nimeyafahamu kabisa. Sisi watu wa pwani ya Kenya tulikuwa chini ya utawala wa Sultan wa Zanzibar. Tarehe 10 December 1964 tulihamishwa tukatiwa katika taifa la Kenya. Toka siku hiyo Hadi Leo pwani yetu imezoroteka chini ya utawala wa mkenya. Siku hiyo tunasema ilikuwa ni siku ya msiba Kwa watu wa pwani.Maana lugha yetu imeharibiwa na kiengereza kikathaminiwa kuliko kiswahili.Mbali na ubaguzi dhidi ya watu wa pwani.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Sheikh Hassan hapa umesema jambo la kuhuzunisha na la kusikitisha. Kuvunjika kwa dola ya Zanzibar ilikuwa kipigo kizito sana kwa jamii ya waswahili. Mpaka leo bado hatujainuka. Hii ilikuwa mbinu ya mkoloni, kuanzia mjerumani kupitia muingereza, kwa kushiriana na baadhi ya majirani zetu. Dola ya Zanzibar sasa imebakia Unguja na Pemba tu, nayo pia imemezwa na Tanganyika, japo tumeachiwa bendera na serikali isiyo na meno! Lakini inna baadal usri yusraa, baada ya dhiki faraja, pia kheri hutokana na shari na kiza kinapozidi basi ujue asubuhi inakurubia. Sisi waswahili sote tunajijua kuwa ni kitu kimoja. Kuanzia kusini ya Somalia mpaka kaskazini ya Msumbiji, pamoja na visiwa vyote, mpaka Comoro na sehemu za Madagascar. Ipo siku tutaungana tena, na haiko mbali siku hiyo biidhnillah. Madhila yote haya yatakwisha na tutayasahau. Usitarajie kheri kutoka kwa adui yako. La muhimu kwetu ni kuilinda na kuitunza dini yetu, historia yetu, utamaduni wetu na lugha yetu, tuwe kitu kimoja na tusikubali kugombanishwa. Vita dhidi ya waswahili ni vita dhidi ya uislamu hapa afrika ya mashariki. Hili tunalijua na tunalizingatia. Hatutaki ugomvi na jamii nyengine, tunamtakia kheri kila mmoja, lakini na sisi tunataka nafasi yetu irejee miongoni mwa walimwengu. Innallaha maa assabiriin.
@user-ze7kj2ux6j
@user-ze7kj2ux6j 2 ай бұрын
Being a grandson of a fijian chief, our legend state we traveled down the river Rufiji in Africa south of Tanzania, Apparently we were warrior who also worked as gold mines Egypt
@kckc8178
@kckc8178 2 жыл бұрын
wabarawa kutoka kenya na Tanzania wote hawajui kiswahli, lakini wapwani wakenya na Tanzania wanajuwa kiswahili vizuri sana
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
Mimi ni Mbara kutoka Tanzania lakini ninajua Kiswahili kuliko Wapwani wengi. Halafu siyo "wanajuwa" bali ni "wanajua".
@abubakarkassim4161
@abubakarkassim4161 2 жыл бұрын
@@davidngwesa nilivo Anoka nipo sawa kwa lahaja ya Zanzibar mjini na ulivyo nijibu ukosawa kwa lahaja mulioilazimisha ili mujipe ubora kwa kiswahili kibovu munacho jivunia
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@abubakarkassim4161 Lahajja ya Zanzibar mjini ni ipi? Kimakinduchi? Kipemba? au Kiunguja? Kiswahili kinachozungumzwa bara msingi wake ni Kiunguja. Mtu yeyote anayeongea Kiswahili kinachoitwa "sanifu" ànaongea lahaja ya Unguja. Hilo si sisi tulioliweka Ila ni hao Waingerezaa waliokutawwla ndiyo waliolianzisha. Pili, mabaraza ya Kiswahili ya Kenya, Zanzibar na Tz bara hishirikiana katika kupanua na kuingiza misamiati mipya ya Kiswahili. Hivyo basi, tofaiutisha Kati ya Kiswahili Cha mitaani na Kiswahili fasaha. Unaodai kuwa wanaharibu Kiswahili no wale wasiozingatia kanuni za Kiswahili fasaha. Wewe mwenyewe unaandika kama mtu ambaye hajafika darasa la nne. Jifunze Kiswahili vizuri halafu baadaye uje kwenye jukwaa Kama hili kukosoa watu. Hata Mombasa, Zanzibar na maeneo mengine ya pwani Kuna watu wengi tu msiokijua Kiswahili vizuri na mnakiharibu Kila kukicha. Kuwa na lafudhi ya inayosikoka vizuri haimaanishi Kiswahili Chako pia kimenyooka!!
@abubakarkassim4161
@abubakarkassim4161 2 жыл бұрын
@@davidngwesa sass hiya unalazimisha ndio maana Tukawa tuna lalamika kiswahili cha dar na Zanzibar mjini ni vitu viwili tofauti kiswahili cha Zanzibar mjini ndio hicho munachokiita swahili Arabic lakini hivi sasa watanganyika hamki taki kwa sababu munazo zijuwa nyinyi dio manana silbas ya kiswahili vitabu vinavyo someshwa skuli nivitabu vilivyo beba kiswahili cha dar mjini ili kukifanya kiswahili kiwe kibantu na lahaja ya asili imebeba lugha mila tamaduni na desturi na lahaja ya Tanganyika ambayo munajisifia kiswahili kimekuwa imebeba manene ya kuzungumza tu ndio maana kiwembe cha kuchongea penseli mukaita kifirio. Na maneno ya ajabu tele kudadavuwa na kududuvuwa itafika wakati na hili neno swahili itabidi mutafute jengine kwani hili si lenu maneno munayo yaita ya kale yamebeba mila desturi na tamaduni pamoja na historia ya hao waswahili kiswahili kilifika Tanganyika baada ya muingereza na mjerumani kuhitaji lugha inayo andikika tu lakini hii lugha ina wenyewe Leo Zanzibar inapoteza utalii wa kihostoria baada ya kupoteza lugha ndio maana maneno kama nahoza asili yake Iran hayahaya China friji muingereza gari kiarabu chai kihindi mbali mithamiati na maneno ya waswahili ya waswahili wa yamekusudia kujenga jamii bora lakini munatuchanganya na maneno ya ajabu wakati watanganyika muna lugha zenu za asili ndio manana ukienda bukoba kuna kamusi kihaya na kiswahili ukienda mwanza kuna kamusi kisukuma na kiswahili ukienda arusha swahili na kichaga nyinyi muna Linda chenu lakini sisi munatuharibia chetu kwa nyimbo kukuwa kwa lugha Mara zote grama inakuwa grama na lugha ya mitaani inabakia kuwa lugha ya mitaani neno vimsimu sijuwi mumelitowa wapi
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@abubakarkassim4161 wewe ulitaka Kiswahili kibaki katika eneo dogo linaloitwa Zanzibar? Haliwezekani Hilo Jambo. Jinsi Kiswahili kinavvyoenda mbali ndivyo kinavyobadilika. Ndiyo maanda Sasa kun Kiswahili fasaha ambacho msingi wake ni hiyo lahaja ya Kiunguja. Kama nilivyosema mwanzo, uandishi wako na matamshi yako, hayaakisi uwezo umahiri katika lugha ya Kiswahili hivyo hauna uhalali wowote wa kulalamika Wala kukosoa wazungumzaji wengine wa Kiswahili kutoka bara ambao nao wanazungumza Kiswahili Kama lugha mama. Nahoza au nahodha? Kuna makosa mengi Sana kwenye uandishi wako, kitu ambacho kinaonyesha kuwa hauna umakini Wala hauenzi utamaduni na lugha ya Kiswahili ipasavyo.
