Huyu mheshimiwa anagawa Madini ✨️bure kabisa bila malipo yeyote 👏👏👏MUNGU ambariki zaidi
@HenryMizambwa-ft5qo24 күн бұрын
This man ni balaa anamadini yakutoshaa na elimu yakee yotee lakin hapingi kuhusu mungu
@ellenkasuthaadventistekim8 ай бұрын
Amina kubwa pasta,nimekusikiliza toka huko Congo.
@MarianaCapson8 ай бұрын
Sooo powerful ❤
@hamidafundi-pw1gw9 ай бұрын
Mwanamke ni mbeba maisha kwa ujumla wake. Ni chanzo cha vyote. Ni sawa na ardhi inabeba vyote katka dunia hii.Mwanamke ni tegemeo kubeba maisha ya sayari hii.Mwanamke aweze kuwa tayari kubeba kama ardhi. Mwanamke usikumbatie watoto wako,utapoteza uimara wako .Mwanamke Acha kuwa tegemezi,jiamini .Nimejifunza, pongezi Dr Ellie.🎉
@josamwilliam41058 ай бұрын
Uko vzr
@robinsongodwin97109 ай бұрын
Tanzanian people Tumshukuru Mungu kwa kuwa na dr ellie ❤
@DEBORAHMASANJA-yz3go9 ай бұрын
Asante sana Mwl Mungu akubariki umeni fungua sehemu kubwa
@ReenStanfford9 ай бұрын
God help me be that woman🙏 nimejifunzaaa mnooo
@MillardMushi-ce2bu9 ай бұрын
Dr elie nakuomba uje uwe mwalimu wa vijana wangu wana penda ngono kuliko kula
@ConsalvaMumbara9 ай бұрын
😂😂 nimecheka kwa saut
@barakabusima9 ай бұрын
😂😂 ...jamani Dunia inamambo
@gordiansoko91139 ай бұрын
Duu hii kali kuliko maelezo😂😂
@judyngowi3919 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mussasylivester059 ай бұрын
😂😂
@Papaa_Hillary_Mrema9 ай бұрын
Changamoto watu wenye uwezo mkubwa kama Dr Elie VD wanatumika Vyuoni tu ila wangetumika mtaani kwa Vijana ambao ni Wapambanaji Nchi ingebadilika maana huko Chuoni wasomi wana mawazo ya kuajiriwa pekee
@piusdeo93809 ай бұрын
Nakubali sana ndugu
@moriskalegeleshusha26199 ай бұрын
Umetisha mkuu
@chechem.wambura81729 ай бұрын
@@piusdeo9380ona ambao hamjasoma mnavyoshadadia. Acheni wivu na chuki kuwasema vibaya wasomi kisa nyie hamkusoma. Nani kawaambia Kila aliesoma anawaza kuajiriwa?, na kwani akiajiriwa Kuna shida Gani? Mbona wapo watu kibao walioajiriwa Wana maisha mazuri kuliko ambao hawajasoma. Kufanikiwa kimaisha haijarishi umeajiriwa au hujaajiriwa ,umesoma au hujasoma.,
@furahakalombe20119 ай бұрын
Anatumika sana mtaani ila ni kwamba hatufahamu tu mtaa gani. Maeneo mengi anaalikwa kutoa elimu
@moriskalegeleshusha26199 ай бұрын
Ni vzr tuwe tunapata matangazo
@nwntz9 ай бұрын
Mzee anatoaga madino heavy, namkubali sana prof Elly✊✊✊✊
@UpendoEliasSokota7 ай бұрын
Dr umetisha
@johnchuwa16469 ай бұрын
si rahisi kumwelewa Dr Ellie kama namna yako ya kufikiri imefungwa na elimu,dini n.k
@eliazewanga35438 ай бұрын
The best philosopher local wise
@DoraNatai6 ай бұрын
You are absolutely correct 👏
@hafsalucky10889 ай бұрын
Dr Elie you are very right ❤
@Nzumbi08 ай бұрын
De elie daah! Ana madini kichwani aise ya unaambiwa ni mara mbili kwa upande wangu
@KarimuMshana-y5r9 ай бұрын
Dr elly nakuelewa sana,ila hii salam shikamoo wakina mama halaf wakina baba habar ya saa iz nifafanulie hapo.
