Nakusikiliza nikiwa Msumbiji, barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Kwa yule aliye tayari na kujifunza anakuelewa vizuri tu,nami ni mmoja wao. Keep it up man of God,
@mwalusambointernationalmin90655 ай бұрын
Amen, karibu sana Mpendwa pia unaweza jipatia vitabu kupitia duka letu hili la online: www.getvalue.co/home/seller_collection/7619. ili uendelee kujifunza zaidi.
@ZephaniaMwalusambo5 ай бұрын
Nimefurahi kutoka Musumbiji Mungu akubariki sana! Fuatilia KZbin Akaunti Mwalusambo International Ministry.
@fabianjaphet-kb8oh4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa Msumbiji.
@paulmayiku62685 ай бұрын
Hapana nimekataaa
@joshuajohn85335 ай бұрын
Wewe umekengeuka na unadanganya watu sana. Yesu atakulipa
@simonsanga22105 ай бұрын
njoo na hoja sio vitisho
@CHARLESMAJALIWA-b3h5 ай бұрын
Kweli njoo na point
@fabianjaphet-kb8oh4 ай бұрын
Pole sana ndugu hauna hata hoja ya msingi, MUNGU akusaidie sana acha vitisho.
@MjumbeAgano20 күн бұрын
Hapo ni Uongo,. Kitabu cha ufunuo kinahusu siku ya Bwana, kuna mambo machache ya wakati wa Mitume. Ufunuo 1-3. Ufunuo nne ni unabii wa siku ya Bwana, ufunuo tano kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, Mfafanuzi wa kitabu cha ufunuo ni Mjumbe wa agano duniani pekee ndiye aliyekusudiwa, Wewe bado ni kipofu kabisa, Isaya 48:6-9. HAYA NI MAMBO MAPYA KABISA HUYAJUI.
@georgekadaga5 ай бұрын
Ufunuo ndio kitabu kinachomfunua kristo yesu ndio kanisa mtu asiposoma ufunuo ni sawa na buere