@user-ze7kj2ux6j
@user-ze7kj2ux6j 2 ай бұрын
I'm from fiji Island pacific My grandfather came from Tanganyika Rufiji river 1st century cushites from Ethiopia settle in Tanganyika 10th century AD about this time the fable of fijian from Tanganyika
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Ай бұрын
ooh u are most welcome i am tanzanian my mother came from Rifiji
@dennismacdenniton5943
@dennismacdenniton5943 2 жыл бұрын
Juzi uliona Kati kufanya kiswahili kutumiwa bungeni uliona walitoa wanafalsafa tokea Tanzania.... Ilihali pwani Kuna waswahili 😳😳😳
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 8 ай бұрын
Wew mwenyewe hapo tayari unachapia kiswahili
@user-ze7kj2ux6j
@user-ze7kj2ux6j 2 ай бұрын
In Africa, in this Taqanaika region, dwelt for a long time warrior group of people called the'Viti 'people Africa king them very well
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 4 ай бұрын
Lau utaelewa kiswahili vizuri utajuwa watanzania wanaharibu sana kiswahili
@dorothyjuma5573
@dorothyjuma5573 2 жыл бұрын
Umenena kweli ndugu. Kiswahili ni lugha kutoka kwa jamii ya waswahili wa Kenya. Kosa lilitokana na Kenya kutilia maanani lugha geni ya mabwenyenye ilhali Nyerere kuitilia maanani Kiswahili kwa kuwa ni lugha ya kiafrika. Tanzania vilevile Wana watu wa bara ambao wanaichanganya lugha za mama na Kiswahili na kubadili lahaja.
@AlMakori
@AlMakori 2 жыл бұрын
Kunao Wakenya wengi wanaozungumza Kiswahili vema. Hata Watanzania wanatofautiana lafudhi. Tukienzi Kiswahili
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
"wanazungumza Kiswahili vyema"!
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 20 күн бұрын
Mawazo yote kuhusu kiswahili Cha Kenya na Tanzania ni potofu. Wote wanaongea kiswahili kizuri tu. Ni sawa na kiingereza Cha england, Canada, marekani, Scotland etc. lafudhi yaweza kuwa tofauti lakini lugha ni ileile
@christopherochieng2518
@christopherochieng2518 2 жыл бұрын
Chamuhimu ni kuelewana ,
@ajesai2477
@ajesai2477 2 жыл бұрын
Huku Kenya kiswahili kinaongelewa maofisini, shuleni na shehemu zote za umma, Tatizo ni kua kukitaka kua (official) lazima utumie English ndio uonekane pia wewe umesoma. Wenzetu watanzania wanakitukuza kiswahili mpaka mtu wa kawaida huko anajua kiswahili vyema kumliko mkenya. Jamani wakenya tukitukuze kiswahili
@plugofcoolshorts
@plugofcoolshorts Жыл бұрын
Kama Mkenya mtoka bara, wacha upuzi nanii. Unakulanga Kiswahili?
@prospermpangala1828
@prospermpangala1828 2 жыл бұрын
5:58 Kindikindaki
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 4 ай бұрын
Mjomba kubali tu mlikuwa hivo ila kwa sasa mnakubatia sana uzungu so mumepitwa sanaa kiswahili kipo sana Tanzania hasa znz wako vizur
@jumaothman2092
@jumaothman2092 2 ай бұрын
Tatizo pwani ya kenya mlikizarau sana kiswahili sisi wa zanzibar tutakwenda nacho hivyo hivyo ijapokua watu wa bara ya Tanganyika hukiharibu lakini hatujakiacha
@ayubutewele5241
@ayubutewele5241 2 жыл бұрын
Wakenya wanaongea kiswahili kisichosanifu, wanaongea pamoja na kiingereza
@zuhurahkhamis4257
@zuhurahkhamis4257 2 жыл бұрын
Kuna kiswahili na kuna sheng that's different
@mocua2910
@mocua2910 2 жыл бұрын
Wewe kiswahili sio uliopewa na mwenyezi Mungu. Afrika yote ni makabila ndio yaliotangulia kwanza.
@cepha30
@cepha30 2 жыл бұрын
Ata watanzania wapi wengi hawajui kiswahili
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Жыл бұрын
Umenena ukweli na mimi kama Mkenya, suala hili huniaibisha sana.
@b.truthful
@b.truthful 2 жыл бұрын
Swadakta !
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 2 жыл бұрын
Watanzania watu wa MOLOGOLO ALUSHA 😂😂 Yani balaa kutamka maeneo Yao pia hawawezi
@iskiji1240
@iskiji1240 2 жыл бұрын
Hiyo ni athari ya lugha za kikabila. Sisi watu wa ukanda wa nyanda za juu kusini(Mbeya, Iringa, Njombe, songwe) hatuna baadhi ya herufi katika makabila yetu mfano sisi wanyakyusa hatuna R, V, na B kwahiyo lazima tupate shida. baadhi ya wapemba na watu wa kusini(Lindi na mtwara) hawana herufi M, badala ya kusema mke husema Nke. Hivyo kila kanda ina mapungufu ambayo ukisikiliza lazima ucheke.
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 жыл бұрын
Morogoro...Arusha...sio Kama ulivyoandika
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 2 жыл бұрын
@@mbwanakiting7180 we unaongea nn skuelewi
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 жыл бұрын
Umeandika Mologoro sio nimorogoro..alusha sio ni Aushs
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 2 жыл бұрын
@@mbwanakiting7180 c ndivyo mnavyo tamka
@snownfire
@snownfire 2 жыл бұрын
Kama mkenya nafahamu umuhimu wa kuzungumza kiSwahili kizuri. Nitatumie Kila nafasi niipatayo kuhubiri umuhimu wa kiSwahili na kupinga vitendo ambavyo vinachangia Kuzorota kwa lugha
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 7 ай бұрын
Sio kuzorota kiswahili, Bali ni kuzorotesha kiswahili
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 жыл бұрын
Kusema la ukweli kiswahili Cha Zanzibar mjini ndio kiswahili sahihi na hata hicho kiswahili Cha Tanzania bara hakiko sahihi kutoka na matamshi yao
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Ай бұрын
ila kiswahili cha bara ndio kinakua kwa kasi zaidi, kwa idadi ya wazungumzaji, kwa kuongeza misamiati mipya inayoeleweka kiurahisi, kwa wingi wa kazi za sanaa na kuathiri kazi za kimamlaka, yani lugha inayoongelewa na viongozi katika siasa, bungeni kadhalika
@yussufmwinyi4604
@yussufmwinyi4604 2 жыл бұрын
Angelisisitiza pwani ya kenya wala sio kenya. Ukweli ni kuwa kenya bara hawakijui kiswahili.
