Рет қаралды 3,010
Jinsi ya kuanzisha biashara ya samaki yenye kupata faida - 5
Jinsi ya kukadiria mtaji wa biashara ya samaki
Je unataka kuanzisha biashara ya samaki hivi karibuni?
Biashara zina changamoto zake na haijalishi kama una anzisha biashara ya samaki au bidhaa nyingine changamoto zake zinafanana
Moja kati ya changamoto zinazo mkabili mjasiriamali anayetaka kuanzisha biashara ya samaki ni kukadiria kiasi cha mtaji kinacho hitajika
Sasa basi utafahamu vipi kiasi cha mtaji kinacho hitajika kwa ajili ya biashara ya samaki?
Katika video hii nitakueleza mambo ya kutafakari wakati unafanya makadirio ya mtaji wa biashara ya samaki
YOU TUBE CHANNEL DESCRIPTION
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
KZbin: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali