JIUNGE NA CHENEL YETU YA DHARURA KWA KUBONYEZA youtube.com/@HopeforAfricaTv?...
Пікірлер: 63
@jailomhengilolo28989 ай бұрын
Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa ujumbe huu, Bwana azidi kukutumia ahsante.
@MahubiriPrMmbaga9 ай бұрын
Amen
@MwanaUfalme10 күн бұрын
Barikiwa sana hakika utukufu ni kwa Mungu
@user-nc6ex1kv5v9 ай бұрын
Amina sanaa Mungu atusaidie sana tuweze kukutana naye ili tupate kubadilishwa
@eustina09 ай бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kukutia nguvu Aminaa
@rosenyamstheroses88459 ай бұрын
ASANTE mtumishi natamani sana Nashukuru mungu na wewe pia mtumishi wa mungu. Kwa ombi moja niliomba kwako kwa ajili ya mtoto wa rafiki yangu aliyelazwa hospital ya Eldoret akiugua kutokana na cancer, sasa hivi twashukuru amepata matibabu na amekubaliwa kutoka hospital awe akihudhuria clinic once per month.
@user-jd7lo8bd1e7 ай бұрын
Mungu unisamehe ,nime shindwa ila niwezeshe, nime guswa na neno lako ulie tuma kutoka kwenye pasta mbanga.
@joyceokuli27279 ай бұрын
Mimi nasali ludheran lakini nabarikiwa sana na maubiri yako mtumishi barikiwa sana baba
@MahubiriPrMmbaga9 ай бұрын
Amen
@josephkamau4359 ай бұрын
Wapi namba ya kutuma sadaka
@Kingjapha9 ай бұрын
@@josephkamau435nenda peleka mahali unapo abudia
@suzanamachango30009 ай бұрын
Barikiwa sana pr.
@MiriamSando-fe9ll9 ай бұрын
Barikiwa
@sarahemukule9 ай бұрын
Amen,nazidi kubarikiwa na neno la bwana nikuwa Saudi Arabia, MUNGU akubariki pastor,ninajihisi miguuni pa YESU
@Joycependopendo-dv2tb9 ай бұрын
Amen pastor mungu wa mbinguni akubariki na pia akuzidishee hakima
@MwanaUfalme10 күн бұрын
Amen amen amen barikiwa sana Na utukufu ni kwa Mungu alie Hai
@margaretwanjiru90969 ай бұрын
Mungu Abariki somo lake na Akubariki sana Pastor Mbaga na atubariki pia 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@AgostinoSampala-dr5ml9 ай бұрын
NABARIRIKIWA NIKIWA NCHI YA ISRAEL MUNGU AKUBARIKI SANA PASTOR nimependa sana kuhusu unyenyekevu na ujasiri
@josephkamau4359 ай бұрын
Niombee natamani kuwa mnenaji wa neno la MUNGU
@rachelsanga74729 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na mahubiri hayo Ninawaombea wapakwa mafuta wote mimi ni Rachel Mbeya
@slamafamily57209 ай бұрын
Amen Amen barikiwa sana pastor
@evanskaranja95789 ай бұрын
Amen
@user-jh4io1rc7e9 ай бұрын
Mungu ashukuriwe kwa ujumbe mzuri na azidi kutufundisha vile inavyotakiwa kuwa
@andrepiusleo63939 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu, naishi Mozambique nafuatilia sana mahubiri yako na nabarikiwa sana
@christinendayiragije56899 ай бұрын
Amen amen ❤❤❤.
@gerryndyamukama90589 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri ya Huyu Mchungaji. Nimesikiliza habari ya Lucifer kwamba alikuwa mmoja wa Makerubi kwa maana ya kwamba alikua karibu sana na Mungu.Swali ambalo waga najiukiza sana na sipati jibu ni kwamba hivi ilikuaje lucifer akapata akili ya kuleta mapinduzi Mbinguni?!! Je hakujua Mungu ana nguvu kiasi gani!! wakati tulitegemea kwamba yeye aliye karibu sana na Mungu ndio angemuogopa zaidi manake anamjua vizuri na angejua kwamba hana uwezo wa kumshinda.Yani kitendo cha kujaribu kuasi ina maana aliona kuna possibility ya kumshinda?!! 🤔 Tukumbuke alipigana vita kabisa,je ina maana alitegemea kwamba angeshinda?!!! Yani alikua ana matumaini!? Hili swala bado ni fumbo sana kwangu.yani SIELEWI KABISA HII SCENARIO
@shemi32708 ай бұрын
Mimi pia hua najiuliza sana, yani anashindanaje na aliemuumba? Hivi alikua anawaza nini?
@uwezom79149 ай бұрын
Amen Asante San kwa neno la Leo
@carolinemwugusi89459 ай бұрын
Amen mahubiri mazuri barikiwa Pastor
@user-jh8il3mi4m9 ай бұрын
Amina ,maombiri imeniokowa kabisa Asante sana
@user-hw4zn2zy3y9 ай бұрын
Kiukweli mahubiri yako yamebadilisha siku hata siku Mungu pekee akulipe zaidi
@jamesrugeji9 ай бұрын
Amen , Bwana akubariki Sana pastor....
@user-os3vo4sm2n9 ай бұрын
Ubarikiwe sana David Mmbaga
@dottogatuntu8 ай бұрын
❤❤❤ ahsante sana pastor
@user-gs1ld5vd6e9 ай бұрын
Ahsante sana baba nabarikiwa sana na mahubiri yako nafarijika najikuta mkubwa❤❤
@RabanKatula9 ай бұрын
Nabarikiwa nikiwa Lubumbashi
@biwagamoreen9 ай бұрын
Praise God man of GOD thank you for the word of lord am moreen from Ugandan but now am in Saudi Arabia a have bad dreams and my legs pain pray for me and my family GOD bless you thank you 🙏🙏
@floraflora57179 ай бұрын
Past unasema ukweli kabisa kuazia leo nimejifuza kitu
@zirhumanafiston1169 ай бұрын
Amina 🇨🇩 Mungu akubariki sana
@rosejoseph79829 ай бұрын
Zidi kujazwa na roho pastor
@user-dk3xi4pz7o4 ай бұрын
Amina
@rahimajuma53069 ай бұрын
Ungu akulinde na familia Yako mbarikiwe sana
@BarnabasJonas-nv4ig9 ай бұрын
AMINA
@rahimajuma53069 ай бұрын
NMungu akubariki
@dubajohn25919 ай бұрын
Mungu akubariki pastor
@biwagamoreen9 ай бұрын
A like your voice and your video
@katotodrivingschool46038 ай бұрын
🙏🙏🙏
@rehemaihonde72589 ай бұрын
Ameen
@user-he7cf3wp2p9 ай бұрын
bwana akubariki paster
@raheljose95249 ай бұрын
Asante Pastor Kwa somo zuri barikiwa sana🙏
@josephkamau4359 ай бұрын
Wapi namba ya kutuma sadaka
@queensusany80789 ай бұрын
Naomba muongozo natoaje sadaka?
@shaniachanceline27519 ай бұрын
Amen!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@255og9 ай бұрын
🙏❤🙏
@donomondi34099 ай бұрын
Is this live
@alicemwaka37629 ай бұрын
Mafundiso matamu sana
@zirhumanafiston1169 ай бұрын
Amina 🇨🇩 Mungu akubariki sana
@johnstephano64868 ай бұрын
Amina
@leilahl70249 ай бұрын
Amen
@rehemashariff31199 ай бұрын
Ameeeeen Ameeeen hapo umesema vijana tuwapishi kupita maelezo Mungu nihurumie mtuwa mimi