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 2 жыл бұрын
Tunahitaji pesa zaidi ya kiswahili
@anwarsaid9579
@anwarsaid9579 2 жыл бұрын
@mnc wamijikenda kiswahili waongea vzr xana coz maneno mengi ya kimikenda yanatumika pia kenye kiswahili
@anwarsaid9579
@anwarsaid9579 2 жыл бұрын
@mnc hao ni wamijikenda wa wapi
@anwarsaid9579
@anwarsaid9579 2 жыл бұрын
@mnc lazima nikulize coz nashangaa ati mpwani hajui kiswahili ndio nauliza hao ni mijikenda wa wapi
@anwarsaid9579
@anwarsaid9579 2 жыл бұрын
@mnc mm ninavyo jua mm hapo wao mijikenda kila kabila lina lafidh yake ya kiswahili ata hao wagiriama na waduruma wana lafidh zao za kiswahili
@user-kq7mp8qz9e
@user-kq7mp8qz9e Ай бұрын
Kila kilicho nde
@Sein169
@Sein169 2 жыл бұрын
Wanangu wa chugar hii mambishe imekaaje nakuwa kama simsomi jombi anabofonga nin
@user-pw3qu2ov9z
@user-pw3qu2ov9z 19 күн бұрын
Sasa iyo inatusaidia na nini
@paolo4584
@paolo4584 2 жыл бұрын
Sababu za kiisimu, Kiswahili kimetokana na muingiliano kati ya Wabantu na Waarabu. Sasa ukiangalia kati ya kenya na Tz, Tz zaidi ya 80% ni Wabantu. kwa Upande wa wa kenya kuna jamii nyingi sana e.g Niloti, Semitic, Cushitic na asilimia ya Wabantu sio wengi kama walivyo hzo jamii zingine.
@zuhurahkhamis4257
@zuhurahkhamis4257 2 жыл бұрын
Bantu ndio wengi Kenya
@abdallahmohammed6079
@abdallahmohammed6079 2 жыл бұрын
Wapi asili ya wabantu
@paolo4584
@paolo4584 2 жыл бұрын
@@abdallahmohammed6079 Congo basin
@abdallahmohammed6079
@abdallahmohammed6079 2 жыл бұрын
@@paolo4584 asante.
@snownfire
@snownfire 2 жыл бұрын
Sikubaliani nawe kabisa. Si lazima mtu awe na kiasili ya kibantu Ili aweze kuzungumza kiSwahili kizuri. Najua wabantu wengi ambao hawaongei kiSwahili kizuri. Kwa mfano, je wajua kwamba mwandishi mashuhuri wa vitabu vya kiSwahili vinavyotumika sana katika mashule ya Kenya, Bw. Wallah bin Wallah anatoka katika jamii ya kiLuo? Poa mwanamziki Otile Brown ambaye nyimbo zake anazitunga mwenyewe na kuziimba kwa kiSwahili. Mimi pia ni mluo, na mimi hushangaa naposikia wakisema kwamba hatuwezi kuzungumza lugha vyema. Kibantu, kinailotiki, kikushiti isiwe kisingizio la Kuzorota kwa lugha
@pendonoor8869
@pendonoor8869 2 жыл бұрын
Usiku na mchana, ndungu yangu!
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 2 жыл бұрын
Kizanzibari ni lugha mseto tu (standard) Sheikh wangu, sio lugha asili. Afu Tanzania bara wameharibu kabisa. Kiswahili kimeanzia lamu na maeneo mengine ya pwani ya kenya kisha ndo kikashuka pemba, unguja na na maeneo mengine ya pwani ya Tanzania. Chunguza vitabu na mashairi ya zamani kabisa ya kiswahili, yaliandikwa kiarabu na lahaja zilizo tumika ni mbili tu, kiamu na kimvita. Kwahiyo ukitaka lahaja/lafudhi asili haswa ya lugha hii, ni sharti urudi Kenya .
@snownfire
@snownfire 2 жыл бұрын
Ahsante kwa taarifa hii
@lifestyletv4338
@lifestyletv4338 2 жыл бұрын
Sema pwani sio Kenya yote ww
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Sisi huku TZ haturudi Kenya, tunaenda Zanzibar. Wana Kiswahili bora kuliko wote hao!
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
TZ bara tumeharibu nini? Wacha maneno yako wewe... Kiunguja ndicho Kiswahili bora hata Wazungu waliamua kukitumia kusanifishia Kiswahili Afrika Mashariki. Wasema nini wewe?
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
@@TamuzaKale eti, wazungu, wacha utumwa kaka...
@yasserashur4102
@yasserashur4102 2 жыл бұрын
Tanzania kwa nn hawajui kutamkaa njoo pwani uskie kiswahili acheni maneno ya kangaa
@cepha30
@cepha30 2 жыл бұрын
Waambie
@mwanakupona
@mwanakupona 2 жыл бұрын
Hawaii vipi kutamka na kamusi zimeandikwa tz.kenya Kiswahili ni pwani tu.huko bara kijijini hata ulisema Kiswahili MTU yuakuangalia hivi hivi!
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Hiyo ni lafudhi sio kutojuwa kutamkwa. Kila semu ina matamshi yake. Lugha ya kiswahili haikunza Zanzibar . Tunajuwa hamupendi kuambiwa hivyo . Ujuwaji mwingi hii ndio shida mulionayo wengi wenu.
@user-kq7mp8qz9e
@user-kq7mp8qz9e Ай бұрын
Kiswahili kipo kabla yahii mipaka yakenya na tanzania musidanganye watu ilakiswahili fasaha kinaongelewa unguja mjini
@nelsonukaishajr
@nelsonukaishajr 2 жыл бұрын
😂😂 "sipangwingwi" hata Kenya tunajua si sanifu.. Lakini bado tunatumia maneno kama haya haswa sisi vijana. Kenya ukizungumza kiswahili sanifu ama lahaja za kipwani unaambiwa "we mtangazaji wa habari"
@zuhurahkhamis4257
@zuhurahkhamis4257 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Msoma habari
@mubatsievonne4649
@mubatsievonne4649 6 ай бұрын
Broadcaster ni mtangazaji wa habari aisee!, Wacha kutuchanganya.
