Ni vyakula gani unapaswa kula ukiwa kwenye program ya kupunguza tumbo lote
@Annmutuku-up4hb Жыл бұрын
Sijui
@Annmutuku-up4hb Жыл бұрын
Nataka kujua
@deniskyangala3400Ай бұрын
Husile vyakula vyenye mafuta kwa vingi
@bensonmerooficial11 ай бұрын
Trainer nakukubali sana Mimi natamani kujufunza zaid kutoka kwako be blessed kwa moyo wa kufundisha watu ,wapate afya njema.🙌🙌🙌
@MariaKagina3 ай бұрын
Asante kaka kwa mafundisho ya kupunguza kitambi, samahani mazoezi hayo yanyatakiwa muda gani hasa,au ni muda wowote.
@RehemaSanga-vp9et Жыл бұрын
Kaka namshukuru kwa somo lako nimelielewa na nimelipenda sasa naomba unisaidie kunipa mpangilio wa vyakula gani ambavyo napaswa kula ili nipungua na vyakula gani naomba kwa hili nisaidie
@YOSHUAMWAMPETA5 ай бұрын
Hongera na asante kwa mafundisho mazuri sana. BARIKIWA NDUGU
@Lizzyktd Жыл бұрын
Ahsante sana kakaangu
@bajkljs9058 Жыл бұрын
Thanks broo haki mimi nitafatilia hii mpaka niwe sawa haki najichukia nahili tumbo mimi😢😢😢😢😢
@YahyaHamad-js4qz Жыл бұрын
Bei gani kwa siku gym
@NassorKhamis-l6rАй бұрын
Mashallah Teacher kwa somo zuri
@AnneMwanawalifa Жыл бұрын
Tumbo la juu kaka linasumbua sana
@Nayfat-us6cj Жыл бұрын
Hongera had raha mimi kuinuka sasa mwili mzito
@sweet16honey757 ай бұрын
Nipo Kenya nitafabyia nyumbani thanks and be Blessed 🙏
@yuwellsham-fv7fn Жыл бұрын
Asante Sana bro mungu akubariki kutupa elimu Kwa ufupi❤
@AzizaNgasala10 ай бұрын
Asante mkuu
@FatumaMasud-wb5yb Жыл бұрын
Ahsante bro
@stellatwaah32428 ай бұрын
Asante sana tumboo la china linasumbua
@AymanMwambapa27 күн бұрын
Shukran sana
@ajaesaidi3 ай бұрын
Mashaallah mazowezi mazuri
@mdoman9044 Жыл бұрын
Shukrani sana ubarikiwe
@HamisiMtiga-q5s Жыл бұрын
Sawa kaka
@GraceKija4 ай бұрын
Barikiwa
@ashaayubu9970 Жыл бұрын
Asante kaka mafunzo yako mazuri
@FredyJohn-l4h5 ай бұрын
Xaxa hih kaka
@DenisKadama-dv1sx Жыл бұрын
Nimependa sana
@charlessamuel86022 ай бұрын
Ahsante sana bto
@WimaIrqa7 сағат бұрын
Me mwenyew
@asnathselemani930211 ай бұрын
Asnte sana kk
@AishaHussen-i7m4 ай бұрын
Nimeelewa
@OswadiGumahamwe-sy6xb Жыл бұрын
Unyama ni mwingi Sana brother asanteee Sana 💥
@jeridamwalyego6645 Жыл бұрын
Asante kaka mimi ninachangamoto ya tumbo na mikono
@omarygregory2075 Жыл бұрын
Bravo teacher
@AnithaDaud Жыл бұрын
Asante kaka
@frankevaristo7 күн бұрын
Nice
@deboramroki2467 ай бұрын
God bless you bro
@allybakari679 Жыл бұрын
Asnte sana bro
@MaryamAbdullah-zz6lh6 ай бұрын
Asantee
@JastinSamwel-g2i5 ай бұрын
Asante big
@gidionmibaluro70857 ай бұрын
nmekupata kakak....uko vzr
@yusuphmakangemakange4474 Жыл бұрын
Bro upo gd sana nataman nifike kwako
@pascosalvatory52747 ай бұрын
ZOEZI DOGO ILA LINA MAANA KUBWA SANAA SEMA WABONGO HATUZNGATII TU
@mariamrichard3085 Жыл бұрын
Bro uko sehem gan
@IbrahimZuberi-nt2ox8 ай бұрын
Hapo kwenye chakula sijaelewa vzr
@JoanMponda Жыл бұрын
Nimekuelewa kaka angu
@ismailkombo2644 Жыл бұрын
Habari trainer mm nnaulemavu wa mguu mmoja na tumbo la pembeni nnalo nafanyaje
@zubydazad76468 ай бұрын
Ubarikiwe kaka
@StellaKarembo Жыл бұрын
Thanks kababaa
@ScolaRobert-qk7gc Жыл бұрын
Asnt kwa mafunzo manzur
@Layla_Sulaiman88 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@Samiah2011 Жыл бұрын
Wafundisha vizuri maashaaAllah mungu akubariki mno
@julianawanza7097 Жыл бұрын
Thanks
@julianawanza7097 Жыл бұрын
You are welcome
@otmarmkali8883 Жыл бұрын
Asanteh,, pia nilitaka niulize,,, kitambi cha ghafra au tumbo kuwa kubwa ghafra husababishwa na nini? Isije tunapunguza afu tunaliongeza bila kujua ko work done = 0
@CheerfulGalaxy-wj5rfАй бұрын
Je waliofanyiwa upasuaji nao waweza fanya
@OlipaHadron-pq1fg Жыл бұрын
Je kwamazoezi hayo kwa wanawake hatuwezi jazia mikono