@petermgaya96939 ай бұрын
Very complex speech
@mwakilamwaki17188 ай бұрын
Doctor Janabi na uyo sawa to
@IbrahIbrah-m5p9 ай бұрын
Bila kuwa na D mbili huwez kuelewa 😂😂😂
@madreks2539 ай бұрын
Well said Dr! ❤
@saidmlemeta80838 ай бұрын
Hlw
@saidmlemeta80838 ай бұрын
Hlw
@LusiaJohn-mv4xd8 ай бұрын
asante doct
@mwakilamwaki17188 ай бұрын
Uyu na Hamonaizi sawa
@HassanHassan-sn5cj8 ай бұрын
Umeonaeeee!!! Anatumiwa na utawala wa Ant crist au Masihiddajaal hata bila yeye kujua!!
@charlesmakelele42689 ай бұрын
Anaitwa Dr ELIE.
@seifkulwa33469 ай бұрын
Ok uko vzr sana, ila hayo unayongea yataishia kwenye majukwaa tu huwezi tengua uumbaji wa Mungu kwa maneno!
@victoriajames54138 ай бұрын
Huyu nae, hata ktk huo uumbaji umeelewa nini?? Udini unakusumbua hovyo kabisa.
@seifkulwa33468 ай бұрын
@@victoriajames5413 Mungu ameumba Dunia na vitu vyote kwa formula Kila kitu mahala pake Mwanaume vs mwanaume, mchana vs usiku, kiangazi vs masika, Masaa 12 mchana vs Masaa 12 usiku, uhai vs kifo nk huwezi badilisha kwa tamaa zenu za kisiasa just waste of time for nothing. What is religion? Religion is nothing in this universe, created by human being to control the majority for nothing and minority continue monopolizing resources for their family!
@georgesamwelchacha76809 ай бұрын
Ukisema utoe Zawadi kwa Mwanamke ambae amekuja bila kupaka Wanja au Madikodiko hapo hayupo😂😂😂
@majidfrolian49049 ай бұрын
Balaa huyu jamaa 😊
@ellynikotv71789 ай бұрын
Much respect though
@rizikiesromu14189 ай бұрын
Niambie akili sahihi ni ipi?je ni ile ya kufundishwa na mungu au mwanadamu? Acheni dharau Mungu hips apendye.
@henrymkuye66699 ай бұрын
Dr is the best
@NoelMwikeve9 ай бұрын
Usipo kuwa logical huwez kumuelewaa
@saidmlemeta80839 ай бұрын
Huyu jamaaa anakili nyingi sana alikuja kwetu hapa GGM geita gold mine yuko vzr mno
@wilibarddorotheaelias84109 ай бұрын
Oi niaje kaka
@mwakalingaabas9819 ай бұрын
Jamaa lina akili sana hili dr elly waminian
@rahellubandila19288 ай бұрын
barikiwa sana
@hgmtz89979 ай бұрын
Hata akili ya mtoto hutokana na akili ya mama
@StevenHinjo8 ай бұрын
Safi kabisa
@ontarget79499 ай бұрын
Dr Elie huna baya
@ngaribaonlinetv9 ай бұрын
Fact
@luganomwaigomole74419 ай бұрын
AKILI KUBWA❤
@elyudsaleh60449 ай бұрын
Jamaa kafanikiwa kukufurisha imani zote na amesepa na kijiji
@jamesraphaelmdima47299 ай бұрын
Tafuteni maarifa kwa mwenyezi Mungu na wala si kwa wanadamu!