@ramyali6347
@ramyali6347 2 жыл бұрын
Kama mzanzibari niliyekutana na wakenya wengi wa pwani na wabara, naweza kusema wakenya wengi Kisw hawajui. Nimekutana na wa pwani wanaongea kiswahili na maneno hata hayamo kwenye kiswahili, ila lahaja yao ya kimvita inakaribiana na KIUNGUJA . Kwa upande wa Zanzibar, pia tuna lahaja zaidi ya Tatu lakini linapokuja suala la kuzungumza kisw sanifu lahaja moja tu ndiyo hutumika . Lahaja ya kipemba, kihadimu na kitumbatu Huzungumzwa kwenye eneo husika na watu husika maana maneno hutafautiana Ila lafudhi yao ndiyo humtambulisha mtu anatokea wapi. Hivyo , kuwa na lahaja yako siyo sababu ya kuongea Kisw kisicho rasmi huo ni uvivu na ugulagula.
@durusukiswahili
@durusukiswahili 2 жыл бұрын
Jibu amekupa Bi Amira kzbin.info/www/bejne/Z2quZJp9or2jd5I
@ramyali6347
@ramyali6347 2 жыл бұрын
@@durusukiswahili Sasa niliokutana nao na huyo Bi Amira ni tofauti . Bi Amira anazungumza kiswahili fasaha chenye kufuata kanuni zote za ngeli na upatanisho wa kisarufi na maneno mingi ni sawa na Kiunguja tunavyo yatamka.
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 2 жыл бұрын
We mrongo...lugha imeanza shungwaya LAMU na Somalia,, uko kwenu zenj mnabaati kupata makombo ya uswaili
@ramyali6347
@ramyali6347 2 жыл бұрын
@@ramadhanmusa2878 shungwaya sio lamu mjinga wewe. Rudi shule ukasome ndiyo ubishane na mtu aliyekuzidi hadi maarifa na kila kitu.
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 2 жыл бұрын
@@ramyali6347 shungwaya ni uko kwenu Pemba eeh😂😂mshamba Tu ww huna maarifa yoyote
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 huyu jamaa mwenyewe hata kuongea kiswahili kinamzingua 😂😂
@mubatsievonne4649
@mubatsievonne4649 6 ай бұрын
Kiswahili ni ndimi yake asilia, kwanza angalia maana ya neno zingua, na matumizi yake kabla ya kumkosoa mtu.
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 6 ай бұрын
@@mubatsievonne4649 angalia asilia ya kiswahili ilipotokea wewe wacha kudanganya watu angalia the real wasawahili and their unique civilization ..KILWA TANZANIA CIVILIZATION..nenda ukajionee wacheni ujinga wenu wakenya nyie Kwanza mnabaguana wenyewe kwa wenyewe
@abubakarkassim4161
@abubakarkassim4161 2 жыл бұрын
Tatizo kubwa kiswahili Tanzania bars wamewanyanganya wazanbari na Mombasa ndio mpaka silbas ya kiswahili wanaitunga wao wanalazimisha kuingiza maneno ya ajabu kulazimisha. Maneno ya kitanganyika kuchukuwa nafasi ndani ya àmusi nakuyaondowa maneno ya asili na wazanzibari wamerizika na hilo baada ya miaka miwili tanganyika itajisifia wao ndio wanazumza kiswahili sarifu na wakati sio kweli wanatumia mbinu nyingi kupinga kiswahili cha zanzibar na mombasa kwa lengo la kulazimisha kiswahili eti ni kibantu lengo. Udini kwa na hili neno swahili wabadilishe vilevile kwani hii lugha wao ñi lugha yao ya pili watupe nafasi mombasa kismayuu na zanzibar tulinde lugha yetu waache ukoloni mambo leo
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
wamerizika? au wameridhika? unajisifia kuwa wewe ndiyo Mswahili wa kweli na hii ni lugha yako ya kwanza lakini unaandika makosa. "kurizika" ndiyo Kiswahili gani hicho tena? neno sahihi ni RIDHIKA siyo RIZIKA. Wazanzibari na Wamombasa wanaoharibu Kiswahili kama wewe ni bure kabisa!
@iskiji1240
@iskiji1240 2 жыл бұрын
Lahaja iliyokubalika kutumika Tanzania ni kiunguja sasa hayo maneno ya kitanganyika yanatoka wapi. Huwezi zuia lugha kukua, ikitokea wagogo wana neno zuri la kitu ambacho kwa kiswahili hamna basi sio vibaya kulichukua.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@davidngwesa Wa Mombasa wameharibu vipi kiswahili? Tupatie mfano wa kimomobasa ulioharibu lugha ya kiswahili.
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 kwani hsukasoma makosa niliyoainisha wakati "nikicomment" Mara ya Kwanza? au haujaona makosa yaliyoandikwa kwenye hii thread? Unataka mifano Kama ipi?
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@davidngwesa Hicho ulichokirekebisha si lahaja ya kimomobasa. Hapo umekosea ndugu. Sisi watu wa Mombasa hatusemi " wamerizika" huyo uliemtowa makosa si wa Mombasa .
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 2 жыл бұрын
Tanzania bara ambao hawajui kiswahili ni kwa sbb ya rafudhi tu na siyo kwamba hakijui Moja kwa moja
@misschagga8042
@misschagga8042 2 жыл бұрын
Sio kindiki ndaki ni kindakindaki🤣🤣
@SafariBuddyTanzania
@SafariBuddyTanzania 2 жыл бұрын
😂😂
@mocua2910
@mocua2910 2 жыл бұрын
😂 🤣 Ahsante kwa kumrekebisha mwenzio
@SafariBuddyTanzania
@SafariBuddyTanzania 2 жыл бұрын
@@mocua2910 😂😂🙌🏾
@SafariBuddyTanzania
@SafariBuddyTanzania 2 жыл бұрын
Wewe tu kinakupa shida, hilo neno ni kindakindaki 😂😂 sasa kama kilianzia huko iiweje hamuwezi kukiongea kaeni kwa kutulia kabisa maana mmeona lugha tumeshaikuza ndio mnaanza kuona kina umuhimu sasa 😂😂😂
@zuhurahkhamis4257
@zuhurahkhamis4257 2 жыл бұрын
Sasa unaongea nini? 🙄 🙄
@SafariBuddyTanzania
@SafariBuddyTanzania 2 жыл бұрын
@@zuhurahkhamis4257 Kiswahili
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Durusu au darasa ?!🙆‍♂️ 😂😂
@SafariBuddyTanzania
@SafariBuddyTanzania 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 nakwambia 😂😂😂😂🙌🏾
@salimsaid88
@salimsaid88 4 ай бұрын
amesema kindi kindaki (lahaja ya kimvita)ambayo ni sawa na kindakindaki. hicho ni kiswahili asili cha lahaja ya kimvita. ikiwa hujui jambo uliza
@dr.rajabmlekwachimile8699
@dr.rajabmlekwachimile8699 2 ай бұрын
Ni lugha pekee Africa ambayo ni rahisi kuwa Lingua franca
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 2 ай бұрын
Wa Kenya mliacha Kiswahili na mkaona Kingereza ni lugha yenu basi tulieni na English yenuuu
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Ай бұрын
Kenya na Pwani Ni sehemu tafauti. Pwani yetu iliunganishwa na Kenya 1963.Sisi tulikua chini ya mamlaka ya Zanzibar
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 Ай бұрын
Hapo sawa
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 жыл бұрын
Kosa kubwa mlilofanya Kenya ni kudharau kiswahili na kutukuza kiingeleza.Hamkuipa hadhi yake stahiki.
@naima5220
@naima5220 2 жыл бұрын
Hatukudharau hapo umekosea, kiingereza ndio ilikuwa official language, alafu sheng imeharibu
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 жыл бұрын
@@naima5220 Aliyeidhinisha kiingeleza kiwe official ndio kawasababishia matatizo.
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@uledimtumwa2406 KiingeLeza au KiingeReza??
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 жыл бұрын
@@davidngwesa EngLish InkLizia KiingeLeza.Hiyo R unaiweka kima kosa.
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@uledimtumwa2406 kwenye kamusi inatumika R. Hivyo uandishi na matamshi yenye L hayako sahihi!
@chrisogonas
@chrisogonas 2 жыл бұрын
Mimi nasema hakuna lugha imekwamilia mahali. Lugha lazima inabadilika na wakati na CONTEXT. Wacha watu waendelee kuongea na kulitengeneza Swahili according to their needs. Swahili, as we know, has origins from Bantu and Arabic. Yaani iko na mwanzo wa mchanganyiko. Haiwezi kwamilia ile original lugha. Ni kama tu wale group ya Luo Kenya na Acholi Uganda; wote wanaongea lugha moja, lakini iko tofauti kwenye pronunciation, or in many cases, hata majina ya vitu. Language is never static; it is progressive, and so in my opinion, much as Wa'Tanzania wanajua kuongea lugha ya Kiswahili vizuri sana, we cannot argue of ghani katikati ya Swahili ya Kenya na ile ya TZ iko bora kushinda ingine; ZOTE ni Swahili na zote ni sawa as long as kila upande imekubali ku-formalize hiyo kama njia imekubalika ya communication. Kitu muhimu sana ni kwamba mtu akiongea Swahili, ikiwa ametoka DRC, Kenya, Uganda, TZ, ama popote, lugha inaeleweka. Finally, Wa'Kenya wengi wawache kuona Kiswahili kama siyo lugha ya maana. Much as we love it, speak it, I feel there is need for more Kenyans to embrace the language in all spheres. Swahili ndiyo lugha yetu asili ambayo tunafaa tuipende na tuikuze nambari moja.
@daniellaelsie744
@daniellaelsie744 2 жыл бұрын
hakuna mahali mtu ameajiri coz anajua swa
@tropols11
@tropols11 2 жыл бұрын
nakubali na wewe!
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 жыл бұрын
Zanzibar mjini ndio wanaongea kiswahili fasaha
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Umeandika uzuri maelezo lakini mchanganyiko wa lugha mbili katika kiswahili haipendezi. Haya ndio matatizo yaliopo Kenya . Kiengereza kimethaminiwa sana kuliko lugha ya kiswahili. Wa Luo walioko Tanzania wanaongea kiswahili kizuri kuliko walioko Kenya na Uganda. Kenya ndio iliovuruga kiswahili wanathamini kiengereza sana.
@chrisogonas
@chrisogonas 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 hehehe nakupata kaka, lakini vile nimenena hapo kwenye maandiko wangu, lugha inakuwa na wakati, yaani language evolves; it is not static. Ni hiyo ndiyo sababu unapata Sheng' inapata umaarufu sana Kenya juu inachanganya Swahili, Kiingereza, lugha zetu za Afrika, na kadhalika. Lazima tukubali lugha inabadilika juu ni watu wanaouongea ndiyo wanaouchangia. Pamoja kaka!
@suleymanali431
@suleymanali431 2 жыл бұрын
Kenya wameuwa kiswahili kwanza bara zaidi Nairobi wamechafua kiswahili sana , wale hawaongee kiswahili tena wanachanganya lugha sanifu sahihi cha kiswali na sijui kingereza kijalu sijui kikuyu wapi jameni kiswahili kina kufa kiswahili kenya wale hawaongei tena kiswahili wana ongea kiswahili kichafu mno sana . pwani laye wana lahja chingine badala aseme njoo anasema ndo mina ona lugha sahihi wanaongea tanzania.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Kiswahili safi ni ndo sio njoo. Mtu wa pwani ya Kenya akitamka" mtoo" (pillow ) anatumia "T" hafifu na akisema mto ( River) anatumia "T" yeye uzito hapa mtu anatafautisha neno Kwa urahisi kulingana na matamshi. Mfano mwengine kucheka sisi tunasema kuteka hapa tunatumia "T" dhaifu yaani bila mkazo . Tukisema " kuteka maji " tunatumia "T" ilionauzito . Kwa hivyo hiyo lugha munayo itumia nyinyi inatumika Kwa maandishi Kwa kutumia herufu za kiroma. Ukitumia harufu za kiarabu kuandikia lugha ya kiunguja inaleta matatizo ya kueleweka . Mfano katika herufu za kiarabu hakuna tamshi lenye kutamkwa (Cha) Cheka utaandika vipi? ( Laugh) . Kwa hivyo lugha ya kiunguja inatumika Kwa kuandikia vitabu na walioanzisha haya ni hao wakoloni ili kuondowa hati za kiarabu zisitumike Kwa maandishi ya kiswahili lengo lao nikuondowa athari za uislamu katika pwani ya Africa mashariki. Kwa hivyo matamshi yako haya maanishi kuwa ni kiswahili safi. Hizo ni lafudhi sio kuwa ni ubora. Nasikiza Tarabu za kizanziberi ndani ya hayo mashairi yapo maneno mengi yenye asili ya Kiamu.
@gracejulius3966
@gracejulius3966 2 жыл бұрын
Nimependa Kiswahili chako na ufafanuzi wako
@magambowiga4953
@magambowiga4953 3 ай бұрын
Sidhani kama mtizamo wa mnenaji una ukweli ndani yake
@wm9669
@wm9669 2 жыл бұрын
Bila shaka Tanzania ni bora
@fideltuda4678
@fideltuda4678 2 жыл бұрын
Kenya si huwa tunaongea sheng ni mchanganyiko was kiswahili, kingerezea na hizo makabila za Kenya. Sisi Bora tunaelewana na tunajenga nchi yetu, watanzania wanakijiona mabingwa wa kiswahili ni mzuri lakini sisi wakenya hio haiwezi tukosesha usingizi.