@bongomastory7918 ай бұрын
@@jamesraphaelmdima4729 Mungu pia anatumia wanadamu kufikisha maarifa
@ellymzera24578 ай бұрын
Agreed. .🇰🇪
@neemashingda8 ай бұрын
Bila kuwa na d mbili huwezi elewa hii
@sontrillthereal81869 ай бұрын
Ana madini sana ila ukiwa shabiki wa simba huwezi elewa
@leonardmadelemo30439 ай бұрын
Elie vd nouma sana
@msomaprince26449 ай бұрын
Nimemuona Tima😂😂
@ColinMhema-ne3lz9 ай бұрын
Huyu mtu ana akili nyingi sana na kumuelewa lazima na wewe uwe na akili
@elishaussiri3459 ай бұрын
Hapo kwenye kwanzia umemkosea Mungu
@jeremiahblazio47819 ай бұрын
Hawa wanaojiita wasomi ndo wahalibifu wa dunia unafikiri hao unaowajaza vichwa wakitoka hapo wakayabeba hayo kama yalivyo siwatataka nafasi ya mwanaume waichukue wao na nini kitafata si ndoa kuvunjika na watoto kuhangaika.
@nelsonmgaya14909 ай бұрын
True!!
@ruthn93818 ай бұрын
Education is truly important. That's why we need it. It enlightens our thoughts. Only people who understand him, can appreciate such lessons.
@Papaa_Hillary_Mrema9 ай бұрын
Uwezo wa Fikra wa Dr Elie VD lazima urithishwe kwa kizazi cha sasa. Utajiri unaanzia Fikra kisha unahamia katika roho na mwili.
@ezekieljacob57959 ай бұрын
Sijamwelewa kabisaaaa, alikuwa anajikanyaga kanyaga sana tu ...lakini, kwa vile ana title ya Dr professor lazima tutishike na tumuone kwamba ana akili kubwa kuliko sisi. Hakuna mwanamke hata mmoja aliyemwelewa hapo..kawa buruza tu.
@rosehaule67659 ай бұрын
Mhhh acha zako
@athumanhassani8059 ай бұрын
Wewe muo😢
@Thabitilubunani8 ай бұрын
Mshamba huwezi kupngana. Na maandiko ya vitabu vya mungu vya dini yote
@nelsonmgaya14909 ай бұрын
Uchawa ni m baya sana!!!
@peterrayunga9 ай бұрын
Mkufunzi umetupoteza kwamba mungu ni mtu? Umedanganya Kila kitu jike no no no.
@trophywilson72119 ай бұрын
ee mungu ni mtu ila Siyo MUNGU utofautishe hayo mambo mawili
@josephjeremiah-x5v9 ай бұрын
Huyu Dr anafaa kutembea kwenye furusa ni represement ya ruge anamadin hatar
@frank_luminous9 ай бұрын
Huyu MTU ni zawadi kwa wote macritical thinkers!!
@EmmanuelSanga-u4e9 ай бұрын
Weka tuweke ila sio kwa kuwekwa wake kuwa wanaume tufahamu mungu ni mkuu na ukuu wake utadumu milele ukiupuuza kesho yako itakuwa mbaya sana
@trophywilson72119 ай бұрын
siyo mungu sema MUNGU
@zainakingwele92289 ай бұрын
Sioni ulicho sema kwenda kujiuza au kivip kweli dunia ipo mwisho
@godfreymushi69669 ай бұрын
Sasa watu ambawo hawana elimu na wana hela.hawo ni kundi gani maana umeongea so badly kwa watu ambawo hajasoma.na asilimia kubwa ya watanzania hawahasoma haiyo ni matusi
@JohnsonBagambi9 ай бұрын
Ndo changamoto ya wasomi wetu wanathan elim ndo kila kitu ni ujinga mtupu
@masungadutta38239 ай бұрын
Elimu siyo darasani tu ukiwa na uelewa wa jambo ni elimu tosha
@Jpn_Studios9 ай бұрын
POINT 100% @@masungadutta3823
@JohnsonBagambi9 ай бұрын
@@masungadutta3823 👍👍👍