@AthmanHamid-gx2bn
@AthmanHamid-gx2bn 5 ай бұрын
Nairobi sio kenya kwa jumla..nyinyi wabara mumeharibu lugha ya kiswahili kenya
@yahyasuleiman8806
@yahyasuleiman8806 Жыл бұрын
Umedanganya Kiswahili kimeanzia Unguja Zanzibar
@mubatsievonne4649
@mubatsievonne4649 6 ай бұрын
Soma historia, Wacha upuzi.
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 4 ай бұрын
yahyasuleiman8806🚮
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 4 ай бұрын
Lugha yoyote sifa yake kuu namna inavyobadilika matendo nyakati zijazo,zilizopo,zilizopita,n.k. na hii ndio asili sahihi yalugha ya kujua wapi kimetokea. Hivyo basi ktk sifa hii ni lugha za kibantu pekee zimechukua sifa hiyo ya mfanano na kiswahili ktk namna ya tenzi na viambishi vinavyoshabihina katika sentensi nani anabisha na alete mfano wake wa lugha ya kwao inayofanana na kiawahili ktk haya viambishi? Wabantu wabantu wa Kongo,Tanganyika,n.k hawa ndio wenye Kiswahili chao japo wanashida ya kutamka maneno na kuzipata herufi kwa usahihi kama inavyoelezwa kuwa matamshi ya ufasaha yanapatikana Unguja hatukatai ila Kiswahili japo kina maneno mengi ya kigeni ambayo hayatusaidii kuzungumza lugha hizo sababu viambishi ni vya kibantu, nisisitize Kiswahili kilitoka bara.
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 10 ай бұрын
Usiwandanganye watu kua kiswahili kwamba kina mahali kilipotokea Ra hasha ...!
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 5 ай бұрын
Sio RA hasha ni LA hasha
@graciousakida3811
@graciousakida3811 2 ай бұрын
Muwamba Ngoma ngozi huvutia kwake!!! " Wakaitukua"? Au wakaichukua?
@graciousakida3811
@graciousakida3811 2 ай бұрын
Eti " nthe ndani" au nje ndani? Mbona bado sana
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 Ай бұрын
​@@graciousakida3811Elewa Kuna lahaja tafauti katika mwambao wa Pwani. Hakusema makosa hapo
@coolbz133
@coolbz133 8 күн бұрын
Swadakta maneno yako nikweli
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 2 жыл бұрын
Sipangwagi au hatupangwagi na siyo sipangwingwi
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 7 ай бұрын
Ni sipangwagi au hatupangwagi. Sasa wao wanasema sipangwingwi.
@rajabumatuwira8792
@rajabumatuwira8792 3 ай бұрын
Huwa sipangiwi ndo sahihi
@suleymanali431
@suleymanali431 2 жыл бұрын
Kila Nchi inaongea lugha yake ukikwenda farasa wanaongea kifaransa ukikwenda ujerumani wanaongea lugha yao ya kijerumani ukikwenda scandinevea kila moja ana lugha yake na wote lugha yao ya kitaifa ni lugha yao ya mama ukimkuta mjerumani kwao uongee na yeye kingereza ana ringa ukimpata mfarasa pia ana ringa la lugha yake hataki kuongea kingereza warusi vile vile spanish vile vile wa griki vile vile sasa wakenya ndo wame potea hawana lugha yao ya kitaifa wana ringa na kingereza ni kweli hapo nimekubaliana na wewe ukikwenda maofisi kenya wana ringa na kingereza hawaongei kiswahili utafikiria wamezaliwa na hiyo lugha na hata hawana lahja nzuri wengine ukiwa bungeni vile vile, jameni tukuzeni kiswahili muihifhadi ni lugha zetu wote kingereza sio lugha yetu na wacheni kuringa na lugha ya kikoloni.
@naima5220
@naima5220 2 жыл бұрын
Hiyo no jibu aka swali
@talibsaid8096
@talibsaid8096 3 ай бұрын
Bro usitudanganye kuwa kiswahili kimetokea kenya
@jumandegwakazee
@jumandegwakazee 2 ай бұрын
Fanya utafiti mujomba
@daniellaelsie744
@daniellaelsie744 2 жыл бұрын
watz wanajua tw kuongea but kuandika hio kiswahili hawajui nmesoma nao hapa Kenya
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
Ni kweli wengi hatujui kuandika (wala kuongea Kiswahili). Lakini Wakenya wengi pia hawajui lugha zote - Kiswahili na Kiingereza.
@mzeeomarmzee9540
@mzeeomarmzee9540 2 жыл бұрын
Unaumwa na utosi nini? Huenda umesoma na mazwazwa..kuna Mtanzania hajui kuandika kiswahili?
@daniellaelsie744
@daniellaelsie744 2 жыл бұрын
@@mzeeomarmzee9540 any hakuna mahali kiswahili imeajiri mtu kazi za ofisi so usiniletee nyefnyef nkt
@mzeeomarmzee9540
@mzeeomarmzee9540 2 жыл бұрын
@@daniellaelsie744 hii umeandika ni lugha gani na unamaanisha nini ?🤭🤭🤭 sijaelewa maandishi yako...
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 10 ай бұрын
? ????? Kiswahili hakina chimbuko lolote sehem kinapotokaBali ni kiswahili ni mjumuiko wa lugha za kibantu , kama vile kingoni, kisukuma, kigogo, pia Kuna tafsida za kiarabu na kingereza . Apo ndioo kiswahili kilivyopatikana
@mubasalu8470
@mubasalu8470 Жыл бұрын
Mwanzo nilikua na mashaka lakini kadiri nilivyomsikiliza huyu mzee Wallah nimemfahamu khasaaa napenda laghaja hususan za kiswahili lakini nazijua chache tuu je nifanyeje,??