@magorymara55159 ай бұрын
Umeropoka mwana ili umwelewe unatakiwa kuwa na akili sana hivi vitu kama vinakuzid uwezo we pita tu kimya kimya si lazima kuchonga
@husseinmnubi68349 ай бұрын
Real talk Dr🫡
@RaymondKilomeye9 ай бұрын
Kuwa mwanasaikolojia sio kujua Kila k2 kwasifa ulizo wapa wanawake wangekuwa wanajitambua au kujua wanachokifanya lakini nitofaut, kwamfano huo huo wanaume %kubwa tunajielewa bila kufundishwa tunajifunza kwakuona kwa matukio toaut na mwanamke Ambae ht umfundishe bado anahtaj umuongoze simo kwenye nigal nishushe tetea ugali wako2 ndugu hakuna usahih ktk Hilo, ww na mungu nani anamjua binadam mpaka kumfanya mwanaume awe mtawala wa mwanamke iliwezekana vp wakat uwezo wakufikili zaid kampa mwanamke cjawah kuona akijiongoza, halafu km ww nimdhaifu kwa make wako co wote, unavyojiona ww cvyo wengne walivyo
@chance07099 ай бұрын
Wewe hakili ndogo tu huna logiki bali unatumia Isia kuandika mambo haya yote .
@AgnessPetro-y3x9 ай бұрын
Unaongea nini, na nyie ndio wadhaifu wenyewe mliomdidimiza mwanamke, tulia dawa ikuingie
@godfreymgaya18629 ай бұрын
I see my daddy PT
@qonquererqanquerer17819 ай бұрын
Asije Kugeuka Chawa tuu Kama Yule Professor Mngine Wa Majalalani Akili Zote Zitaisha
@mosesmnyantope95349 ай бұрын
Duh
@hailinhelen46759 ай бұрын
anayo sema ata yeye mwenywe nadhania hayafamu 😢😮
@yohanaibrahim41289 ай бұрын
Nimemuona kungwi liliani
@SmithJacob-f2r9 ай бұрын
Huu ni ujinga tena ujinga wa hali ya juu na hawa ndo hutuhalibia family
@AnthonySindabaha-de3xb9 ай бұрын
Mswahili bhana ..jibu kwa hoja
@MnazaretiMystry8 ай бұрын
Mpumbavu huamini kila achoambiwa
@yamungummungulo6339 ай бұрын
Wengne wanaona muda kumepoa #Gigy
@mchumiajuani19939 ай бұрын
Dr Elie akili kubwa, vijana wajinga wajinga hamuwezi kumwelewa, kuna mtu anamuona leo ndio anakuja kumtolea hitimisho, hata kipindi cha chomoza hukijui.
@victoriajames54138 ай бұрын
22:34 kuna mamtu humu majinga Sana hayataki uhuru wa kujifunza yameshikilia kitu kimoja kimoja tu sio ya kuambatana nayo utadumaa!😅
@dicksonulotu74279 ай бұрын
Sitakaa nimwelewe,endelea kuwadanganya .
@Mahene-w1l9 ай бұрын
Sisi Tunamwelewa tulio tayari Kujifunza n Kuelewa
@vascomwalongo4519 ай бұрын
Hamnw Kitu hapo
@elinihakimsuya16739 ай бұрын
Mwisho wadunia huo,mafundisho potofu
@yamungummungulo6339 ай бұрын
Kvp ndug? Tokea zaman wanawake matajir wapo, rejea mke wa kwanza wa pro Muhmad (S.W A)
@ruthn93818 ай бұрын
Really? Don't see why?
@dostovan51429 ай бұрын
Usipo kua na akili yako uta amini chochote unacho ambiwa na hawa ma motivation speaker, waongo sana, wanaonga vitu vya kufuraisha watu tu
@chakulachaleo9 ай бұрын
Ukitaka pesa ya aibu lazima usifie kilichokupeleka,ila sidhani kama anasoma NENO la MUNGU huyu, MUNGU alishatoa majukumu ya MWANAMKE na MWANAUME,WEWE ni nani ukampinga MUNGU anaekupatia pumzi?
@ruthn93818 ай бұрын
I wish you could understand him logically. We need such great minds in Africa. It takes a person with sound judgement to understand him. Seek knowledge first before you criticize anything. Good luck!
@valenakomba76869 ай бұрын
HAYO NDO MAHUBIRI YA WATANZANIA. MWANAMKE , MWANAMJE, NWANAMKE.
@ChristopherAmwago9 ай бұрын
Nimejutia mb zangu nilizotumia kukusikiliza ila dah bure kabisa fyuuuuu.
@AgnessPetro-y3x9 ай бұрын
Jishikilie utadondoka
@AliySaid-i2t9 ай бұрын
Mi nasikia pumba hakuna maana ata
@salehsimba53069 ай бұрын
Maneno ya kuwafariji watu dhaifu duniani
@pascalwissi48059 ай бұрын
Itakuwa uwezo wako mdogo, si rahisi kumuelewa dr
@chrismassawe29399 ай бұрын
Mungu mwenyewe alimwona ni dhaifu kwanza hajaumwa ninsehemu ya mwanaume
@Mahene-w1l9 ай бұрын
Kweli Kabisa 😂 Kaongea point za Msingi Sana yeye hajaziona Kwasababu ya Uwezo wake
@Mahene-w1l9 ай бұрын
@@chrismassawe2939Hakuna sehemu Kwenye Vitabu vitakatifu Mungu Amesema Mwanamke ni Dhaifu Kwa kinywa chake Zaidi ya Mtume Paulo(Biblia) tu Kwa uzoefu wake Wa kibinadamu na Si Mungu kusema
@bennyinnocent27509 ай бұрын
ASILI KAMWE HAIPITWI NA VYA KUCHACHA
@KillyM-ry5iy9 ай бұрын
Uyo ni mcongo
@malkavoice25709 ай бұрын
Ktk mastar wote hayupo Mwanamme mmoja tu naye ni zaidi ya wanaume wote waliokuwepo humu,mkutano wa wanawake mwanaume unakuwaje kimbelembele,kwann msingewasindikiza na kuwasikiliza wao wanalipi la kuusiana kama wameshajitambua. Kwenye wimbo wao walisindikizwa tu na ujumbe waliutoa wao kwa jamii na kutambua wao wanathamani gani,hapa mnawafanya wajione watu zaidi ya watu pasipo kujituma wala kujitoa 7bu mwanamume ndio anaelezea maziri yao kanakwamba wao hawayajui majukumu yao. Waraka mzuri ila ungewaandikia wausome wao waonekane wao tu. Mondi yukowapi hapa?
@msatibongonyuzi149 ай бұрын
Mafundisho ya kishetani hayo
@George-jz3jg9 ай бұрын
Nimekusikiliza kwa dakika kama 11 hivi unafundisha uzuzu tu nawashangaa wanaume wanao tikisa vichwa kukuelewa nao pia ni mazuzu tu
@AgnessPetro-y3x9 ай бұрын
Sasa Kwa ukubwa wa uelewa huo anaoongea apo na udogo wa akili yko unategemea nini?😊
@nasibugunda79279 ай бұрын
Ni siku kuu yao we wasifie tu
@saulostephen1979 ай бұрын
huvi yeye anafanya shughuli gani vile
@godfreymgaya18629 ай бұрын
Mwanaume ni logic , tunarud pale pale
@nasibugunda79279 ай бұрын
huyu ni mwanasaikolojia@@saulostephen197
@nasibugunda79279 ай бұрын
@@saulostephen197 ni mtaalamu wa falsafa na mbobezi wa elimu ya theolojia.
@nasibugunda79279 ай бұрын
logic ni nn? @@godfreymgaya1862
@raphaelkessy73609 ай бұрын
Huyu mjingai ana tu tukana huyu
@kaginazongori9 ай бұрын
Huyu mshikaji apimwe akili maybe anatatizo la afya ya akili