@durusukiswahili
@durusukiswahili Жыл бұрын
Anza kutafuta marafiki wanozungumza lahja mbalimbali shekh
@mubasalu8470
@mubasalu8470 Жыл бұрын
@@durusukiswahili najitahidi lkn nimeishia wa hapa hapa Zanzibar tuu,hao wengine sijui nitawapata jee
@mrok284
@mrok284 2 жыл бұрын
Nyie waswahili musituzonge hakuna lugha isiyo tafauti. Achani kujidhara. Kiswahili chetu sanifu tukienzi na lahaja zetu tusiziwache zikapote. Mimi kiswahili sanifu kipo mkononi zaidi ni kisema nasema kipemba😂
@s.n3733
@s.n3733 2 жыл бұрын
😅😅
@s.n3733
@s.n3733 2 жыл бұрын
Wakenya wengi kwenye suala la Kiswahili wanapo kutana na watanzania mkenya hukaa pembeni,
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 5 ай бұрын
​@@s.n3733Sasa ikiwa hamuelewi lahaja zawatu wengine sinitakaa pembeni mana mm uzuri wa mswahili wa pwani yakenya anaelewa kiswahili chakila aina lakini nyinyi mnajua hicho hicho kimoja tu Mathalan mswahili wa pwani yakenya anajua mahamri na mandazi kwamba nihakitu kimoja Lakini nyinyi hamjui kama mahamri ni mandazi mnajua mandazi tu😂
@receptionifabeach1329
@receptionifabeach1329 2 жыл бұрын
Zanzibar island ndo kiswahili sanifu
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 4 ай бұрын
sio asili
@immanuelKibett
@immanuelKibett Жыл бұрын
hapa kenya kwetu kiswahili ni lugha ya walevi buana😅😅
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 5 ай бұрын
Shika adabu yako
@williammemba6683
@williammemba6683 3 ай бұрын
@@FatwimaZahrau 😜
@mojambili637
@mojambili637 2 жыл бұрын
Ukabila unawaponza wakenya kwa lazima uongee lahaja yako,.
@cepha30
@cepha30 2 жыл бұрын
Sasa ukabila umeingilia wapi
@mambonawatu5362
@mambonawatu5362 2 жыл бұрын
Inaposemwa Tanzania,Chimbuko Zanzibar ndio Kiswahili kao
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 2 жыл бұрын
Zanzibar kiswahili kimeletwa na wabajuni kisha baadae muoman alipotawala ililazimika watu waongee kiswahili. Ila inabidi ujue kabla ya muomani kuja east Afrika, waongozi walikua wakizungumza kiswahili, hawana lugha nyengine isipokua kiswahili. Kwahio huo ni ushahidi kua kiswahili kiemanzia sehemu za lamu na Mombasa.
@ramyali6347
@ramyali6347 2 жыл бұрын
@@eastzooadmin6416 Wangozi walizungumza kingozi na kutumia kiswahili kama lugha yao ya pili. Suala la waunguja na wapemba kuwa Wabajuni ni kweli japo baadhi yao tu. Na Kiswahili Zanzibar hakijaletwa na wabajuni wala waarabu... Zanzibar ndiyo mji mkongwe ktk pwani ya East Afrika kuliko lamu na miji mengine according to Unesco world heritage. Na wakati mwarabu Ibn batuta anatia miguu alishakuta wazanzibar wanaongea lugha zao.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@ramyali6347 Mji mkongwe katika pwani ya Africa mashariki ni Pate Moja katika visiwa vya Lamu . Sio Zanzibar Wacheni porojo zenu . Ujuwaji mwingi kwenye mitandao Hali yakuwa hamusomi tarehe.
@ramyali6347
@ramyali6347 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Bishana na hii siyo mimi. Labda na wewe ulete ushahidi wa kwako 💁. Usifunue mdomo tu na wewe ukaharisha, Soma kwanza. Kiherehere na feelings wachia Kijijini kwenu. en.m.wikipedia.org/wiki/List_of_oldest_continuously_inhabited_cities
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@ramyali6347 Ndugu ukitaka kufanya kumbukumbu usijipeleke kwenye wakipedia hutosoma kitu kutoka hapo. Utafiti wa tarehe hufanywa kwenye maktaba. Vitabu mbali mbali hutumika katika huo utafiti. Kwa hivyo unaposema jambo njoo na Ushahidi wa kitarehe. Wacha ukali uso na maana.
@mocua2910
@mocua2910 2 жыл бұрын
Mfano. Kiingereza ni lugha inayotumika inchi nyingi ulaya lakini kiko tofauti.kuna (1)kiingereza lugha ya marekani. (2)kiingereza lugha ya UK (3)kiingereza lugha ya Australia. Yote ni lugha moja ila ni tofauti lakini wanaelewana sababu yote ni lugha ya kiingereza. Kwa hiyo hamna tatizo lolote kati ya kiswahili cha kenya, tanzania, congo, Rwanda, Burundi, mozambique au uganda. Yote ni kiswahili kumbukeni hapa africa nzima makabila ndio yaliyo tangulia kwanza wala sio kiswahili alafu lugha e.g (kiswahili) na zenginezo zikafuatia baadae. Na ikiwa kuna mtu anayejiita mswahili ndani ya afrika basi huyo sio muafrika bali ni mzungu kwa sababu ndani ya afrika hamna mlugha ni mkabila. Pia la ziada ni kwamba kiswahili ni lugha wala sio kabila na kilianza mwambao wa pwani ya afrika mashariki sio Zanzibari, Mombasa, lamu, Pemba wala Tanzania au Kenya. Sababu nyakati hizo hakukua na mipaka ya inchi barani afrika Ethiopia na Misri pekee ndio zilikuwepo.
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
Kiingereza cha UK, US, Canada, NZ, Australia, na kadhalika, hakitofautiani ki-safuri (grammatically) bali ni katika baadhi ya misamiati (vocabulary) tu. Tatizo la Kiswahili ni kwamba, upande Kenya bara, na hata Congo, wanafanya makosa mengi kisarufi kuliko huku Tanzania. Kwa mfano: hii maji (Kenya bara), haya maji (Tanzania). Sentensi ya kwanza ina makosa ya kisarufi na haiwezi kuchukuliwa kama lugha sanifu. Hata kwenye somo la Kiswahili nchini Kenya sentensi hiyo haitapewa alama nzuri. Hivyo basi, unapozungumzia utofauti wa lugha moja kati ya eneo moja na lingine, nadhani ukizingatia tofauti za misamiati (vocabs), utakuwa unaeleweka vizuri. Kwa mfano, bibi (Kenya)-mke (Tanzania); nyanya (Kenya)-bibi (Tanzania)
@mocua2910
@mocua2910 2 жыл бұрын
@@davidngwesa tembea kenya yote uelewe. Nyanya, bibi yote kenya wanatumia. Maji pia vilevile Wewe wacha kutafautisha wenye walio pitia shule na wasiopitia shule Bali ni lugha ya mitaani tu. Sasa tuingie ulaya kuna maneno mengi sana ya kiingereza yako na matamshi tofauti kwa hizo inchi za ulaya sio siri kwa hiyo tofauti hiyo hiyo pia iko hapa africa mashariki. Ndio maana wengine wenu hutofautisha sheng na kiswahili cha tanzania hayo ni makosa makubwa. Kumbukeni kuna sheng(lugha ya mitaani) pia vilevile kuna kiswahili.
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@mocua2910 Ninajua ninachokizungumza. Nimetembea sehemu kadhaa nchini Kenya: Mombasa, Malindi, Nairobi, Narok, Kajiado, Narok, Eldoret, na Kisumu. Pwani ya Kenya inazungumza Kiswahili kizuri (hapo siku hizi mnataka mfanane na wale wa Nairobi). Bara wanaongea Kiswahili kibovu kabisa kisarufi. Sheng ni lugha ya mtaani na ninalielewa Hilo vizuri Sana, hivyo sikutaka hata kuiweka kwenye mjadala hapa. Kisema "hizo viatu zako", hiyo sentensi ina vigezo vya kuitwa sheng? au ni Kiswahili kibovu tu? Si Kila mtu wa Nairobi ànaongea sheng. Narudia tena: makosa ya kisarufi hayawezi kuchukuliwa Kama utofauti wa lugha Kati ya eneo moja na lingine. Tuzungumzie utofauti wa kimisamiati hapa Kama hoja za msingi ili kuonyesha tofauti Kati ya Kiswahili kimaeneo. Hata hicho Kiingereza kinaonyesha utofauti wake katika vocabulary, si grammar. Msingi wa grammar ni uleule katika nchi zote zinazoongea Kiingereza Kama lugha mama. Nje ya hapo Kiingereza kinakuwa ni kibovu.
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
@@davidngwesa nimekuelewa kabsaa ..Ni kweli kiswahili Cha bara ni kibovu kabisaa, kando na sheng, mzaliwa wa Nairobi bado yupo na makosa mengi ya ki sarufi...nimefurahia mfano wako manake hapo awali, sikuwahi tilia mkazo utofauti wa sheng na makosa ya kisarufi
@mwamudmohamed5566
@mwamudmohamed5566 2 жыл бұрын
Kenya sisi tunataka pesa kiswahili haitusaidii na chochote
@JuniorGaddafi3978
@JuniorGaddafi3978 2 жыл бұрын
Basi kaondoke hapa tuache sisi wenye twataka kuikuza lugha ashirafu ya Kiswahili!
@kidikeiv
@kidikeiv 2 жыл бұрын
Bwana wewe bado hujajielewa!
@JuniorGaddafi3978
@JuniorGaddafi3978 2 жыл бұрын
@@kidikeiv nani?
@kidikeiv
@kidikeiv 2 жыл бұрын
@@JuniorGaddafi3978 @Mwamud Mohamed hapo juu 👆🏾
@durusukiswahili
@durusukiswahili 2 жыл бұрын
Kuna mtazamo kama huo, msikiliza mwalimu Yusufu hapa kzbin.info/www/bejne/aZvNf6SmhZ2gitE
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
Unatetea vipi neno sipangwigwi? Halafu unadai unaongea Kiswahili sanifu? Kiswahili sanifu ni Sipangwi!! Bwana Mvita tafuta lugha moja kati ya nyie mnaoongea lahaja za Kimvita, Kiamu, Chimwiini, Kibajuni n.k.t kabla ya kuja kujitamba na ujuzi wa Kiswahili!
@eddyrandu3127
@eddyrandu3127 2 жыл бұрын
Hajatetea, alaa! Amesema tu, kwamba neno kama hilo watu wakilitumia kwa mda mrefu huenda likatoholewa
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 7 ай бұрын
Tuampango wa kukikuza kijaluo.kiwe lugha ya africa mashariki kwa sbb kwanza kijaluo ni kitamu kuliko kiswahili, halafu wajaluo wametakaa mchi chungu nzima Kama vile 1 kenya 2Tanzania 3 Uganda 4 sudan kusin 5 Dr congo 6 Ethiopia 7 cameroon 8 Nigria 9 Ghana 10 Liberia Kwaaana hyo kijaluo kitakuwa haraka kuliko kiswahili mnachokigombania. Kiuhalisia kiswahili kilianzia mombasa kisha Tanga na ikavuka mpaka kwenda wilaya ya zanzibar 3
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 2 жыл бұрын
Asili ya kiswahili ni Tanzania acha polojo wewe
@mocua2910
@mocua2910 2 жыл бұрын
Kaka lugha ya kiswahili kilianza eastern coast of africa not tanzania (mwambao wa pwani ya afrika mashariki) wala sio tanzania. Lugha hii ni tofauti kama vile kiingereza marekani, United Kingdom na Australia lakini wanaelewana bila kusutana Wewe jivunie kabila maana hiyo ndio ya waafrika wala sio lugha. Lugha ni ya kusomeshwa. Afrika nzima lugha zilikuja lakini kabila ndio yako ya yakiasili.
@cepha30
@cepha30 2 жыл бұрын
Soma historia acha kuwa zumbukuku
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
sasa nawe unaandika porojo polojo? vipi bwana?
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 5 ай бұрын
Hio polojo tu inamaanisha hakijaanza kwenu Ni porojo😂 sio polojo
@peninacharles9757
@peninacharles9757 2 жыл бұрын
Wee mzee kenge kweli .TANZANIA NDIO SWAHILI NATION
@tonnyojambo1731
@tonnyojambo1731 2 жыл бұрын
Muongo mkubwa wewe unakaa mtandaoni kudanganya watu
@MaryMary-ci2ek
@MaryMary-ci2ek 2 жыл бұрын
Kiswahili ya kusaidia na nini. You have to advance as days goes by. Wewe kaa hapo hapo. As long as you understand what’s your problem. Learn English
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Acha ushamba, lugha ya kizungu ni yenu???
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 2 жыл бұрын
Kwani kujua Kiswahili lugha ya utumwa wa wabantu yatusaidia nini? Sisi tuna lugha zetu asili
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Acha ushamba. Nani alikuambia kiswahili ni lugha ya utumwa? Hujielewi
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 2 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 Wewe waabudu waarabu waliolaaniwa kukaa JANGWANI, kweli huna msimamo
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 2 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 waarabu uzao wa Esau (Saudi Arabia) waliobebe Wayahudi halisi utumwa Africa ambao ni wabantu baada ya mababu zao kuvunja angano na Sheria walizopewa na Mungu wao, ni aibu Sana kujigamba na lugha za utumwa Kumbukumbu za Torati 28:15-68
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
@@trutharchaeologist Ndio nimekuambia hujielewi ni bora unyamaze
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
@@trutharchaeologist 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kenya Hakuna Upinzani, Ni Ubabaishaji - Prof PLO Lumumba
34:15
Radio Maisha
Рет қаралды 5 М.
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 4,5 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 43 МЛН
Butita  - Mombasa kuna Usawahili Nairobi kuna Kiswahili
5:08
Churchill Television
Рет қаралды 7 М.
Baadhi ya tofauti dhahiri kati ya Kimvita na Kisanifu
6:16
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 801
HIZI NDIO SIASA ZA KENYA
4:19
Wasafi Media
Рет қаралды 20 М.
Jinsi ya Kujifunza na kuboresha Kiswahili
4:11
SwahiliwithMariana
Рет қаралды 6 М.
Kiswahili Havana, Kuba 2024
16:07
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 522
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН